Kumbukumbu kuu....Sanyo Juu Sanyo Tops....kila jumapili. nyakati hizo nikiwa kidato cha pili....Lilikuwa wimbo wa kunipa moyo! Ton Ton Fred Obachi Machokaa.......Barikiwa!
This reminds me of the hard times we went through while brothers of our father watched and laughed at us, but God is great,I personally thank God so much
Bahati ya mwenzio uzilalie mlango wazi. Majalio ya Kila binadamu ni kazi ya maulano pekee. Amba kabahatika na kazi ya ubaharia Kisha mafanikio. Potelea mbali na shida za Dunia! Mungu ni Mungu, Atukuzwe! Dr. Ogeto International
Wimbo wenye ushauri mwema. Asante sana mtangazaji Ali Salim Manga. Naukumbuka sana wimbo huu nyakati ukiwa zamu katika kituo cha Sauti ya Kenya hapo 1983-1984 ulikuwa unaucheza. Wimbo huu ulinitia ari kubwa kama kijana mdogo kutia bidii masomoni.
Kumbukumbu kuu....Sanyo Juu Sanyo Tops....kila jumapili. nyakati hizo nikiwa kidato cha pili....Lilikuwa wimbo wa kunipa moyo!
Ton Ton Fred Obachi Machokaa.......Barikiwa!
Enjoyed the song during my teenage years and may ALLAH reward the musician
A
Nakumbuka nipo Handeni Tanga Enzi za mwalimu hizo ❤
Reminds me of the 1984 drought...hadi there was shortage of tea. We were forced to take cocoa...na ugali ya yellow
By younger brother, Douglas Karumba loved and sang this song between 1983-1985
Hemedi Chiriku Maneti, best vocalist to emerge from East Africa.
❤Mungu ana weza kuku toa chini hadi juu
Wimbo huu umwendee mjomba yangu Maurice Otunga,anaupenda sana sana
Wananikumbusha KBC miaka ya nyuma . Walielimisha na kutia wengi moyo . Well organized voice and instruments.
Bonge la mistali ❤
Solo la kalala balaaa
This reminds me of the hard times we went through while brothers of our father watched and laughed at us, but God is great,I personally thank God so much
Bahati ya mwenzio uzilalie mlango wazi. Majalio ya Kila binadamu ni kazi ya maulano pekee. Amba kabahatika na kazi ya ubaharia Kisha mafanikio. Potelea mbali na shida za Dunia! Mungu ni Mungu, Atukuzwe! Dr. Ogeto International
Wimbo wenye ushauri mwema. Asante sana mtangazaji Ali Salim Manga. Naukumbuka sana wimbo huu nyakati ukiwa zamu katika kituo cha Sauti ya Kenya hapo 1983-1984 ulikuwa unaucheza. Wimbo huu ulinitia ari kubwa kama kijana mdogo kutia bidii masomoni.
Kweli baraka na mafanikio ya mja hutoka kwa Mola.
Hemed Manet ulaya mungu akuepushee naadhabu inshaaalar
MAMBO MBOTELA those days when we were growing up,asante
Wimbo huu unanikumbusha dada yangu,Neema Ngadala,kipindi hicho tukiwa kwakivesa Handeni,R I P,dada yangu Chavia
I enjoyed this song during my childhood...great song very inspirational..
vijana wanaosafa na life
Brings fond memories of my dad's wooden paneled Sanyo radio.
Kifo kibaya man!!!
Natafuta wimbo wenye mashairi yanayosema Zubeda wa mama mimi nakutafuta'....... wanasema umeenda city!
TANGA INTERNATIONAL ZUBEDA NAKUTAFUTA
Kati ya miziki ya adhuhuri na, Amunga kabisae mtangazaji KBC .
Enzi zile miaka ya 90s
Miaka ya 80s sio 90s hiyo !!
Very nice song remember it during my childhood
Habali kwa warafiki wote 。。。ni tamo kabissa。utazani imetungua leo
Song brings fonder memories,songs sang with meticulous arrangement from instruments,lyrics and vocalist.
We completely geniuses in music than todays singer's
Nostalgic. Songs of our youth ❤️.
One of the strong leading band
That was Tanzania by then with fruitful kiswahili whenever Chiriku Meneti siings it touches my heart.
What beauty! Muziki tamu kabisa.
Hamza Kalala!!!!!!!
When Music was Music VoK was Broadcasting house only
Like that song
Muziki wa zamani una ladha ya kudumu
Song brings fonder memories,songs sang with meticulous arrangement from instruments,lyrics and vocalist.