Mziki wa dansi zilipendwa- DDC- Bubu hutaka kusema

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @bumunda
    @bumunda Рік тому +4

    Nimetafuta sana huu wimbo nilisahau jina lake,lakini leo kwa bahati nimeupata

  • @wanjohipaul9371
    @wanjohipaul9371 2 роки тому +3

    Tanzania nyinyi si tosheki na miziki yenu

  • @AnthonyKisondella
    @AnthonyKisondella 10 років тому +11

    DDC Mlimani Park Orchestra kwenye moja ya viwango vyake vya juu vya ubora wake - vocal line: Muhidini Maalim Gurumo - RIP , Hamis Juma "Maalim Kinyasi" - RIP na Hassan Rehani Bitchuka, .
    Ufundi mkubwa sana katika uimbaji: kwanza uimbaji unaanza kwa Muhidini Maalim Gurumo na Hassan Rehani Bitchuka mpaka wafikapo chorus, waingiapo kwenye Chorus Muhidini Maalim Gurumo anaimbisha Hassan Rehani Bitchuka na Hamis Juma Kinyasi wanapokea, na pale Hassan Rehani Bitchuka anapoimbisha Hamis Juma Kinyasi na Muhidini Maalim Gurumo wanapokea.
    Gita la kuongoza la Abel Bartazar - RIP, Bass Gita Suleiman Mwanyiro - RIP, Gita la kati Abdallah Gama. fantastic!!! -zana za upepo - sizisemei uhondo mtupu!!

    • @eddienassor480
      @eddienassor480  10 років тому

      Kwa hiyo Anthony unasema hizi nyimbo zipo mbili? na kama ni hivyo huu ndio upi kari ya hizo??

    • @AnthonyKisondella
      @AnthonyKisondella 10 років тому +4

      Eddie Nassor
      Wimbo huu ndio "original recording" iliyofanyika katika Studio za kurekodia ya Redio ya Taifa enzi zile (Radio Tanzania Dar-es-salaam - RTD), niliipenda hii recording kwa sababu sauti zilijazwa vizuri sana kuliko ile ya Ujerumani ambapo Hassan Bitchuka na Maximillian Bushoke ilibidi wafanye double work ya kuimbisha wakati huo huo wanapokea

    • @danieloyile977
      @danieloyile977 3 роки тому +1

      Ndugu, nyimbo hii inanipa kumbukumbu nyingi sana! Wakati huo mizuki ilikuwa ina mafunzo ya aina yake, kwa sasa mambo ni tofauti kabisa. Kweli DDC ilikuwa na wasanii waliokuwa na talanta za aina yake kabisa! Asante kwa ufafanuzi wako

  • @TwahaAliMtumbi
    @TwahaAliMtumbi 10 днів тому

    Mzaramo mmoja wa Masaki wakuitwa Muhidini Maalim Gurumo. Tulia tu

  • @danieloyile977
    @danieloyile977 3 роки тому +2

    Asante sane Eddie kwa kazi nzuri!

  • @shufaamlagala1283
    @shufaamlagala1283 Рік тому

    Namkumbuka kaka ya ngu joseph kahonje magomeni kagera ilikuwa pia sana

  • @AnthonyKisondella
    @AnthonyKisondella 10 років тому +8

    Wimbo huu ulirekodiwa tena na DDC Mlimani Park Orchestra walipofanya ziara kule Ujerumani waimbaji wakiwa wawili tu Hassan Rehani Bitchuka (aliyekuwepo kwenye origin recording) na Maximilian Bushoke (akiimba sehemu aliyoimba Muhidin Maalim Gurumo - RIP aliyeimba kwenye origin recording). Katika recoding hiyo ya waliyoifanya ziarani Ujerumani waimbishaji na waitikiaji walikuwa hao hao tu Hassan Rehani Bitchuka na Maximilian Bushoke

    • @noelmarapachi1808
      @noelmarapachi1808 7 років тому +1

      Anthony Kisondella ila hiyo version siyo tamu kama hii original

    • @AnthonyKisondella
      @AnthonyKisondella 7 років тому +3

      Kweli Kabisa!! - kwanza Maximillian Bushoke hakuweza kuvaa viatu vya Gurumo kimsingi aliimba sauti yake mwenyewe. Halafu sauti hazikujaa kama ilivyotakiwa 2 vs 3 kwenye origin version

  • @allynayomo485
    @allynayomo485 6 років тому +3

    Hapa solo ilipigwa na Abel baltazal

  • @salehekasimu369
    @salehekasimu369 6 років тому +3

    Thanks kaka Bichuka hiyo ndio Nginde bwaana

  • @jeffballafundi9776
    @jeffballafundi9776 5 років тому +2

    Abel eeeh

  • @neattechnologiestz8636
    @neattechnologiestz8636 11 місяців тому

    Raha sana

  • @omaryswalehe1225
    @omaryswalehe1225 13 днів тому

    Mtu chake apendacho, hakina hila machoni, Huridhika kua nacho japo hakina thamani.