Hapo nitakukosoa kidogo kaka Eddy huu wimbo unaitwa Kasongo wa Marquiz du Zaire, mwanzo kabisa wakianza kuingia Tanzania kabla hawajafahamu kiswahili vizuri.ni Utunzi wa Mzee King Kiki
Maquis back in 1975/76....dah yaani huu wimbo kwetu Mwanayamala na vitongoji vyake ulikuwa mwisho kipindi kile. Kipindi kile mtu fake tulimwita Mandona ama Kasongo.
This is 2023, Nani anasikiliza huu wimbo pamoja nami?
Hii ndio muziki,utapenda baendelee kupiga bila mwisho....
Namkumbuka marem mbuya makonga adios,vilevile natoka machozi jinsi king kiki alivyo mgonjwa
Wakati huyo mziki ulipokuwa mziki🎉
King kiki hapa anaonekana bado ni kijana mdogo sana kazi nzuri
Wallahi natamani urahia Tanzania sijui kama naweza kupata vipi. Mjaluo wa Kenya huyu Sospeter
Hapo nitakukosoa kidogo kaka Eddy huu wimbo unaitwa Kasongo wa Marquiz du Zaire, mwanzo kabisa wakianza kuingia Tanzania kabla hawajafahamu kiswahili vizuri.ni Utunzi wa Mzee King Kiki
Ahsante sana Saad kwa muongozo
Nipo ndugu yangu🙏🏾
Vip hapo jamani mavi ya kare hayanuki
Maquis back in 1975/76....dah yaani huu wimbo kwetu Mwanayamala na vitongoji vyake ulikuwa mwisho kipindi kile. Kipindi kile mtu fake tulimwita Mandona ama Kasongo.
Hahahahahaa,kumbe eh?
Naomba video yake
Mkuu, hivi una ule wimbo wa Maquis wa "Umekwama Na Vidudu," tafadhali sana kama unao tuwekee
daaah Kasongo
Kama huu wimbo huitwa, "kasongo rundi kijinini "That"s the name of the song
Bado naikumbuka ile santuri (vinyl) ya 45rpm label ya ASL....
kaka bado sijaona ile ahadi yetu,ya wimbo wa marquiz wa x mas
Mbona nilishaurusha zamani tu!
OK.ngoja niutafute.shukrani sana
@@eddienassor480 vipi upo mkuu?
Band ikiongozwa na Marehemu chinyama chianza,aliyefariki kwakuangukiwa na kuti la mnazi kwenye shamba lao kimara
Uongo
@@marcnkwame1835 ni kweli
shukrani sana kwa huu
❤❤
Asante sana
Never again