Wimbo naupenda sana huu, kumbe Alimuimbia Mke wake Mama Feli, ( Rest In Peace Mama Feli) kawataja watoto wake hapo( kulwa na Doto, Feli na Linda) yatupasa tukumbuke kulea watoto
Chidumule ni mtunzi mzuri sana wa nyimbo, Ametoa mchango mkubwa sana katika tasnia ya muziki wa Dansi Tanzania, Nasikia sauti ya Hamis Juma (Maalim Kinyasi) ikipanda juu.
Pole l did not know if this is a true song composed to mention his wife ( Chidumule ) Sorry again to hear that the wife Cecilia or mama Feli passed on in 2018. It's life but sad to hear this
Cjui kwa nini Wanamuziki wanapenda Wapigia wapenzi wao au Wake zao Nyimbo” Bitchuka alimwimbia Mkewe wimbo Mpenzi Zarina” Jerry Nashon Mamaa Mwavua” Momba Lucy Bandawe, TX Moshi Asha Mwanasefu, Zahiri Zorro Nyimbo Photo Albamu, Abdallah Gama sik ili za Chenga ya Mwili, na Chidumule Mama Feli, unaweza toka machozi wanavyolalamika
Kweli maisha marefu tumetoka mbali hata sisi kutoka enzi hizo za kina DDC na mwalimu Julius Kambarage.Tukikumbuka music compe ya bandi zote za watanganyika pale jijini Dar.
Hata nami najivunia Kuona wazazi wangu hadi leo wakiwa pamoja,Mungu aendelee kuwatunza
Wadau wa muziki, tusimame kifua mbele! Tuitangazie dunia kuwa, mziki huu ndiyo urithi wetu pekee tulioachiewa
kumbuka furaha ya doto na kulwa ni fahari kwa wazazi. dah wapi chidu mule . nakumbuka mbali mwenzenu ,maisha haya ! we acha tu.
Furaha ya nyumbani ni watoto sikinde mliona mbali sana
Nginde noma king Enock by ngindeboy
Nazipenda sananyimbo zazamani naipendasekinde na didic mlimani pack okstra nyimbo zazamani nikizisikiliza moyowangu unasuuzika naikumbuka REDIO Tanzania enzi izo daaa iweekadu tilawie hae
Daaah Nginde kweli mabimgwa wa music Tanzania forever ever. hapo sina comment kila idara ilitimiza wajibu wake.
Tumetoka mbali for sure
These guys are great, just listen to the "avalanche of arts" at 2.17 - 2.57, 4.45 - 5.17 and finally 7.00 - 7.26
Asante mkuu wa kazi, kumbuka furaha ya wtt ni fahari kwa wazazi tukitengana tutawapa ukiwa bure
Nakumbuka mbali sana hizo nyimbo
... 'Furaha ya watoto ni fahari kwa wazazi'.
Hapa ni kazi tu! mafisadi wataisoma namba. Bado tunadai turudishiwe Redio yetu (RTD) na coco beach wanataka watunyang'anye(watupore) kwa masilahi yao.
Oooh! Wazazi mkumbuke kulea watoto
Wimbo naupenda sana huu, kumbe Alimuimbia Mke wake Mama Feli, ( Rest In Peace Mama Feli) kawataja watoto wake hapo( kulwa na Doto, Feli na Linda) yatupasa tukumbuke kulea watoto
Chidumule ni mtunzi mzuri sana wa nyimbo, Ametoa mchango mkubwa sana katika tasnia ya muziki wa Dansi Tanzania, Nasikia sauti ya Hamis Juma (Maalim Kinyasi) ikipanda juu.
Wimbo huu aliutunga baada ya kurudi sikinde akitokea vijana jazz mwaka 1983
Memories memories memories 😪😪😪😭😭😭
Chidumule daah nisiandike mengi
Pole l did not know if this is a true song composed to mention his wife ( Chidumule ) Sorry again to hear that the wife Cecilia or mama Feli passed on in 2018. It's life but sad to hear this
Duh very sad
Cjui kwa nini Wanamuziki wanapenda Wapigia wapenzi wao au Wake zao Nyimbo” Bitchuka alimwimbia Mkewe wimbo Mpenzi Zarina” Jerry Nashon Mamaa Mwavua” Momba Lucy Bandawe, TX Moshi Asha Mwanasefu, Zahiri Zorro Nyimbo Photo Albamu, Abdallah Gama sik ili za Chenga ya Mwili, na Chidumule Mama Feli, unaweza toka machozi wanavyolalamika
kweli wahenga wanafahamu muziki kila kitu kinapendeza
Heko Julius mzeru kwa kucharaza solo gitaa kwenye huu wimbo mama bell
@@mohamedkinega2766 kaka kinega julias mzeru alipiga bass, Henry Mkanyia solo, Saidi muharami rythm waimbaji
Shabani Dede
Cosmas chidumule
Hamisi juma
Max bushoke
Hapo gurumo na Bitchuka hawakuimba
Nalia sana nalia sana NYIMBO hii imeniliza sana.....duù DUNIA TUNAPITA
Mwaka wa watoto
Hatimaye jana 11/9/2018 Cosmas Chidumule Kamzika mkewe aliye muimba humu ndani Cecilia a.k.a Mama Feli
Noel Marapachi apumzike kwa amani Amina
So sorry Kwa Huyo Mzee babu
Sikia vitu hivyoo uuuuuuuu noma
Malavidavi ya ukwe...
Kweli maisha marefu tumetoka mbali hata sisi kutoka enzi hizo za kina DDC na mwalimu Julius Kambarage.Tukikumbuka music compe ya bandi zote za watanganyika pale jijini Dar.
Tuwaenzi wahenga wetu
chidumule Benno villa bado munahitajika mlimani park
SEMA neno tu