Kiukweli huu ni ujumbe mzuri sana hasa kwa wale wenye roho mbaya kumchukia mtu bila sababu neema zote mtoaji ni ALLAH tu kwahiyo msikonde kwa neema za watu
Human are not good, they planned to kill an innocent person. So the singer is thanking God for rescuing him and is also asking why should you hate someone who has not wronged you anything.
Ni Kati ya nyimbo ambazo naamua kusikiliza kutwa nzima, yaani narudiarudia kutwa nzima, mzee Bichuka umebaki wewe tu, Mungu azidi kukupa afya. Nakumbuka enzi zile za miaka ya 90 ukipita mitaa ya kwetu Sinza mida ya jioni ukielekea mazozini. Hakika wewe ni hazina.
WIMBO HUU MARA YA KWANZA KAIMBA BICHUKA YUPO OSS NDEKULE NGOMA WAKIWA PAMOJA NA GURUMO ILA HUU KAURUDIA AKIWA SIKINDE MSICHANGANYE MAFAILI HAPO HAKUNA MOMBA MAANA MOMBA NI MSONDO.
Santeeeee...mzee mzima Hassain Rehani Bitchuka "Stereo" akilalamika jukwaani akiwa na Orchestra Safari Sound,alipohamia kutoka Nginde miaka ya kati ya 1980s... Huu wimbo unanikumbusha enzi hizo nasoma Shule ya msingi Mapambano (Sinza), wakati naishi kwenye magorofa ya jeshi, Mwenge. ..
Huyo sio Bitchuka bali hilo ni Chama zima la Nginde, yaani DDC Mlimani Park Orchestra na Utunzi wa Rehani Twaha Bitchuka Binadamu. Mungu ampe uhai. Msipotoshe kwa kusema huyo ni Bitchu peke yake, skiza Mipini inavyopapaswa na Miwa inavyotafunwa humo kabla hujaskiza hiyo mikaango ya Chips !!
Wiki 2 zimepita nilikuwa naye hosp Kcmc tulilazwa 1 room. Nilifurahi sana kuonana naye japo tulikutana na matatizo ya kuumwa. Mzee bichuka big up sanaaa
Safi sana nawakubali Hawa wazee nibalaa
Kama unawakubali awa wazee gonga like apa, Bichuka, momba, Dede x, Tx Moshi x, atariiii
Mafundishonmakali sana...na ameonyesha kiwango kikubwa Cha Imani ktk kumtegemea mungu binadamu Hana chochote..
Golden voice
Umetenda mambo mazur kwenye muz ahsante bichuka
Kiukweli huu ni ujumbe mzuri sana hasa kwa wale wenye roho mbaya kumchukia mtu bila sababu neema zote mtoaji ni ALLAH tu kwahiyo msikonde kwa neema za watu
Walikua wanajuwa sana nyimbo inaeleweka
kwakweli ni moja kati ya nyimbo bora kuwahi kupigwa toka kupata uhuru safi sana bichuka
Wimbo mzuri ,safi bitchuka . Nyimbo nyingi zilipendwa zina mafunzo , burudani pamoja na maadili
Muziki ulipokuwa muziki, vyombo na sauti vyote safi
Asante Kaka Bitchuka kwa mawaidha katika nyimbo zako. Hongera!!
Ni ZAIDI ya busara za kawaida...mungu akutunze mzee bichuka
Bichuka Mungu akujalie mema mazuri kwa maadili unayotoa kwa wanadamu wenzio big up sir God still blessing you!!
Jamani Bichuka nakupenda Sana! Tunzi zako zinahisia Kali! Asante kwa wimbo mzuri!
Safi sanaa
6a
Human are not good, they planned to kill an innocent person. So the singer is thanking God for rescuing him and is also asking why should you hate someone who has not wronged you anything.
Ni Kati ya nyimbo ambazo naamua kusikiliza kutwa nzima, yaani narudiarudia kutwa nzima, mzee Bichuka umebaki wewe tu, Mungu azidi kukupa afya. Nakumbuka enzi zile za miaka ya 90 ukipita mitaa ya kwetu Sinza mida ya jioni ukielekea mazozini. Hakika wewe ni hazina.
Mzee bichuka kila la kheri kwako upone haraka maradhi yanayokusumbua inshaallah
BICHUKA WEWE NI MOTO WAKUOTEA MBALI KWA SAUTI YA KINANDA, MUNGU AKUOE AFYA NJEMA, HUU MUZIKI HAUSHI HAMU KUUSIKILIZA, HONGERA SAAANA NGULIBWA MUZIKI.
Hii nyimbo haipitwi na wakati hata
Msaada tutani: Sielewi maneno anayoimba baada ya SI WAZURI BINADAMU.........
Naupenda wimbo huu kwa saidi ya miaka 30. Wimbo bora sana❤❤
Bitchuka we ni noma sana mungu akupe maisha marefu mpaka ushangae
Amefunza Wengi maadili ya maisha kupitia tunzi zake makini bila matusi Wala Ila..japo amestaafu Bali masomo take yaendeles🙏🙏
Kwa kweli Mzee Bichuka wewe ni Mwana muziki, Mzazi, Mlezi na Mwalimu
Nyimbo nzuri sana,hakika uchoki kuisikiliza pia ujumbe mzuri kwa wenye roho mbaya
WIMBO HUU MARA YA KWANZA KAIMBA BICHUKA YUPO OSS NDEKULE NGOMA WAKIWA PAMOJA NA GURUMO ILA HUU KAURUDIA AKIWA SIKINDE MSICHANGANYE MAFAILI HAPO HAKUNA MOMBA MAANA MOMBA NI MSONDO.
We ni shiiiiiiida sana mzee mungu akulinde mpaka ushangae
Bitchuka amenikumbusha mbali sana wakati huoooo
hapo nakumbuka qutor la solo la kassim rashidi kinzunga
Santeeeee...mzee mzima Hassain Rehani Bitchuka "Stereo" akilalamika jukwaani akiwa na Orchestra Safari Sound,alipohamia kutoka Nginde miaka ya kati ya 1980s...
Huu wimbo unanikumbusha enzi hizo nasoma Shule ya msingi Mapambano (Sinza), wakati naishi kwenye magorofa ya jeshi, Mwenge. ..
Ramadhani Abas Hawa wazee si mchezo mungu awalaze mahali pema peponi
1980 nilikua darasa la tatu katika shule ya msingi mkinga_tanga
Huyo sio Bitchuka bali hilo ni Chama zima la Nginde, yaani DDC Mlimani Park Orchestra na Utunzi wa Rehani Twaha Bitchuka Binadamu. Mungu ampe uhai. Msipotoshe kwa kusema huyo ni Bitchu peke yake, skiza Mipini inavyopapaswa na Miwa inavyotafunwa humo kabla hujaskiza hiyo mikaango ya Chips !!
Combination isiyo kifani. Golden voices.
Hizi ni nyimbo za marekebisho
Bichuka hatareeee saaaanaaa...sauti ya ukweliiii mnooooo
Nililazwa hosp kcmc room 1 nilifurahi sana kumwona
Wiki 2 zimepita nilikuwa naye hosp Kcmc tulilazwa 1 room. Nilifurahi sana kuonana naye japo tulikutana na matatizo ya kuumwa. Mzee bichuka big up sanaaa
Stereo sound Bitchuka. Acha kabisa
Maingu maingu
huu wimbo nimeuelewa, mkali kinomaaaa
Wimbo umeniliza huu....nawakumbuka marehemu baba na mama...
Pole sana kaka....
George Matahimba pole sana
Free pemba
Hawa ndio wenye mziki wao sikia saut inavolalamika og, cku hizi tunaimbiwa matus tu hua natamani kulia
Nyimbo za zamani zina ujumbe wa kuishi. Na hazichakai
Hana wema usimuone kucheka ohh,mtendee la muhimu hatoridhika,akishakusalimu moyoni akasirika.
"Apita akusalimu, moyoni akasirika" 🤗
Bichuka ngurumo Shaban Dede cosmas chidumule kizazi Cha sauti ya dhahabu
Suleman mbwembwe, tx
Ziwekeni kwenye video jamani mnatunyima uhondo Bichuka nakuomba kaka
Wapi zamani chini ya mti
Kweli ziwekwe kwenye video angalau vijana wa ckuhizi waijue nakuiheshimu miziki yetu ya asili
bichuka upon juuu
fund na mwalim wa mzik
hanawema usiokucheka
2020 still watching
Bitchuka tafadhali toa album nzima ya nyimbo, tunakukubali sana. Album uite the best of Bitchuka .Big up Bitchuka!
Big Up asante Hassan bi chuka
wimbo mtamu!
Nyinyi wazee vichwa vyenu vilikuwa nani? Wimbo utazani umetoka kwa mungu! Jamaniiiii!
Shylagwa de Balima hapa umepitiliza kusema umetoka kwamungu
Nalia sana niusikiapo wimbo huuu. Nawakumbuka wazazi wangu na marafiki zangu waliotangulia mbele za haki. Dunia haitorudi tena nyuma
Kwn kitu kizuri huwa kinatoka wapi kama si kwangu?.......sasa unashangaa nn?
Vituko vya binadamu zaidi simu ya nyoka! Ukweli kabisa. Ubinafusi umezidi.
Bichuka wee
nice song
Nyimbo yanikumbusha nilipokua darasa la tatu
Yanikumbusha 1980 nikiwa datasa la tatu
hizi zilikuwa mashini
Madini ya sauti
Sawa
ujumbe maridhawa
Wapi Ntoly and Aly kilo 1988 - 1991 Mawenzi sec school
In hatariii
Teethe e wherrrrrttere ewere reseeded
Marian rajabu
Safi sana ujumbe Wa Busala
Napenda sana mziki walika zote
Dah
Nikweli tunaowengi tunaishi Ila siowazur hata
hana wema usimwone kucheka oh, apita akusalimu moyoni akasirikaa!!! &%100 napata raha sana
Nice song!
NYI ZA SIKINDE NI ZA UKWELI NA UJUMBE MZITO SANA NAWAOMBA DDC MLIMANI WAZIFANYIE VIDEO WADHAMINI WATAPATA KWANI ZINAPENDWA NA WENGI MA MTSFUNIKA