Hapa Sikinde iliondokewa na Wanamuziki wake nguli akiwemo Abel Batazary wote hao walishiriki ile MV Mapenzi No 1, Sikinde wasinge kaa vizuri nayo ingekubwa na Kimbunga na kufa” Ndo Wakaja na hii kama kuwapa Dongo wale waliohama”
Mv mapenzi no 1 ni ile sauda na hii ni namba 2 hapo sikinde waliondokewa na kigogo mmoja ambae ni mshiriki mkubwa wa wimbo mv mapenzi no 1 sasa na yy akatoka akaenda uko alipokwenda.akapigwa dongo kwamba pamoja na kwamba ulikuwa kiongozi wetu lakini sisi hatujakwama bado tunaendelea na safari.
Hapo ndipo panadhihirisha ya kwamba mkiwa kama kundi mkipatwa na jambo msitaharuki bari kaeni chini kisha mjipange,kwani hapo ni kundi la watu zaidi ya mmoja tena ni mastaa waliondoka kwa mpigo na kwenda NDEKULE,Yaani kama si ujasiri wa akina Chidumule,Lubua na mzee King mwenyewe hapo SIKINDE ingekuwa marehemu
Asante sana Jibaba, Nimekubali. Wenzangu hebu niambieni ni nani kwenye hiki kikosi cha nyimbo hii?Tumba Jamwaka au Mashka Salum? Namsikia Cosmas Chidumule

Kabisa
Thanks to my father Mike, I know this song. He still listens to it up to now
And the saxophone was also played by Mike Enock RIP
Wazee hukumbuka life is sweet with DDC MILIMANI
Mabaharia tunakuelewa sana Chidumule
Da nakumbuka mbali Sana,wakati huo huniambii kitu Na ngide tulikuwa tunakwenda Na msinga wa kuchezea lumba kigongo bar.
This is when music was music in those times
Nyimbo ya mama yangu Adelaida Ndumbala humtoi hapo❤❤
Histiriq ta huu wimbo ina msisismko sana, sauti ya chidumule ni kama anasimulia taarifa ya safari yao
Inanikumbusha mbali sana
Dah thanx kwa hili song, huu ndo wimbo wa utambulisho wa sikinde
Wapi mwanyawa mwanza na Ndurya mgandi Kinango City
Mv mapenzi no 1 ni ile sauda na hii ni namba 2 hapo sikinde waliondokewa na kigogo mmoja ambae ni mshiriki mkubwa wa wimbo mv mapenzi no 1 sasa na yy akatoka akaenda uko alipokwenda.akapigwa dongo kwamba pamoja na kwamba ulikuwa kiongozi wetu lakini sisi hatujakwama bado tunaendelea na safari.
Hapo ndipo panadhihirisha ya kwamba mkiwa kama kundi mkipatwa na jambo msitaharuki bari kaeni chini kisha mjipange,kwani hapo ni kundi la watu zaidi ya mmoja tena ni mastaa waliondoka kwa mpigo na kwenda NDEKULE,Yaani kama si ujasiri wa akina Chidumule,Lubua na mzee King mwenyewe hapo SIKINDE ingekuwa marehemu
Kabisaaaa mshikamano ndio silaha
Sikiliza gitaa hilo 😀😁😂
Sikiliza na tumba zinavyoita gitaa liingiie khatari Sana 😀😁😂
Baada ya dongo hili Wale waliojitosa baharini nao walijibu wimbo usimchezee chatu..!
Wacha tu!
Wacha! 😂❤❤❤❤
asante sana hapa fresh jumbe mkuu anafanya yake🎤
Yaani kikifika kile kipande Cha nahodha msaidizi kuripoti kwa port control, huwaga nacheka Sana. Ili kweli lilikuwa dongo la maana.
Ndani ya meli kuna nahodha ambaye anakuwa boss wa chombo halafu nahodha msaidizi na anakuja huyu Chief control.
Yaan naioenda san iyo bendi mapenz katka lugha ya mficho cku hiz hakuna kuficha hat watt wanaelewa kinachoimbwa ovyo kbs bongo fleva
Mvmapenz
hapo na msikia ndugu cosmas chidumle siku hizi kawa mlokole.
Mpangilio wa vyombo uko jara kabisa.utamu usioisha
Mnanikumbusha mbali sana jamani da!
Ngoma za baba
Asante sana Jibaba, Nimekubali. Wenzangu hebu niambieni ni nani kwenye hiki kikosi cha nyimbo hii?Tumba Jamwaka au Mashka Salum? Namsikia Cosmas Chidumule
Mzaramo wa maruwi huyo anaitwa Ali Jamwaka Tumba tulia babu
Saxfoni nani kapiga jaman natumba nani naombeni kikosi hiki
King Michael Enoch
Mbiyu Gobo tuma ni Ally Tumba Jamwaka