MIAKA 30 JELA, MTEGO WA MADAWA YA KULEVYA WANASA | HIVI NI KWELI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 629

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 2 роки тому +58

    Nimempenda kijana ana hofu ya Mungu Mashaallah 🥰🥰hongera nyingi kwa wazazi wake🙏

  • @occupeparjesus6768
    @occupeparjesus6768 2 роки тому +11

    Kwa kweli Sanya huendi mbinguni 🤣🤣🤣 hii ya leo imeniuma sana aisee 😭 much love from CONGO 🇨🇩♥️

  • @daniel.shao.9028
    @daniel.shao.9028 2 роки тому +7

    Dogo mcha Mungu sana....yapasa kujifunza hata pale tunapofikwa na mazito Allah pekee ndio kimbilio letu....Hongera sana dogo kwa kumtumainia Mwenyezi Mungu!

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 2 роки тому +47

    Hiki kipindi kimetoa mafunzo mengi sana wazazi tujitahidi kulea watoto wetu katika maadili mema kama huyu kijana badala ya kuanza kubishana ovyo yeye kamkumbuka Mungu kuwa ndiye msaada pekee🙏

    • @dullahmtoo6666
      @dullahmtoo6666 2 роки тому +4

      Kabisa

    • @malikamir9400
      @malikamir9400 2 роки тому +3

      😭😭😭

    • @kajugaa4537
      @kajugaa4537 2 роки тому +5

      Ukishasema Allahu akbaru tayari umemaliza Kama ni Jambo baya kwa kuwa umemuita aliyeumba mema na yasiyo mema basi huwa anaitikia wito na kuwa karibu na wewe na kukisikia kilio chako Allah atujaalie kauli thabiti tupatwapo na Jambo baya

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 2 роки тому +2

      @@kajugaa4537 Ameeen

    • @zuhurahamisi8687
      @zuhurahamisi8687 Рік тому +1

      Ooh Yani mpaka nimelia😢😢😢kama kwer

  • @gordonisaac1467
    @gordonisaac1467 2 роки тому +7

    Sanya unazingua sana mwenetuuu 😂😂😂😂 The boy is very humble n God fearing person 🙏🏾

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 2 роки тому +12

    Mo Sanya uendii mbinguni na uyoo mwanaoo 😭😭 Eeeeh mwenyewezi mung 🙏nisaidiee mjaa wako dah.. anaimanii sana

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 2 роки тому +88

    hakuna zaidi ya Allah ,dogo anamlilia Allah wake amsaidie 😭😭🙏

  • @sicatz9204
    @sicatz9204 2 роки тому +20

    Although I'm not understanding but the story is highly good.more love from US🇺🇲🇺🇲🇺🇲

  • @tajiguapo3743
    @tajiguapo3743 2 роки тому +17

    I'm watching this from America 🇺🇸 i really enjoy this show Mr sanya your so creative much love to all my Tanzanian people 🇹🇿💞

  • @mamyfattykhaleed7709
    @mamyfattykhaleed7709 2 роки тому +7

    Hadi huruma, hizi nyengine si zakufanya fanyeni za kawaida mtakuja kuuwa watu kwa pressure kila mtu na hali yake, mtafuteni uyo kijana mumuongeze hela, Kijana MashaAllah ana hofu ya Mungu

  • @habibmringi9498
    @habibmringi9498 2 роки тому +12

    😭😭😭😭😭😭😭
    Dah!! Wallah dogo alivyoanza kumuomba M/Mungu nimejikuta nadondosha chozi ghafla tu😭😭😭😭😭😭😭.
    N:B
    Sanya cku mkikutana na mwana sheria bobez hawezi kukubali huu upuuzi lazima aruke nanyi tu.

  • @othan_5abdi264
    @othan_5abdi264 2 роки тому +5

    Daaaaaaah Dogo Anamlilia Allah Amsaidie Allah Ndio kila kitu Mpaka Machoz Yamenitoka Jamani😭😭

    • @uislamutv2573
      @uislamutv2573 2 роки тому

      Ndio kabisa yani nimelia

    • @rukkysayid6613
      @rukkysayid6613 Рік тому

      😢😢😢😢Allah Akbar yy ndiyo kila kitu ktk maisha yetu

  • @mpalazotz7753
    @mpalazotz7753 2 роки тому +55

    😭😭😭imenliza pale jamaa anaomba Dua e mwenyezimungu nsaidie unanjua wew

    • @Conshamusic
      @Conshamusic 2 роки тому +1

      Dah! Rayvany akifokewa na diamond kama mtoto mdg👇👇👇
      ua-cam.com/video/s3Z4iLM_TIc/v-deo.html
      ua-cam.com/video/s3Z4iLM_TIc/v-deo.html

    • @habibmringi9498
      @habibmringi9498 2 роки тому +3

      Kila mwenye chembe ya imani lazima alie kipande hichi

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 2 роки тому +1

      @@habibmringi9498 😭😭😭

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 2 місяці тому

    Sanya siku nyingine nenda Kwa masanja,jot,mpok,shishi. Nawapenda sana Hawa watu,kumbuka❤❤❤❤

  • @kitindisultani7200
    @kitindisultani7200 2 роки тому +18

    Amna baya wasafi tv mnafunza japo inaumiza hongereni sana ila inaumiza. Kazi nzuri sanya

  • @ammarsalah5693
    @ammarsalah5693 2 роки тому +11

    Masha Allah I loved the kid he is so humble

  • @zamoyonimaulidmangile7016
    @zamoyonimaulidmangile7016 2 роки тому +14

    Allah Akbar, jamaa imemuumiza sana

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 2 роки тому +19

    Am tz 🇹🇿Masikin kaniliza mpaka mm 😭😭😭kijana ana maadili na malezi mazur naipenda nchi yang MOO SANYA UNGEMPIGA ZA UZO JAPO KILO ELF3O angerudisha nguvu🤩💋❤

    • @AsmaAmeir-l6w
      @AsmaAmeir-l6w Рік тому

      Kweli haswaa kipindi chote kakinogesha dogo

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 2 роки тому +11

    Nimejikuta nalia yarabii😭😭😭😭

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 2 місяці тому

    Kipindi kizuri sana,japo kinaumiza watu wanaofanyiwa Int.❤❤❤🎉🎉🎉

  • @lameckmusamba7960
    @lameckmusamba7960 Рік тому +1

    Sema moh Town una ubunifu sana bro 😅😅😅😅upewe Uwezo kbsa 🇨🇩🇨🇩🇺🇬🇺🇬✌🏻✌🏻🎉

  • @kasimramadhani1502
    @kasimramadhani1502 2 роки тому +11

    Nielimu...ila itafanya wema wasisaidike ..kingine dogo ni mcha mungu sana na ameliza wengi

  • @samybaro3428
    @samybaro3428 Рік тому +1

    Ila nawaapia Wallah Billah Thumma wallah mm Samy baro msanii wa Bob junior Mm kama mm Mtego wenu haunipati Ng'oooooooh Nimeshajua Mbinu zenu zooote #Motown

  • @josephluvanga5233
    @josephluvanga5233 2 роки тому +7

    Bagamboni Wilaya mpya Sanyaaaaa 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼

    • @Conshamusic
      @Conshamusic 2 роки тому +1

      Dah! Rayvany akifokewa na diamond kama mtoto mdg👇👇👇
      ua-cam.com/video/s3Z4iLM_TIc/v-deo.html
      ua-cam.com/video/s3Z4iLM_TIc/v-deo.html

  • @payasstudios92
    @payasstudios92 2 роки тому +2

    Nimelia hii. Mob love from 254!

  • @hemedzahor2002
    @hemedzahor2002 2 роки тому +7

    Mashaallah m.mungu amuepushe na kila la shari inshaallah

  • @Qeek_Smart
    @Qeek_Smart 2 роки тому +7

    That's not fair 😥😥😥 kaka ameniuma huyu😭😭😭 mumlipe vikubwa mmemzalilisha sanaa

  • @Johanah7721
    @Johanah7721 2 роки тому +5

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 masikiiiiiini mtoto wawatu ivi ili wazo mlilitoa wapi nizuri linachekesha Ila Uyu kijana kaniumiza maskin😢😢😢😢

  • @Ibramoref
    @Ibramoref 2 роки тому +6

    this man is talented and educative

  • @abinetymsigwa6317
    @abinetymsigwa6317 2 роки тому +6

    Inaumiza ila zaid inafundisha...hapo ndipo unaamin msaada wa kwel umebaki ni kwa Mungu pekee
    Jamaa walivyo sikia tunakuja kuwabeba wote hawajataka hata kumsaidia mwenzao dogo hapo ndipo anakumbuka nimebaki na Mungu pekeyake😭😭

  • @amanizoamc4384
    @amanizoamc4384 2 роки тому +15

    Kaka MO TOWN Sema Tukupe Mawazo Mtauwa Watu Sijapenda Kaka Sio Poah Wazee😥

  • @barakabenard3140
    @barakabenard3140 2 роки тому +3

    Daaah Sanya we ni muuaji 😁 you killed it bro 💪🏿

  • @maombifranco
    @maombifranco 2 роки тому +4

    Jamani mpk nmelia ila nmempenda huyu kijana anaimani na Mungu wake akita gumu alilololiona mbele yake alimtaja Mungu wake.

  • @joshuayasolo4199
    @joshuayasolo4199 Рік тому +1

    Mwenyewe nimelia sana imeniuma na ,imewahi nitokea pande za Chanika mwisho daah Mungu wangu 🙏🙏🙏😭😭😭😭

  • @mwanguohermanmwasoko3954
    @mwanguohermanmwasoko3954 2 роки тому +1

    This one though,nahisi ikiwa real. It's touching venye jamaa anahurumisha😔😔😔

  • @iankiprotich3111
    @iankiprotich3111 2 роки тому +3

    Nice to hear tz🇹🇿🇹🇿iko freshi barida

  • @aloycemassawe900
    @aloycemassawe900 2 роки тому +3

    Inaumiza sana huyu kijana anamoyo wa Imani sana

  • @mangisenya4012
    @mangisenya4012 2 роки тому +6

    Kwa mimi binafsi sijaridhika kabisa na hii kipindi, nimeumia sana kwakweli. inabidi mumpe kitu cha maana chaku mrudishia imani yakk

  • @mbesseonlinetv5389
    @mbesseonlinetv5389 2 роки тому +3

    Katika video zako zote hii umeuwa masha💯💯💯💯💯

  • @ip_header
    @ip_header 2 роки тому +2

    Elimu ya Uraia inahitajika, inakuwaje mtu anashikwa haulizi hata Kitambulisho cha Police?
    Hapa ndio utajua Tz tunatiisheria kwa uoga na sio kufahamu.
    All in all huyu dogo inaonyesha anahofu ya Mungu, Mwenyezi Mungu amjaalie mwisho mwema!

  • @patrickbin4539
    @patrickbin4539 2 роки тому +8

    Yani leo nimejikuta 😭😭dhuuh!ila kunakitu nimejifunza

  • @nassoroally725
    @nassoroally725 2 роки тому +5

    Unaenda ndaniii centroooo😃😃😃😃

  • @johnsonkibadeni5053
    @johnsonkibadeni5053 2 роки тому +9

    Dogo amenitoa chozi aisee,they are just acting but it happens in real life watu wanabambikiwa sana kesi mtaani 😭😭😭😭

  • @salickrawahy9962
    @salickrawahy9962 2 роки тому +8

    Dah inasikitisha Sana hii video kweli IPO kwenye igizo km mtego lengo ni kichekesho na wengi limewachukiza hili tukio km udhalilishaji lakini hili tukio km ni funzo na somo kwsbb lipo kiuhalishia katika Maisha ya sasa haya mambo yanatokea unakuta mtu unaingia kwenye mattz wala hahusiki so naiomba serekali kesi zengine zifanyiwe uchunguzi wa kina ili kuondokane na uonevu km huu

    • @zuberkalume7053
      @zuberkalume7053 2 роки тому

      Sio kuchukiza hii ni funzo kwa upande mwengine usikubali kila kitu raisi

    • @pko1761
      @pko1761 2 роки тому

      🤣🤣🤣

    • @leonardkapati3125
      @leonardkapati3125 2 роки тому

      Yan badala tuone funzo tunabaki kukosoa tu
      Haya Mambo yako Sana watu wanapenda magar ya bure

  • @ndikumanarodrigue5657
    @ndikumanarodrigue5657 2 роки тому +3

    Dogo dini imekaa!! ManshaAllah

  • @mahongohilunga9067
    @mahongohilunga9067 2 роки тому +4

    Inaniuma napo ona jamaa anaomba sala ya mwisho akijua anaenda jela najikuta nalia mm 😥😥😥😥😥😥duuu

  • @justineinnocent1514
    @justineinnocent1514 2 роки тому +3

    Ama kweli kwenye matatizo huwezi pata msaada wowote angalia jins walivyo mkataa sitaki kuongea mengi ila kiufupi hii imeniumiza sana 😢😢😢

  • @stephenmsanzu9850
    @stephenmsanzu9850 Рік тому +1

    Big lesson sana bro

  • @zuberkalume7053
    @zuberkalume7053 2 роки тому +5

    Kweli umemuuliza Dogo akili hila ni funzo kwa wengine mimi binafsi siwezi msaidia mtu nikaingia ndani ya gari✌️✌️✌️✌️✌️

  • @lambickmanda9125
    @lambickmanda9125 2 роки тому +23

    Inaniumiza sana hii ya leo sijui mnafanyaje ili kumrudisha kwenye ali yake ya kawaida na moyo wake ukunyuke kama awali😭😭😭😭😭😭😭

    • @alphadreammedia
      @alphadreammedia 2 роки тому

      😁😁😁😂😂😂😂😂

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 2 роки тому +1

      Pesa tu akipewa mtezeeee ck imepitaa

  • @talu_kenya
    @talu_kenya 2 роки тому +3

    Hayuko sawa hata kma umesema ni uongo 😭😭😭😭😭💔💔

  • @eastafricaqualitychickenfa9916
    @eastafricaqualitychickenfa9916 2 роки тому +14

    Haya mambo IPO siku mtakuja kuuwa mtu kwa Presha

  • @geofreybahema5118
    @geofreybahema5118 2 роки тому +7

    Jamaa ana hofu na MUNGU kiukwelii ile Allah akbar ni USHINDI TOSHA anajua kila jema na baya MUNGU anabaki mtetezi wake

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 2 роки тому +19

    Kijana wa watu kachoka akili na mwili 🤣🙆siku nyingine hawezi kukubali kuingia kwenye gari la mtu asiyemfahamu

    • @barakatabdul3212
      @barakatabdul3212 2 роки тому +2

      Amepata Bonge la Funzo" atamani Ardhii" ipasuke aingie ndani🤣🤣🤣🤣

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 2 роки тому +1

      @@barakatabdul3212 🤣🤣aisee usiombe ikukute

  • @abdisalanissa6526
    @abdisalanissa6526 2 роки тому +1

    Best prank ever, but dogo katulia sana Masha Allah

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому +14

    NYEI 😪 sijapenda ،kabisa 🤣🤣🤣
    Siku nikiwaona wasafi
    nakimbia
    stk mimi mambo gana ayo🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️

  • @hidayamgeni4938
    @hidayamgeni4938 2 роки тому +16

    sijapenda leo ,,, mbka anatia huruma mwaya😑

    • @abdibilali4186
      @abdibilali4186 2 роки тому +1

      inabidi wamlipe pesa nyingi na anaweza kuwashtaki

  • @abuuyasirshaban9377
    @abuuyasirshaban9377 2 роки тому +6

    Jamani isifike huko dogo ywalia bado mwamfanyia mitani sio freshi hivo... Nkt.

    • @Conshamusic
      @Conshamusic 2 роки тому

      Dah! Rayvany akifokewa na diamond kama mtoto mdg👇👇👇
      ua-cam.com/video/s3Z4iLM_TIc/v-deo.html
      ua-cam.com/video/s3Z4iLM_TIc/v-deo.html

    • @muzafarsharif9465
      @muzafarsharif9465 2 роки тому

      dogo analia but bado wasenge wanaendelea kumfanyia ujinga 😡😡😡😡

  • @mustaphasayyid6740
    @mustaphasayyid6740 2 роки тому +13

    Maisha yanafundisha mengi mno yaweza ukawa sio muhuni, sio mtu wa makundi mabaya, lakn ukakutana na matatizo kam aya na zaidi, Allah tujaalie mwisho mwema sisi tusiojiweza

  • @sundaymwita8228
    @sundaymwita8228 2 роки тому +20

    Huyu dogo hii prank hatowahi isahau maisha yake yote😂😂

  • @Nicholauswilliam-zm8op
    @Nicholauswilliam-zm8op 16 днів тому +1

    Dogo ana hofu ya mungu ,mm ninge wapush hao wote izo mbio ningetoka ni zaidi ya hussein bolt ,

  • @hamisrashidi3413
    @hamisrashidi3413 2 роки тому +2

    Keeping moving sanya

  • @eduwadylelya
    @eduwadylelya 2 роки тому +2

    WCB mmetisha sana

  • @malikdangote2362
    @malikdangote2362 2 роки тому +4

    Jmn anahofu ya mungu nimelitu😭

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 роки тому +13

    Nimejikuta naumia hapo tuu, alipokuwa anamlilia Mwenyezi Mungu wake😭

    • @africamz1762
      @africamz1762 2 роки тому

      Também Não gostei, Fiquei muito triste

  • @esthershaban6103
    @esthershaban6103 2 роки тому +5

    Sijapenda Mumlipe wazazi wake wakiona mnajua kama niwagonjwa wa moyo watakuaje

  • @nassoroally725
    @nassoroally725 2 роки тому +3

    Kijanaaaaa kijanaaaaa daaaah

    • @Conshamusic
      @Conshamusic 2 роки тому

      Dah! Rayvany akifokewa na diamond kama mtoto mdg👇👇👇
      ua-cam.com/video/s3Z4iLM_TIc/v-deo.html
      ua-cam.com/video/s3Z4iLM_TIc/v-deo.html

  • @official_ys
    @official_ys 2 роки тому

    Yooh kitaa flani hapo Kenya nipe like becouse nafagilia Tz citizens one love

  • @michaeltheophile7035
    @michaeltheophile7035 Рік тому

    Big up wazeeee 🎉🎉🎉

  • @frankthegreat2427
    @frankthegreat2427 2 роки тому +3

    Allah Akbar 🙏😭😭😭 it really hurts

  • @masterjay5136
    @masterjay5136 2 роки тому +1

    Sanya shoo la kibabe👊🏽✊🏾🔥....sema nni mtakuja uwa watu kwa presha🤣🤣🤣

  • @linetnyiro9374
    @linetnyiro9374 Рік тому

    Nyinyi nyinyi kaka wawatu anapata tabu lkn namuonea huruma jamani angejua asingesubutu uyo jamaa😢😢😢😢

  • @herisgram
    @herisgram 2 роки тому +27

    Mtakuja kuua watu kwa presha😂

    • @ablahal-balushi3137
      @ablahal-balushi3137 2 роки тому +1

      Kwa kweli

    • @Conshamusic
      @Conshamusic 2 роки тому +1

      Dah! Rayvany akifokewa na diamond kama mtoto mdg👇👇👇
      ua-cam.com/video/s3Z4iLM_TIc/v-deo.html
      ua-cam.com/video/s3Z4iLM_TIc/v-deo.html

    • @abduswamadutuwa699
      @abduswamadutuwa699 2 роки тому

      🤣🤣🤣

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 2 роки тому +3

    Nimejikuta nalia 😭😭😭

  • @goodluckkivuyo6669
    @goodluckkivuyo6669 2 роки тому +1

    Daaaah dogo anatia huruma adi anataka niliza

  • @jadenbarick3061
    @jadenbarick3061 2 роки тому +2

    Unatisha sana Sanya 🔥🔥🔥

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 2 роки тому +27

    Huu ndiyo ukweli wa Africa,watu wanaonewa kwa njia hizi,jambo muna act ndiyo ukweli wenyewe.

    • @berthamahangila4462
      @berthamahangila4462 2 роки тому +2

      Sio Africa tu uonevu upo kila mahala

    • @keifatuke99
      @keifatuke99 2 роки тому +1

      @@berthamahangila4462 Africa wamezidi miye naishi Ulaya huu mwaka 19,una right zako,huonewi mtu,na kama utaonewa unawafungulia mashitaka.

    • @berthamahangila4462
      @berthamahangila4462 2 роки тому +2

      @@keifatuke99 hahhaa inategemea na nchi, izi nchi uonevu upo tena wakiona ww mweusi

    • @keifatuke99
      @keifatuke99 2 роки тому

      @@berthamahangila4462 mimi hajawahi nitokea,ubaguzi upo wa wazi wazi kwa baadhi yao lakini angalau kuna afueni kuliko nchi za Africa

    • @sosom14
      @sosom14 2 роки тому

      Nikweli

  • @qaboossalim47
    @qaboossalim47 2 роки тому +7

    Mnavyofanya sio wazee mnawezaa mkauwaa sometime

  • @elvisbahati243
    @elvisbahati243 2 роки тому

    Wasaf siopowa 😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡

  • @abubakarhassan1915
    @abubakarhassan1915 2 роки тому

    Daah dogo allah akulipe kher yh kwa kukumbuka allah kwenye matatizo yanapo kupata

  • @mangisenya4012
    @mangisenya4012 2 роки тому

    Mungu anawaona

  • @antonio-tv
    @antonio-tv 2 роки тому +2

    Freshi barida to the world 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @DmMichael-mq5if
    @DmMichael-mq5if 5 місяців тому

    HV SANYA UNASOMAGA KWELI KOMENTI WW 😂😂😂😂😂 I YA LEO KALIIII😅

  • @johnsonndilahomba5152
    @johnsonndilahomba5152 2 роки тому +1

    Dah!! Hadi machozi yamenitoka aisee

  • @africamz1762
    @africamz1762 2 роки тому +6

    Na África você ajuda alguém e acaba se metendo em problemas

  • @mylifepurpose
    @mylifepurpose 2 роки тому +15

    Shida ya watanzania tunajifanya mioyo Safi ukiambiwa kitu unafanya mwisho wa siku unaingia kwenye matatizo hii ni funzo Sana japo wameigiza

    • @isombajohn65
      @isombajohn65 2 роки тому +2

      Kabisa

    • @mxodyeddy1200
      @mxodyeddy1200 2 роки тому +1

      Yeah

    • @mwalimumasoudy4699
      @mwalimumasoudy4699 2 роки тому +1

      Yaaah point

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 2 роки тому +1

      Ndo asilii yetuu ukarim bro ..ndo manaa tukaweza kuwa na makabilaa zaid ya 40 na tukaelewana bila tatizo.. kitu icho ambazo nchi NYINGI zimeshindwa mf.rwanda n.k kwaiyo kila taifa Lina asili yao ya tabiaa..

    • @mylifepurpose
      @mylifepurpose 2 роки тому

      @@isombajohn65 ndio Mana tunaweza ingia kwenye hatari bila kujua

  • @ramadhantiba4592
    @ramadhantiba4592 2 роки тому +1

    Ilianza fresh mpaka kufika kati ikawa nzuri sana [ ilitosha pale], lkn mlimkazia sana kijana wa watu huko mbele kitu ambacho sio sawa kabisa, nimebubujikwa na machozi mengi sana juu ya kijana huyu,
    kwa mazingira sasa kijana bado anawadai, kuna kesi muhimu sana hapo, ni funzo zuri sana na mambo hayo hutokea lkn extra miles mlizoenda kwa kijana ndio tatizo lenyewe.

  • @isayleonard6267
    @isayleonard6267 2 роки тому +10

    dah mtakujaaaa uwa watuuu na pleshaaaaaaaaa!!!! KUWENIIII MAKINIIIII NA VIPINDII VYENUUUU😡😡😡😡😡😡😡😡😡

  • @agustinohizza1395
    @agustinohizza1395 2 роки тому +10

    Tanzania nisehemu yakuishi inawajinga wengi sana inabidi inabidi mimlipe pesa nyingi sana kwa mshtuko mliompa nyinyi mnaingiza hela mwenzenu mmempa mawazo maisha yake yote

    • @eashaeasha9776
      @eashaeasha9776 2 роки тому +1

      Sana hiki kipindi kina nikela Sana kina wazalilisha watu na kuwapa mstuko Sana watu wanaweza kuuwa mtu

    • @jacktonjoseph3479
      @jacktonjoseph3479 2 роки тому +1

      @@eashaeasha9776 SASA DADA ANGU KAMA HUKIPENDI HIKI KIPINDI....KWANN UNAKIFATILIA????🤔🤔🤔🤔HIZI NI PRANK.....DUNIA NZIMA ZINAFANYIKA SIO KAMA NI JAMBO JIPYA😅😅😅SEMA WAKIMALIZA HUWA WANAWAPOZA WANA WAPA HELA KIDOGO

    • @abdulazizimohamed3093
      @abdulazizimohamed3093 2 роки тому

      Ningalikuwa mimi nawaburuza mahakamani haiwezekani kumshtukiza mtu hivyo bila hata kumuandaa mwishowe umwambie eti naigiza tu

    • @رقيهالخصيبي
      @رقيهالخصيبي 2 роки тому

      Nikweli kabisa usemacho sio vizuri waliomfanyia

    • @gilbertfuria5817
      @gilbertfuria5817 2 роки тому

      Akipata wanasheria anachukua pesa kama ndugu abiria

  • @abdullahnassor9504
    @abdullahnassor9504 2 роки тому +7

    Sema wazee mtakuja kumuuwa mtu kwakeli ningekuwa mm apo ulipomwita kuongea naye ingekuwa nishasepa mbio nyingi 😂😂😂

  • @ramarite4841
    @ramarite4841 2 роки тому +6

    😂😂😂Afande tunakamata wote waliokuahapo wana wamesepa fasta 🙌

  • @JohnItikija
    @JohnItikija Рік тому

    😮😮😮😮metisha sana😮😮😮😮

  • @directornyambi9888
    @directornyambi9888 2 роки тому +2

    Noma

  • @majaonlinetv3851
    @majaonlinetv3851 2 роки тому +8

    Unyama ni mwingi SEMA daah mmemdharirisha kiasi flani

  • @nutaylakitchen7627
    @nutaylakitchen7627 2 роки тому +12

    Nikukutana na sura ya sanya nakimbia vibaya sana 😢

    • @aashayhakeem
      @aashayhakeem Рік тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 2 роки тому +8

    ndio maana hapa USA kama hakujui hakuna cha lift or kusaidiana.
    Hapo jamaa hatosaidia mtu tena na tatizo ni nyinyi.

  • @Issatayari-q9s
    @Issatayari-q9s Рік тому

    Noma sana

  • @mectilridamartine1498
    @mectilridamartine1498 2 роки тому +1

    Mtaua watu jamaniiii😭😭😭😭

  • @hellenagabriel890
    @hellenagabriel890 Рік тому

    Nimelia sana ila hiki kipindi co poa bali kinafunza 😭😭😭

  • @aishamchuchury703
    @aishamchuchury703 2 роки тому

    Sio vizuri wasenge mnaweza ukaaua watu kumsmae nyie siku mjichanganye kwangu mtakunya kaa la moto