Nakutazama kutoka New Jersey 🇺🇸 sasa hivi, uko na wafuasi wakenya 🇰🇪 wengi sana huku Joti. Lots of ❤️ 😍. Mungu azidi kiwalinda na kuwatunza waigizaji wetu wote kwenye team yako
WE MSENGE utaniua kwa kucheka. Kumanina nimecheka balaa. Sasa kile kipande cha kuona wenzako wamejibadili. Ukaona isiwe tabu, bora na wewe uligalambuwe tu!
Sijawahi kucheka Kama Leo Leo nmefurahi sna aisee hongera sana unastahiri kabisa kuwa comedian Bora Tanzania aisee unajua ww na company yako mungu awazidishie zaidi tuzidi kufurah na sisi hicho n kipaji cyo propaganda.😁😁🤣@Madawa_joti.🤣🤣
Nikiwa bored kazini, I enter on UA-cam one of d videoz nazikuta ni za Joti TV kwa sababu, I watch them often... Ila hii scape plan imeniua afu nikacheka ofisi nzima nikaonekana sina akili... Big up Joti na team yote kazi nzuri... All d way from Mozambique 🇲🇿
East Africa hakuna joti.
MASHAALLAH 🎊🎉🥳🥳👌kipaji kama kipaji,yaani hakuna kufosi
Unajua sana duu mnafikiri sana wajomba
Kama naww umesikia mwamba akisema dan ger gonga like twende sawa joti mbavu zetu tafadhali🤣🤣
😀😀😀😀😀
Hiyo dan ger kamaanisha nini
Team joti tujuane hapa,,nipeni like hata kumi leo cjachelewa saana
Hata mm naona kazingua
MJEGEJE NALELEWA NA SHUGA MAMI👇👇
ua-cam.com/video/DJ-xEXgMXcU/v-deo.html
😂😂😂 ila joti kazi ipoo
We chukua tu like
Escape Plan hatari sanaa...
Polisi wamekula vumbi 😂😂😂😂
Joti on. 🔥🔥 utaira juu ya uchizi aisee nimecheka sana big up 🆙 ila tumemiss KIPANDE na SOPA 💪
Joti udalali wa nyumba anauleta kwenye biashara haramu anafunguka tu😄😄😄😄🤣
😂😂😂
Nakutazama kutoka New Jersey 🇺🇸 sasa hivi, uko na wafuasi wakenya 🇰🇪 wengi sana huku Joti. Lots of ❤️ 😍. Mungu azidi kiwalinda na kuwatunza waigizaji wetu wote kwenye team yako
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇶🇦🇶🇦
Itabdii tutembeleanee aisee nipoo center moriches 🇺🇲 team joti
Itabdii tutembeleanee haha
🤣🤣🤣🤣🤣yani mwanzo nilikuwa naichukulia poa sana ira mwishoni nimecheka kamafara kabisa Joti no1 comediantz
MJEGEJE NALELEWA NA SHUGA MAMI👇👇
ua-cam.com/video/DJ-xEXgMXcU/v-deo.html
Asanteee Sana joti kwakuendelea kutufurahisha 🤣🤣
John ngeke from KIBAHA naombeni like Kama tukopamoja na team joti
Daah nimecheka sana sana joti umejua kujiongeza sana
Kazi mandonga Amekubalika mpaka na Mzee joti mwenyewe 🌟🌟🌟
Jamaa anakwambia Dangeli Yaan Danger...Nishai kajiongeza mwishoni 😂😂🤣 Kapita Na mdundoo 🤣🤣
Hahaha 🤣 hahaha hapo Ndio nimeelewa
Huyo aliesema danger danger ndo kamstua joti kwa ishara zao 😆😆😆
Nipeni like mwenzenu nimecheka hadi nimelia sio kwa ukilema huwo nishai😂😂😂😂😂
WE MSENGE utaniua kwa kucheka. Kumanina nimecheka balaa. Sasa kile kipande cha kuona wenzako wamejibadili. Ukaona isiwe tabu, bora na wewe uligalambuwe tu!
Mwishoni nimecheka mpaka mbavu zimeuma😂😂
Jot umetisha bro🤣🤣🤣🤣🤣
Nimecheka atary
Mwamba huyu hapa😀😀😀
Nimecheka kifala kwaiyo kule mwish ni mandondocha au🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Shukran brother nimecheka sana huwa napenda ukiigiza kama NISHAI.
Jot utaniua na kicheko 😁😁😆😂 nmecheka mpaka machozi!
Kama mimi yani
Eeehhh piece 50 kumbe ni vilema 3 mwanangu hujawahi ni angusha kwa kweli 💯%😂🤣🫵
Huhuuu mnajua kaz , jot timu yako muishi maisha marefu
🤣🤣🤣🤣 hilarious 😂 from Burundi 🇧🇮 9/9
Nishaaaai kikonteeenaaaaaa nakukubali saana broo lakin punguza kutoa vidio unajaza simu yangu brooo
Noma sana yani jot na team yako uwaga mnaniacha hoi kabisa big up sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤝
Mnatak kaz mtu kaz mandonga au!!! Joti n nomaa
Dah yan Mecheka sanaaa dah Jot kibolo😆😆😆😆😆
😂😂😂😂 Joti Mzee wa testa Hadi mirungi testa. Binti Suzy kaupiga mwingi kwenye uteja 😂😂😂🙌🏼🙌🏼
Wanaweza sasa hv tofaut na nyuma wapo vzr sana
😂😂😂😂 umeona eee
😂😂😂😂😂😂😂 Joti ninoma sn 💯🌱👍🏽👍🏽🤙🏼🤙🏼🤙🏼❤❤❤❤❤❤💥💥💥😍
Nakubl big up Joti na team yako!!!
ua-cam.com/video/Pla6c5WGotA/v-deo.html🥰
Kali
MJEGEJE NALELEWA NA SHUGA MAMI👇👇
ua-cam.com/video/DJ-xEXgMXcU/v-deo.html
Daaah nmecheka sana mpaka machozi,joti ni bonge la comedian
Huyo mama kinoma sana , ametisha ile mbaya 🔥🔥🔥🔥🇨🇩243
Joti me mkenya kisii hatari toka Nairobi kasarani mambo freshi bro Chanel yako bomba nmelike nmeshare nmesurbscribe pia……zidi kujituma mambo yako freshi barida
Joti mama ako kazaa nimecheka mpaka sijiwezi 😂😂😂
Komedi ni nzuri na inafundisha pia kuwa biashara za madawa ni haramu na nikosa kufanya biashara kama hiii
Kazi kazi Mandonga joti buanaa
Dan ger yaani danger n hatari apo joti kimbia
Kazi kazi, kazi madonga au🤣🤣🤣🤣
😁😂😂
Kiboko ya comedians ❤️❤️❤️ mingi from kenya
A Kenyan watching you from Doha Qatar
Nice,nga ngaa ngaa haaa, nakuona CEO wa comedy TZ God bless more brother and your team
Ingekua kunasehemu ya comment ya sauti ningecheka sana🤣🤣🤣🤣
We Ni Atali 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
We joti kichwa haina akili lengo utuue, great Brain Sir songa mbele
umetisha
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 jot Leo umenipata🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Really amazing 👍🏻💕💫
Hello
Hahahaa Joti mjinga kweli ,..
Nani kaona kiatu 😀😀😀
Weeee nishai noma sanaaaa
Nakubali sana
Mlawa umetisha babuuu very creative comedy nimecheka Sanaa aisee mpaka boss kanifikuza kazi nimerudi home asubui tyuu
Sijawahi kucheka Kama Leo Leo nmefurahi sna aisee hongera sana unastahiri kabisa kuwa comedian Bora Tanzania aisee unajua ww na company yako mungu awazidishie zaidi tuzidi kufurah na sisi hicho n kipaji cyo propaganda.😁😁🤣@Madawa_joti.🤣🤣
Eti we kama mpishi mnatisha sana.👍👍👍👍❤❤👍👍👍
Ya Leo kali mabosi wamegeuka mazombi😂😂😂
Nishaii Suzy na Kanyinyi mmetisha sanaaaaaa
Nikiwa bored kazini, I enter on UA-cam one of d videoz nazikuta ni za Joti TV kwa sababu, I watch them often... Ila hii scape plan imeniua afu nikacheka ofisi nzima nikaonekana sina akili... Big up Joti na team yote kazi nzuri... All d way from Mozambique 🇲🇿
Nakukubali nishai sijawai kukupinga bba
Dangeri dangeri....kumbe mhuni ana maanisha denja
😂🤣😂🤣😂et mwamba huyu apa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣JOTI JOTI JOTI sikuwezi baba 🙌
daah jamaaa hua anakua na mwanzo mzur na anamaliza vizur big up san bro unatisha🔥
🤣🤣😂😂😂nimecheka mpaka nimekohoa duu
Pole
@@japhetlust5050 Asante mwaya
Jot walidishe Kipande na Sopa na dada yule jaman tumewamisi sana,
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Uwiii mbavu zinauma jamani nimecheka daahhh kweli joti ni noma
Mzee baba daa🤣🤣🤣🤣🤣iyo kali
Sanaa mzee kiboga
Unyama sana
Mzee wa siasa hapa from mbweni
Best Comedian ever 👑
ua-cam.com/video/Pla6c5WGotA/v-deo.html🥰
Code zipo nyingi😀😀😀
Team joti tujuane kwa like
MJEGEJE NALELEWA NA SHUGA MAMI👇👇
ua-cam.com/video/DJ-xEXgMXcU/v-deo.html
🤣🤣🤣🤣🤣..hizo style walizo Ondoka Nazo Sasa...wametisha!!
Now this is creativity..
Yan iko unpredictable..
Safi sana , now you are back
Dah jotti kamalizia vizuri sana nimecheka mpaka nimepiga teke meza ya chakula
Kizaz sana nishai uko vyema mzeee
Si ugundue kua awa ni mapolis
Siku zote joti namkubalia,,😁😁
😁😁😁iyo ending scene kwel umeuwa,..iyo inaitwa Akili kichwani
genius hhh daaah style ya kutoroka mlioitumia ni nouma
Joti is the Best Comedian in East Africa 🔥🔥
🤣 Joti kasoma kodi 😂😂ingia ndani ugeuke kipofu wana sio 😂😂😂😂
Eeeeeh
Yaan katika vomedy zote hii kiboko sanaa
Nakukubali keakazi joti
🤣🤣😂😂😂😂 Alfu nyie acheni usenge nacheka peke yangu kweli
We mtu laana ....hakuna kama we star sana ,na team yako nawakubaliiiiiiii
Nic video best comedy in Tanzania
Nishai bans😂😂😂😂
Hujawai niangusha Jotiiii 🤣🤣😂😂😂
Joti 🤣🤣🤣 one love from Mozambique +258
Kaua bro,💣💥🤣🤣🇰🇪🇮🇹
One love tm jot naomba like
😅😅😅😅😅😅😅jot anduu wangu
Hahaha😹😹😹 miguu ni ponye
Duhhh ..hii nimecheka sanaa🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Daaah kudadeki jot we nouma nimecheka kwa saut peke angu hada machokhaaa 🤣🤣🤣🙌🤣
Joti ni hatri kaka best comedy show
Hongera bro mungu abres kazi yako
Kutoka Kenya huku kwema ila ni kwema zaidi Kwa zenye #full support
Safi Sana wanangu. Ila hapo kwenye mandonga hapo
Khaaaa! Nishai Kama Nishai,,, Nishai Kontena! 😂😂😂😂😂
Police wamepigwa nakitu kizito usoni!😂😂😂
Watching from Toronto...
Aseee mnaua mbavuuu kwaaa kwaaa
Leo wa 26 gonga like hapa
ua-cam.com/video/Pla6c5WGotA/v-deo.html✍️
❣ua-cam.com/video/B7HK6D47VoE/v-deo.html,
Mmmmh jot ww umeshindikana haiseeeh