Mimi siyo mkamilifu mbele za bwana wa majeshi hila huyu mchungaji ni mtu wa mungu hata kwa maneno tu.Mungu akuongoze daima utuombe na sisi tuwe wema tena
Mungu akutie nguvu Mzee Maghembe. Nitakuombea!!!Siku zote nilikuwa napata shida kukuelewa haraka. Leo/Sasa ndo nimekuelewa haraka sana. UAMSHO huja na mimeguko kama hii, wala sio mambo mageni. Shida ya UAMSHO, huwezi kuuzima/kuuziia. ukijaribu kuuzuia tu ndo unapasua kabisa na kuusambaza!!!
Oooh Yesu atunze amani ya moyo wako baba jamani huyo ni roho mt. Asema kweli magembe yupo kiroho watumishi tuache kumuhukumu ni kwamba mch hapendi dhambi kabisaaaaa Mungu akufiche kwa utukufu wake upo sahihi kilichokuondoa tag ni dhambiiiii❤
Mtumish wa mungu Wakiabudiwa ni mungu katika roho na kweli na sio TAG Magembe unaenda viwango Cha juu sasa Mungu mwenyewe atakuwa nawe hakika people are going to be blessed with your decision God bless you 🙏 mchungaji
Baba Mchungqji, kweli kanisa linahitaji uamsho na siyo kujenga dini. Bwana Yesu akure mafunuo makubwa zaidi. I admire your speech and honesty. Natamani kuonana na wewe. Be blesed
Hapo kwenye Uamsho mzee uko vizuri,Kiukweli Sasa hivi Tusipo angalia Makanisa yanaenda kufa Kiroho Maana hâta Ulaya yalianza hivihivi taratibu n'a mwisho pamehalibika sana mpaka ndoa za jinsia Moja zinafungwa Makanisani,
Kahubiri Miaka 50, kipindi cha uzee wake katoa sababu tatu za kutoka...Aisee "makwazo ni kitu kibaya sana" Mungu atusaidie katika maisha yetu sote...tuwe watu wa mahojiano na kuuliza pale tusipoelewa.
Mungu akulinde baba mchungaji napenda sana unavyohubiri na kukaripia mimi najikuta natengeneza njia zangu. Mungu wa mbinguni akuonekania na akuangazie nuru za uso wako na kukupa fadhili na kukulinda siku zote za maisha yako
Mmi niliishi bila mtoto from 2016 ndoa yangu ikavunjika alafu nikaoleka tena 2019 nikakaa bila mtoto on 2020 mwisho nikasema nitaokoka nikaanzaga kufwatilia mahubiri ya pastor harrison nganga let me tell you nyumba yangu nliishi kuskiza yye kwatv till today niyye tuwakati nimetulia namfwatiliaga on 2020 july nikashikamimba nanliamini akiomba nashika bible naomba nayye kwasahii mtoto anaelekea 4 years 2025 april date 19 wale walionfukuza kwandoa yakwanza wananipigia nirudi kwakijana wao after 10 years nahaiwezi jusahiniko nakwangu naniko namtoto wangu nanampenda sana anaitwa jeff nanaamini mungu atanibariki nawatoto wengine wengi 🙏🙏🙏🙏🙏 I HAVE MORE TO SAY BUT ALL IN ALL GOD IS MY strength Neema yabwana itoshee leo nahata milele🙏🙏🙏🙏
MCH songs mbele nimeumia sn watoto wa wachungaji wanapotea dhambini ukiona mtoto wa MCH mwenzako anao moyo wa kumtumikia Mungu ni vzr umtie moyo nakuunga mkono baba na hongera sana Kwa mwanao Mimi naumia mno Kwa ajili ya wachungaji.
pole sana mzee wetu😢, mkulima yoyote anaemfuata yesu huku akiangalia na kugeuka nyuma hafai katika ufalme wake, nenda kamtumikie mungu kwa kadri Mungu alivyokutuma Tunakuombea sana Mungu akutie nguvu ....
Baba uko sawaaaa, songa mbele Mzee wetu.Tunaitaka T.A.G ya zamani,Tunaona mzee.uthibitisho wa nini? Tunakufuata huko huko,twaja baba.Acha jengo lao twende zetu.
Mungu aliponye kabisa lake. Wengine wanahitaji heshima ya Dunia hii. Roho za watu zinapotea tunamuhutaji sana Mungu, Roho wa Mungu ndiye mwenye kanisa tusaidie.
Baba hubiri Injir sio Dhehebu Mimi ni MT,A,G Wewe simamia Injiri kwa kuwa hatufiki mbinguni kwa madhehebu INJIRI IENDELEE MUNGU AKUBARIKI ZAID NILIKUFUATILIA NA NITAKUFUATILIA BABA
T A G poleni sana kwa kumpoteza mchungaji mwenye nguvu na roho mtakatifu ambaye yupo hai,,ni kweli t a g kiroho limepoa tena limepoa sana. Tena kuhusu huyu mchungaji nilikuwa ninamfuatilia ila sikujua kuwa mchungaji wa t a g ,
@@shonejuma3265 kumkosoa Mungu sio vizuri. Kumbuka ili uvae hereni ni lazima utoboe maskio. Mungu angetaka tuvae tungezaliwa teyari tuna matundu maskioni. Mbona pua hatukujitoboa tulikuta tayari pia zina matundu ya kupumulia. Wanawake huwa tunajikuta tunaakili kuliko Mungu ndo maana tuna makorokoro mengi ya kijunga tu
Yeremia alisema nikisema niache kusema kwa Jina La BWANA mwilini mwangu nasikia kama moto,baba nenda kaseme kama Mungu alivyokuagiza la sivyo utasikia unaunguzwa na huo ujumbe usikubali kuungua Mtumishi wa Mungu sema sema sema na Mungu atakuwa pamoja nawe.
Ukahaba na ukomedi umejaa kwa walokole na udunia mwingi nawale wasio na roho wa Yesu ukihubiri kweli tu wewe umekuwa adui kwahiyo magembe hata hivyo umechelewa sana kutoka hongera pia hujachelewa
Kanisa ni moja , takatifu, katoliki (la ulimwengu wote) , la mitume na alilolianzisha Yesu mwenyewe na atarudi na kulikuta.. Yesu hawezi kuanzisha kanisa litakalokufa au kubadilishwa na kuwa vipande pande!
Unaweza kunieleza maana ya kanisa!? Au unafikiri kanisa ni dhehebu ama jengo!? Unajua maana ya neno katoliki? Kanisa la Roma lilichochora karne nyingi walichobakinacho ni taasisi tu kwa kivuli cha kanisa. Na wanayoyafanya hayana uhusiano wowote na Yesu kristo. Ndiyo sababu limejaa mafundisho ya uongo bila utetezi yakinifu wa neno la Mungu (biblia)
@RubenMtuwaMungu-bz8ee mafundisho gani ya uongo, inaonekana umerithi chuki toka kwa waanzilishi ya "madhehebu" yenu . Kanisa katoliki sio dhehebu bali ni kanisa, alilolianzisha Yesu kupitia mitume wake, sijui maana ya dhehebu, Maana ya Catholic ni ulimwengu mzima.. Kanisa Katoliki sio Roma tu, bali ulimwengu mzima, Kuna Coptic Catholic, kuna Bulgaria Catholic, Ethiopia Catholic, na yote ni Catholic ileile interms of Traditional, teaching, beliefs, morality etc.. kanisa moja!! Dunia nzima, under one authority, the pope, authority aliyoianzisha Yesu mwenye, kupitia Petros, Mwamba ambao hautatikiswa na pepo za kuzimu milele, Hilo kanisa lako ni lipi, isipokuwa limeanzisha juzi baada ya karne ya 16
Shetani yuko busy jamani watu tunamtumikia Mungu kwenye kweli , hawatutaki, viongozi wengi wameshachotwa na shetani… ila Mchungaji Magembe Mungu yupo na wewe
Tokeni katikati Yake , msishiriki dhambi Zake Msije mkapokea kw mapigo yake. Recommendation pst God is with you 100% take that straight choice Yesu c wa kanisa Fulani pia your height ni ya kupea na rich heavenly food universally
Tunakuombea Mtumishi wa Mungu huu ndio mwisho wa nyakati na unabii ya kuwa mtumishi wa kweli waMungu watajulikana mtumikie Bwana maadam yuko ndani yako na sio ndani ya dhehebu tupe namba zako mtumishi wa Mungu
Chapa Kazi baba Angu, mbinguni hamna madhehebu thank God
ameni ameni ameni
For sure
Mimi siyo mkamilifu mbele za bwana wa majeshi hila huyu mchungaji ni mtu wa mungu hata kwa maneno tu.Mungu akuongoze daima utuombe na sisi tuwe wema tena
Mungu akutie nguvu Mzee Maghembe. Nitakuombea!!!Siku zote nilikuwa napata shida kukuelewa haraka. Leo/Sasa ndo nimekuelewa haraka sana. UAMSHO huja na mimeguko kama hii, wala sio mambo mageni. Shida ya UAMSHO, huwezi kuuzima/kuuziia. ukijaribu kuuzuia tu ndo unapasua kabisa na kuusambaza!!!
The real servant of God, we are together 💪
Wakristu Mungu aturehemu tu..Mzee Mungu akulinde..piga vita vyema na uvimalize salama.
Jamani tunaenda wapi huyo mtoka mbali uongozi utamshinda, huyu baba magembe yuko vizuri
ameni ameni ameni
Oooh Yesu atunze amani ya moyo wako baba jamani huyo ni roho mt. Asema kweli magembe yupo kiroho watumishi tuache kumuhukumu ni kwamba mch hapendi dhambi kabisaaaaa Mungu akufiche kwa utukufu wake upo sahihi kilichokuondoa tag ni dhambiiiii❤
Mungu akutunze mzee magembe siku zote simama kwenye ukweli
ameni ameni ameni
Mtumish wa mungu
Wakiabudiwa ni mungu katika roho na kweli na sio TAG
Magembe unaenda viwango Cha juu sasa Mungu mwenyewe atakuwa nawe hakika people are going to be blessed with your decision
God bless you 🙏 mchungaji
Mungu✅ mungu ❌
ameni ameni ameni
Na mimi nimeona huyu mzee mafundisho ya ke ni ya SDA kabisa
❤❤❤❤❤ Mtumishi wa Mungu Hakika Mungu Akutetee Mchungaji Magembe
Uko Sahihi! Sasa hivi Mchungaji Anayekemea Dhambi Hapendwi
Kabisaaaa wanataka miujiza ya mwamposa t
Don't be worried my Pastor God is with you.
Blessed the man of God, hakika una hekima itokayo kwa MUNGU.
Pole mtumishi,Mungu Yuko pamoja nawe,adui anapiga sana kanisa,tag amkeni na mtubu, Yesu Kristo anakuja.😢
Nimeumizwa sana Mungu akutiee nguvu baba. Tutakuombea
MUNGU AKUBARIKI sana BABA Mchungaji Moses MAGEMBE 🙏🏾
Ubarikiwe sana👏🏾👏🏾👏🏾 ENDELEA KUSEMA ……YESU ABATUDI🫡…..
Baba upo vizuri simamia kile Mungu anakuongoza ni siku za mwisho ukweli huwa watu hawaupendi Yesu akulinde mzee
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu. Endelea kuhubili kweli ya Mungu..!!
Hii imeniumiza sana aseeee,Mungu akutunze sana mtu wa Mungu
Baba Mchungqji, kweli kanisa linahitaji uamsho na siyo kujenga dini. Bwana Yesu akure mafunuo makubwa zaidi. I admire your speech and honesty. Natamani kuonana na wewe. Be blesed
ameni ameni ameni
Mchungaji,, umebeba maono makubwa!! Mungu atakuinua kwa viwango vya juu!!
Hapo kwenye Uamsho mzee uko vizuri,Kiukweli Sasa hivi Tusipo angalia Makanisa yanaenda kufa Kiroho Maana hâta Ulaya yalianza hivihivi taratibu n'a mwisho pamehalibika sana mpaka ndoa za jinsia Moja zinafungwa Makanisani,
ukiona kuna uamsho ujue tayari makanisa yalishakufa siku nyingi sana na ndio maana Mungu ameleta uamsho ili kuamsha roho zilizokufa,
Kahubiri Miaka 50, kipindi cha uzee wake katoa sababu tatu za kutoka...Aisee "makwazo ni kitu kibaya sana" Mungu atusaidie katika maisha yetu sote...tuwe watu wa mahojiano na kuuliza pale tusipoelewa.
Mungu akulinde baba mchungaji napenda sana unavyohubiri na kukaripia mimi najikuta natengeneza njia zangu. Mungu wa mbinguni akuonekania na akuangazie nuru za uso wako na kukupa fadhili na kukulinda siku zote za maisha yako
ameni ameni ameni
Mmi niliishi bila mtoto from 2016 ndoa yangu ikavunjika alafu nikaoleka tena 2019 nikakaa bila mtoto on 2020 mwisho nikasema nitaokoka nikaanzaga kufwatilia mahubiri ya pastor harrison nganga let me tell you nyumba yangu nliishi kuskiza yye kwatv till today niyye tuwakati nimetulia namfwatiliaga on 2020 july nikashikamimba nanliamini akiomba nashika bible naomba nayye kwasahii mtoto anaelekea 4 years 2025 april date 19 wale walionfukuza kwandoa yakwanza wananipigia nirudi kwakijana wao after 10 years nahaiwezi jusahiniko nakwangu naniko namtoto wangu nanampenda sana anaitwa jeff nanaamini mungu atanibariki nawatoto wengine wengi
🙏🙏🙏🙏🙏 I HAVE MORE TO SAY BUT ALL IN ALL GOD IS MY strength
Neema yabwana itoshee leo nahata milele🙏🙏🙏🙏
Niombee my Dear! Mungu nikumbuke.
Mimiaoni yangu baba nilikuwa naomba unyamaze sàsa fanya KAZI baba nakusihi sanaaaaa imefanya jambo muhimu sana kuachana na tag
❤❤❤❤
Namshukuru Mungu wa mbinguni kwa ushuhuda wako, hakika ni wakutia nguvu na matumaini,
halleluia utukufu kwa Bwana Wamajeshi.
Hongera sana
Wewe baba yangu unaekima za kimbingu,MUNGU akulinde siku zote za maisha yako.
A MAN OF GOD MAGEMBEE
MCH songs mbele nimeumia sn watoto wa wachungaji wanapotea dhambini ukiona mtoto wa MCH mwenzako anao moyo wa kumtumikia Mungu ni vzr umtie moyo nakuunga mkono baba na hongera sana Kwa mwanao Mimi naumia mno Kwa ajili ya wachungaji.
Baba yetu fanya kazi ya Mungu aliyokuitia kuachana na Dini siyo kuasi Wala sio shida kikubwa timiza kusudi la Mungu alilokuitia.
Aminaa mtumishi wa Mungu sema kweli
sema kweli uliyoitiwaaaaa
Mbinguni hutaulizwa ulikuwa usali wapi
Mungu wa mbinguni akutunze Mzee wangu❤
Amina mtumishi siku hizi wasema ukweli wanapigwa vita hata mm nimetoka kwenye dhehebu langu.
Mungu akubaliki baba yangu fanya kazi ya Mungu bila kujali nani na nini anasema
Safi sana baba piga kazi baba Mungu akubariki
pole sana mzee wetu😢, mkulima yoyote anaemfuata yesu huku akiangalia na kugeuka nyuma hafai katika ufalme wake, nenda kamtumikie mungu kwa kadri Mungu alivyokutuma
Tunakuombea sana Mungu akutie nguvu ....
Nimependa ujumbe wako ukabarikiwe
Asante kwakutuwakilisha wakina Moses.
Hongera ni Baba wa mbinguni ame kutoa Baba Magembe ni mteule
Umefanya jambo jema sana 🙏🙏🙏
Mungu aendelee kukulinda na ukupe maisha marefu. Mungu akupe mwisho mzuri. Ubarikiwe, na endelea kupiga injili Baba.
Ubarikiwe kwa hekima ulio itumia yesu akulinde
Yesu✅ yesu❌
Ni kweli kanisa la sasa limekufa. Mungu atusaidie. Yanayofanyika ndani ta kanisa Mungu anajua
Huna nakupenda na nakuamini mch magembe mungu akubariki
Babu uposahii ,ata bwanayesu alikataliwa, shetani ameivamia TAJ wao hawajaona MUNGU wambinguni akulinde kwa jina la Yesu kristo amina
sio TAJ ni TAG
Mimi najua Yesu kristo anasema ktk marko yakua, aaminie na kubatizwa ataokoka. Sio ili uwe umeokoka basi uwe dhehebu fulani nooo. Tunapotoshana
Umefanya maamuzi sahihi mtumishi wa Mungu
Usiogope
Mungu uliye nae ni mkuu sana atakupigania
Baba uko sawaaaa, songa mbele Mzee wetu.Tunaitaka T.A.G ya zamani,Tunaona mzee.uthibitisho wa nini? Tunakufuata huko huko,twaja baba.Acha jengo lao twende zetu.
Songa mbele Mungu akusaidie tulikupenda san umetuacha huku tutakukumbuk huk
Songa mbele baba ukalitimize kusudi la Mungu aliloweka ndani yako.
Petro akasema imetupasa kumsikiliza Mungu na si wanadamu.
Gud baba tunakupenda sana kwa msimamo wako
mimi ni miongoni mwa vijana wako pastor
Mungu aliponye kabisa lake.
Wengine wanahitaji heshima ya Dunia hii.
Roho za watu zinapotea tunamuhutaji sana Mungu, Roho wa Mungu ndiye mwenye kanisa tusaidie.
ameni ameni ameni
Mungu akubaliki baba,unasema kweri ,sema yenye Mungu amekutuma baba ,sema,sema
Tunakuombea baba, Mungu akutunze.
Ubarikiwe mchungaji tuko pamoja uyasemayo ni kweli
Amen 🙏 Mungu akutie nguvu mtumishi
May the Grace of the Lord upon with you baba
Mtumishi Yesu anakuja Mungu amekwepusha ,na ibada ya sanamu,
Baba hubiri Injir sio Dhehebu Mimi ni MT,A,G Wewe simamia Injiri kwa kuwa hatufiki mbinguni kwa madhehebu INJIRI IENDELEE MUNGU AKUBARIKI ZAID NILIKUFUATILIA NA NITAKUFUATILIA BABA
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana Moses M.
Mungu tusaidie katika kukutumikia siku zote
T A G poleni sana kwa kumpoteza mchungaji mwenye nguvu na roho mtakatifu ambaye yupo hai,,ni kweli t a g kiroho limepoa tena limepoa sana. Tena kuhusu huyu mchungaji nilikuwa ninamfuatilia ila sikujua kuwa mchungaji wa t a g ,
Tag imepoa Sawa je nisaidie kujua lenye moto kwa maana hata yeye alikuwa Tag na waumini wa kanisa lake tunawajua,Karibu.
@@michaelpaul2237imepoa kwa kumkosoa huyu mtumish walitaka ahubir sadaka Na miujiza Na kubatizwa maji mengi😂😂😂😂😂
Hawatopata tena
Mungu akubariki mtumishi tuko pamoja
Mtumishi wa Mungu Magembe kanisa lako wanawake wanavaa wigi herini kichwa wazi makucha bandia na kadhalika
Wapi imeandikwa usivae hereni na mawigi kwahiyo wewe huvai saa 😂😂acheni ujinga wa kutafsiri maandiko mnavyotaka nyiee
Ni kwasababu alikuwa TAG asingeweza kuwaambia waache wakati TAG wamekubaliana wasiwakataze wanawake. Ndo maana kajitoa
@ wapi biblia imekataza kuvaa urembo au mnasoma biblia na kutafsiri mnavyotaka
@@shonejuma3265 kumkosoa Mungu sio vizuri. Kumbuka ili uvae hereni ni lazima utoboe maskio. Mungu angetaka tuvae tungezaliwa teyari tuna matundu maskioni. Mbona pua hatukujitoboa tulikuta tayari pia zina matundu ya kupumulia. Wanawake huwa tunajikuta tunaakili kuliko Mungu ndo maana tuna makorokoro mengi ya kijunga tu
@@sarahmwasyoge1830kwahiyo mwanadamu aliumbwa na mavazi?
Mungu akubaliki baba
Nabarikiwa sana na mahubiri yako baba Mimi naspoti kaulu yako kuwa kanisan limekufa tulivuokuwa sivyo kabisa
Chapa kazi ya MUNGU mchungaji wa kweli
MUNGU akulinde baba endelea kuubiri Kweli ya Mungu 🙏🏿
Baba mimi ni mkatoliki ,ila nakupenda sana ,mafundisho yako yamenifungua sana yesu akutunze
@@anjelinamwinga Haleluya Haleluya ubarikiwe Tumtaje Mfalme wa Utukufu Yesu kwa herufi kubwa mpendwa
@@LucyKapinga-fg4dkkikubwa Umeielewa haya ni maanishi tu tena tumefundishwa na wazungu Hata jina lake halikushushwa kwa kiswahil
Nenda ukapige kazi mzee wetu na Mungu atakutangulia
Kutoka rwanda 🇷🇼 tunakupenda Mzehe Moses
Hongera sana Mzee huo ni ushindi
Ameongea kwa hekima kubwa,akili nyingi na maarifa👏👏🤝🤝🤝
Mungu analiandaa kanisa toka mungu akutangulie
Kuna watu wanaabudu majina ya dini,Maghembe you are strong enough, na wana elimu za juu lakni wamepigwa upofu na mpinga kristo.Jesus is coming soon.
Yeremia alisema nikisema niache kusema kwa Jina La BWANA mwilini mwangu nasikia kama moto,baba nenda kaseme kama Mungu alivyokuagiza la sivyo utasikia unaunguzwa na huo ujumbe usikubali kuungua Mtumishi wa Mungu sema sema sema na Mungu atakuwa pamoja nawe.
Daa Mungu atusaidie sana
Ukahaba na ukomedi umejaa kwa walokole na udunia mwingi nawale wasio na roho wa Yesu ukihubiri kweli tu wewe umekuwa adui kwahiyo magembe hata hivyo umechelewa sana kutoka hongera pia hujachelewa
Saa nyingine Mungu anakuweka hapo mpaka mda anaotaka utoke ndio unatoka ukute alikuwa ajapata Ruhusa za Roho Mtakatifu
Mchungaji karibu kwa wasabato iendelee kusema ukwel watu waponeee jamn Tunakuombea Afya njema uendelee kusem ukwel watu wamjuie Yesu
Wasabato ndo nini
@@ChanilaKitwima-zc6koet wasabato ndo nini 😂🤣🤣 wenyewe tu ukiwauliza msingi wa kusali kila jumamosi wayahudi walianza lini hata hawaelewi 🤣
MUNGU akutumie mzee zaid na zaid
Pole sana Baba Mchungaji
Weka mungu mbele yengine Niya muda
Kanisa limekufa madhahu zinachezewa mtumishi uko sahihi kabsa
Mungu akutie nguvu huko unakoenda kutumika hata neno la Mungu linasema kuwa ulimwenguni mnayo dhiki lakini Jipeni moyo
ameni ameni ameni
Mungu akutunze magembe
Kanisa ni moja , takatifu, katoliki (la ulimwengu wote) , la mitume na alilolianzisha Yesu mwenyewe na atarudi na kulikuta.. Yesu hawezi kuanzisha kanisa litakalokufa au kubadilishwa na kuwa vipande pande!
Unaweza kunieleza maana ya kanisa!? Au unafikiri kanisa ni dhehebu ama jengo!? Unajua maana ya neno katoliki? Kanisa la Roma lilichochora karne nyingi walichobakinacho ni taasisi tu kwa kivuli cha kanisa. Na wanayoyafanya hayana uhusiano wowote na Yesu kristo. Ndiyo sababu limejaa mafundisho ya uongo bila utetezi yakinifu wa neno la Mungu (biblia)
@RubenMtuwaMungu-bz8ee mafundisho gani ya uongo, inaonekana umerithi chuki toka kwa waanzilishi ya "madhehebu" yenu . Kanisa katoliki sio dhehebu bali ni kanisa, alilolianzisha Yesu kupitia mitume wake, sijui maana ya dhehebu,
Maana ya Catholic ni ulimwengu mzima.. Kanisa Katoliki sio Roma tu, bali ulimwengu mzima,
Kuna Coptic Catholic, kuna Bulgaria Catholic, Ethiopia Catholic, na yote ni Catholic ileile interms of Traditional, teaching, beliefs, morality etc.. kanisa moja!! Dunia nzima, under one authority, the pope, authority aliyoianzisha Yesu mwenye, kupitia Petros,
Mwamba ambao hautatikiswa na pepo za kuzimu milele,
Hilo kanisa lako ni lipi, isipokuwa limeanzisha juzi baada ya karne ya 16
@@RubenMtuwaMungu-bz8ee maana ya kanisa ni wamoja katika Kristu, sio matawi mia 3 katika Kristu..
Aisee Mungu akutetee Baba
Mtumishi zapa kazi Mimi nimekuerewa
Ubarikiwe kwa maamuz sahihie
Ubarikiwe umeshinda
Mungu akubariki🔥🙏
Much.mungu awe pamoja name ktk Hilo wengi nyuma nyuma yako
TAG ni kanisa langu la kuokoka nkiwa 4m1 mwaka2010 nalipenda kanisa nampenda magembe ❤
Mchungaji nimekuelewa sana rasmi naanza kukufuatilia!!
Mungu yupo nawe Mchungaji
Yes anarudi tene hakawii ,angalieni ,mto Frat ,umekauka ,angalieni kwenye Yutub
Shetani yuko busy jamani watu tunamtumikia Mungu kwenye kweli , hawatutaki, viongozi wengi wameshachotwa na shetani… ila Mchungaji Magembe Mungu yupo na wewe
Tokeni katikati Yake , msishiriki dhambi Zake Msije mkapokea kw mapigo yake. Recommendation pst God is with you 100% take that straight choice Yesu c wa kanisa Fulani pia your height ni ya kupea na rich heavenly food universally
Mungu yupo na wewe mzee magembe
TAG ni shida kubwa sana
Mzee kwa ujumla wewe n mwanasheria unaeongozwa na roho mtakatifu kwa hiyo awatakuweza vita yako unapiganiwa na Mungu.
Tunakuombea Mtumishi wa Mungu huu ndio mwisho wa nyakati na unabii ya kuwa mtumishi wa kweli waMungu watajulikana mtumikie Bwana maadam yuko ndani yako na sio ndani ya dhehebu tupe namba zako mtumishi wa Mungu
Nimekupenda baba Mimi Niko nyuma Yako nikweli kwa hayo uliyonena kanisa limekufa Tena limeoza