KANISA TAG KUPOTOKA CASSIAN ALIONYA NA ASIKOFU MTOKA MBALI EV PASCHAL CASSIAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 917

  • @uwezoseleman5530
    @uwezoseleman5530 Місяць тому +13

    Uamsho wa TAG hauleti mabadiriko kiroho, wana TAG ni mashahidi kwakweli baada ya uamsho tunabaki kama tulivyo, uamsho halisi tunatakiwa tulirudie neno na tuyaache yale yasiyo adili. Tumeongeza tu masherehe na maadhimisho mengi ya vikundi vya kanisani kwa lengo la kuwanufaisha wachungaji tu. Pastor Magembe Mungu akuweke mpaka uuone wakovu ktk TAG Amen🙏

    • @stevetobsmedia
      @stevetobsmedia Місяць тому

      unafanya jambo zuri sana kuhubiri Mtumishi wa Mungu na tunafurahishwa na mahubiri yako kama roho za watu zinaponywa ila unapomtaja kiongozi yeyote wa taasisi yeyote ile hakikisha una fact za kusema maana bila kua na fact uta haribu moja picha za nyimbo ulizotumia kuunganisha kwenye video siyo za siku ya maadhimisho yaliyofanyika uwanja wa uhuru ni sherehe za vijana zilifanyika iringa nakuwekea link hizi ili upate cha kuongeza kwenye mahubiri yako ili ubalance mahubiri yako usitafute tu kukemea bila kua na uhakika na unachokisema kwa maana mbiu ya uamsho inapigiwa parapanda na bishop mtoka mbali na anafanya ivyo kwa makanisa yote ya CPCT sio TAG pekee naomba kwa unyenyekevu usimtamke Askofu kama unaongea na mtoto mdogo wakati uhakika wa unachokisema hauna sio kwa ubaya ila kujenga ufalme kama una hubiri kweli ya kristo Mungu akupe neema ya kujua hili fanya tafiti.
      1. ua-cam.com/video/fJawvWhwJf4/v-deo.htmlsi=eQUmOkg4jQnj0zCy
      2. ua-cam.com/video/xDXPSDIu948/v-deo.htmlsi=wvjId9xByV4TyDuS
      3. ua-cam.com/video/rEoUMUaYmMs/v-deo.htmlsi=zPNS49oPFVaH7wwV
      Haya ni mahubiri ya askofu Mtokambali na ni jinsi gani anapambana na dhambi ni jinsi gani anaugua kwa dhambi tafadhari sana usitumie mahubri vibaya kusimanga watu mualike roho mtakatifu akupe ujumbe wa kusema sio kupotosha na kutafuta views ili upate pesa brother tubu ukaione mbingu maana shetani ni baba wa uongo.

  • @justerkamala3933
    @justerkamala3933 Місяць тому +10

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu 🎉kwakuendelea kuitetea injili ya kweli ktk kristo Yesu

  • @The-Sword-Of-Endtimes
    @The-Sword-Of-Endtimes Місяць тому +19

    Amen 🙏 ubarikiwe Sana Ndugu yangu katika KRISTO YESU.Sema kweli YESU yupo pamoja nawe🙏🙏🙏🥺🥺

  • @rosemarymwanitega7926
    @rosemarymwanitega7926 Місяць тому +19

    Yaani mchungaji Moses Magembe Mungu ampe maisha marefu na azidi kumtia nguvu

    • @erickmutungi8792
      @erickmutungi8792 Місяць тому +2

      AMINA KUBWA!

    • @user-sh8xp5dn3w
      @user-sh8xp5dn3w Місяць тому +5

      Amen, Ni mchungaji wangu mimi hapa majumba sita … Tunamtukuza MUNGU kwa ajili yake

    • @user-un2td1no5f
      @user-un2td1no5f Місяць тому

      Yaani kwa kweli Mungu amuweke Moses Magembe​@@user-sh8xp5dn3w

  • @estonmnthali3719
    @estonmnthali3719 Місяць тому +37

    Yes mzee magembe ana hubiri injiri ya kweri

  • @user-mq5cg3me9h
    @user-mq5cg3me9h Місяць тому +2

    Nakushukuru Mungu kwa kuwa umeamua kusema Tena na mtumishi huyu, maana Baba yetu mpendwa Zakary Kakobe alipafundisha SoMo la Mavazi ya kikahaba hata wapentekosye walimpinga, Asante Roho mtakatifu kwa kuwa unazidi kuwatumia hata hawa waliokaa kimssasya kulirekebisha kanisa ktk nyakati hizo za kumaliza. , Watumishi wa Mungu sikieni

  • @ndavadumayai4250
    @ndavadumayai4250 Місяць тому +5

    Mungu akubariki Paschal ni kweli TAG ipo pabaya sana sema kiburi cha uzima kinalidanganya kanisa,😢😢😢

    • @amaniabel952
      @amaniabel952 Місяць тому +1

      Hivi nini kigezo cha kwako mtumishi mzur kabisaa kuanza kuhukumu etie wana kiburi ??

    • @PaulMwenda-w9v
      @PaulMwenda-w9v 29 днів тому

      Jiangalie na weeeee kwanza

  • @lukasemmanuel4614
    @lukasemmanuel4614 Місяць тому +2

    Amina utukufu kwa Bwana Yesu Kristo
    Yesu Kristo mwenyewe alisema kwamba yeye aniaminiye na kufanya mapenzi ya Mungu hawezi kupotea milele

  • @emmanuelmwalembe-yd1cz
    @emmanuelmwalembe-yd1cz Місяць тому +5

    Amina mkuu,Mungu azidi kukusaidia na kukutia nguvu kwa ajili ya kazi hii ya utumishi

  • @IRENEGRACEFORD
    @IRENEGRACEFORD Місяць тому +13

    Uweza wa Yesu kristo ukifunike sana mtumishi wa Bwana.
    Maana injili yako ni kama ya mitume walivyochukiwa kwa sababu ya ukweli.
    ENDELEA KUONYA NA KUKEMEA NA KUELEKEZA KWA JINA LA YESU KRISTO.

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz Місяць тому

      MUNGU akubaliki nikweli TAG nichangamoto wakezao. Niviongozi nivio lakini 😢😢😢

    • @EmmanuelKiula
      @EmmanuelKiula Місяць тому

      😂😂😂😂😂, ......!!!!!!

  • @christopherkaroli9365
    @christopherkaroli9365 Місяць тому +17

    Mungu atusaidie sana shetani anazidi kuyateka makanisa

    • @stevetobsmedia
      @stevetobsmedia Місяць тому

      unafanya jambo zuri sana kuhubiri Mtumishi wa Mungu na tunafurahishwa na mahubiri yako kama roho za watu zinaponywa ila unapomtaja kiongozi yeyote wa taasisi yeyote ile hakikisha una fact za kusema maana bila kua na fact uta haribu moja picha za nyimbo ulizotumia kuunganisha kwenye video siyo za siku ya maadhimisho yaliyofanyika uwanja wa uhuru ni sherehe za vijana zilifanyika iringa nakuwekea link hizi ili upate cha kuongeza kwenye mahubiri yako ili ubalance mahubiri yako usitafute tu kukemea bila kua na uhakika na unachokisema kwa maana mbiu ya uamsho inapigiwa parapanda na bishop mtoka mbali na anafanya ivyo kwa makanisa yote ya CPCT sio TAG pekee naomba kwa unyenyekevu usimtamke Askofu kama unaongea na mtoto mdogo wakati uhakika wa unachokisema hauna sio kwa ubaya ila kujenga ufalme kama una hubiri kweli ya kristo Mungu akupe neema ya kujua hili fanya tafiti.
      1. ua-cam.com/video/fJawvWhwJf4/v-deo.htmlsi=eQUmOkg4jQnj0zCy
      2. ua-cam.com/video/xDXPSDIu948/v-deo.htmlsi=wvjId9xByV4TyDuS
      3. ua-cam.com/video/rEoUMUaYmMs/v-deo.htmlsi=zPNS49oPFVaH7wwV
      Haya ni mahubiri ya askofu Mtokambali na ni jinsi gani anapambana na dhambi ni jinsi gani anaugua kwa dhambi tafadhari sana usitumie mahubri vibaya kusimanga watu mualike roho mtakatifu akupe ujumbe wa kusema sio kupotosha na kutafuta views ili upate pesa brother tubu ukaione mbingu maana shetani ni baba wa uongo.

  • @IsakaKiyalo-s3v
    @IsakaKiyalo-s3v Місяць тому +1

    Asante mtumishi kwa kutukumbusha kweli ya mungu kuwa mungu anataka nini kweli watumishi wa sikuhizi tunafanya injili kimzaa sana

  • @evangelistpetropiason6202
    @evangelistpetropiason6202 Місяць тому +13

    Chapa injili kamanda huo ndio wito ulioitiwa barikiwa sana

  • @sylvestercharles3585
    @sylvestercharles3585 Місяць тому +9

    Nakubaliana na wewe Cassian, mwenyezi Mungu azidi kukutumia.

    • @stevetobsmedia
      @stevetobsmedia Місяць тому

      unafanya jambo zuri sana kuhubiri Mtumishi wa Mungu na tunafurahishwa na mahubiri yako kama roho za watu zinaponywa ila unapomtaja kiongozi yeyote wa taasisi yeyote ile hakikisha una fact za kusema maana bila kua na fact uta haribu moja picha za nyimbo ulizotumia kuunganisha kwenye video siyo za siku ya maadhimisho yaliyofanyika uwanja wa uhuru ni sherehe za vijana zilifanyika iringa nakuwekea link hizi ili upate cha kuongeza kwenye mahubiri yako ili ubalance mahubiri yako usitafute tu kukemea bila kua na uhakika na unachokisema kwa maana mbiu ya uamsho inapigiwa parapanda na bishop mtoka mbali na anafanya ivyo kwa makanisa yote ya CPCT sio TAG pekee naomba kwa unyenyekevu usimtamke Askofu kama unaongea na mtoto mdogo wakati uhakika wa unachokisema hauna sio kwa ubaya ila kujenga ufalme kama una hubiri kweli ya kristo Mungu akupe neema ya kujua hili fanya tafiti.
      1. ua-cam.com/video/fJawvWhwJf4/v-deo.htmlsi=eQUmOkg4jQnj0zCy
      2. ua-cam.com/video/xDXPSDIu948/v-deo.htmlsi=wvjId9xByV4TyDuS
      3. ua-cam.com/video/rEoUMUaYmMs/v-deo.htmlsi=zPNS49oPFVaH7wwV
      Haya ni mahubiri ya askofu Mtokambali na ni jinsi gani anapambana na dhambi ni jinsi gani anaugua kwa dhambi tafadhari sana usitumie mahubri vibaya kusimanga watu mualike roho mtakatifu akupe ujumbe wa kusema sio kupotosha na kutafuta views ili upate pesa brother tubu ukaione mbingu maana shetani ni baba wa uongo.

  • @maryfonga2200
    @maryfonga2200 Місяць тому +6

    Mtumishi wa Mungu hongera kwa kazi njema, BWANA azidi kukujaza mafuta na wingu lake likufunike daima mpaka ukamilishe kazi aliyokuitia. Atakae sikia na kutii na atii maana kuna ambao Mungu amewakusudia kupitia ujumbe wako wamgeukie Mungu, ila asiyetaka kutii huyo ni wa shetani. Maana imeandikwa "wanamasikio lakini hawasikii, wana macho lakini hawaoni" watakao sikia na kutii hao ndio waliokusudiwa na Mungu

    • @stevetobsmedia
      @stevetobsmedia Місяць тому

      unafanya jambo zuri sana kuhubiri Mtumishi wa Mungu na tunafurahishwa na mahubiri yako kama roho za watu zinaponywa ila unapomtaja kiongozi yeyote wa taasisi yeyote ile hakikisha una fact za kusema maana bila kua na fact uta haribu moja picha za nyimbo ulizotumia kuunganisha kwenye video siyo za siku ya maadhimisho yaliyofanyika uwanja wa uhuru ni sherehe za vijana zilifanyika iringa nakuwekea link hizi ili upate cha kuongeza kwenye mahubiri yako ili ubalance mahubiri yako usitafute tu kukemea bila kua na uhakika na unachokisema kwa maana mbiu ya uamsho inapigiwa parapanda na bishop mtoka mbali na anafanya ivyo kwa makanisa yote ya CPCT sio TAG pekee naomba kwa unyenyekevu usimtamke Askofu kama unaongea na mtoto mdogo wakati uhakika wa unachokisema hauna sio kwa ubaya ila kujenga ufalme kama una hubiri kweli ya kristo Mungu akupe neema ya kujua hili fanya tafiti.
      1. ua-cam.com/video/fJawvWhwJf4/v-deo.htmlsi=eQUmOkg4jQnj0zCy
      2. ua-cam.com/video/xDXPSDIu948/v-deo.htmlsi=wvjId9xByV4TyDuS
      3. ua-cam.com/video/rEoUMUaYmMs/v-deo.htmlsi=zPNS49oPFVaH7wwV
      Haya ni mahubiri ya askofu Mtokambali na ni jinsi gani anapambana na dhambi ni jinsi gani anaugua kwa dhambi tafadhari sana usitumie mahubri vibaya kusimanga watu mualike roho mtakatifu akupe ujumbe wa kusema sio kupotosha na kutafuta views ili upate pesa brother tubu ukaione mbingu maana shetani ni baba wa uongo.

  • @miriamimani4986
    @miriamimani4986 Місяць тому +1

    Mimi nahitaji kuokoka kwa kweli, sihitaji kujitetea kwa lolote, Mungu nirehemu mimi, nisamehe mimi, nifungue mimi, nahitaji uniokoe kwa damu ya Yesu Kristo, Amina.

  • @FrankKasonso
    @FrankKasonso Місяць тому +4

    Mungu azidi kukupa maneno yakusema kama alivyo mwambia Yeremia umenibariki sana

  • @user-ef7pn5wt7g
    @user-ef7pn5wt7g Місяць тому +1

    Nashukuru Mungu Kwa ajili ya hili ....Kuna watu wako straight sana...Mzee maghembe na baadhi ya wachungaji vinana kama katekela...Mungu amewaleta kurudisha kanisa katika mstari...pascal ...sema kweli maana msema kweli ni mpenzi wa Mungu...njoo na huku eagt mtumishi wa Mungu ufichue yasiyo ya Mungu

    • @JonasAmon-q3z
      @JonasAmon-q3z Місяць тому

      Hakika mpendwa Amieli katekela.ameletwa na Bwana yesu.alikuja kufanya mkutano kanisan kwetu aise tulimuona Mungu na nguvu zake.sema Kuna wengne hushupaza shingo zao hawakosi.anaokoa yule mtumishi sana🙏🙏🙏

  • @user-lk5it5zy6m
    @user-lk5it5zy6m Місяць тому +4

    Sema ukweli mtumishi wa Mungu tuko pamoja ❤❤

  • @ElineMakundi
    @ElineMakundi 4 дні тому

    Kweli kbs usemayo , umemsahahu mchungaji katekela geita moja hiyo ni 🔥

  • @daniellambert8903
    @daniellambert8903 Місяць тому +10

    Mungu akubariki sana pastor na ukaendelee kuhubir injili ya kweli

  • @ChristinaCharles-py1ct
    @ChristinaCharles-py1ct 14 днів тому

    Asante mtumishi kwa ujumbe wa mzuri. Haya ni madhai go u.

  • @charlesrweyemamu8352
    @charlesrweyemamu8352 Місяць тому +4

    Very well spoken,stay blessed!

  • @PaulLuziga-bn1zv
    @PaulLuziga-bn1zv Місяць тому +2

    Ubarikiwa sana Mtumishi wa Bwana. Na Mungu zaidi kukutumia 🎉

  • @HagaiSwila-z6f
    @HagaiSwila-z6f Місяць тому +3

    Mungu atusaidie sana maana viongozi wengi hasa maaskofu wamekosa unyenyekevu ndio maana hawasikii maonyo wamesahau kwamba sisi sote ni makuhani kwamba mungu anamtumia kila mtu ili kulionya kanisa sasa ni kwamba simama tu kusema kweli mwinjilisti mungu anapendweza na kweli

  • @SolomonSamwel-z2m
    @SolomonSamwel-z2m 19 днів тому

    God bless you man of God by speaking True Evangelistic

  • @LucasLaizer-if2du
    @LucasLaizer-if2du Місяць тому +6

    Nakufuatialia sana mtumshi wa mungu nikiwa arusha natamani nikuone siku Moja mtumshi

  • @johnboscokiringo2398
    @johnboscokiringo2398 Місяць тому

    Keep it up!! Real message.
    Mungu atusaidie.

  • @user-sn2dq2tz2k
    @user-sn2dq2tz2k Місяць тому +6

    Sem tu maana hali ni mbaya MUNGU akubariki sana BABA

  • @ContentClam-df1vy
    @ContentClam-df1vy Місяць тому +3

    Mtumish mungu akubrk saana nyimbo zako zime nijenga saana

  • @PeterDeogratias
    @PeterDeogratias Місяць тому +3

    Asante mtumishi ,,kabisaaa kabisa , TAG tag tag tusipo ludi tunakufa. Asante mtumishi

  • @MerryMatata
    @MerryMatata Місяць тому

    Mungu akubariki

  • @bujagajeremiah4308
    @bujagajeremiah4308 Місяць тому +4

    Uongozi ni jalala, Baba Askofu Mtokambali Mungu na akutie nguvu sisi tunakuombea uwe na moyo wa ushujaa..
    Kanisa lazima lipigie hiyo hatua ya kusemwa sana maana lina taswira ya YESU KRISTO aliye hai, Hata Yesu wetu alisemwa mno na mpaka leo bado anasemwa sana..

    • @zainaluoga1666
      @zainaluoga1666 Місяць тому +1

      hasemwi huu ni ukweli mtupu.

    • @pilotimani
      @pilotimani Місяць тому +1

      Ndugu yako ni kweli kuwaombea viongozi lakini kukemewa ni muhimu sana kwani wanaweza kusikia ukweli na kubadilika wakiwa hai kwani kwa mungu rehema ipo duniani na sio ukifa sasa unaona kanisa limelala sio swala la ushabiki ni muda kanisa la bwana liamke naongea hio kama mtoto nikiokuwa na kuwekwa wakfu ndugu zetu wengi wanaelekea upotevuni kwa wachungaji kutokemea dhambi

    • @dicksondkaganga1290
      @dicksondkaganga1290 Місяць тому

      Amen!

    • @mwlekartiesmwankenja3602
      @mwlekartiesmwankenja3602 Місяць тому

      ​@@dicksondkaganga1290kipimo gani umetumia kupima kuwa TAG ina taswira ya Yesu Kristo? Endelea kujidanganya.

    • @alexdominic9201
      @alexdominic9201 Місяць тому

      Kama ulikuepo uwanjani hakika utajua huyu mtumishi anaongelea nini

  • @user-uk5so4en5o
    @user-uk5so4en5o Місяць тому +1

    Amina ubalikiwe sana mimekuelewa Sana Mungu akutunze Sana uzidi kutwambis ukweli na ukweli utabakia kua ukweli 🙏🙏🙏🏽🙏🏽

  • @nemitv7850
    @nemitv7850 Місяць тому +3

    Casian Mungu akubariki sana, i wish to meet you one day.

  • @franksikalengo8672
    @franksikalengo8672 14 днів тому

    Na mimi nakuelewa Rev Magembe

  • @husseinkibona3277
    @husseinkibona3277 Місяць тому +3

    Mungu akubariki mtumishi kwa kuwa na macho ya Rohoni

  • @sallymlagalila4026
    @sallymlagalila4026 Місяць тому +1

    Mungu atusaidie sana..... maana angetupa nafasi ya kuhukumu ingekuwa taabu sana....... mm haya nayaita majungu kwa sababu unadeal na mtu mmoja amba yupo ndani ya uwezo wako kumwambia et

  • @CatherineMkumbo
    @CatherineMkumbo Місяць тому +3

    Ubarikiwe sana mungu kukupa macho ya rohoni kuyaona haya walio wa rohoni watajua na kujifunza

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward Місяць тому

      Tatizo Letu Ni kumfumgia Mungu ndani sehemu mdogo kama Kiota cha njiwa.

  • @John-pv1xr
    @John-pv1xr Місяць тому +1

    Asante mtumishi

  • @TracyMlimi-iv8fp
    @TracyMlimi-iv8fp Місяць тому +7

    Mtumishi Mungu akubariki lakni sidhani kama ulichofanya ni jambo la busara, wewe kama mtumishi ambaye uko concerned with how things are going uko TAG, kitu cha busara ambacho ungeweza fanya ni kwenda kwa uongozi wa TAG especially huo wa juu wa Mtokambali ulioutarget, ukamuelezea unavyoona ni sawa lakn sio kuja kuchafua kanisa huku mana sidhan kama umezunguka makanisa yote ya TAG ya nchi nzima. Yan you’re talking as if someone sent you to dirtify the church, na upo kisiasa zaidi🙌 If you are looking for followers, find another way to do so na sio kuharibu ushuhuda wa makanisa mengine. Hubiri injili, Leta watu kwa Yesu, acha siasa.

    • @perezrnb7822
      @perezrnb7822 Місяць тому +1

      Point umesema kweli kama kwel nia ni kuliponya kanisa angeweza kuongea na uongoz wa juu ila ukiaangalia ni kama ka mtarget mtu kwa mtu mwenye ufahamu unaona kabxa ni kama katumwa hivi anyway Mungu atusaidie sana Uamusho sio kwa TAG Tu makanisa yote ya kipentekoste tunaitaji uamsho wa kweli ule wa kina mzee kulola ambao wengi skuiz wamebaki kusimuliwa habari zile

    • @TracyMlimi-iv8fp
      @TracyMlimi-iv8fp Місяць тому

      @@perezrnb7822Ni kweli, sasa huku watu wanachoangalia wao ni idadi kubwa ya watu ipo upande gan, hawaoni kama hiki sio sawa alichokifanya huyu mtumishi

    • @daudimwenzegule
      @daudimwenzegule Місяць тому +1

      Huyu pascal anatafuta hela kwa watazamaji ndo maana ameweka M pesa Tigo pesa nk

    • @elizabethkibona3088
      @elizabethkibona3088 27 днів тому +1

      Na wew pasko tumechoka na maneno yako ebu vaa viatu vyake uone kama ungeweza Acha kelele omba kwaajir ya askofu ndo ningekuona umeongea point unafikir kuongoza watu wazima ni kazi ndogo ?

    • @YohanaChege
      @YohanaChege 9 днів тому

      😢😢😢😢

  • @MWANKENJA-t29z
    @MWANKENJA-t29z 5 годин тому

    Ni kweli mzee magembe anaongea ukweli san na hasapotiwi

  • @respichiusk.rweyemamu632
    @respichiusk.rweyemamu632 Місяць тому +16

    Makanisa yote ya Kipentekoste wajitafakari sana tena sana,mkakati wa shetani watu wa freemason walishatoa kafara zao kuimarisha agano lao la dunia kuingia kanisani na kanisa kuingia duniani.Muulizeni Pastor Amieli Katekela.

    • @stevetobsmedia
      @stevetobsmedia Місяць тому

      unafanya jambo zuri sana kuhubiri Mtumishi wa Mungu na tunafurahishwa na mahubiri yako kama roho za watu zinaponywa ila unapomtaja kiongozi yeyote wa taasisi yeyote ile hakikisha una fact za kusema maana bila kua na fact uta haribu moja picha za nyimbo ulizotumia kuunganisha kwenye video siyo za siku ya maadhimisho yaliyofanyika uwanja wa uhuru ni sherehe za vijana zilifanyika iringa nakuwekea link hizi ili upate cha kuongeza kwenye mahubiri yako ili ubalance mahubiri yako usitafute tu kukemea bila kua na uhakika na unachokisema kwa maana mbiu ya uamsho inapigiwa parapanda na bishop mtoka mbali na anafanya ivyo kwa makanisa yote ya CPCT sio TAG pekee naomba kwa unyenyekevu usimtamke Askofu kama unaongea na mtoto mdogo wakati uhakika wa unachokisema hauna sio kwa ubaya ila kujenga ufalme kama una hubiri kweli ya kristo Mungu akupe neema ya kujua hili fanya tafiti.
      1. ua-cam.com/video/fJawvWhwJf4/v-deo.htmlsi=eQUmOkg4jQnj0zCy
      2. ua-cam.com/video/xDXPSDIu948/v-deo.htmlsi=wvjId9xByV4TyDuS
      3. ua-cam.com/video/rEoUMUaYmMs/v-deo.htmlsi=zPNS49oPFVaH7wwV
      Haya ni mahubiri ya askofu Mtokambali na ni jinsi gani anapambana na dhambi ni jinsi gani anaugua kwa dhambi tafadhari sana usitumie mahubri vibaya kusimanga watu mualike roho mtakatifu akupe ujumbe wa kusema sio kupotosha na kutafuta views ili upate pesa brother tubu ukaione mbingu maana shetani ni baba wa uongo.

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 Місяць тому +3

      Wewe ndo umezungumza point katika comments zote nilizopitia.kumbe unamfatilia yule mtumishi.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Місяць тому

      Asante saana

    • @fredgonga
      @fredgonga Місяць тому

      kweli kabisa Amieli aliongea sana kwa undani, shetani halali

    • @masweto
      @masweto Місяць тому

      Huyu mtokambali ni anjent

  • @RahelSalumu-pm9qx
    @RahelSalumu-pm9qx Місяць тому +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, kabisa

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc Місяць тому +6

    Ev Pasco,Casian,Mungu akuzidishie kila baraka,Mtoka Mbali pamoja na badhi ya wachungaji wanalipeleka kanisa moyoni bila kujua,,Umefika wakati wa matengenezo mapya

  • @user-ri1by1ij4o
    @user-ri1by1ij4o Місяць тому +1

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu unanena yaliyokweli

  • @user-mo4dq6vb9u
    @user-mo4dq6vb9u Місяць тому +5

    Sio Magembe tu, wapo wengi sema tu hawajapata nafasi ya kuwa kwenye media kulingana na hali za ki uchumi.

  • @ruganoantony
    @ruganoantony Місяць тому +1

    Amen Mtumishi kweli injiri Bila kupepesa mcho

  • @user-gh4ym7ji8v
    @user-gh4ym7ji8v Місяць тому +3

    Mungu wa mbingu na nchi uturehemu Ee BABA YETU. Unatuonya YESU KRISTO mwokozi wetu, tusaidie kuelewa BABA, tusishupaze shingo zetu zikavunjika Ee BWANA.

    • @FidesKimati
      @FidesKimati Місяць тому

      Amesema Kweli tupu,😢 kanisa la TAG liko hatarini kuelekea kwenye udinu

  • @geoffreymagessa289
    @geoffreymagessa289 Місяць тому +1

    Ni kweli wametoka ktk misingi ya Neno la kweli ya Mungu.

  • @RozaliaSanka-kv5dy
    @RozaliaSanka-kv5dy Місяць тому +4

    Mungu akubariki Sana,Shida watasikia lkn hawataelewa

  • @StevenMutale-xt9yj
    @StevenMutale-xt9yj Місяць тому +1

    Amen Mungu akubariki sana soma luka 21-15-18

  • @jacksonbarnaba9088
    @jacksonbarnaba9088 Місяць тому +4

    mwenyezi mungu atusaidie ktk hili.

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 22 дні тому

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu,siku hizi hakuna nyimbo zinazoshusha utukufu wa Mungu,utakuta wimbo mwanzo mwisho hauna hata neno moja la Mungu kutoka kwenye Biblia

  • @florencekasambula6497
    @florencekasambula6497 Місяць тому +5

    MUNGU ANATUPENDA TAG NDOMANA AMETUMA MJUMBE WAKE❤❤❤❤

    • @user-pq5fb6ip7w
      @user-pq5fb6ip7w Місяць тому

      Haswaàa mie nimemwelewa ni ukweli mtupu

    • @EdwinMbwilo-fj6bf
      @EdwinMbwilo-fj6bf Місяць тому

      Wakati umetimia TAG tubadilike maana hali ni mbaya sana tumefika mahali pabaya Wachungaji wanalogana na kuwekeana sumu ajabu!

  • @josephjoel9391
    @josephjoel9391 Місяць тому

    Barikiwa mtumishi wa Mungu songea mbele katika kunena kweli ya Kristo tupo katika nyakati za mwisho na za hatari Mungu akubark maana ukisasa na udunia umlivamia kanisa la leo

    • @PhilbertLameck
      @PhilbertLameck 23 дні тому

      Injili yakweli huanziq nyumbani mke wako mbona alikuw anayavaa hayo huku unahubili hvy hvy watu wanakupongeza lakin ww pia tukuambie ukweli hunahekimq ktk hayo kama unaujumbe unamhusu mtu siumwambie yeye maana unampomtaja mtu niujunbe unaonhusu yeye iweje kumsema kwenye mtandao hunahekimq kabisa wala busara casianno yaan ww Kila mtu akiinuka kufanya jambo jema bas uko kinyume naye aisee nikweli unahubili lakin hekima kwako hakuna kabisa

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono Місяць тому +6

    Sio mzee Maghembe tu tupo wengi tuliobaki salaam usiseme amebaki Maghembe sisi tupowengi

    • @yuzzob
      @yuzzob Місяць тому

      Taa ikiwaka itaonekana tu. Barikiwa

    • @basilisamsaka8469
      @basilisamsaka8469 Місяць тому +2

      Usikike kama magembe

    • @BeatriceMlowe-iz5uj
      @BeatriceMlowe-iz5uj Місяць тому

      Ameen bila kumsahau baba yangu THOBIASI THAMBIKENI forest yakwanza mbeya❤

    • @lilyg2134
      @lilyg2134 Місяць тому

      WEW ANAKUJUA NAN? MAGEMBE HAPO ANATUMIKA KMA MFANO MAANA ANAJULIKANA

    • @joelnjenza8320
      @joelnjenza8320 Місяць тому

      ​@@BeatriceMlowe-iz5ujeeeh tambikeni yuko vizuri

  • @anociatafungameza
    @anociatafungameza 21 день тому

    Askofu Mtokambali yuko vizuri sana, na ndiyo maana tuna miaka 13 ya moto wa uamsho ili Roho mtakatifu atutengeneze. Naipenda sana TAG. Imenilea vyema kiimani na sasa naendelea vizuri. Utukifu ni kwa Bwana.

  • @elizabethkaiche17
    @elizabethkaiche17 Місяць тому +7

    Sisi wenyewe tunatakiwa kuwaombea Viongozi wetu ili mambo yaende sawa , ukiona mambo hayaendi sawa kabla ya kumwangalia Mchungaji wako, wetu,watoto wa Mchungaji je Umejitoa kwa kiasi gani kuwaombea hao watumishi wa Mungu ,maana niwanadamu tu kama sisi wanahitaji KUINULIWA KWENYE MAOMBI apo tumekumbushwa kama watu tuliookoka kuwainua watumishi wa Mungu ili Waendelee kukazia palipolegea . Tunashukuru tumepokea yunahitaji neema ya Mungu ili tuzidikukaza palipolegea ,MUNGU AZIDI KUWATIA NGUVU WATUMISHI WA MUNGU .

    • @user-rd3hk5qt5p
      @user-rd3hk5qt5p Місяць тому

      Tukumbushane waenda mbinguni

    • @danielyohane824
      @danielyohane824 Місяць тому

      Swala la TAG kwa dini lilianza ilipotungwa sheria ya ikiwa Mch atajitenga na Hiyo dini atakabidhi mali zote na washirika aondoke kama alivyo. Kwamba mchungaji anaanza huduma akiomba mwavuli TAG amekubali kuja mateka pamoja na mali na Washirika wake. Hivi ni katiba ya kifisadi kamili usiofaa popote duniani. Tangu wakati huo likaanza kupita fundisho kuwa TAG ndio mahali sahihi. Upotoshaji huu unaenda mbali zaidi hata kuaminisha kuwa mtu asiye M-TAG hajaokoka. Leo TAG ni dini ya 3 Tanzania, kati ya UKristo, na ni dini ya 4 kati ya Dini zote Tanzania. Wakati taarifa hiyo iliposomwa waumini wa tawi moja dogo kijijini liliokuwa likiongozwa na Askofu fulani walishangilia sana. Niliporudi kumuuliza Mungu nini hiki, akanionyesha niko Katholiki. Na akaniamuru kuondoka Niliomba rehema na kuondoka. Ikiwa viongozi wamekengeuka halafu tukasema tuwaombee tu, tutajibiwa na mashetani siku zote na ndio maana leo walokole wengi tumedharaulika kwa kujifanya unyenyekevu. Tatizo likionekana mwambie Mungu kisha simama katika zamu yako. Onya karibia kemea bila kujali watasema eti umewagusa masihi wa Bw. Maana Watumishi wengi hujificha kwa hilo andiko. Washughulikie utajiokoa nafsi yako kama Mlinzi. Barikiwa na Bwana

  • @maliyotebundala6756
    @maliyotebundala6756 Місяць тому

    Uko sawa kabsa,Mungu atusaidie

  • @user-zz9gr1vd9h
    @user-zz9gr1vd9h Місяць тому +6

    Mchungaji Katekela anaeleza namna walipokua kuzim kazi walichokua wanafanya kwa ajili ya kupotosha makanisa ya kipendekoste tunaona yanayotendeka sasa

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 Місяць тому +1

    Wachungaji wengi wa TAG wako kawaida sana wameuacha witu wao, wameigeukia Dunia

  • @AgnesKalinga-if3uf
    @AgnesKalinga-if3uf Місяць тому +12

    ......inatia huruma sana badala ya Magembe kupumzika sasa vijana wafanye kazi, ndo kwanza akiangalia anaona moto wa kigeni unapamba moto madhabahuni. Atafika kwa Yesu amechoka sana huyu mzee!

  • @VictarYohanna-d4t
    @VictarYohanna-d4t 18 днів тому

    Good

  • @Ministerjamesmikoma
    @Ministerjamesmikoma Місяць тому +4

    Sema Hekima ya Mtoka Mbali ni kubwa Sana Kuliko Ninyi Siumeona Hajibu kitu Mzee Wa Watu..

    • @omuze1290
      @omuze1290 Місяць тому

      Hekima ipi? Afanyie kazi ushauri huu kwa kuondoa miungu ya kigeni ndani ya kanisa kama alivyofanya mfalme Hezekia. Hii ndiyo itakuwa hekima.

    • @erickmahay3411
      @erickmahay3411 Місяць тому +3

      Kukaa kimya huku kanisa linaharibika ndio hekima?mimi ni Wa TAG naona kabisa ujumbe unatuhusu

    • @erickmahay3411
      @erickmahay3411 Місяць тому +1

      Atajibu nini dawa imemuingia

    • @BeatriceMlowe-iz5uj
      @BeatriceMlowe-iz5uj Місяць тому

      Anajua mikataba ya kimapepo aliyo isainii kuiuza TAG kwa mashetani bora EAGT

    • @BeatriceMlowe-iz5uj
      @BeatriceMlowe-iz5uj Місяць тому

      ​@@erickmahay3411hapo sasa 😂

  • @geofreydamas1697
    @geofreydamas1697 Місяць тому +1

    Kuabudu kunamleta Mungu karibu na nyimbo za kuabudu na tenzi za rohoni .But siyo hayo mapigo ya kidunia

  • @DanielNasibu
    @DanielNasibu Місяць тому +6

    Paschal ubalikiwe nikweli Dunia Iko makanisa mungu atuhulumie

  • @DamianKunzugala
    @DamianKunzugala 14 днів тому

    Amen sema ukweli tupone wanafanya mambo ya ajabu sana makanisani wakisema daudi alicheza hawajui alicheza vipi

  • @frankbutati8343
    @frankbutati8343 Місяць тому +4

    Sauti ya MTU aliaye nyikan, wakusikia asikie hakuna hila ndan yake

  • @brightergermanus2163
    @brightergermanus2163 Місяць тому +2

    💪💪💪💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏. MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI WA MUNGU

  • @geraldmakalala6091
    @geraldmakalala6091 Місяць тому +3

    Leo umepiga kombora kubwa sana ,safi sana

  • @user-mq5cg3me9h
    @user-mq5cg3me9h Місяць тому +1

    Enyi watu wa Mungu acheni kutetea uovu. Mueleweni Mch Magembe na mbadilike ili kanisa lipone maana mtadaiwa Roho za watu hao. Msijali kujaza maje!!ngo maana ktk kuendelea kufundisha mafundisho manyonge. Mtadaiwa ogopeni

  • @neemamsanga253
    @neemamsanga253 Місяць тому +23

    Hata Mimi ni m TAG nimeona unayo sema ni kweli natamani Mungu angenipa kibali na Mimi niseme na Dunia na kanisa pia😭😭😭🙌

    • @sarahamri1620
      @sarahamri1620 Місяць тому

      Unaroho wa Mungu bado nenda kanisa la casian ,vp we umeacha kujipamba

    • @Shirimaneema
      @Shirimaneema Місяць тому +1

      Acha ngano na magugu yakue pamoja Yesu atakapokuja atapepeta mwenyewe. Ngano Ni wake waliomchagua Yesu kama MWOKOZI wao. Na magugu waliochagua njia za shetani hivyo tujiandae.

    • @JohnMakongo-tg3ms
      @JohnMakongo-tg3ms Місяць тому +1

      ​@@Shirimaneema na wewe uliyesema magugu na ngano yakuwe pamoja nawe wawaza kishetani ???ngano ijulikana

    • @user-tj8ds4iq5w
      @user-tj8ds4iq5w Місяць тому

      kibari.unacho tayali dada sema tu na wewe

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 Місяць тому

      Mpaka Yesu anarudi ndani ya tasisi yoyote ya kidini,dhehebu,hakutakosa wenye dhambi.hata hao wasiyovaa mawigi wapo wadhambi wakubwa,hata wale wanaovaa dela wapo wadhambi na wanafiki wakubwa.

  • @Jojiisraeli
    @Jojiisraeli Місяць тому

    Asante mtumishi Mungu akubariki

  • @michaelmapile4794
    @michaelmapile4794 Місяць тому +8

    huu ni ukweli tu .. kunamahali nimewahi kuhubiri mavazi nilikemewa sana........na ni ujumbe wa MUNGU kabisa na umekuja kwa mda sahihi

  • @EverineMandia
    @EverineMandia Місяць тому

    Mungu akulinde Sana nami ninazidi kukuombea kwa kuwa unanifundisha vitu vingi ubalikiwe San mtumishi

  • @user-zs7wn3xe7o
    @user-zs7wn3xe7o Місяць тому +5

    Anaekuonya anakupenda. Mungu atusamehe.

  • @GodfridMbele-sb1ks
    @GodfridMbele-sb1ks Місяць тому +1

    Asante sana pastor, nataman mtokambali aupate huu ujumbe, sasa sijajua ataupataje

  • @user-cl5yq6ne3q
    @user-cl5yq6ne3q Місяць тому +10

    Rushwa za zawadi zimewapofusha macho ya kiroho hivyo wengi hawaoni!!!!!!

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 Місяць тому +1

      Wewe umewapa ngapi zilizowapofusha?

    • @m.m.tvmbebamaono
      @m.m.tvmbebamaono Місяць тому

      Amesema kweli

    • @Emmadav1
      @Emmadav1 Місяць тому

      ⁠anafikiri kwa kufanya hivyo atapata attention. Kama yeye sio mTAG ameyaona wapi hayo mavazi? Wameingia kwenye huduma kupiga hela na hawana kitu kichwani

    • @emmanuelrweikiza6117
      @emmanuelrweikiza6117 Місяць тому

      Kwa anayeonywa hana haja ya kujitetea kwani wewe huoni maajabu yanayoendelea kwenye kqnisa cha msingi ni kila mmjo kuangalia alicho nacho maana hali ya kanisa ni mbaya mnoo​@@Emmadav1

    • @user-kr9xx8br4o
      @user-kr9xx8br4o Місяць тому

      ​@@Emmadav1Wewe ni M TAG bali wengine hatutaki hata kidogo kuwa WA TAG.
      Ni bahati mbaya sana kuwa M TAG.
      Bali yafuta kuwa mwanafunzi (MATHAYO 28: 18-20)

  • @chanilasumbuko
    @chanilasumbuko Місяць тому

    Bwana Yesu Kristo akutie nguvuu daima Mtumishi wa Mungu, Hakika hatakuacha Simama kwa zamu yako na Mungu atakutetea🎉

  • @BonepherceMichael
    @BonepherceMichael Місяць тому +3

    Amina mtumishi wa MUNGU aliye hai, akubariki, Akutunze, na kukulinda. Zaidi MUNGU Aliye hai azidi kukupatia maonyo, kukemea, na kukaripia maovu kwa wana wa Mungu. Ni kweli kanisa linapoteza mwelekeo.

  • @annastaziangowi4036
    @annastaziangowi4036 Місяць тому +1

    Mungu akutie nguvu akuongezee ujasiri, hakika yanayoonekana hasa mavazi yanatisha. Shetani amepofusha fikra zao wasiifikilie kweli Kwa kufuata Namna ya Dunia hii.

  • @amanisanga3251
    @amanisanga3251 Місяць тому +4

    Mimi ni mch. TAG. nimipokea hili. Japo naamini Ask Mtokmbali ni mnyenyekevu ungemfata ofisini. Kumbuka tag ni baba wa wa Pentecost

    • @erickmahay3411
      @erickmahay3411 Місяць тому +1

      Akuna hicho kitu yanaharibika hadharani yasemwe hadharani

    • @user-kr9xx8br4o
      @user-kr9xx8br4o Місяць тому +1

      Hakunaga kitu kiitwacho Baba wa pentekoste, maana siku ya pentekoste ilikuwepo kabla ya TAG na ndiposa tumeona kuwa mitume walijazwa siku hiyo ya Pentekoste, hata TAG hakuwepo

    • @pilotimani
      @pilotimani Місяць тому

      Amina pia kumbuka yesu alisisitiza unyenyekevu na hakuna aliye mkubwa au mdogo wote ni sawa je unafikili kwa phd ya baba askofu angeweza kumsikiliza ndugu pasko ambaye huenda bachelor ya theolojia huenda hana ni ngumu muhimu ujumbe umefika kila mtu BWANA MUNGU kamleta kama mkemeaji na wala tusimchukie ila ni ukweli mimi nimezaliwa na kukulia TAG Lakini na shangaa kwanini mambo yakidunia yameangamiza kanisa la bwana wa mama wanajipamba na kusuka tofauti na neno la Bwana umbea na masengenyo yamejaa na pia mziki wa kidunia kama ma sebene na nyinginezo style za kucheza ambazo Biblia imekataza kumwabudu MUNGU kama wengine wanavyomwambuni yaani wapagani sasa unashindwa kutofautisha kati ya watu wa Mungu kuanzia mavazi , namna ya kuongea mtazamo , mziki wa kidunia , na watu wa Mungu tunapotea Wa mama wengi hawaendi mbinguni MUNGU ANAANGALIA MOYO , MWILI, NAFSI NA ROHO KIMOJA kikinajisika hatuwezi kumwona mungu , mambo kama, chrismass na mwaka mpya sherehe za kidunia, kuvaa pete za nduo , eleni na mapambo , pete , wanawake kusuka nywele, jamani acheni ubishi eti paulo au Peter alikuwa analiambia kanisa la zamani kikubwa ni maonyo ya sisi wote kuliko wachungaji msiongee ukweli kisa mapokeo alafu watu wakifa waende motoni itakuwa mmezulumu na kuwakosea sana NDUGU ZANGU TAG kanisa langu tubadilike mbinguni hakiingii kilichokinyonge

    • @josephsimbeye5305
      @josephsimbeye5305 Місяць тому

      huyu sijui ametumwa na hao mtume amechanganyikiwa kuona watu wengi asikofu huwa mda mwingi yupo dodoma na moro na dar na namba simu zipo anatafuta kitu gan na kama ana maoni angemtafuta kwa njia yoyote hapo

    • @user-kr9xx8br4o
      @user-kr9xx8br4o Місяць тому

      @@josephsimbeye5305
      1TIMOTHEO 5:20 20 Wale wadumuo kutenda dhambi uwakemee mbele ya wote, ili na wengine waogope.
      UOVU HAUKEMEWI KWA SIRI BALI HADHARANI ILI NA WENGINE WAOGOPE.
      MAANA MADHARA YALETWAYO NA WACHUNGAJI VIPOFU WA TAG NI MAKUBWA SANA YA KUWATUPA KONDOO KUZIMU KULIKO HESHIMA YA MTU BINAFSI.
      ACHA UNAFIKI WA TUMBONJ HUO.

  • @elizabethkaiche17
    @elizabethkaiche17 Місяць тому +1

    Ebrania 5:13 - 14 Chakula kigumu ni kwa ajili ya watu waliokomaa ....... Mungu tutie nguvu .

  • @zacharianyanda5424
    @zacharianyanda5424 Місяць тому +4

    Mungu akubariki wewe ni kama Mikaya. Unawaonya wakubwa sijui kama watakubali
    Mungu awasaidie.

  • @user-ik1bg7en8c
    @user-ik1bg7en8c Місяць тому +2

    MUNGU Akubark sana kwa kunena bila kuogopa

  • @mchungajiegidiuskategile5773
    @mchungajiegidiuskategile5773 Місяць тому +7

    Mimi ni Mchungaji wa TAG Kwa hapa nakupa ongera Sana uwo ndo ukweli

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 Місяць тому

      TAG ya wapi?

    • @user-pq5fb6ip7w
      @user-pq5fb6ip7w Місяць тому

      ​@@bahatimshali2731Tanzania Kuna TAG ngapi?

    • @ErnestAdriano-lw7fe
      @ErnestAdriano-lw7fe Місяць тому

      Acha upastor mfate uyo n kanisan kwako atujiten😂😂😂 be careful waheshimu mamlka so be care full akuna mtu alikuja uchi kule eti upo pamoja nae😂😂😂 je TAG ya marekani simsingesema awajaokoka siku nilitakan uje uone

    • @user-kr9xx8br4o
      @user-kr9xx8br4o Місяць тому

      Upo sahihi

  • @JonasAmon-q3z
    @JonasAmon-q3z Місяць тому

    Uko saw mtumishi.mungu atusaidie tu wanawake mitindo ya kuzimu imezidi kanisan kwa wamama.

  • @amaniyona3134
    @amaniyona3134 Місяць тому +3

    Nikweri yaani hawaeleweki ushuhuda sijawahi ona storituuu yaani hakun kitu

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 Місяць тому +1

    Ubarikiwe mtumishi

  • @kibona_graphixstudio
    @kibona_graphixstudio Місяць тому +6

    PASTOR VIPI SIKU UKIONGELEA MAZURI YAO PEKEE,
    NAONA HUWA UNAFOCUS TU NA MABAYA YA MTU

    • @Vido_Media_Swahili
      @Vido_Media_Swahili Місяць тому

      Hatujifunzi kutokana na mazuri, tunajifunza kutokana na makosa. Ukiambiwa mazuri huwezi kujifunza, ukiambiwa makosa yako utajirekebisha. Ndicho anachokifanya huyu mtu. N:B USIAMINI KILA ROHO, ZIJARIBUNI KWANZA MUONE KAMA ZINATOKANA NA MUNGU

    • @kibona_graphixstudio
      @kibona_graphixstudio Місяць тому

      @@Vido_Media_Swahili 🤣🤣🤣
      Kwahiyo yeye kazi yake ni kutafuta makosa ya watu tu ndo aongee

    • @oscardosantos4202
      @oscardosantos4202 Місяць тому

      Injili ni kuwaambia watu uovu wao ili wauache

    • @jofreyalmasmsungu9583
      @jofreyalmasmsungu9583 Місяць тому

      Huyu hana habari njema ametumwa habari mbaya tu cjui ni Mtumishi wa nani

    • @jofreyalmasmsungu9583
      @jofreyalmasmsungu9583 Місяць тому

      ​@@kibona_graphixstudionabii gani anatabiri baada ya kuona hayo ni mjungu tu

  • @enithamtela3280
    @enithamtela3280 10 днів тому

    Kwa Sasa hayo yakiguswa tu inaonekana ni kupitwa na wakati na ushamba, Ee Mungu tusaidie!

  • @JohnMfundo
    @JohnMfundo Місяць тому +3

    Jamani kwa unyenyekevu wa baba yetu mtokambali mi namkubali tu

    • @geraldmakalala6091
      @geraldmakalala6091 Місяць тому +1

      Unamkubali vipi?
      Wakati Mungu amemtuma mtumishi wake kuwa wanahubiri injili nusu?

    • @giftpaul2957
      @giftpaul2957 Місяць тому

      Tunamuelewa saaaaana Mzee Mtokambali

    • @EdithaKiulu-ub8wd
      @EdithaKiulu-ub8wd Місяць тому

      ​​@@geraldmakalala6091Unauwakika katumwa Na Mungu? Kwa nn hakusema kabra ya maadhmisho kufanyika? Alisubir akusanye kasoro ndo aseme? Kama angetumwa basi asingetumia hivyo vikasoro vyenye amesema? Maana najua Mungu ni mnyenyekevu Sio wa kumuagza mtu na afanye vituko zenye ANAFANYA! Kama izi

  • @judithmwamakula6535
    @judithmwamakula6535 21 день тому

    Amen. Ubarikiwe

  • @ChikondiMadaliso
    @ChikondiMadaliso Місяць тому +8

    Magembe anauchugu ametoka mbare jamani mungu atuhurumie

  • @MwaminiMuumbaji
    @MwaminiMuumbaji Місяць тому

    Amen pasta ubarikiwe

  • @user-yj5es1jw8c
    @user-yj5es1jw8c Місяць тому +5

    Huyo mtoka mbali ,mungu amponye ,,tg ,mbeya niatali

  • @user-fy9zl1oq7x
    @user-fy9zl1oq7x Місяць тому

    We kamanda wa Yesu.
    Mungu akutunze sana

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz Місяць тому +3

    Mimi nimTAG nitajitahidi. Kwanafasiyangu. Watu niwagumu mungu. Wabwanayesu anisaidi .weweunasema kweli mtumishi

  • @DanielMbugi-p3v
    @DanielMbugi-p3v 17 днів тому

    Ameen