Kwakweli nimebarikiwa Sana MUNGU amenipa nguvu Sana kwa ushuhuda wa Mtumishi wake,Ee MUNGU niwekee ulinzi Mimi na familia yangu We BWANA namchukia Sana shetani,DAMU ya YESU iambatane nasi Amina
Kweli Mungu yupo jamani. Tunamuhitaji Mungu sana maishani mwetu. Asante sana baba kwa ushuhuda huu wenye uchungu mkuu. Umeniingia moyoni umenijenga sana. Nitamshikiria Mungu wangu sito muacha.Hongea tupone baba 🙌 nakuombea zaidi baba uinuliwe zaidi Amen 🙏
Merry Christmas to God's mighty general! May this special season be a time of refreshing, renewal, and celebration for you. Thank you for your unwavering commitment to serving the Lord and advancing His Kingdom. Your faith, courage, and obedience inspire countless lives. May God continue to strengthen, empower, and guide you as you fulfill your divine purpose. Wishing you a joyous, peaceful, and blessed Christmas! May God richly bless you!
What a touching story,Glory be to God your a live.wacha Mungu aitwe Mungu.Thanks be to God 🙏 you have a great testimony your Moses of today ,God had great plan in your life.Amen Amen Watching from Kenya
Ama kweli watu tuko tofauti. Nilianza kumsikiliza mchungaji Magembe kwa shida sababu ya ukali wake madhabahuni ila baadaye nilianza kulia kwa kuguswa na mapito yake. Sikuamini comments zingine kama ya "ijueimanikatoliki", " massawe asietaka shuhuda za uchawi" n.k.
Umenitoa Machozi baba mungu akuonekanie kila siku, natamani roho wa mungu, ila mahali niko kuomba ni shida, lakini najua ipo siku mungu wangu amenipangia
Mpendwa inabidi uchukuwe hatua kiimani uanze kuomba kibinafsi,ikiwa mazingira yana upinzani na ukifanya kwa uaminifu,MUNGU ATAKUPIGANIA ila usiruhusu Ibilisi akakubwetesha
MUNGU AKUBARIKI SANA BABA, HAKIKA MUNGU AMEKUPAKA MAFUTA LEO NIMEKUELEWA SANA MZE. WATU WANAPOST SHORT CLIP ZAKO MITANDAONI KM COMEDY LKN HAWAKUJUI WEWE NI MTUMISHI WA AINA GANI
Mm husema acha MUNGU aitwe mungu,sababu huyu lusifa jezebel aisee ningemuua kitambo yani shetani ninavyo kuchukia wewe mwenyewe unajua,usijaribu kunisongelea yani mm ni kichwa ngumu wa YESU KRISTO,
Ohhh my God, nitapataje huyu mchungaji?? niko na uzito saaana kwa familia niliozaliwa na nilio olewa hadi watoto wangu ohhhhhhhh nisaidieni nifikie haya maombi
Kwakweli nimebarikiwa Sana MUNGU amenipa nguvu Sana kwa ushuhuda wa Mtumishi wake,Ee MUNGU niwekee ulinzi Mimi na familia yangu We BWANA namchukia Sana shetani,DAMU ya YESU iambatane nasi Amina
Jane Nairowua
Mtumishi wa Mungu Ushuhuda Ni moto imenitowa machozi Mungu akubariki.
Amina
Kweli Mungu yupo jamani. Tunamuhitaji Mungu sana maishani mwetu. Asante sana baba kwa ushuhuda huu wenye uchungu mkuu. Umeniingia moyoni umenijenga sana. Nitamshikiria Mungu wangu sito muacha.Hongea tupone baba 🙌 nakuombea zaidi baba uinuliwe zaidi Amen 🙏
Amen Kila silaha ya uchawi juu yangu ifutike juu yangu
Past Magembe,Mungu akubariki
Barikiwa Sana pastor magembe
Mungu peke akutiye nguvu sana.kwakweli tukipata uchuhuda kama nayii uku kwetu Congo itakuwa neema kubwa sana.
Merry Christmas to God's mighty general!
May this special season be a time of refreshing, renewal, and celebration for you. Thank you for your unwavering commitment to serving the Lord and advancing His Kingdom.
Your faith, courage, and obedience inspire countless lives. May God continue to strengthen, empower, and guide you as you fulfill your divine purpose.
Wishing you a joyous, peaceful, and blessed Christmas!
May God richly bless you!
Amen amen mtumishi wa Bwana
Powerful testimony .Thank you Jesus Christ for the life of this Man of God .God bless you
Mungu awabariki watumishi wote munao shuhudia namn mlivyo tumika
What a touching story,Glory be to God your a live.wacha Mungu aitwe Mungu.Thanks be to God 🙏 you have a great testimony your Moses of today ,God had great plan in your life.Amen Amen
Watching from Kenya
Mungu anawajuwa walio wake haijalishi unafanya maovu gani atakuokoa tuuu barikiwa mtumishi wa Mungu.
Asante sana Baba ushuhuda wako umeniwezesha kusonga mbele
Mchungaji magembe mungu anakutumia sana kwa viwango vya juu
Ameen ameen Mungu alikuandaa Sana baba Kwa kazi ya sasa majira kama haya
Hakika sitamwacha Yesu daima maisha mwangu nipo radhi mke na wazazi wanikimbie nitabaki na Yesu tu .
Amen baba ubarikiwe
Ishuhuda wa ujasiri na Tumsifu Mungu Milele maana Kwake Yote Yanawezekana. Bwana Yesu Asifiwe.
Ubarikiwe mzee wetu kwa ushuhuda wako
Hakika nime😭😭😭😭
Mungu akubaliki baba
Mungu n.mkuu sana , matendo yake yanatisha kama nini, kweli Mungu anawajua walio wake, ALELUYA
Barikiwa Sana
Mungu ni Mungu wa mipango na akikupangia hakuna hatakaye yapangua kamwa, touching story
Mungu ni mwema ❤
Hakika Mungu anasema nasi kupitia Mchungaji Magembe, Yesu Yuko hai na sio Marehemu,umetutia nguvu na ushuhuda,Yuko hai kwa neema ya Yesu Kristo
Ndiyo babuyetu Mungu akubariki azidi kukulida asante kwa ushuhda
Nimetambua kuwa Yesukristo anatupenda ubarikiwe mtumishi
God revive us again😭😭 TUKUMBUKE SISI BABA
Wewe ni mpakwa mafuta wa Mungu,asante Yesu kwa kukuinua na kutuletea ushuhuda huu.Kama si Bwana aliyekua pamoja nawe Israel na aseme sasa
Kweli Mungu ana watu wa kujivunia
Mtumishi wa Mungu tumika kwa viwango vya juu zaidi
Waaa Mchungaji kama wetu pastor waweru wa dandora ministy
Ee Yesu nirehemu
Duu pole sana nimelia nikikusikiliza😢😢😢😢😢
Ooh baba pole ni kwa sababu ulibeba kusudi la Mungu
Amina baba mungu akubariki
To God be the glory. Utukufu tumpe Mungu.
shalom, watumishi wa mungu asifiwe kwa neno ambalo ameliweka kwa mzee wetu pasta moïse mangembe, naitwa pierre 🤝 📖 🙏
❤tuishi katika haya wapendwaa
Muze Magembe Nakupenda Sana
DAMU YA YESU KRISTO MWANA WA MUNGU IKO KAZINI
Duh mungu anapitisha watu ili wamjue mungu naomb nisaidie kikombe hiki nachopitia kiishe Salama
Ndo maaana ana uchungu na wokovu yaaan Mungu kamtoa mbali
Umenijenga Sana baba.naomba uje huku Kenya Mombasa kwa uamsho.
Tanzania iko na majemedari wa yesu. Wapo wapi mashujaa wa yesu kenya hii yetu.
Wapo tele tu
barikiwa sanaaa
amen tunamuitaj mung katika maish yetu
Pole sana baba inauma sana kwakwel lakini pia hongera sana kwa ushindi hakika Mungu alikuchagua hata kabla hujatungwa tumboni mwa mama yako
Barikiwa Sana mpakwa mafuta Wa Bwana
Ushuhuda wako wanipa ujasiri Mungu akupandishe viwango vya juu mtumishi
Mungu tusaidie wape nguvu mitume manabi wa chungaji makuan na wote wasaidie bila ww yesu kristo
Mungu ni mwema sana
Aisee! Dah!
MUNGU nimku👍👍👍👍👍👍
Asante baba,Mungu ni mwema
Ama kweli watu tuko tofauti. Nilianza kumsikiliza mchungaji Magembe kwa shida sababu ya ukali wake madhabahuni ila baadaye nilianza kulia kwa kuguswa na mapito yake. Sikuamini comments zingine kama ya "ijueimanikatoliki", " massawe asietaka shuhuda za uchawi" n.k.
We wanadamu mnataka Mungu aseme nanyi kwa lugha gani, ili mpate kuelewa
Powerful testimony
Topic should be Powerful testimony👍
Mungu alijua ww ni kinga cha moto cha wakati huuu
Aaaaah kweli baba uliitwa tangu haujazaliwa Mungu azidi kukutumia
GLORY BE TO GOD.
Umenitoa Machozi baba mungu akuonekanie kila siku, natamani roho wa mungu, ila mahali niko kuomba ni shida, lakini najua ipo siku mungu wangu amenipangia
Mpendwa inabidi uchukuwe hatua kiimani uanze kuomba kibinafsi,ikiwa mazingira yana upinzani na ukifanya kwa uaminifu,MUNGU ATAKUPIGANIA ila usiruhusu Ibilisi akakubwetesha
Mwenye maono huwa hafi
Wewe ni shujaa wewe ni Gidion wa sasa
Ubarikiwe sana
Na sisi je tutapataje kupona tusipoujali wokovu mkuu namna hii?... Mungu akutetee mtu wa mungu
Yesu yu hai
God is great
Asante Yesu kwa kutupenda
MUNGU AKUBARIKI SANA BABA, HAKIKA MUNGU AMEKUPAKA MAFUTA LEO NIMEKUELEWA SANA MZE. WATU WANAPOST SHORT CLIP ZAKO MITANDAONI KM COMEDY LKN HAWAKUJUI WEWE NI MTUMISHI WA AINA GANI
Kweli yesu ni mwanaume juu ya wanaume
Muache azidi kutoa siri zao
Hii injili niliitafuta saana leo nimei enjoy
Barikiwa sanaa mtumishi wa mungu
Ubari kiwe sana mutumishi wamugu yesu ndukumbe nasisi😂😂😂😂
Mm husema acha MUNGU aitwe mungu,sababu huyu lusifa jezebel aisee ningemuua kitambo yani shetani ninavyo kuchukia wewe mwenyewe unajua,usijaribu kunisongelea yani mm ni kichwa ngumu wa YESU KRISTO,
😍😍😍
Kanisa la huyu baba linapatikana katika mkoa gan hakika Kuna wokovu na sio lelemama
TAG majumbasita ukonga Banana Dar es salaam.
Rev Moses magembe
Hakika Mungu anamjua Mtu kabla yakitu chochote
❤❤mungu nibwana
Huo mkwala umewashika Nini,mbona
Kimya 😁😁😁😁😁😁
Amen thank you Jesus
Injili yakweli hiyo barikiwa mtumishi
Nguvu ya Mungu
Amina
Huyu mshikaji lumber ni moto wa kuotea mbali
Mungu amempa utumishi kama wa Moses Kulola.
Kabisa kweli
Kabisaaa
Mimi Rwanda Ni Pastor Andrew Ntakuona Vipi
Mwenye Sikio na Asikie.
Huyu Mzee alifaa awe Askofu mkuu wa kaniasa la TAG
Kabisa
Glory to God!!
mung ni mwema 16:22 16:23
Nakukubali sana
Mungu ana watu.
Ameen
I love god❤❤
Mungu awe. Nawe daima pole saba unatia uchungu
Amen baba
Daaaaah
Ohhh my God, nitapataje huyu mchungaji?? niko na uzito saaana kwa familia niliozaliwa na nilio olewa hadi watoto wangu ohhhhhhhh nisaidieni nifikie haya maombi
Uje Dsm kanisa lolote la T.A.G ulizia kanisani kwa mchungaji Moses Magembe utapelekwa au kuelekezwa
Pole
Asante
Jamani kumbe uchawi upo??? Dah
Bwana yesu asifiwe
💐💐💐👍
Ushuhuda wa huyu Mchungaji ni funzo tosha
Kweli.nimeamini.mungu.yuko.na.mungu.anaweza.
Duh! Mama alipotea!??
Kanisa linahitaji hizo nguvu