MAJIBU YA TAG BAADA YA MCH.MAGEMBE KUJIONDOA"Hatujamfukuza ameondoka mwenyewe tumekubali aende tu"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 192

  • @KilimoMichael
    @KilimoMichael 19 днів тому +9

    Magembe ana wivu wa kimungu na Mungu atambariki sana Mungu ana mtumia sana ana hubili injili ya kweli nyie mhuu

  • @daudiedsonrichard509
    @daudiedsonrichard509 20 днів тому +20

    nyoosheni maneno vzr. achane kumumunya maneno. barua ya magembe haijaeleza kuwa anaacha sababu ya uzee..ila ameeleza vzr sana. Nyoosha maelezo vzr. na unasoma barua ya mch. Magembe kana kwamba amekosea sana. Mungu atafanya kilicho sahihi kufanyika juu yenu.

    • @wilfredshoghosho0017
      @wilfredshoghosho0017 19 днів тому +2

      Agree to disagree sub heading 😂

    • @mugapro
      @mugapro 19 днів тому +1

      Aliacha uongozi huko nyuma kwa sababu ya uzee kabla hajajitoa kama mchungaji

    • @SAVINPONSIAN
      @SAVINPONSIAN 18 днів тому

      Agree to disagree hatakuwa mchumi huyo so mchungaj😂😂

    • @janecosta857
      @janecosta857 18 днів тому

      @@mugaproacha uongo hajawahi Kuacha ukurugenzi wa umisheni Kisa Uzee, ila aliomba aachie ili aendelee kuhubiri….chunga kinywa chako kumzungumzia Mtu wa Mungu, uongo.

    • @mugapro
      @mugapro 18 днів тому +1

      @@janecosta857 uongo mimi tena wakati hayo mambo kayaongea askofu wakati anafafanua, kasema aliomba aache uongozi kwasababu ya uzee, wewe dada ni kichaaa au umelogewa imani sio?

  • @BahariaWakawe
    @BahariaWakawe 19 днів тому +7

    Watumishi wangesimama kuhubiri kweli kwaajili ya kuokoa roho za wengi ziendembinguni na kuacha kutetea brand kama TAG na PCC. Kwa upandewangu hoja ya Magembe inamashiko sana. Nimaombiyangu makuu mungu atuokoe na kutusamehe ilisikumoja tukamuone amina.

  • @IvanKambindu
    @IvanKambindu 20 днів тому +12

    Magembe kawaageni vizuri , mnashindwa vipi kuagana naye vizuri, mnaongea as if magembe hakufanya kitu, eti muundo wa uongozi na unatoa mfano wa kuwa kwenye joto ukimaanisha uongozi wa magembe ni mbovu, hivi ninyi wa TAG hamtaki mtu anayekua na kuanzisha huduma yake, mnataka aendelee kuwa wa TAG, Na anapoondoka tu mnamwona mtu kuwa ni mbaya, kwa Taarifa yenu huduma ya magembe haifi leo wala kesho , TAG mna matatizo tena hamjui kuthamini hao watumishi wanaotumika chini yenu ,

  • @pillykinabo8722
    @pillykinabo8722 19 днів тому +10

    Samahani mtumishi wa Mungu. Kwani ni nini maana ya kanisa??? Kwa uelewa wangu mdogo najua kanisa ni mimi na wewe. So mtumishi wa Mungu akisema kanisa limekufa manake ni sisi waumini ambao ndio kanisa lenyewe tumekufa. Na ndio ukweli wenyewe mtumishi. Waumini hatuogopi tena dhambi, tunaibiana waume makanisani, uzinifu umejaa, tunavaa uchi kupita kiasi, mtu anauwezo wa kumiliki simu ya milioni 2 lakini bibilia ya sh 23 elfu hawezi kununua, tunasengenyana vibaya mno, waumini mbaka wanasema wachungaji wao makanisani, bado tunajiita walokole, wakati ndani ya mioyo yetu tumemwacha kristo. Tumekufa kiroho,
    Na si dhehebu moja la TAG tuu bali ni wakristo wa madhehebu yote. Unaweza kuta jengo linawaumini zaidi ya elfu moja ila alie wake kristo kweli ni mmoja au watatu. Kanisa tunakwenda wapi?? Wachungaji wetu hamkemei tena dhambi. Hata mkijua tunakosea mnanyamaza tuu kwa kuhofia tutaondoka pengine sadaka zitapungua. Kiukweli kama wachunga kondoo mnalo la kujibu mbele za Mungu jichunguzeni tena. Nami nasema kanisa la sasa limekufa. Hemani mwa kristo umejaa uozo mtupu. Mungu atusaidie kanisa. Mungu afungue jito la tatu kwa viongozi wetu.
    Mwenye sikio na asikie Yesu yuuu njiani. Hatokuja kuchukua TAG, wala Efata, wala rutherani, wala carivary, wala pentecoste, wala katoriki, wala EAGT hayo ni majina ya mahema ambayo sisi kama kanisa la Kristo tunakusanyikia na kujifunza kweli ya Kristo yenye kutupa uzima ule wa milele.
    Yesu haji kuchukua hayo mahema mpendwa, majengo hata yawe mazuri vipi yatabakia, Yesu anakuja kuchukua kanisa lake yaani mimi na wewe mpendwa tuamke kutoka usingizini tumtafute Mungu kwa nguvu zetu zote. Hakuna muda tena mpendwa. Ktk marko Yesu anasema aaminie na kubatizwa ataokoka. Hajasema aabudie dhehebu fulani ataokoka tuache misimamo isiyo na maana tuitafute kweli ya Mungu. Na sehemu pekee tutaipata hiyo kweli ni ktk kusoma neno lake. Sababu anasema yeye ndio kweli na uzima.
    Mlokole miaka 10 ya ulokole wake hajawahi funga. Wala kusoma neno la Mungu. Mwisho tunaishia kudanganywa na kufuata miujiza kwa mitume na manamii. Sababu hdtuijui kweli.
    Na Mungu anasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, hayo maarifa tutayapata wapi kama si ktk neno lake? Kwenye madhehebu yetu neno tunafundishwa dk 30 au 40 tuu. Lakini matangazo yanachukua zaidi ya saa. Sasa jee kanisa litakosaje kufa???? Hatukemewi kama enzi za kina moses krola tunabembelezwa tufanye tuyatakayo kwenye mahema yakuabudia ni kweli mtumishi kanisa limekufa usipinge.

    • @MyMercy84
      @MyMercy84 18 днів тому

      Hawa hawajamuelewa Maghembe..halafu na huyu anayeongelea hapo yaani anaonesha kabisa shida ni yao

    • @jeandedieuuwimana3312
      @jeandedieuuwimana3312 3 дні тому

      Shetani mmempa nafasi mtumishi wa Mungu aliubili ukweri kanisa limekufa duniani kote hamna uamsho na mambo ya kigeni yameingia

    • @jeandedieuuwimana3312
      @jeandedieuuwimana3312 3 дні тому

      Siku hizi kanisa hakuna kukemea

  • @ThulaniPrince
    @ThulaniPrince 19 днів тому +14

    Yure mzee anasema kweli hata kama mm ni msabato

  • @amaniamosi2603
    @amaniamosi2603 20 днів тому +9

    Hata Yesu hakua na dini mambo ya dini ni uongo kwenye mwili wa Kristo na Mbinguni hamna TAG, EAGT, au PAG ila utakatifu tu

  • @wilfredshoghosho0017
    @wilfredshoghosho0017 19 днів тому +11

    Munajitetea sana. Mungesema Mch. Magembe ametoka kuendelea na huduma mahali pengine ingewacost nn

    • @Reginajohnson-1988
      @Reginajohnson-1988 17 днів тому

      @@wilfredshoghosho0017 wanataka kumchafua tuu ile wameshindwa

  • @IbrahimMgimba
    @IbrahimMgimba 20 днів тому +3

    Mwenyezi MUNGU Alisaidie kanisa lake isitokee migawanyiko amina.

  • @Focus_Mengi
    @Focus_Mengi 19 днів тому +8

    Hili tuliliona mapema sana kuwa Mch. Magembe uhuru wa kuhubiri injili ya toba na utakatifu humo TAG alikuwa hana. Ukimua kubeba kweli yote ya Mungu katika hii dinia, basi jiandae kupoteza marafiki na kuchukiwa karibia na watu wote hata ndugu zako wa karibu…
    Poleni sana viogozi wa TAG, biashara yenu ni kama inelekea kudorora. Baadhi ya waumini wenu wanaompenda Mch. Magembe lazima watamfuata, hivyo mjiandae hayo masadaka na mafungu vinaenda kupungua kwa asilimia za kutosha.

    • @amosibilingi4299
      @amosibilingi4299 19 днів тому

      Hakuna ukweli na Toba ya kweli vitaweza kubadili UNABII wa Mungu Baba alionena juu ya Dunia hii Kwenye nyakati zake zote na vizazi vyote. Ni Bora tuchague kuombeana ili kila mtu atimize kusudi lililomleta DUNIANI maana kila MMOJA atalipwa Kwa kiasi alichofanta. Ni vizuri sana tuchague kuhurumiana Kwa Hali yoyote Ile maana vita ni Kali, Leo kwako kesho kwangu

    • @MariamCleinance
      @MariamCleinance 14 днів тому

      Msimchafue magembe jamani

    • @EstherMarko-t7e
      @EstherMarko-t7e 4 дні тому

      Magembe hubiri injili mpaka kieleweke, achana na watu waliokufa kiroho siku nyingi, wasikubabaishe tupo nyuma yako kukuombea baba, ufalme wa mungu unatekwa na wenye nguvu, sio wakuu wa sekshen wa t a g

  • @Reginajohnson-1988
    @Reginajohnson-1988 20 днів тому +3

    Sikuhizi ukimtumikia Mungu Muumba Mbingu na Nchi lwa uaminifu tuu kanisani unatengwa, lakini tusishangae kwa maana huko hao hao wakuu wa kanisa ndio waliomsulubisha BWANA YESU kipindi like

  • @pillykinabo8722
    @pillykinabo8722 19 днів тому +1

    Wow! Kumbe magembe tayari anazombegu nyingi sana ambazo zimemea na kustawi vyema. So far aendako anakwenda kuendeleza kazi ya kumuhubiri kristo na si shetani. Mungu awe pamoja nawe ktk kuifanya kazi yake mtumishi wa Mungu Magembe.

  • @ellyitete938
    @ellyitete938 20 днів тому +10

    Bsba hapa mngepiga kimya tu ......sio kusema kakoses mngesema tu kaenda kuendeleza kaz ya Bwana nje ya TAG

    • @wilfredshoghosho0017
      @wilfredshoghosho0017 19 днів тому +4

      Wisdom. Nimependa niwachache sana watasema hivyo

    • @joyyjoyy5474
      @joyyjoyy5474 19 днів тому

      Yani watu wa Mungu hekima imepotea Kwa kweli​@@wilfredshoghosho0017

  • @ChanilaKitwima-zc6ko
    @ChanilaKitwima-zc6ko 20 днів тому +9

    Kiongozi unaongea kama huna Roho Mtakatifu, sioni hata kauli za Upendo naona unataka kushindana tu kinyume kabsaa na maneno ya Yesu Bwana, Uongo humo humo, unajihesabia Haki sana unasahau BWANA Yesu hutoa wito mbalimbali kama aonavyo udhaifu wa Kanisa
    Kanisa Limekufa matendo tu yanaonyesha, Mtafuteni MUNGU

  • @jesuspower2390
    @jesuspower2390 20 днів тому +6

    Kuanzia huyu kiongozi anayehuburi anaongea na kuhubiri kimazoea inshort kama umesimama na Mungu hakuna hata kutumia jina la YESU. anakazana tu kusema tunasimama na Mungu, sijui Mungu kupi? maana kuna miungu mingi... siko upande wowote ila JINA la YESU litiliwe mkazo na kuwe na muamko wa neno la YESU

  • @YohanaKoko
    @YohanaKoko 19 днів тому +4

    Mtumishi wa Mungu kanisa kwa sasa limtafute Yesu

  • @deniceemmanuel5323
    @deniceemmanuel5323 19 днів тому +5

    Mtumishi jitahidi kuunganisha watu usipande chuki tafuta jema mzee amepambana angalia ambako kuna udhaifu kwenye kanisa lenu pamoja na na pande wa neno la mungu mzee yuko sawa huo ndi msimamo

  • @Neema182
    @Neema182 20 днів тому +7

    Magembe yuko sahihi kabisa

  • @pillykinabo8722
    @pillykinabo8722 19 днів тому +3

    Si TAG tuu ila kanisa la sasa simeanguka, waumini tumepotoka sana, tunafundishwa kweli lakini matendo yetu waumini yanatisha kama nini. Mungu tuu atusaidie, viongozi makanisani ni wazinifu, wezi, wanasema uongo mwingi. Mungu atusaidie sana. Yesu yuko njiani ona mavazi ya wadada na wanawake wanavyovaa makanisani kiukweli hakuna tofauti na disko, yaani mbaka wanzetu waislamu wanakaa majiani na kututazama na kutudharau, kiukweli wakristo tunamdharirisha kristo. Yule mzee namuunga mkono anasena kweli tupu. Yesu anarudi tuacheni misimamo ya madhehebu turudi tutengeneze na Yesu. Siku zimekwisha hapa duniani Yesu anarudi. Misimamo ya madhehebu itatumaliza wapendwa.

  • @JamesKasomi
    @JamesKasomi 18 днів тому +1

    Acha siasa mtumishi, mch Maghembe piga kazi baba Mungu yuko upande wako

  • @cheprikoekirureuben818
    @cheprikoekirureuben818 19 днів тому +1

    Aliye na uwezo wa kuhukumu ni Mwenyezi Mungu.Mtetezi yupo.Ukweli kuhusu injili ya YESU KRISTO MWOKIZI WETU itabainika wazi.

  • @ibuphilipo7940
    @ibuphilipo7940 19 днів тому +5

    Kwa maelezo haya,hunasifa za uongozi,mzee maghembe jembe.ukisema ukweli,matokeo ndo haya.

  • @AlmasMkoko
    @AlmasMkoko 13 днів тому

    Tunamtumikia Mungu na siyo mazehebu, tambueni yesu yu karibu kurudi tuwe tayari

  • @JosephAnton-p9t
    @JosephAnton-p9t 20 днів тому +5

    Umekosea sana kwa maneno yako

  • @annanguvumali
    @annanguvumali 19 днів тому +4

    Ukweli ndo huoTAG imeoza sana mnaangalia maokoto to

  • @ChristinaPhilip-r5h
    @ChristinaPhilip-r5h 19 днів тому +6

    Mko mwilini sana Bwana awasaidie 🤔

  • @Lameckmichael-h2m
    @Lameckmichael-h2m 16 днів тому

    Ubaya ubwelaaaa mimishabiki wamagembe🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉tubuuni muachane nadunia shida nimienendo yakanisalenu halimuinui mungu tena

  • @SamweliUlomi
    @SamweliUlomi 19 днів тому +1

    Magembe ameaga TAG, Mtumishi umekiri hajafukuzwa TAG,mi naomba tumieni muda mrefu kuhubiri injili,acheni kumsema Mch.Magembe,kama Mungu kamuongoza atampigania huko aendako,la sivyo,mtamuelewa tu,kaeni kimya,kama Ni Mungu ataendelea tu,kama sio Mungu mtaona tu.

  • @NicholausVedasto
    @NicholausVedasto 20 днів тому +5

    Nagembe yupo sahihi acha kujiosha

  • @roseydavid5129
    @roseydavid5129 14 днів тому

    Nampenda mchungaji Magembe sana akihubili hafichi kitu acheni kukumbatia dhambi kazi ni ngumu kwa sasa watu roho zimekuwa ngum kwasababu ya dhambi ila mkiendelea kulea yasiyofaa mtakuja kumkumbuka mwenye akili timamu ataelewa

  • @EliaMaestro
    @EliaMaestro 19 днів тому +6

    Samahani kiongozi. Unaongea kama mwanasiasa kanisani sidhan kama inatakiwa iwe hivo mungu atusaidie wa t.a.g wote kwasababu hali ni mbaya sana

  • @LilyMaganga
    @LilyMaganga 19 днів тому +1

    Magembe yupo sahihi nikweli kiroho tumeshuka sana sio uongo😊

  • @JoshuaIsaiah-u9f
    @JoshuaIsaiah-u9f 16 днів тому +1

    T.A.G kumekua na siasa nyingi sana

  • @mujunicarmel2066
    @mujunicarmel2066 19 днів тому +3

    Wewe ukiongea, na Magembe akiongea, watu wana akili, wanaelewa nani yuko serious na kazi ya MUNGU..

  • @vicentmwengo2751
    @vicentmwengo2751 16 днів тому +1

    MNGEKAA KIMYA NA KUJITATHMINI KAMA KANISA KULIKO KUKIMBILIA KUJITETEA KWA KUMKABIRI MTU, MAELEZO YENU MEPESI SANA HAYANA HOJA ZA KIROHO BALI YANALENGA KUMKABIRI MTU.

  • @DeodatusPhabian
    @DeodatusPhabian 17 днів тому

    Yesu amemua kuleta uamsho upya. baada ya moses kulola, amemleta magembe sasa. Jambo kubwa Kila mtu asimame na Yesu kikweli kweli. Maana wote ni binadamu tunasubili Yesu tuione mbingu. Ni kutubu na kuwa watakatifu, acha Mzee wetu apige kazi ya Mungu. Tupendane nakusameheana Wa Tz tuijenge nchi yetu mbele za Mungu ipate kibali.

  • @barakagwata4160
    @barakagwata4160 20 днів тому +3

    We mnafiki, magembe anauhubili dini ya kweli, wewe unataka utawala, acha ushetani wa kutaka madaraka, kila ambacho anato mtu, niwito na karama aliopewa kabla ya kuzaliwa,

  • @ShabaniManginja-f4f
    @ShabaniManginja-f4f 16 днів тому

    Magembe yupo sahihi sana shida amtaki kuambiwa ukweli

  • @SABRINAJAPANESE-fn8un
    @SABRINAJAPANESE-fn8un 18 днів тому +1

    Nimelia sana kusikia hili jambo sio kawaida yani sio kawaida nasema tena mnatuharibu kisaikolojia vijana wenu jaman. Maelezo yenu mnang'ata na kupuliza unasema ameondoka kwa amani na mnaaman lakin unamsema mtaona hafiki mbali. Maana yake ni mmekubali aondoke kwa unafiki ndani yake.
    Imefika wakati kanisa litakuwa na fedha na dhahabu ila halinauwezo wa kumwambia kiwete simama uende maana uamsho hatuuutaki.

  • @samuelmuchui2339
    @samuelmuchui2339 19 днів тому +2

    Preach christ, stop these, change yur ways, and look at the cross

  • @amanilucy
    @amanilucy 17 днів тому

    TAG mmefeli sana kwenye vitu vingi mfano rafiki yangu alitaka kuoa kanisa mkamsimamisha kwa mienzi sita ikaisha bado mkaeka vikwazo vingi katika ndoa mpaka nikagombana mchungaji apa arusha anajifanya mungu mtu

  • @AngelAbeid
    @AngelAbeid 17 днів тому

    Bibilia inasema mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru,mahubiri ya kutiana moyo tumechoka,ukweli upo waz kanisa limepoa mno mim mwenyewe ni m tag,haya mambo ya madhehebu yanaua kanisa sanaa,,Tunahtaj uamsho YESU anarudi

  • @imankasagara9492
    @imankasagara9492 15 днів тому

    Achana na udini huo TAG shukuru Mungu kuongezeka kwa watenda jazi nje ya TAG

  • @geoffreykilawe3953
    @geoffreykilawe3953 10 днів тому

    Mungu akusamehe tu kwa uongo unaongea.

  • @ASTUDIOSTZ
    @ASTUDIOSTZ 19 днів тому +1

    MIMI NAOMBA MCH. MOSES MAGEMBE AANDIKE KITABU CHA MAISHA YAKE ILI KWA SIKU NYINGI ZIJAZO KIWE UKUBUSHO WA MAISHA YAKE KWA VIZAZI VIJAVYO

  • @godfreyjackson4499
    @godfreyjackson4499 17 днів тому

    Ukisoma coment hakuna aliyekubaliana na maneno yako mtumishi, hakika Magembe ni Mtu wa Mungu. MUNGU MBARIKI MAGEMBE

  • @ngejejemashubi4213
    @ngejejemashubi4213 18 днів тому

    Huyu Mzee hakuna kitu hapo mwenyew yule Mzee Magembe namukubali na yupo wazi ,hao wapigaji ,Mungu akinipatia chochote lazima nkatoe chochote kwa huyu Mzee

  • @danieldume7203
    @danieldume7203 19 днів тому +4

    TAG
    Mumepotoka

  • @ericfelician7996
    @ericfelician7996 20 днів тому +3

    Hili kanisa aliondoka kulola ni magembe tena

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 19 днів тому

    Nasali TAG ushuhuda wa mgogoro wa Kulola na Lazaro ulihatarisha maisha ya Kulola. Kwasasa cha kufanya ni kulia na kuomboleza mbele za Mungu kwa ajili ya kanisa tuponywe.

  • @meshackngaboss1236
    @meshackngaboss1236 19 днів тому +1

    Mungu amsamehe tu maana anaongea kiushabiki wa dini ukimsikiliza Magembe amenyooka huyu anabumbabumba story nyingiiii zisizo na msingi kiasi ambacho hata anajisahaulisha kua TAG yenyewe ni Lazoro alijitoa EATG kwa maelezo yake na mwanzilishi wao ni msaliti sasa kwa kujitoa EAGT na kuanzisha TAG

    • @JimokuMhela
      @JimokuMhela 17 днів тому

      Eagt ndo imetoka Tag, sio Tag imetoka eagt.

  • @yoshuampembee182
    @yoshuampembee182 18 днів тому

    Much. Mhiche ungenyamaza tu, Magembe ameonyesha Ukristo. Amewaachia Kila kitu alivuna bila tamaa

  • @SarahShao-jw1up
    @SarahShao-jw1up 13 днів тому

    TAG mko ICU.,...YESU NDIE MWENYE KANISA .....Nyinyi mnaelekea kuwa kama Katoliki, Lutheran , Anglican na makanisa mengine yanayoona dhambi ni kawaida.Jitafakarini.

  • @beatricekisese3272
    @beatricekisese3272 16 днів тому

    Magembe is innocent

  • @felistamwashibanda7764
    @felistamwashibanda7764 14 днів тому

    Mpo kimwili sana alafu unajidai eti sisi ni viongoz wa jimbo,No,Mungu hapendi tena munaonekana mnawivu wa kiuchumi kuliko wivu wa kiroho mnapenda pesa kuzidi hata ukisikiliza maelezo yako ni ya hovyo

  • @evansimsagaatkog1953
    @evansimsagaatkog1953 8 днів тому

    Kaeni na huyu mzee magembe abakiTAG na ilodhehebu lake liendelee acheni Mashindano

  • @ErnestinaKisinga
    @ErnestinaKisinga 19 днів тому +3

    Kanisa limeoza kweli atmimi nimo kanisani

    • @AtuganileGodson
      @AtuganileGodson 17 днів тому

      Kanisa limekufa na diyo TAG tu ,yule mzee anasema kweli keani hatuoni mavazi,tamaa,uo go madhabahuni,vijembe,vita viongozi Kwa Viongozi,hayo mambo yote anayosema ni kweli.Kama kanisa halijaoza subirini maana hata yeye anajisema ,Mungu ni mwema sana kwake

  • @ANDREWGADIMRINJI
    @ANDREWGADIMRINJI 11 днів тому

    Kuna uqezekano mmemshinikiza aandike hiyo barua.lakini kuna uwezekano mlikuwa mmemfukuza.
    Ila niwashsuri..shatani yuko busy atawagonganisha ili muyumbe kiroho.

  • @risanj-g9l
    @risanj-g9l 18 днів тому

    Kiongozi huo muda heri ungeutumia kuhubiri amani na upendo katika Kristo yesu

  • @masalamndamichi443
    @masalamndamichi443 19 днів тому +2

    Mmmh, kumbe makanisa nimchongo tu ....

  • @solomonbussa
    @solomonbussa 15 днів тому

    Hapa mchungaji unadanganya Magembe hakuzungumza hivyo,rejea alichokisema mwenyewe siyo kusoma maoni ya watu!.Hubiri neno usihubiri mtu,kama Magembe ameondoka mbarikini aende salama kwani kuna sehemu amegusa masirahi yenu?.Unapandikiza chuki zisizo na maana unafikiri unambigu ya kuwapeleka?.

  • @josephpeter8511
    @josephpeter8511 17 днів тому

    amen ya nini sasa?? Magembe Yupo sahihi. jichuguzeni na sio kufunika.

  • @BenedictPeter-r2d
    @BenedictPeter-r2d 18 днів тому

    Mungu wa mbinguni atafunua ukweli hakuna haja ya kujitetea sana babaa

  • @annkim2690
    @annkim2690 20 днів тому +2

    🤣🤣🤣Yohana hebu njoo uombe wazee msamaha uliwatukana

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 14 днів тому

    Mchungaji alieleza kuwa kanisa lipo ICU kwa sababu ya maovu yanayoendelea, bora mngemsikiliza na kumsaidia kulisafisha kanisa.

  • @imankasagara9492
    @imankasagara9492 15 днів тому

    Utanajisi Kanisa bora unyamaze kuhubiri udini wa TAG

  • @annkim2690
    @annkim2690 20 днів тому +3

    Kanisa limeonza wewe hukumuelewa alikua anahubiria kila alie okoka ageuze njia yake

  • @floshkitchen3061
    @floshkitchen3061 15 днів тому

    Ndo mjue Mungu anaweza kumtumia yoyote ili kazi yake isonge mbele.

  • @nancyisoyi8164
    @nancyisoyi8164 19 днів тому +1

    ✍️Akaingia… BAR… nabasss✍️
    MTOKA MBALI🧐🧐🧐
    HUKO Kwa PILATO
    Wali ulizana!!
    Tumuachiliye
    YESU KRISTO ?
    au barnabass❓
    Wapotevu waka mchagua yule « « « « barnabas » » »
    WAKASEMA
    MSULUBISHA YESU KRISTO 🙌 na muachiliyeni barnabas

  • @MassaweMeshack
    @MassaweMeshack 19 днів тому +1

    Kaondoka msema kweli wamebaki wanafiki

  • @benny-dk3kl
    @benny-dk3kl 18 днів тому +1

    Mnafuta comments zetu kwanini km kweli mpo sawa?

  • @JuliusJastine
    @JuliusJastine 18 днів тому +1

    Ludi msalabani mzee

  • @KiongoziMwandamizi
    @KiongoziMwandamizi 15 днів тому

    Mbona maelezo ya barua yake tofauti na unayo ongea. Nyie wahuni tu

  • @joelsumaye8162
    @joelsumaye8162 17 днів тому

    Mchungaji Magembe anahubiri Ukristo siyo TAG. Usilinganishe Kanisa na vyama vya Siasa.

  • @petermusau8342
    @petermusau8342 19 днів тому +3

    Mimi ni mkenya ila TAG mumepoteza. Nimekuwa ni kimfwata mch magembe ila yeye amekuwa akihubiri kuhusu kanisa sio TAG. Ukweli wa mambo kanisa linahitaji uamsho na uvuvio.

  • @imankasagara9492
    @imankasagara9492 15 днів тому

    Mbona Roma Mnawakandia kumbe TAG nanyi mnsoitia njia hiyo hiyo

  • @IddiShemi
    @IddiShemi 20 днів тому +2

    samahani,kwani anaye homba ruusa amehasi?

  • @MyMercy84
    @MyMercy84 18 днів тому

    Mbona kama huyu Mchungaji anaogopa waumini wataondoka wajiunge na Maghembe? Kha...kweli kuna jambo halipo sawa

  • @NeemaFoya-w6e
    @NeemaFoya-w6e 19 днів тому

    Madhehebu ni yenu kamwe KRISTO hajagawanyika ni Moja .Nyie T. A.G tuambieni Bwana Yesu Kristo alikuwa dhehebu gani hiyo ni mifumo wanadamu wamejiundia Kwa maskahi Yao binafsi.Bado nawaambia Wana T.A.G tajeni madhehebu ya wanafunzi wa Yesu .Msituchanganye jamani

  • @hilamvicent6720
    @hilamvicent6720 15 днів тому

    Sioni kama kuna haja ya kusema maneno hayo iltakiwa tu mbariki kuondoka kwake

  • @PoulMononi
    @PoulMononi 17 днів тому

    Hicho ni kibri cha uzima hai wezekani kanisa nchi nzima life lime kufa ! Huyo magembe dhambi ya ukenge ufu ime vamia

  • @FailaMwangaza-x5s
    @FailaMwangaza-x5s 19 днів тому +1

    Someni wakorito 1 =13,14 kwanini m meenda kinyume nama andiko? Atakaye punguzaneno moja katika maandiko ataukumiwa naatakaye ongeza ataukumiwa mimi nime oma m mepunguza maandiko jameni fundi sheni wanawake kufunika kishwa wakati wakuabudu MUNGU jameni

  • @LucianSanga
    @LucianSanga 16 днів тому

    Muchungaji Ana linganisha Wana Siasa na Watumishi wa MUNGU Inaonekana Hajui Kwamba Wanasiasa ni Wahuni Fulani na Hawa Mujui MUNGU Hapa kunashida Shetani Amesha Ingilia kati😂😂Kuli Haribu Kanisa La MUNGU MUNGU

  • @ericamkwena7736
    @ericamkwena7736 13 днів тому

    Acha hizo Hakuna lolote Tunamtaka YESU si DINI

  • @Reginajohnson-1988
    @Reginajohnson-1988 20 днів тому +1

    TAG mnajitetea, huyo skiondoka mmekwisha

  • @imankasagara9492
    @imankasagara9492 15 днів тому

    Kwani wengine mbona tumekuja TAG na tumeokokea Calvari hatutumiki vema TAG

  • @SABRINAJAPANESE-fn8un
    @SABRINAJAPANESE-fn8un 18 днів тому

    Pia mzee anatupa maarifa na kuturudisha katika njia ya kweli na maadiri ni kweli hata kama mtasema anatukana kanisa lakini macho yanaona yanayoendelea katika kanisa. Na mzee namnukuu hazungumzii TAG pekee lakini anasema kanisa limekufa maana yake kanisa la MUNGU. Makanisa ya kipentecostal kuna hali sio nzur kiroho. Ndo ukweli. Na ulimwengu wa sasa hakuna kumridhisha mtu kwa maneno wakati na tunaona yanayoendelea. Nguvu ya ROHO inapungua jaman.

  • @fedrickmwailinga7819
    @fedrickmwailinga7819 16 днів тому

    kitu kimoja nakijua uongozi wa dini ndo unaodholotesha injili, hata Yesu alisulubiwa na viongozi wa dini... viongozi wa dini huwa wanajiona wao ni wamiliki wa waumini...

  • @28087178
    @28087178 19 днів тому

    Makanisa yamekuwa ovyo kweli siku hizi ni taasisi za kibinafsi kuna watu wanataka wainamiwe kana kwamba was ndo Mungu

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 15 днів тому

    😂😂 Injili ya Tz raha tupu😂😂

  • @MilamboAbonim
    @MilamboAbonim 19 днів тому +1

    Me nashindwa kuelewa chochote,
    Bado nabaki naelea tu,,

  • @zacharianyanda5424
    @zacharianyanda5424 18 днів тому

    Kweli hela ni mwanaharamu. Tazama walichukua kanisa walivyofulahi. Haya ngoja tuone.

  • @KenethMbughi
    @KenethMbughi 17 днів тому

    Hapa sasa Kila mtu aamue kwenda na jina la tag au kwenda na tag ya matendo,hapa tuta fukuzwa wengi kama ukikemea maovu Kwa viongoz unakuwa sio uamusho ila vita.

  • @SamwelSadock
    @SamwelSadock 17 днів тому

    Viongozi msiwe na kinyongo kwenye utumishi kwa sababu eti tu washilika wamechangia huduma mpya kwani wakichangia shida iko wapi mbona mimi siwaelewi washilika sio mradi wenu jamani

  • @ericfelician7996
    @ericfelician7996 20 днів тому +2

    Kweli kanisa limepwaya

  • @mwakyusahealthylifestyle4621
    @mwakyusahealthylifestyle4621 18 днів тому

    TAG tunaenda wapi haya mambo ni kama utani lakini tunakoelekea sio kuzuri na mnafanya siasa kanisani makamu mkuu wa askofu unatoa majibu rahisi sana kwenye maswali magumu magembe anahoja tena za msingi asikilizwe ukweri ni kwamba kanisa la sasa roho mtakatifu hayupo kabisa

  • @imankasagara9492
    @imankasagara9492 15 днів тому

    Achana na udini huo kwani kazi ya kuhubiri ni ya TAG au ya Mungu washirika ni mali yenu

  • @SamwelSadock
    @SamwelSadock 17 днів тому

    Yesu wetu hana dini watu wanadini

  • @winfredygeazi110
    @winfredygeazi110 19 днів тому

    Kweli TAG imekufa kama viongoz wenyewe ndo hawaa imekufaa kabisaaaa

  • @patricklaiton8939
    @patricklaiton8939 17 днів тому

    MUNGU AWASAIDIE AWA WAHUMINI MAAGHEMBE AMEPATA JINA ANWATAMANI KINA MWAMPOSA