KANISA la TAG LAFICHUA MAZITO KUONDOKA kwa MCHUNGAJI MAGEMBE - "KANISA LIMEOZA - TULISHANGAA SANA"..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 36

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  День тому +2

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @Shalom803
    @Shalom803 7 годин тому

    Mzee Mhiche muogope Mungu, acha kujiunga kwenye chorus usiyoijua. TAG kupoa ni kweli

  • @alexmlekwaonline5133
    @alexmlekwaonline5133 Годину тому

    Ni kweli kanisa linahitaji matengenezo! Wewe Mzee endelea kutetea upuuzi

  • @bishopprofvictorchisanga2009
    @bishopprofvictorchisanga2009 Годину тому

    Ni bahati mbaya sana MAGEMBE HAKUELEWEKA KAMA MJUMBE WA BWANA.

  • @SadatHassani
    @SadatHassani 8 годин тому

    mzee muongope mungu aonae silini magembe Hana shida ila nyinyi ndio mnashida kwakuwa magembe kasema kweli

  • @IsaacKalenge
    @IsaacKalenge 13 годин тому

    Kwa hiyo Magembe ameharibika Askofu wangu Muhiche huyu mtu kafanya kazi nzuri kuliko kujiondoa

  • @samniza9015
    @samniza9015 18 годин тому +3

    Unapoongea ukweli ni lazima unakua na confidence, hupambipambi. Mimi makanisa ya bongo hapana, ila kwa Magembe nitakwenda. Wachungaji wapo kuwapamba watekaji, hawatetei wananchi wanaoteseka na regime mbaya wao wanahofia kufutiwa usajili. Mmeoza, it's all about money, let the devil know, not today.

  • @erastomwambeje9920
    @erastomwambeje9920 День тому +1

    Makamu Askofu mkuu ni kweli kwenye uongozi wenu kuna tatizo siyo hili tu,yapo mengi.

  • @ezemasalu3
    @ezemasalu3 5 годин тому +1

    Kiongozi mwenye busara huwezi kusimama na kuongea hivi
    Huu ni ushamba wa madaraka
    Mtu ametoka si unyamaze kwanini viongozi mnakuwa hivi?

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 16 годин тому

    Haya makanisa ya kipendekosti hawataki kuongozwa.....yanamatatizo sanà Kwa sababu ni mwavuli TU...wengi wanamtafuta maisha

  • @FebbiMetsia
    @FebbiMetsia День тому +1

    Injili ya aman isiyoenda mbinguni haifai

  • @samniza9015
    @samniza9015 18 годин тому

    Sasa pesa ndio zimewafanya mkamuacha Mungu, shetani yupo anawinda.

  • @ceciliaonyango5367
    @ceciliaonyango5367 32 хвилини тому

    Wanachama huwa wanahama

  • @edwardmaitari-yu3pc
    @edwardmaitari-yu3pc 4 години тому

    Magembe yuko sawa anasema ukweli dunia kuingia Kanisani Mchungaji leo amenyoa Denge yuko madhabahuni usharubaro

  • @jimonmwakalebela9470
    @jimonmwakalebela9470 День тому

    yesu yu karibu kuja

  • @IsaacKalenge
    @IsaacKalenge 13 годин тому +1

    Washirika wa TAG Hawezi kusaidia kazi ya Mungu nje ya TAG,Sasa Kosa la Rev Magembe ni kuwaomba wasaidie huduma nje ya TAG?

  • @bishopprofvictorchisanga2009
    @bishopprofvictorchisanga2009 Годину тому

    Ishara ya Wachungaji wa mshahara ni pamoja na Unene wa mishahara ya viongozi wa juu. Wengine tuliokokea humo, kisha Bwana akatutoa. TAFAKARI I SANA MAONYO YA MAGEMBE; huyo siyo Magembe.

  • @venancemwanya4212
    @venancemwanya4212 День тому +1

    Kwa hiyo shida ya Magembe ni kusema ukweli? Maana ukweli lazima usemwe.

  • @mrh2812
    @mrh2812 День тому +1

    SEMA KIMEUMANA

  • @bishopprofvictorchisanga2009
    @bishopprofvictorchisanga2009 Годину тому

    Muundo wa kanisa ni muhimu, laki Mbinguni ni Uongozi wa Roho Mtakatifu; siyo Uongozi wa Kanisa.

  • @OCTAVIANSINZO
    @OCTAVIANSINZO 15 годин тому

    Tatizo ya makanisa haya, UKISEMA UKWELI tu unaondolewa au unachukiwa sana ila haya makanisa ndani yake humo kuna madhambi ya kutisha sana watu wanavumilia.

  • @samniza9015
    @samniza9015 18 годин тому

    Kasema hajafukuzwa. Mungu atafanya na kuwahukumu.

  • @IsaacKalenge
    @IsaacKalenge 13 годин тому

    Hao sio watoto wa kiroho wa Magembe

  • @angelinnamkingi2219
    @angelinnamkingi2219 День тому +1

    Kumeanza kichangamka

  • @IbnxingahKhan-pd4pr
    @IbnxingahKhan-pd4pr Годину тому

    Nivema tukaunga mkono wengi kuliko kuwakataa kwakua nyinyi viongozi wa juu

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 16 годин тому

    Mvurugano wa maswala ya kiimani hayajanza Leo.....wengine wa kefa wengine wa kristo........mtakieni Kila la kheri kwakuwa hatendi dhambi ni huruma njema akamuhubiri kristo

  • @mrh2812
    @mrh2812 День тому

    Tuekeen na hayo mahubiri

  • @tumsifuweraufoo5380
    @tumsifuweraufoo5380 22 години тому

    Hakuna mchungaji mzurri nyie viongozi kilia mtu anapambania maisha yake,mlimsahau,mlikalia viti vya juu mkamsahau mungu

  • @AnnaSimon-yx9hh
    @AnnaSimon-yx9hh 8 годин тому

    Je? Kristo YESU AMEGAWANYIKA? MUNGU AWATETEE WATUMISHI WAKE,,..MAGEMBE SONGA MBELE MUNGU YUKO UPANDE WAKO HAKIKA, HATAKUPUNGUKIA KABSA, TAJI YAKO NI KUBWA SAANA, SIMAMIA KWELI ,KWA KUWA MUNGU WETU NI KWELI, KWAKE HAKUNA KIGEUGEU..

  • @elshadaiuniforms1196
    @elshadaiuniforms1196 3 години тому

    😢ASHAA MUA MTUMISHI WA MUNGU....
    From kenya napenda ujasiri WA magembe
    MUACHILILIENI. AKAFANYA KAXI YAMUNGU.
    SHAMBA YA MUNGU NIKUBWA
    ........
    DON'T JUDGE
    WAKATI WAKE NA TAG UMEISHA.
    .......SHALOM.

  • @samniza9015
    @samniza9015 18 годин тому

    Lazima asimamie anachokiamini, mnajaji watu kwa kuonekana nje kuliko moyoni.

  • @gordonomondi7161
    @gordonomondi7161 Годину тому

    TAFADHALI TUBU KWA MUNGU. UJUI USEMALO. TAFUTA UOLEKEZO KWA MUNGU.

  • @AnaAna-rb8fh
    @AnaAna-rb8fh 6 годин тому

    Kwahiyo nyie mtu anapo kwema uovu kanisani amekuja mkosa??? Lazima machafu yakemewe

  • @venancemwanya4212
    @venancemwanya4212 23 години тому

    Au kuna shida inaendelea huko? Hivi hayo tu Magembe ndio aondoke!

  • @IsaacKalenge
    @IsaacKalenge 13 годин тому

    Hao sio watoto wa kiroho wa Magembe