MBINGUNI ITAKUAJE LYRICS. Mbinguni itakuaje? Kwa Baba itakuaje? Tutashangilia kwa Baba Imba kwa Baba itakuaje? Mbinguni itakuaje? Kwa Baba itakuaje? Tutashangilia kwa baba Imba kwa Baba itakuaje? Mbinguni itakuaje? Kwa Baba itakuaje? Tutashangilia kwa Baba Imba kwa Baba itakuaje? Mbinguni itakuaje? Kwa Baba itakuaje? Tutashingilia kwa Baba Imba kwa Baba itakuaje? Hakuna njaa Hakuna giza wala kiu Ni kuimba milele Na kumuinua Bwana Hakuna njaa Hakuna giza wala kiu Ni kuimba milele Na kumuinua Bwana Hakuna njaa Hakuna giza wala kiu Ni kuimba milele Na kumuinua Bwana Hakuna njaa Hakuna giza wala kiu Ni kuimba milele Na kumuinua Bwana Just imagine How we gonna dance Just imagine How we gonna sing Hossana Just imagine How we gonna dance Just imagine How we gonna sing Hossana And music gonna sound We gonna dwell in his presence Praise his Majesty Because he is the Lord And he is worth to be praised We gonna dwell in His presence Praise his Majesty Because he is the Lord And he is worth to be praised We gonna dwell in his presence Praise his Majesty Because he is the Lord And he is worth to be praised We gonna dwell in his presence Praise his Majesty Because he is the Lord And he is worth to be praised We gonna dwell in his presence Praise his Majesty Because he is the Lord And he is worth to be praised We gonna dwell in his presence Praise his Majesty Because he is the Lord
Tutaimba mbele zake Na kucheza mbele zake Mbele za Bwana, mbele za Bwana Tutaimba mbele zake Na kucheza mbele zake Mbele za Bwana, mbele za Bwana Tutaimba mbele zake Na kucheza mbele zake Mbele za Bwana, mbele za Bwana Tutaimba mbele zake Na kucheza mbele zake Mbele za Bwana, mbele za Bwana We gonna dwell in his presence Praise his Majesty Because he is the Lord And he is worth to be praised We gonna dwell in his presence Praise his Majesty Because he is the Lord And he is worth to be praised
I hope na mbinguni pametukuka zaidi kupitia huu wimbo kwa kumsifu Mungu na kuonyeaha kuu wake🎉 Mungu azidi kuwainua zaidi na zaidi katika kumtumikia yeye
Another new hit in town ase 🎉Tutashangilia,tutaimba na kucheza aisee sipati picha Mbinguni itakuaje 🤔... Haya tukutane hapa 🇹🇿🇷🇼🇰🇪🇺🇬🇺🇸🇹🇹🇹🇷🇹🇴🇹🇳🇺🇿🇸🇸🇸🇷🇸🇴🇸🇲🇸🇱🇸🇰🇸🇧🇸🇨🇸🇩🇸🇪🇸🇪🇷🇺🇷🇼🇸🇦🇵🇭🇵🇫🇵🇪🇳🇬
You have inspired many through your songs Neema choir keep inspiring many all over the world @# Dr. Mahalila receive my greetings all the way from Kenya more love.
Papa Freddie masanja ,kepha mndeme, Andrew Michael, bassist and the drummist and huyo kaka wa Aux 2...nyie mko fireeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥jameeni Doing great work from Kenya 🇰🇪 Moore love watu wa mungu
Watumishi wa Bwana Mungu awabariki sana! Niwaimbie kitu watumishi wa Bwana, mtafika mbali naona uamsho mkubwa sana wa watu kuokolewa na kumjua Mungu kupitia nyinyi.kikubwa Mungu awe mkuu kuliko chohote mtafika mbali sana!!! Ahsante nawapenda katika kristo Yesu. Ameeen!!
Kuifanya kazi hii yote na siku moja kukutana naye ni vema sana...tusiishie kuimba tu kwa ajili ya biashara Bali kwanza kwa ajili ya kuwavuta walio katika giza kuu la ibilisi na dhambi.. Mungu awabariki
I love the vibe is more than wonderful...😍 Alot of appreciation to you Neema Gospel. Kazi yenu ni njema,you never disappoint your songs are more than blessing..👏
MBINGUNI ITAKUAJE LYRICS.
Mbinguni itakuaje?
Kwa Baba itakuaje?
Tutashangilia kwa Baba
Imba kwa Baba itakuaje?
Mbinguni itakuaje?
Kwa Baba itakuaje?
Tutashangilia kwa baba
Imba kwa Baba itakuaje?
Mbinguni itakuaje?
Kwa Baba itakuaje?
Tutashangilia kwa Baba
Imba kwa Baba itakuaje?
Mbinguni itakuaje?
Kwa Baba itakuaje?
Tutashingilia kwa Baba
Imba kwa Baba itakuaje?
Hakuna njaa
Hakuna giza wala kiu
Ni kuimba milele
Na kumuinua Bwana
Hakuna njaa
Hakuna giza wala kiu
Ni kuimba milele
Na kumuinua Bwana
Hakuna njaa
Hakuna giza wala kiu
Ni kuimba milele
Na kumuinua Bwana
Hakuna njaa
Hakuna giza wala kiu
Ni kuimba milele
Na kumuinua Bwana
Just imagine
How we gonna dance
Just imagine
How we gonna sing
Hossana
Just imagine
How we gonna dance
Just imagine
How we gonna sing
Hossana
And music gonna sound
We gonna dwell in his presence
Praise his Majesty
Because he is the Lord
And he is worth to be praised
We gonna dwell in His presence
Praise his Majesty
Because he is the Lord
And he is worth to be praised
We gonna dwell in his presence
Praise his Majesty
Because he is the Lord
And he is worth to be praised
We gonna dwell in his presence
Praise his Majesty
Because he is the Lord
And he is worth to be praised
We gonna dwell in his presence
Praise his Majesty
Because he is the Lord
And he is worth to be praised
We gonna dwell in his presence
Praise his Majesty
Because he is the Lord
Tutaimba mbele zake
Na kucheza mbele zake
Mbele za Bwana, mbele za Bwana
Tutaimba mbele zake
Na kucheza mbele zake
Mbele za Bwana, mbele za Bwana
Tutaimba mbele zake
Na kucheza mbele zake
Mbele za Bwana, mbele za Bwana
Tutaimba mbele zake
Na kucheza mbele zake
Mbele za Bwana, mbele za Bwana
We gonna dwell in his presence
Praise his Majesty
Because he is the Lord
And he is worth to be praised
We gonna dwell in his presence
Praise his Majesty
Because he is the Lord
And he is worth to be praised
Amen amen 🙏
I feel blessed ❤❤
@@myself-ed9kl Amen
Mbarikiwr Sanaa neema gospel......zaburi 100:2 ......your really doing God's work🎉🎉🎉
just imagine how we gonna dance🔥🔥🔥🔥
I hope na mbinguni pametukuka zaidi kupitia huu wimbo kwa kumsifu Mungu na kuonyeaha kuu wake🎉 Mungu azidi kuwainua zaidi na zaidi katika kumtumikia yeye
Daah sijui ni kwanini Mimi kila niki Comment sipati hata like 😥🤦😭🙆🙆
😂😂 ila watu tuna matatizo 🙌🏾😂
Hiyo hapo mpendwa
✅️✅️✅️💯
Nasikia raha tu Katika YESU sijui wewe mwanacommet mwenzaa
うぇ
I hope to meet you guys in heaven!. Kama unaamini utaingia mbinguni gonga like hapa❤🙏
Amen🙏🙏🙏
Haya jaman nimewahi na Mimi nipeni like zangu za kutosha.❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Like za nn mwanaume
@@moviesclips5759 kwa utukufu wa MUNGU tu ni moja ya kupenda nyimbo Hadi nimechanganyiwa na neema gospel 🤣🤣🤣🤣🤣
Za kazi gani sasa
@@mcharvey3578 wewe Sasa maswali kibao ebu tusikilize kwanza mbinguni itakuaje!😊😊😊
TULIORUDIA ZAIDI YA MARA 10 GONGA LIKE HAPA.
🔥🔥🔥🔥
kila siku nausikiliza
Nataman nifike jamani,,,eeh Yesu umkumbuke kila atakae soma comment hii siku moja tukutane mbinguni,,,Kwa Yesu yote yanawezekan
Amen
Mbinguni itakuwaje wow Kenyans🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mko wapi come here we show some love 😘 likes zikam
Im telling you. It's really a thrilling and an enthusiastic gospel music hits. Twende kazi wadau🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wapi likes za Kenyans Suppoters ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
A quality Misic, HAWANAGA KAZI MBOVU KAMA NA WEWE UNAAMINI HAWANA KAZ MBOVU NA WANAKUBARIKI SANA KWA VIWANGO VYA JUU,,USIPITE BILA KULIKE
Utukufu kwa Mungu🙏🙏🙏
Mungu anataka mziki mzuri na mziki mzuri ndo huu acha utukufu mrudie YESU
Hakika🔥🔥🔥
Ameen natamani siku moja.niwe miongoni mwa wale watakao onana na bwana🎉🎉❤
Amen
Ko neema gospel hule wimbo tunao uomba kila siku mmegoma kuutoa kbsa
Najuua mnaujua, mnaimba hivi kama dhahabu ipitishavo katika moto huo ss
Hio nyimbo hata haijarekodiwa wala kufanyiwa live record kua mvumilivu ndugu
Tunaomba uvumilivu wako tunalifanyia kazi ombi lako🙏
Wacha Mungu apokee utukufu Kwa kazi nzuri na yenye kubariki sana Mungu aendelee kuwainua viwango vya world Mbinguni hii lazima tukaicheze
My best Kiswahili choir
Wow☺️
You can say that again
I love this song; Mbinguni Itakuwaje?❤
Kwa wale wote mnaotegea kumchezea Bwana hapa duniani niwape tu pole, Mbinguni itakuwaje maana tutacheza na kumwimbia Baba yetu
Hakika🔥🔥
Ooh wow great content❤❤
Team Kenya.. please like ❤❤❤❤❤❤
Another new hit in town ase 🎉Tutashangilia,tutaimba na kucheza aisee sipati picha Mbinguni itakuaje 🤔... Haya tukutane hapa 🇹🇿🇷🇼🇰🇪🇺🇬🇺🇸🇹🇹🇹🇷🇹🇴🇹🇳🇺🇿🇸🇸🇸🇷🇸🇴🇸🇲🇸🇱🇸🇰🇸🇧🇸🇨🇸🇩🇸🇪🇸🇪🇷🇺🇷🇼🇸🇦🇵🇭🇵🇫🇵🇪🇳🇬
Hakika mpendwa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌
❤ this is Neema Gospel Choir 🎉🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amen, Glory be to God, urudi sasa🙏
@@masebomusic Neema Gospel Choir it is🔥
@@NeemaGospelChoir siku sio nyingi 😔🔥🔥🔥
Waohhh!!!! Congratulation
Nice song , blessed up guys 🙏
Amen🙌🙌🙌🙏
Moto ni mkali sana,you are very blessed my fam.
To God be the Glory 🔥🔥🔥
Always your the best in East Africa, more greetings to Brother Fredrick Masanja
🔥🔥🔥👏👏🙌🙏
Basist Mungu akubariki
🙏🙏🙏🙏🙏
Utukufu kwa Mungu pekee aliyeweka kibali ndani yenu NEEMA GOSPEL CHOIR
Amen utukufu kwa Mungu
Baze guitar 🎸🔥🔥💯🎉
🔥🔥🔥🔥
Much love from 🇰🇪
Amen ❤️❤️❤️🙏🙏🇰🇪🇰🇪
You have inspired many through your songs Neema choir keep inspiring many all over the world @# Dr. Mahalila receive my greetings all the way from Kenya more love.
❤❤❤
Glory be to God🙏🙌
Neema gospel choir needs to make a tour in kenya please ....your songs really blesses me🙏🙏🙏
Amen, keep praying for this🙏🙏
I like the way hao watoto wanacheza ,,,jameni wanaitwa kina nani nawapenda sanaa❤❤
Ooh my God😂😂😂i feel like i am among of them🎉
Wow 🔥🔥🔥🙌
Neema Gospel Choir mbarikiwe sana,Utukufu kwake Bwana.
Amen
Hakika i can't imagine mbinguni itakuwaje.
My favorite song..💃💃💃
🔥🔥🔥🔥
nawapenda sana ❤❤❤
Bassist❤❤❤❤❤❤❤🎉
❤️❤️
NIMEKUBALI WAKUU hii Choir ni Next seriously Levels
Glory be to God 🙌🙌
Oooo hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah niliisubili sana . Tutashangilia kwa Baba ,Imba kwa Baba,
Hakika itakuwa 🔥🔥🔥
FROM KENYAAAA nyinyi ni wanareee Noma sanaaa
Amen
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤❤🎤🎤
🔥🔥🔥
mwanibariki sana nkiwa Kenya. Mungu azidi kuwatumia🎉🎉
🙏🙏🇰🇪🇰🇪
Mmmhhhhhhhhh hiyo outroo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥
🔥🔥🔥
Papa Freddie masanja ,kepha mndeme, Andrew Michael, bassist and the drummist and huyo kaka wa Aux 2...nyie mko fireeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥jameeni Doing great work from Kenya 🇰🇪 Moore love watu wa mungu
Aish neema hii nyimbo niliiskianga onces nikiwa na brathangu sasa tulikuwa twaiba tu wakati mlikuwa Kenya DCI utawala 🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🇰🇪
I'm blessed Mungu aendelee kuwatumia❤❤❤
Amen
Imekua ni mwaka ndio kungoja hii😢 ❤
Ubarikiwe sana subira ya vuta heri🙏🙏
Mbinguni itakuwa shangwe ,tutapewa mwili mpya na Bwana tutaimba bila kuchoka ❤❤❤❤❤
Just imagine 🔥🔥🔥🙌🙌🙌
Hawa jamaa mziki wanautendea haki kweli kweli. 🎉
Nabarikiwa mpaka Nawish siku hiyo ifike amen sana barikiwa sana Neema gospel
Finally!!! 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
🔥🔥🔥
Watumishi wa Bwana Mungu awabariki sana! Niwaimbie kitu watumishi wa Bwana, mtafika mbali naona uamsho mkubwa sana wa watu kuokolewa na kumjua Mungu kupitia nyinyi.kikubwa Mungu awe mkuu kuliko chohote mtafika mbali sana!!! Ahsante nawapenda katika kristo Yesu. Ameeen!!
Amen utukufu kwa Mungu, Mungu akubariki sana endelea kuombea huduma yetu🙏🙏
@@NeemaGospelChoirAmeeen!!
Stay blessed neema gospel choir,😇😇😇😇
Amen
Wimbo mzuri sana hakika sijui itakuaje tukifika
Amen
Already got it,herein kenya
Wow Glory be to God 🔥🔥🔥🇰🇪
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥
Glory to God 🙏🙏
Hallelujah 🙏
Wow! This is next level! That's my team moving from glory to glory,nawapenda sana.
I can't visualize the Joy that will be present in heaven 🥳🥳🥳🥰🥰
Hatuna shaka ndaniya yesu tuko salama,, blessings fellow saints.
Amen hapana kiu wala njaa kwake nikusifu na kuabudu milele hallelujah sifa kwa Yesu
Amen
Kuifanya kazi hii yote na siku moja kukutana naye ni vema sana...tusiishie kuimba tu kwa ajili ya biashara Bali kwanza kwa ajili ya kuwavuta walio katika giza kuu la ibilisi na dhambi.. Mungu awabariki
Amen
Greatest Choir of all time 🙂 classic levels and unic
Mungu aendelee kuwatunza
Watumishi wa mungu hii nyimbo ni hit 🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
Safi sana Bassist @Sule
🔥🔥🔥🔥
Mligwa shikamoo 🙌🙌🙌
🙌🙌🙌🔥
Most awaited song🎉
🔥🔥🔥🔥
What a arrangement music; vocals aiseee 🔥🔥 Mpiga bass kunywa soda nalipaaa 🔥🔥🔥🔥
Wow utukufu kwa Mungu🔥🔥
Mbinguni itakuaje tutashangilia kwa baba
🔥🔥🔥🔥
Powerful medley...
Please make 100:4:1 the next release... this double medley hit the victorious journey album 🎉😂😊
Amen we'll consider your suggestion 🙏
Aiseee yani naangalia huku natabasamu peke yangu ,hamjawahi niangusha Nyie watu nabarikiwa sana
Amen utukufu kwa Mungu 🔥🔥🙌
Uabudiwe ee mungu 🙏🙏 wangu 🙏
Amen
Hamnaga kaz mbovu
Amina Mungu tusaidie tuione mbingu yako uliyotuandalia
Am going back home yo join this choir
Wow your most welcome to the team 🙏🙏🔥
Another one...Freddie and Mndeme on the keys🔥🔥.following from Kenya
Be blessed 🇰🇪🙏🙏
Finally ❤,wimbo nmeusubiri Sana ,mbarikiwe nawapenda
Amen
Ni tofauti ngani ya neema gospel choir na aic changombe choir
Ni tofauti ngani ya Paul Clement na Joel Lwaga
😂😂😂@@NeemaGospelChoir
Wamependeza
Asante
Ila fundi aloshona nguo za wana wa kike esp hizo kofia , msirudi kwake 😢😂😂😂
….otherwise Injili isonge mbele regardless 🙏🏿😍🇹🇿
Huu wimbo ni taswira kamili ya mbinguni...
Kazi njema❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen
I love the vibe is more than wonderful...😍
Alot of appreciation to you Neema Gospel.
Kazi yenu ni njema,you never disappoint your songs are more than blessing..👏
Amen utukufu kwa Mungu 🙏
Ar them again.. 🤭👐👐... Mungu azidi kuwabariki na kuwainuaa zaidi..
Amen
🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
🙌🙌🔥
Bella !!❤aiii Wacha Mungu akubariki milele Nakupenda sana belle❤
I think the victorious journey is going to be one of the best live praise and worship event ever in Africa! The songs are just top class ❤❤❤
Wow Glory to God for this prophecy 🙌🙌🙌🙏🙏🙏
Itakuwa raha ilioje❤
ooh Haleluyaaaa
neema gospel is the best of the best
Glory to God 🙌
Moto moto ndugu zetu mbarikiwe kwa wimbo wenye nguvu na uzima❤
Amen
I wish to be there❤
From Kenya i feel blessed listening to this song....God keep lifting u people as u minister
Amen Glory be to God🔥
TIME ni hii kumwambia jirani yako aje aimbe nasi Mbinguni itakuwaje
Hakika🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉, mungu endelea kutukuka zaid sifa nizako shama
Amen
Jamani naipata picha ya mbinguni sijui itakuwaje,
Asante Mtu kutukumbusha tuache dhambi..
Amen
Wonderful song
I was waiting for this song... this is wowoooooo, God bless you team Neema Gospel
Amen utukufu kwa Mungu 🙏
I'll stay here watching the views till they reach million, this is a hit❤💯
To God be the Glory
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 represented
🙌🙌🙌🇰🇪
Jamani nimekosa maneno akusema, I'm just 😁💃💃dancing along the song ,hii ni baraka NGC ❤❤Mungu awazidishie.
Amen
Hit after hit🎉
Glory be to God 🙏
We gonna dwell in His presence ❤❤❤
Hakika mpendwa🔥🔥
Can't even imagine missing heaven because of our worldly desires,Oh lord our God make it easier for us to enter to your kingdom ☺️😊