Essence of Worship - Ninapenda Nikuabudu (Official Video) skiza Codes (7636499)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @Amina-o7x1h
    @Amina-o7x1h Місяць тому +24

    Kama unasikiza huwimbo 2024 hiimiezi yamwisho yakufunga mwaka tujuwane ❤

  • @godlovemanase3423
    @godlovemanase3423 7 місяців тому +213

    Kama Bado unabarikiwa na wimbo huu mpk leo 2024.
    Gonga like za kutosha 😊

  • @Ibrahimowiti254
    @Ibrahimowiti254 9 місяців тому +47

    SIKU ZOTE...NIKUJUWE..NIKUFAHAMU...NIKUELEWE..NIKUABUDU..NINAPENDA..UNAYOTENDAA..MAKUU SIKU ZOTE HAUBADILIKI...AMEN🤲🙏...kama umefika 2024 weka like..

  • @njeyaduniatv
    @njeyaduniatv 9 місяців тому +53

    narudi tena hapa leo 06.03.2024, kusema hii ndiyo nyimbo bora kuliko nyimbo zote walizowahi kuimba essence of worship

    • @JacksonWailes
      @JacksonWailes 8 місяців тому

      Nakubaliana na wewe . Nimekiri mara nyingi kwamba huu ndio wimbo wao Bora

    • @genovevamihayo244
      @genovevamihayo244 8 місяців тому

      Ameen

    • @suzanReuben-d5p
      @suzanReuben-d5p 5 місяців тому +2

      Sikiliza na Roho Mtakatifu utajua Mungu anawatumia kweli kweli

    • @moriscollins4494
      @moriscollins4494 5 місяців тому

      For sure

  • @Minsirerickjuniorofficial1272
    @Minsirerickjuniorofficial1272 4 роки тому +27

    Whoever who will like and comment Amen on this comment he or she will know God more and more,his grace favor and anointing will be soon him forever,Amen

  • @zipporahmaingi1009
    @zipporahmaingi1009 3 роки тому +1115

    Since January 2021 it's today on 4th July I have slept like a baby after so much pain,pain of closing my business due to covid,pain of depending on my family who gave up on me,pain of debts,pain of fights in my marriage,pain of joblessness,but this morning this song has ministered to me ..I listened to it yesterday night...The words in this song was my only prayer to be delivered from the above pain ...what a prayer. God is real ..

    • @rosegichamu7431
      @rosegichamu7431 3 роки тому +16

      💓

    • @dommyremmy1844
      @dommyremmy1844 3 роки тому +12

      Amen God has not given up kn you trust the process🙏🏿

    • @giftsethomeri7043
      @giftsethomeri7043 3 роки тому +12

      What a great testimony...

    • @gracie467
      @gracie467 3 роки тому +12

      Amen. May the Lord apply His healing balm over your heart, over all that hurts you. The Lord is mighty to save. Rest in Him. Cry no more.

    • @luphuriselemamawere
      @luphuriselemamawere 3 роки тому +4

      It shall be well in Jesus Mighty Name 2 Kings 4: 1-7

  • @shukuranikenneth-mw3ne
    @shukuranikenneth-mw3ne 8 місяців тому +6

    Asubuh hiiii natamani kumujua huyu Mungu 😢😢 nyimbo haijawahi nichosha hiiii 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 4/4/2024

  • @lucydavie72
    @lucydavie72 Рік тому +25

    If ur still here in 2023 piga like...nikujue,,nikuabudu🎶🎼🎼🎵🎵🎵🎵🎵ninapenda nikuabudu mbwana aaaaah siku zote nikuabudu Bwana🎵🎵much love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @aimablembonihankuye555
      @aimablembonihankuye555 11 місяців тому

      😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @janethnarsis188
      @janethnarsis188 10 місяців тому

      2024 and am grateful

  • @godfreypeter4630
    @godfreypeter4630 3 роки тому +15

    Siku zote za maisha yangu sitaacha kumwabudu huyu Mungu,amenitoa mbali na napoenda ni yeye pekee anapajua.

  • @emeldairungu2783
    @emeldairungu2783 9 місяців тому +7

    🙏🙏🙏🙏🙏ninapenda tu nikuabudu siku zote Bwana wewe pekee yako nikujue nikufahamu

  • @victormandi6138
    @victormandi6138 2 роки тому +109

    Am not religious but hearing this song brings tears to eyes, my heart wants to know more about Jesus

    • @paulmacharia6559
      @paulmacharia6559 2 роки тому +4

      May the Lord touch your life in Jesus Name

    • @fmbugua288
      @fmbugua288 Рік тому +7

      You are on the right path. Jesus brought to us NO religion to us. As a matter of fact, He rubbed the religious leaders the wrong way and they planned his crucifixion. It's all about a relationship with Him. Umjue, umuelewe , umfahamu

    • @CHD1718
      @CHD1718 Рік тому +3

      May the Lord grant you unlimited grace to him more 🙏

    • @molefikhunyeli6759
      @molefikhunyeli6759 Рік тому +3

      May I kindly share my testimony about Jesus to u?

  • @brianndombi2929
    @brianndombi2929 Рік тому +29

    I was never saved and used to believe on earthly belonging but since i heard this song,my life turned around and believed that God is alive...thank you ESSENCE🎉🎉🎉 ❤❤

  • @adelaidakabyemela6094
    @adelaidakabyemela6094 8 місяців тому +3

    Dear God bless your servants. Nilipopata neema ya kusikiliza wimbo huu kwa mara ya kwanza nilisikia sauti kutoka ndani ikitaka kunibadilisha na safari yangu ya mabadiliko kiroho ilianzia hapo. Here i am again Lord to witness your power. Hakika nimepata badiliko la ndani. Namshangilia Bwana hakika umetamalaki, umetawala. Yesu nakushukuru

  • @njeyaduniatv
    @njeyaduniatv 9 місяців тому +14

    hii nyimbo gwamaka, aliimba mwili ukiwa duniani, moyo na Roho vikiwa mbinguni, hii nyimbo aliimba akimaanisha kabisa , hata ukiangalia uso wake.

  • @maureenmamagift
    @maureenmamagift 4 роки тому +12

    This is so deep ....much love from middle East....wapi likes za wana middle East....

  • @salimdishon5603
    @salimdishon5603 Рік тому +9

    Everytime i listen to this song i feel there is something i havent done to God i pray Jesus to give undernding of Gods word. always my haert need to be in Gods hand parise be to God🥲🥲🥲🥲

  • @CherishVivian
    @CherishVivian 7 місяців тому +7

    Nimerudi tena 2024 May to give thanks this song was my strength 4yrs ago eeeey God is merciful 😢

  • @mossymtwana6422
    @mossymtwana6422 4 роки тому +2

    Eee Mungu wangu asante kwa ajili ya hawa watumishi wako uzidi watumia wapakwa mafuta wako nami unizidishie Imani Baba nipate kukujua zaidi, nipate kukuelewa zaidi, nipate kukuabudu zaidi, nipate kukusifu zaidi, nipate kukutukuza zaidi.

  • @EuniceEkombe
    @EuniceEkombe Рік тому +4

    Katika Maisha yangu sitaacha kumwabudu Ni yeye peke anajua Maisha yangu

  • @eddahmoses7387
    @eddahmoses7387 4 роки тому +250

    It was early in the morning when I decided to listen to a few gospel songs to boost up my mood for the day...then I came across this song...i have heard it many times before but today has been different..i felt the presence of the Holy Spirit as I worshiped together with them. THERE IS TRAMENDOUS POWER IN WORSHIP!!! I learnt one thing that morning..THE PRESENCE OF GOD IS ALWAYS AROUND US BUT IT IS UP TO US ALONE TO DECIDE TO ACKNOWLEDGE HIS PRESENCE...I listened to this song several times but never did I feel the presence I felt today and I realized that it was because I wanted to feel His presence and I did...THIS IS MY TESTIMONY. God bless y'all, you might not know how you've positively impacted the lives of other people so let me tell you today that you did mine.

    • @apostlekwadwosafo4074
      @apostlekwadwosafo4074 4 роки тому +2

      God bless you beloved.
      I don't know you in person but God knows you well God reveal a revelation to me when I was going through your profile
      to observe things about your spiritual life. while I was meditating
      I saw a divine breakthrough in your life and I saw evil attacks of
      the enemies manipulating on seizing your favour and to come against your hand work for you to be confused and lost hope. in life As i was praying the Lord reveal to me and instruct you to sow a seed into the life of a baby suffering from leukemia in children of tomorrow orphanage home located in kebbi state in Nigeria before the end of tomorrow and let me know so I can join you in prayers deeply because he want to manifest his promises in your life and that of your family Nobody should know about the seed is between you and God, you will testify to the Glory of God after you have done it if only you believe in him and do what he says
      Proverb (3:27;21:26;22:9 ,,Deu.28:1-5)
      Contact the MD of the orphanage foundation on WhatsApp on +2348110852793 and send your donation to them
      God bless you.

    • @eddahmoses7387
      @eddahmoses7387 4 роки тому +2

      @@apostlekwadwosafo4074 amen

    • @sipyfavoured2990
      @sipyfavoured2990 3 роки тому +4

      @@eddahmoses7387 God bless you dear and don't fall for this scammer. He is on every platform trying to con pple of God with false prophesy and different fake profiles.

    • @timothymutiso9058
      @timothymutiso9058 3 роки тому +3

      True worship .....the song is ministering in my soul.

    • @happysweke8996
      @happysweke8996 3 роки тому +1

      @@eddahmoses7387 àà

  • @mercyachieng1990
    @mercyachieng1990 2 роки тому +18

    I felt lost and depressed but after listening to the song I have a sense of peacein

  • @Eliwanzita
    @Eliwanzita 9 місяців тому +4

    Asante Roho mtakatifu kwa kujifunua kupitia wimbo huu

  • @theupperroomtz3686
    @theupperroomtz3686 4 роки тому +10

    Huduma hii Mungu aendelee kuipa kibali zaidi na zaidi,Ni maombi yangu

  • @aliciawandasheunda4948
    @aliciawandasheunda4948 4 роки тому +113

    Who else is blessed by message of every single song they sing..there's a divine uplifting through your songs..Barikiweni

    • @lydiakilembwa_official8248
      @lydiakilembwa_official8248 3 роки тому +2

      More grace worshippers of the most high

    • @evamkika5203
      @evamkika5203 3 роки тому +1

      😆🇧🇪@@lydiakilembwa_official8248

    • @lydiakilembwa_official8248
      @lydiakilembwa_official8248 3 роки тому +1

      @@evamkika5203 sure sister they are a blessing to the church mungu awazidishie neema

    • @shemblessing
      @shemblessing 3 роки тому

      ua-cam.com/video/O3SKIwqIO9o/v-deo.html

    • @claravidiji8584
      @claravidiji8584 3 роки тому +1

      Hiki ni kipawa..This is what you receive when you're true to our God in Heaven

  • @djmjema
    @djmjema 3 роки тому +15

    During the prayer something happened to me. I don't know how to explain it but it felt wonderful thank You Jesus.

  • @Wakereu
    @Wakereu 3 роки тому +1

    Huwezi kumwabudu Mungu kama hujamwelewa... that's the key

  • @phoebeaol8712
    @phoebeaol8712 4 роки тому +11

    NIKUJUE, NIKUFAHAMU, NIKUELEWE............amen am blessed

  • @johnsonwandera1956
    @johnsonwandera1956 4 роки тому +1

    napenda nikuabudu yesu wangu sikuzote barikiwa sana watu wa mungu

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 5 місяців тому +6

    Nilikuwa naupenda Wimbo huu nikiwa sina nyumba ila leo nipo kwangu kweli Mungu ukimjua hakuna wa kukurudisha nyuma...Mtumaini yeye tu since 2021❤ I love you lord

    • @Joreliz19
      @Joreliz19 5 місяців тому

      Amen

    • @joelmwakibinga9850
      @joelmwakibinga9850 4 місяці тому

      shauku uliyokuwa nayo kipindi kile ndio niko nayo sasa. umenitia moyo sana

  • @phelgonaatieno9038
    @phelgonaatieno9038 2 місяці тому +1

    This choir grows from grace to grace. Heeeeee, God is faithful. Tanzania, Kenya appreciates Essence of Worship Choir any day. More grace 👍👍

  • @EliyaMwantondo
    @EliyaMwantondo 5 років тому +209

    KAKA GWAMAKA MWAKALINGA, Ninaheshimu Mafuta uliyoyabeba kaka na Kiu yako ya kumfahamu huyu Mungu. I am Inspired through your ministry.

    • @egason2591
      @egason2591 5 років тому +11

      Duuuh Eliya brother asante kwa ku apriciate hadharani wahudumu wengi hawana hii ndani yao

    • @luganomwankyoko2653
      @luganomwankyoko2653 5 років тому +5

      I appreciate you kaka Mwantondo 🙏

    • @anysambosa2494
      @anysambosa2494 4 роки тому +3

      Ninapenda ni kuabudu baba yangu mungu azidi kuwabariki

    • @emmanueljohn7
      @emmanueljohn7 4 роки тому +1

      Amen Brother

    • @elishazakayo3630
      @elishazakayo3630 4 роки тому +3

      Eliya Mwantouik

  • @yustatweve3282
    @yustatweve3282 4 роки тому +4

    Nikujue!!!!!,nikuabudu!!!!!, nikufahamu!!!!!,nikuabudu!!!! Kabla ya kulala nasikiliza leo

  • @karenmujungu2703
    @karenmujungu2703 4 роки тому +5

    Hakika Mungu ni maombi yangu nikujue zaidi, nilijue neno lako Mungu wangu.

  • @hellenmawere9284
    @hellenmawere9284 4 роки тому +5

    Ni haja ya moyo wangu nikujue, nikuabudu, nikufahamu,nikuelewe ewe Bwana Mungu kila iitwapo leo.

  • @marynyambura8447
    @marynyambura8447 3 роки тому +3

    Ninapenda nikuabuduuu....🙌🙌 Siku zote.....nikuabudu......

  • @josykogei
    @josykogei 2 дні тому

    Ooh lord am tired of chasing money and ny family are in bad situations lord they need your word,and your have given me a knowledge to know you please help me to chase salvation my lord, Amen Amen

  • @otienocharles8346
    @otienocharles8346 3 роки тому +9

    we need to know you Lord, its not enough i need to know you more than yesterday... oh Lord lead me

  • @sophianzali6818
    @sophianzali6818 4 роки тому

    Wawil hawawez kwenda pamoj ikiw hawajapatana tumepatana na wewe YESU !!

  • @anitamweni1216
    @anitamweni1216 4 роки тому +46

    Oooh yes nipenda nikuabudu .....😭😭😭😭😭😭😭each day l will worship God youve done me well Jesus 🙏🙏🙏🙏 representing 254 Nairobi kenya ....

  • @jacklineelias3091
    @jacklineelias3091 8 місяців тому +2

    Napenda kukujua wewe tu bwana wangu siku zote za maisha yangu usinipe kingine nikujue wewe tu na neno lako

  • @alicentchepkurgat6443
    @alicentchepkurgat6443 2 роки тому +9

    When Isaiah entered the presence of God Yahweh and found seraphim worshipping HE who sits on the Throne he fell down and repented( Isaiah 6:5) ...be blessed as you lead the church in worship and seeking to know God more so that the Church can worship right in Holiness for HE IS HOLY. It touches the hearts truly.

  • @ritakent3119
    @ritakent3119 3 роки тому +2

    Ninapenda nikuabudu Bwana Aaah
    Siku zote nikuabudu Bwana aah
    Nikujue Nikuabudu Nikufahamu Nikuelewe huu mwaka 2021🙏 na siku zote za maisha yangu

  • @loycejames
    @loycejames 7 місяців тому +5

    Nimerudi kuabudu 2024 Tumshukuru Mungu wetu, 🙏🙌🙌🙌

  • @juliusgeorgeofficial
    @juliusgeorgeofficial 3 роки тому +2

    Kama Nawe unaendelea kubarikiwa na Essence of Worship 2021.... Karibu tuendelee kubarikiwa pia Na Wimbo wangu mpya.... 💥💥💥💥💥. Karibu hautajutia kuusikia 🙏🙏🙏🙏

  • @kirigwi
    @kirigwi 4 роки тому +23

    This song needs more views than just a million! weh!

    • @budebajoseph851
      @budebajoseph851 3 роки тому

      Heart Godly touching songs.
      I feel annointing around me.

  • @noreengilhespy2392
    @noreengilhespy2392 Рік тому +2

    Asante sana. Wimbo mzuri wa ibada na kunisaidia kujifunza Swahilli . Mimi ni kutoka Uingereza. Nina shule Turkana Kenya na ninataka kuzungumza Kiswahili na nina shida kuisikia

  • @Blessed_Ann
    @Blessed_Ann 3 роки тому +5

    Zaidi ya jana zaidi ya juzi bado nataka nikujue , nikuelewe, nikufahamu, Nikuabudu zaidi zaidi oooh Mungu. Nipe ongezeko nipe hatua zaidi😭😭😭 ABBA father 🙌🙌. The more you know God is the more you get to know the things in you that are not right.🙌🙌
    This song is powerful and so deep.

  • @oscarmvuyekule2901
    @oscarmvuyekule2901 4 роки тому +4

    Hakika mbiguni , kazi itakuwa moja tu kusifu na kuabudu . mbarikiwe najihisi kama napaaa mbinguni

    • @apostlekwadwosafo4074
      @apostlekwadwosafo4074 4 роки тому

      God bless you beloved.
      I don't know you in person but God knows you well God reveal a revelation to me when I was going through your profile
      to observe things about your spiritual life. while I was meditating
      I saw a divine breakthrough in your life and I saw evil attacks of
      the enemies manipulating on seizing your favour and to come against your hand work for you to be confused and lost hope. in life As i was praying the Lord reveal to me and instruct you to sow a seed into the life of a baby suffering from leukemia in children of tomorrow orphanage home located in kebbi state in Nigeria before the end of tomorrow and let me know so I can join you in prayers deeply because he want to manifest his promises in your life and that of your family Nobody should know about the seed is between you and God, you will testify to the Glory of God after you have done it if only you believe in him and do what he says
      Proverb (3:27;21:26;22:9 ,,Deu.28:1-5)
      Contact the MD of the orphanage foundation on WhatsApp on +2348110852793 and send your donation to them
      God bless you.

  • @makafuikanfra1176
    @makafuikanfra1176 3 роки тому +13

    From Ghana,.....Song on repeat every morning on my phone... God bless you.... 🔥 🔥

  • @irenedestinedmully8834
    @irenedestinedmully8834 20 днів тому

    I just woke up today to read a verse in John1:4-5
    It talks about Jesus being life that has brought light
    I am really trusting in GOD to bring this message to accomplishment and i found my spirit singing this song so deeply

  • @meganmueni7038
    @meganmueni7038 4 роки тому +4

    Nabarikiwa sana na huu wimbo,.Mungu hawazidishie zaidi..barikiwa sana kaka

  • @DominaLaurenceMangi-g2b
    @DominaLaurenceMangi-g2b 2 місяці тому

    Mungu wa mbinguni awafunike na neema yake na roho mtakatifu azidi kuwa pamoja nanyi mzidi kuw nakipaji cha kuimba kipaji injili katika nyimbo amen

  • @forhisglorybandkenya2153
    @forhisglorybandkenya2153 3 роки тому +46

    Amazing Worship! Powerful lyrics🔥! Who else is listening to this , in 2021❤🙌

  • @georgelugendo3605
    @georgelugendo3605 4 роки тому +1

    Ninapenda kuku abudu bwana nikuabudu nikuelewe🥇

  • @ndifu9967
    @ndifu9967 4 роки тому +25

    Tangu DIT mpaka sasa kaka Gwamaka unazidi kupanda viwango,,hakika shauku yako ni kumwabudu Mungu Viwango Ata Viwango,,nimefurahi Kumwona na ndugu yangu Erick Kashoma,najua anajifunza mengi kutoka kwako naamini atakuwa kama Elisha..Mbarikiwe sana Essence Of Worship Ministries.

  • @albertuspatroba8117
    @albertuspatroba8117 4 роки тому

    Acheni Mungu abudiwe ili waliopotea wapate kumjua ya kuwa yeye ni Mungu na atabaki kuwa ni Mungu wa wote wenye mwili AMEN

  • @efraziaisire3589
    @efraziaisire3589 4 роки тому +4

    Kumfahamu ,kumwelewa na kumjua Mungu ni jambo la pekee sana ktk maisha ya mwanadamu..iko neema ndani ya kumjua Kristo Yesu..Mungu awabariki essence of worship

  • @RosemaryMagabe
    @RosemaryMagabe 5 місяців тому

    Kiukweli huu wimbo unanibariki hata kama nikiwa nyumbani nikiusikiliza huwa najazwa na nguvu za roho mtakatifu. Nakumbuka wakati nikiwa na matatizo ulikuwa ukiimbwa kanisani nikiimba Kwa Imani nikiwa rohoni nilikuwa nikifinguliwa nguvu za Giza bila kuguswa na mtumishi Kwa wimbo tu

  • @hellenpascal9605
    @hellenpascal9605 5 років тому +59

    Nikujue
    Nikuabudu
    Nikufahamu
    Nikuabudu
    Nikuelewe
    God bless you Essence of Worship
    God we ask to know you more than we ever known you before.... This isn't a performance, this is a ministry. I bless this work

  • @beritetuyisenge413
    @beritetuyisenge413 4 роки тому +2

    Nikuinuwe nikuabudu mungu awabariki sana awapandishe viwango
    Vingine upako upako uwe ju yenu wote

  • @calebmuia2858
    @calebmuia2858 3 роки тому +10

    ninapenda nikuabudu,the song is giving me sleepless nights singing it even at work place,makes me feel logged in to heavenly spiritual kingdom

  • @nanyorijoseph1567
    @nanyorijoseph1567 4 роки тому

    Ninapenda nikuabudu Bwana siku zote ulizonipa,,,,, oooh God nikujue , nikuelewe

  • @simonkariuki1202
    @simonkariuki1202 5 років тому +8

    Wimbo wa nguvu sana! Hilo ndilo ombi langu katika safari hii ya Wokovu! Barikiweni sana, upendo tele toka Kenya

  • @ginorahmtila1458
    @ginorahmtila1458 3 роки тому +1

    Mungu wangu wewe ni mkuu jina lako nalihimidiwe hufananishwi na yeyote duniani na mbinguni

  • @tomoyaro4598
    @tomoyaro4598 Рік тому +7

    A true worship experience,day 1 of listening to this song my bed was soaked with tears because i really experienced the presence of God within me the song draws me closer to Jesus everyday my favourites

    • @Ibrahimowiti254
      @Ibrahimowiti254 9 місяців тому

      I get you ,I also had that experience the first time I heard it in church, MAY OUR MIGHTY GOD SEE US THROUGH..AMEN

  • @wejerangira2688
    @wejerangira2688 3 роки тому +16

    It's been long since I last led in praise and worship and today I got the opportunity to do so and i have always been asking God for Him to tell me my purpose in this life here on earth. And today I heard God telling me "this is what I called to do my daughter". And I felt being at peace with myself and everything. This song has helped me whined up this day that a revelation has been shown to me. It's my desire to worship,praise and know him more and more as time goes. Thank you #ESSENCEOFWORSHIP. Am blessed

  • @malkiaaggie2837
    @malkiaaggie2837 4 роки тому +3

    Nimebarikiwa Na nyimbo zenu lakini kila nikiona Philbert machozi unijaa lakini Mungu hafanyi makosa😭😭😭.. Ashukuriwe kwa kila Jambo kwa kuwa Ni mwema katika majira yote

  • @raelsophie8189
    @raelsophie8189 2 роки тому +2

    Thank you Jesus our family is going through alot but I trust in you jehovah....nakuabudu..........najua utafanya jambo make us shout out of joy .......thank u lord

  • @sarafinaenos9018
    @sarafinaenos9018 4 роки тому +8

    Ooooh haleluy mara ya kwanzaa niliisikia ikiwa ktika kufanyiwa mazoezi nikaipenda now iko imekmilikaa ooh haleluy kaka ubrikiwe kwa wimbo unaokribisha roho mtakatifu your blessed brother Amen nikujue nikuabuduu bwana peke yako na sio siku moja tuu nisiku zote

  • @ImeldaMuriungi
    @ImeldaMuriungi 2 місяці тому +4

    Who is blessed here 2024?🙏🙏

  • @bundiedwin8328
    @bundiedwin8328 4 роки тому +12

    Ni wangapi tutakuwa na wao hapa 2050???No words for you guys...This is so powerful...on Repeat Button...Nawapenda Tu bure..My prayer for you is More Grace,More annointing and more favour from above...You never Dissapoints..you are a blessing to this Generation.Baraka

  • @risenhosea
    @risenhosea 6 місяців тому +3

    This song has just awakened my spirit 😭😭😭 my heart is groaning that I may know how to whorship Him😭😭

  • @mpoleentertainment1677
    @mpoleentertainment1677 Рік тому +9

    2023 and I'm still loving this...this song was meant for me...may the Lord expand you

  • @MkushyKukush-ic7ce
    @MkushyKukush-ic7ce Місяць тому

    Nimekua nikitrade Kwa miaka tatu,lakini Huu mwaka 2024 ndio mambo yameanza kuwa sawa.nashukuru sana.nikujuee nikufahamuu

  • @christianmwabukusi8132
    @christianmwabukusi8132 2 роки тому +3

    Nitaka nikuabudu Bwana aaaa (I need, desire, love, thirsty to worship you Lord)
    Siku zote nikuabudu Bwana aa (Every day to worship you Lord)
    Nikujue (to acquaint you)
    Nikufahamu ( to know you)

  • @johnyange
    @johnyange 4 роки тому

    NI YESU TU WAPENDWA........HAMNA UPENDO MWENGINE TUNAHITAJI MAISHANI MWETU ILA UPENDO WA YESU.....SO TUPENDE KUMUABUDU MUNGU WETU.!!! BARIKIWENI SAAANA FROM MOMBASA KENYA..

  • @MercyKinya30
    @MercyKinya30 5 років тому +8

    I am a worship minister and the Lord has something great for me this year.
    I desire to know the Lord more and more each day.. asante kwa huu wimbo

    • @lilianmkelewele7489
      @lilianmkelewele7489 3 роки тому

      Mungu awabarik kwa wimbo mzur wimbo huu mkubwa pia unawepo wa mungu kila nikiuskiliza unanibalk

  • @medinekutswa4086
    @medinekutswa4086 Рік тому +6

    For my sister who has cancer not giving up after all the medication she has undergone.Everyday I remind to worship God and cry to Him ,I know He will redeem her life.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏.This song😭 is so special to me and my family ❤️.🙏

  • @nginadorcas7225
    @nginadorcas7225 3 роки тому +15

    Kenya! Kenya! Kenya! We're planning to host this team this year. This kind of worship is heavenly and international. Pray with our church for that day, we will communicate officially when all is ready. We want to tap from this anointed team. Kenya, are you ready for them?

    • @foodie2660
      @foodie2660 3 роки тому +2

      Please let us know when all arrangements are done. We're willing to attend that worship experience.

    • @wilsonwillie3017
      @wilsonwillie3017 2 роки тому

      Did they come?

  • @RuthMuyoka
    @RuthMuyoka Рік тому +1

    The purpose of making me alive is to worship you over my life

  • @erkanguru
    @erkanguru 3 роки тому +11

    I've just seen this wonderful worship for the first time today. I came to say how nicely dressed the ladies are. May God receive honour & glory

  • @dorcaswanjiru6106
    @dorcaswanjiru6106 2 роки тому +2

    Mungu nisaidie nikufahamu vyema🙏❤️Help me do according to your will 🙏Use me as your vessel God🙌❤️Thank you God🇰🇪

  • @agnesmapunda4412
    @agnesmapunda4412 4 роки тому +5

    What a powerful song, moyo wangu umebubujika na Roho Mtakatifu na nimebarikiwa, may our Heavenly God bless this ministry

  • @jacintamakokha1522
    @jacintamakokha1522 3 роки тому +2

    Ninapenda Nikuabudu Siku Zote Bwana- kweli kabisa Mwokozi wangu !! Amen.

  • @paschaziaabel9502
    @paschaziaabel9502 4 роки тому +3

    Hii ni namna gani Mungu anawatumia watu wake ili wamwabudu yeye!!! Eeeeeh Mungu kama uishivyo naomba kwaajili ya Gwamaka, mafuta mabichi yazidi kushuka juu yake akutumikie zaidi na zaidi 🙌🙌🙇🙇

  • @getrudaminja4988
    @getrudaminja4988 4 роки тому

    Jamani mkuje na Moro kufanya tamasha na cc tubarikiwe na na uimbaji wenu🙏🙏

  • @valentinephanice6562
    @valentinephanice6562 3 роки тому +9

    This song is my prayer and I want to know him more so that I worship him in truth , so that he puts my conscience clear with him...

  • @matrixhaoscar9987
    @matrixhaoscar9987 5 місяців тому +1

    Naipenda sana hiii nyimbo inagusa sana moyo wangu mungu aendelee kuwainua juu

  • @annahmungai7550
    @annahmungai7550 3 роки тому +4

    Lord you Reign 👑👑👑👑👑. Help me and the nations of the world that we may know you and worship you alone 🛐✝️...

  • @lavinterahinga606
    @lavinterahinga606 4 роки тому

    Ninapenda nikuabudu Mungu wangu....niwezeshe kukuabudu bwana

  • @mikepaul53
    @mikepaul53 4 роки тому +4

    Sina jambo la kusema... naupenda huu wimbo zaidi ya sana asee... mbarikiwe sana essence of worship....

    • @apostlekwadwosafo4074
      @apostlekwadwosafo4074 4 роки тому

      God bless you beloved.
      I don't know you in person but God knows you well God reveal a revelation to me when I was going through your profile
      to observe things about your spiritual life. while I was meditating
      I saw a divine breakthrough in your life and I saw evil attacks of
      the enemies manipulating on seizing your favour and to come against your hand work for you to be confused and lost hope. in life As i was praying the Lord reveal to me and instruct you to sow a seed into the life of a baby suffering from leukemia in children of tomorrow orphanage home located in kebbi state in Nigeria before the end of tomorrow and let me know so I can join you in prayers deeply because he want to manifest his promises in your life and that of your family Nobody should know about the seed is between you and God, you will testify to the Glory of God after you have done it if only you believe in him and do what he says
      Proverb (3:27;21:26;22:9 ,,Deu.28:1-5)
      Contact the MD of the orphanage foundation on WhatsApp on +2348110852793 and send your donation to them
      God bless you.

  • @IsaacKayira-tc9el
    @IsaacKayira-tc9el Рік тому

    2023 Natamani Sana KUMJUA MWENYEZI MUNGU kama MFALME WA WAFALME.
    MFALME WETU Anatupenda SANA !
    Na ndiposa Akamtuma YESU KRISTO atuonyeshe jinsi ya kuwa na uhusiano naye MFALME WETU Tena.
    Na YESU KRISTO akafa msalabani kwa ajili ya dhambi zetu.
    ASANTE YESU KRISTO kwa MAPENZI Yako kwetu.
    #AMANI_KENYA.

  • @angelamuturi4503
    @angelamuturi4503 11 місяців тому +2

    Ninapenda nikujue nikufahamu,this 2024

  • @rispathequeen
    @rispathequeen 3 роки тому +2

    Huu wimbo ndiyo maobi yangu ya lila siku asante baba kwa kukunjua zaidi. 🙏🇰🇪🇶🇦

  • @foodie2660
    @foodie2660 4 роки тому +23

    God this is the prayer from my heart that I get to know more of you! I comprehend you and worship in truth and spirit.
    This song is powerful, we sing in one accord with the angels

    • @apostlekwadwosafo4074
      @apostlekwadwosafo4074 4 роки тому

      God bless you beloved.
      I don't know you in person but God knows you well God reveal a revelation to me when I was going through your profile
      to observe things about your spiritual life. while I was meditating
      I saw a divine breakthrough in your life and I saw evil attacks of
      the enemies manipulating on seizing your favour and to come against your hand work for you to be confused and lost hope. in life As i was praying the Lord reveal to me and instruct you to sow a seed into the life of a baby suffering from leukemia in children of tomorrow orphanage home located in kebbi state in Nigeria before the end of tomorrow and let me know so I can join you in prayers deeply because he want to manifest his promises in your life and that of your family Nobody should know about the seed is between you and God, you will testify to the Glory of God after you have done it if only you believe in him and do what he says
      Proverb (3:27;21:26;22:9 ,,Deu.28:1-5)
      Contact the MD of the orphanage foundation on WhatsApp on +2348110852793 and send your donation to them
      God bless you.

    • @jayzeem14
      @jayzeem14 3 роки тому +2

      Amen!

    • @jayzeem14
      @jayzeem14 3 роки тому +2

      Pastor Safari you Bless me! I am humbled to my core May my God be lifted up in my life always. In Jesus name!

  • @ellaalbin1215
    @ellaalbin1215 3 роки тому

    nikujue nikufahamu nikuelewe ......eee Yesu ee Mungu

  • @nuruchriss7017
    @nuruchriss7017 4 роки тому +11

    Nikujue
    Nikuabudu
    Nikufahamu
    Nikuelewe
    Ninapenda nikuabudu BWANA mana hakuna kama wewe 👌👌❤🔥🙏🏾

    • @naomisimei5217
      @naomisimei5217 4 роки тому +2

      Nuru Chriss so powerful I’m blessed 🙏😭

    • @benardhezron2785
      @benardhezron2785 4 роки тому +1

      Naenda nikufaham nikujue nikupende cku zte we bwana

  • @helenemidy3338
    @helenemidy3338 3 роки тому +1

    Huu ni wimbo wa baraka kwangu kwa mwaka 2021🙏🏽 .. Mungu anaenda fanya jambo saa hii na kunifungua juu y’a huu wimbo 🙏🏽

  • @lidyamdimi4898
    @lidyamdimi4898 4 роки тому +12

    Kaka Eric bado nakumbuka maneno yako ya mkesha sito yasahau nilirudi nyuma kiroho kaka nasimama tena kwa ajili ya kutumika madhabahuni hu wimbo umenitoa machozi nimetafakari nafasi ninayo ipata kila siku katika huu ulimwengu kaka barikiwe waimbaji

  • @faithnguonootieno3274
    @faithnguonootieno3274 2 роки тому +1

    Ninapenda nikuabudu bwana🙏hilo ndilo ombi langu,,milele,,nikujue,nikufahamu,nikuabudu,,God deserves all praise and worship 🙏🙏🙏😭