KUNGWI DUME sehemu ya Kumi na Tatu
Вставка
- Опубліковано 5 вер 2023
- "KUNGWI kakupa mzungu huujui maana yake mfate akakwambie maana ili uondokane na usungo, Siku zote mwanamke mazingira jambo la kwanza ni kujipenda na ndio maana ya pambo la nyumba"
- Розваги
Jamn mm watatu naisubili kungw dume Kwa ham naomben like hat 8 tu 🤣
Nikweli
Jaman basi wanaojifunza kupitia kungwi dume atokee mmoja anipende mimi basi 😊😌
Ukotayar lakn kuolewa
@@BarakaTimotheo-il7oj sasa Mtu akikidhi vigezo why kusubili
@@zulfarashid5060 sawa mimwenyewe natafuta
😂😂😂
Wanaolike kabla kuwatch tujuane ❤
Niko ndani mm pia lakini sina kungwi najifunza kupitia kwako bro..Thanks sana
Jaman kungwi najifunza vingi sana Mungu aendelee kukutunza kungwi wetu❤😊
Tuko pamoja kma chupi na Tako asante da don much love to you ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mm leo nakupeni mauwa yenu2🌹🌹❤️
Aya tushayapokea❤
Aaaa tseeengo mbona patamu hpo😂😂😂❤❤
Twaisubiri kungwi dume ni fireeeee
Waooo nimekipenda san hiki kipand cha mwish cha kungwi dume anavyomuelimisha huy kak Ahsante san kak kwa kutufunz
Mashallah mashallah mashallah mashallah kungwi dume mashallah 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Watu mnalalaga yutubu😂😂🙌twasbiria aisee
mafunzo mazuri dah nakupenda bure kaka ibra
Jaman nkawa sjuw kuhusu mambo ya kungwi nlkuwa naona vipande vifupfup TikTok na kupuuzia sasa Leo nkaingia UA-cam kitu cha kwanza nikaon neno kungwi dume nkasema ngoj nifungue jaman nmezpenda somo zake ad rah sjawah funzwa ata sku 1 ila kwa apa nmefunzwa vng ten vzur Zaid.. namuomba mungu akupe maisha maref ilituzd kujfunza Zaid ya hapa inshallah ❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
MashaAllah ❤
Mungu aendelee kukujalia uzma bro kwakaz zako zur
Ongera Sana kaka tunajifuza vingi Sana nasubili michambo ya sengo kwa zai🤣
Mambo ni🔥🔥jaman dah ubarikiwe sana broo
Nakukubali toka kitambo we unajuwa
😊😊 Tunaisubir
Naisubili kwa hamu
❤ uko vzur baba sengo mafundisho ya asil
Ma Shaa allaha ❤
Mmake sengo sasa😂😂😂😂kila kitu akubali akun anachopinga MashaAllah ❤😂😂😂😂😂
Nakupenda ibraah🎉🎉
Unyama sana 🔥🔥
Saw
Mashaaallllah
Hongera sana ❤❤❤
Najifunza vingi vizrii Asante🙏 kungwi dumee
Hongeraa kaka kwa kazi nzuri
Masha Allah❤
❤❤❤ good teacher bravo blo
Jamani umu ndani kumenoga nilifunga ndoa bila kufundwa nafundwa umu ss❤
Hiiii imeenda gonga like apo
Mashallah
Asantee kwa mafunzo jaman nimejifunz mengi
My husband 😍😍 Good lucky 😘
Kakuoa au unajidai tuu ahahahaa haaloooo😂😂
Asante sana kwa masomo yako
Nimechelewa kidogo tu
Lovely
Mi naisi kuchelewa jamani baa tuangushie mzigoo uwooo
Kakika wanifurahisha sana wewe kaka unatisha 😂😂😂😂
❤❤❤❤ asante sana
Masha Allah
Achilia wewe tuko hapa kuangalia
Duh nimekuja fasta kumbe bado😂
Achiaga basi
Wow❤❤❤❤
kungwi ni mwambaaaa
Tuko pamoja kaka
😂😂😂 jamn ivi uyu sengo mbna mpole ka ad roho inaenda mbio❤❤❤❤❤❤❤
Lovely❤❤❤
❤❤❤❤nice
Eheeeee
Good job 👍
Kungwi dume 💯
Mungu akuweke kaka
Jmnyyyy nasubr episode ijayo Kwa hamuuu
Tunapata mafunzo mazur
Saaana mashallah❤
Yani baba sengo ngepata bavyaa wakumuelimisha mwanawe kama ww yani ngefurai sana
Kweli kabisa kaka ❤❤❤❤😢
Niko mimi pia 😂😂😂❤
Najifunza mengi Maa shaa Allah, kazi nzuri ila pia kongole kwa wazazi wa sengo wameleta taswira ya wazazi wema Maa shaa Allah ❤
Aaaah Sengo😂😂😂😂😂😂
Zai kabaki mdogo km pilitoni 😅😅 maashaallah
Hongereni sana
Jaman wanaume wote mungekua na wazazi kama wa sengo ingekua raha sana
Ila sengo anaheshima mashaallah
Shukran ❤❤❤
Kaka. Mungu. Akubariki. San. Kwakazi. Yako. Nzuri. Hata. Mm. Pia. Nahitaji. Usaidizi. Wako. Nashida. Na. Ndoa
Nyimbo hiyo umeni kumbusha ya kanumba
❤
Kipind pambe jmnyy
Judith misego
Inshaallah tuletee mapema isijeleweshe utamu
Unajusna napenda kujifunza kutoka kwako
thankfull ibra thedon
14 bado siipati
Mwendelezo pls
❤❤
❤❤❤
Jamani tunangoja Kwa hamu
Asalam alkum warahmatullah wabarakatu kaka tusaidie na namba yako ya cm
Zulekha kwa yusufu
Zai acha wivu huenda ww ulitoa mimba cjapenda hiyo
Umetunyima uhondo hapa hii sehemu y 13 ndogo sn
Agh sengoo😅😅😅😅😅
❤❤❤❤❤❤
😅😅😅😅😅
😂😂😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Move nzuri lakini, mnairudia kipande kikubwa sana afu inayofiata inakuwa fupi
Itaemdeleya lini
Hongera kz mzury
🙏🙏❤❤❤🎉🎉🎉
Mbona fupi o
Mbona hureply comment