Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Hawa wabibi wawili wananifurahisha sana. Nawapenda .mungu awatunze
Kuna jambo nataka niliseme mm kama mtto WA kiislamu..ni aibu kubwa mtto WA kike kukaa mwili wazi mbele ya mwanamume asiekua halali yako..hapo Huyu mtto wa kike anayefundwa angestiri mbele ya Huyu kungwi dume.sbb wote hapo Naona Ni waislamu
Tunajifunza mengi kwa kweli wenye hatujafundwa❤❤
Haki kungwi shukran sana najifunza mengi mungu akulinde akujalie maisha marefu yenye baraka
Mashallah kwakweli tunaelimishika kaka Allah akupe Maisha marefu na akure hitaji lamoyo wako umetuangazia mwanga ulofifia machon kwetu
Najifunza mengi kupitia huyu kungwi dume na iman mungu atakapo nijaaria mume nazani sitawaangusha wazazi🎉🎉
Anae isubir kungwi dume tujuane gonga laik hapa
Bwanaharusi hongera sana zai limekushuka shuu 😢😢😢😢😢😢
Zay kawa mdg
Limemshuka kidogo basi 😂😂😂😂 uso ushamshuka aibuu🤣🤣
Kuna ingine ili ni ruka kungwi mashallah mashallah Habibi asate sana❤❤❤❤
Kazi nzur sn naamini kupitia kungwi dume vijana tutajifunza mng ili tujenge familia yenye misingi bora
Nimewapenda san haw mabib wawili wako 🔥🔥🔥😂
𝐵𝑖𝑏𝑖 𝑎𝑛𝑎𝑗𝑢𝑤 𝑘𝑢𝑙𝑖𝑎😂😂😢😢
Masha Allah tabaraka Allah. Allah Akuifadhali Akupe maisha marefu insha Allah
Zai harusi ingekufa ungecheza saa ngapi hiyo miuno limekushuka shuu😂😂😂
Kwakweli nimejifunza mengi. Hongera sana Mungu akutunze
🙏kungwi dume tujifunza meng kupitia ww mwenyez mung aendelee kukuweka
Tunaisublia kwa amuuu jamen ijayo congratulate kaka ibrah🎉🎉🎉
Mungu nipe mume kama sengo😢😢😢
Dada anae muimbia mumewe kumdhihirishia kua kamsamehe ana sauti nzur Masha Allah
Asante San ibrah thedon nimejifunza mengi San mungu akubariki🙏
Mungu akupe maisha marefu kaka
Waoooo usichelewesh mwendelezo kaka ibra kwakwel unanifunza mengiiii piiia
Maashaallah Mungu azidi kuwaongoza vema pia tunayojifunza tuyafanyie Kazi shukrana sn Ibrah the don
Nime jifunza mengi kungwi wetu asnte sana🙏
Tunaingoja kwa hamu leo wakwanza jamni
Lete mzigo naungoja kwahamuu👌😍kungwi anamalolo sanduku lamtatiza nimependa jamani zai kusikia jina labwana harusi wanakanyagana imeishaa iyooo😝😝😝😝👌😝
Magrand big up sana mungu awaeeke ukishapika ugali usiache mwiko na uchafu
Zai mauno yote hayo kama sie wew uliokua wataka kuvunja ndoa ya mwenzio
Kungwi njoo Mombasa unifunze na mmi❤ MashaAllah
Wallai tenaaa
Huna Baya Kaka masha Allah kazi nzur san😍😍
Aah dada umenikosha na hiyo nyimbo jmn😘
atareee 🥰🥰
Kwani kungwi dume ishaisha nimeisuburi sanaa iyo ingine aitoki yaelekea mwezi sai
Namimi nimo namsubilia kungwi dume kwa hamuuuu❤❤❤❤❤❤❤
Natamani kwenye arusi yangu uwe kungwi wangu♥️♥️
Wapili leo jamani 🎉🎉🎉❤❤❤
Nakupenda kaka ibra ningependa uwe kungwi wangu
Jamani wacheza kigoma wamepatikana uwii😂
😂😂😂😂😂😂 hongera sana ila hao walio taka kuvuja ndoa 😏😏
Qatar moja nasubir kwa hamu zote
Hongera zako Sengo na baba Sengo naona amedamsh kwa suite kungwi dume ni hatari pokeeni 🎉🎉🎉🎉
😀😀😀
Kungwa tunae mashallah endelea kutupa somo
Kazi nzur mashallh mme jitaidi Sana washiliki Utasema ni kwer😊
Kaz nzur sana tunaelimika sana
Zai kijora ni chakuenda kuomba msamaha kwa kina biharuc😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂𝑏𝑜𝑟𝑎 𝑎𝑘𝑎𝑐ℎ𝑒𝑧𝑒 𝑘𝑜𝑔𝑜𝑚𝑎 𝑡𝑢
Ila sengo alikuwa amedekezwa sana et naenda kumwambia baba badara angemramba makofi.
Kipind kizury c utaniii mashaallah kaka ibrah
Bas njoo nauku utufudishe ❤❤
Yani ukiona iyi movie somo Hana jipyaaa😅😅😅😅 kabisa
Mashallah nzur sn❤❤
❤bibi ake na harus yukovzr harusibemenda shule
Huyu zai si alkua akijifanya kuongea sasa kanyamaza kama bubu😂😂😂
Hongera sana.......
kaka mimi naomba kuuliza huy bibi asiyevaa miwan ni kungwi kweli maan kaz anaijua pia anasaut ya kuimba
@@salamahrajabu4211 ni kumgwi ndio
Mama watoe awo sio wanhu wed awo wandee kwakwei hataimi wazaniuz yani
Kaka Asante nimejifunza
Mwaka wa ukiolewa ntakutafuta kaka yangu
Asante sana ❤❤❤🎉👌👌👍
Inachelewa muendelez jamn tatizo nn kungwi wetu😢
Jamani MBNA mnachelewa Sana kuleta kungwii tunasubirino
Baba mwali suti imetokea UK 👌😝😝😝
We kaka unatisha hatari❤
Bibi anavituko🤣🌹
Hatimae ndowa imefungwa zai limemshuka 🤣🤣🤣🤣
Harusi imenitamanisha kuolewa 😂
Ongera sana kungwi dume iimeenda
❤ivi nani kamuona bwanaarusi na simu yake akichukua video😂😂😂 kazinfua😂😂
😂😂😂
Wakaka wacheza miuno hawo sio poa😂😂😂
Hii move ni kusoma tosha
Hongereni sana wote
Hongera bwana harus
Harusi imefana mashallah hadi natamani🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂
Tanga mojaaaaa
Ibra mbona bi harus hajapaka hata vipiko vya sunna jaman ndoa paambe🎉
Pendo lauma vibaya jamani nimekumbuka mbali Mie
CHANDUGU nimejifunza mengi kwa shekhe kuna shida nyingi ndani ya hizi kuta NNE makungwi joke hawaku Fanya kazi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hakiamungu hii wafi ya kazini leo kwli nimeitendea hakiiiiiiiii, wanaume tunaofuatilia hii kitu tujuaneee
Halo mafuzo yetu na mie wa tano leo
Wabibi wameigiza vizuri hadi nimewaogopa
Jamani zai had aibu
Ma Shaa allaha ❤❤
Awa mabibi nimewakubali wanavinyimbo
😮 mwanamume havai kanga😅 astahili avae ki koi..
Kungwi dume good job ❤
hatareee😂❤
Ndio utakoma umbea zai wacha roho ya kinafik
Asante broo mungu akubarik
Huyu mama sikitu kanikumbusha mama yangu siku Ile analia bibi alikuwa anamcheka😂😂😂😂
MashaAllaah ❤❤❤
Mabibi harus watarajiwa tunajifunz #kungwi dume
,,😂😂zai anayakata mauno km co yy😊
😂😂😂nilikuwa sijawahi ifitalia najifunza
Ama kweli bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi
Hadi raha jamani❤❤
❤❤ Mm inanibidi nifulai 2
Wewe kungwe si ungenioa
Kulipa ten
Asante kungwi
Tunasubir mwendelezo kw hamu kubwa kaka
Hongera lbrahim ❤
😂😂😂😂😂asanta nakubali sana ❤❤❤
Duuh wavunjaji ndoa 😅😅😅
Kaz nzur kk ila boresha camera zak mkuu 🙌🙌

Pendo lauma vibaya jamani nimekumbuka mbali
Mie