Mchungaji agombana na mzee wa kanisa baada ya kusema Yesu ni Mungu kimeumana mbele ya waisilamu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 67

  • @HamzaAkilimali
    @HamzaAkilimali Рік тому +2

    Muelimishe huyo😂😂😂ataelewa tu. (Walio wengi, huenda Kanisani kuimba na kucheza tu. (Itimisho Wachungaji kuwatapeli pesa yao, eti Sadaka) MWENYEZI MUNGU TUNUSURU.

  • @LilyKangethe-hw2bw
    @LilyKangethe-hw2bw Рік тому +9

    Mashallah... Takbir Allah Akbar 🎉 . Yaani amejua watu wakijua ukweli washirika, watapiga bye bye 😂😂😂😂 aki Nawapenda Kwa ajili ya Mungu .Allah ❤Akbar😊.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому +1

      Tunakupenda kwa ajili ya Allah

    • @MrKeyvo
      @MrKeyvo Рік тому +2

      Masha Allah ni ukumbusho mdogo tu ndugu yangu kwa anwani Yako ni sahihi kusema Allahu Akbar ukisema Allah Akbar ni kusema Mungu kubwa. Afuan lakini

    • @LilyKangethe-hw2bw
      @LilyKangethe-hw2bw Рік тому +1

      @@MrKeyvo 🧕👏

    • @BintiSuleiman-f5v
      @BintiSuleiman-f5v Рік тому +1

      Mashaallah , Allahu Akbar

  • @maspro6294
    @maspro6294 Рік тому +6

    Shekh Salum
    Waislam tunapenda unacho kifanya ila nakupa tahadhari wachungaji na maaskofu hawapendi unacho fanya wana weza kukudhuru pls vaa miwani safety za macho kuzua kumwagiwa Acid au kumwagiwa chochote pls 🙏

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 Рік тому

      Kumbuka kwamba Mtume wetu alipigwa mawe na kung'olew meno kwa kazi hii na hii ni jihadi ytu sas ww uogope kufanya kaz ya Mungu kwa kuwaigopa watu ni sawa na wale waliokimbia kufa kwnye jihadi hautakuw tofaut nao mlinzi wtu ni Mungu pekee

  • @hirewarsame5992
    @hirewarsame5992 Рік тому +7

    Mashallah Sheikh Salim I feel like crying 😢😢 coz of satisfaction and contentment upon how you justify Oneness Of Allah ❤

    • @abcfisheries2865
      @abcfisheries2865 Рік тому +2

      Yes, i agree.
      And he is supported beautifully by fellow Ustads, Karioki and Ali.
      Thanks to Cameraman and other Teachers who are carrying the Books for the Team!
      Alhamdulillah for Islam!

    • @Sal.0
      @Sal.0 Рік тому +1

      SubhanAllah!

  • @hassansharif9216
    @hassansharif9216 Рік тому +2

    Masha Allah. May the almighty Allah bless your work and reward you guys here in dunia and here after.

  • @tasmimcreatives
    @tasmimcreatives Рік тому +2

    Kazi nzuri mashekhe

  • @abcfisheries2865
    @abcfisheries2865 Рік тому +3

    Yule Kijana pamoja na huyu Pastor, ni Time Wasters!
    Muli fanya vizuri kum ignore huyu Kijana leo pia! Ni time waster!
    Ustad Karioki needs Glasses. Tufanyeni Mchango tafadhali!
    TabarakAllah Team, na Vijana waku bebea Korani na Vitabu!

  • @janieali5521
    @janieali5521 Рік тому +1

    MashaAllah Tabarak Allah, asanteni Masheikh kwa kuwanyoosha hao wakristo

  • @Adm9464
    @Adm9464 Рік тому +3

    He gave up after losing the battle ameona haki na kujua Yesu si Mungu bali mtume wa Mungu

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Рік тому +2

    Assallam aleikum leo nimechelewa lakini nimewahi nawapenda wote kwa ajili ya Allah kazi njema kabisa

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tunakupenda kwa ajili ya Allah

  • @zeindaws6643
    @zeindaws6643 Рік тому +1

    MashaAllah ma ikhwa ujumbe usambaee kote kwa wahusika bila shaka ALLAH IBARIQ

  • @zainababdulrahmankarisa6273
    @zainababdulrahmankarisa6273 Рік тому +1

    ALLAH amuongozee hyo mzee

  • @sweetylove9918
    @sweetylove9918 Рік тому +1

    Mashallah kazi nzuri mnayoifanya Allah awalipe pepo

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому

      Aamiin amiin amiin sote waisilamu Allah atupe jannatul firdaus

  • @hamisijm8437
    @hamisijm8437 Рік тому +1

    Assalahm alahykum warahmatullah . Allahy Azidikuwapitia nguvu juu ya wislamu . Kwa ndunguzetu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh amiin amiin amiin sote

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 6 місяців тому +1

    Njorogee Hana dini.🤣🤣🤣🤣🤣

  • @huseinshedrack6180
    @huseinshedrack6180 Рік тому +1

    Watu km nyinyi km ningekuwa na uwezo ningemuomba Mungu akuongezen miaka ya kuish zaid ya elf 2,napenda sn mnacho kifanya nyie ndio mmefanya mm mpk nikasilim😭😭😭😭😭😭😭😭😭Mungu awaongoze leo na kesho Akhera

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому

      Aamiin amiin amiin sote

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 Рік тому +1

      @@salimdaawah123 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 6 місяців тому

      WeweKamamie.hadimachozi.yaarabi.nawaombeaga.wawe.salama.duniani.na.Akhera..mpaka.mwisho.waulimwengu.Allah.Akipuliza.balaghum.ndyo.nawao.warejee.kwa.Allah.nawasi.zerke.kwani.Allah.anaweza.wabaki.hivyohvyo.awajaalie.nguvu.lnshaAllah

  • @shamsiyasalim6866
    @shamsiyasalim6866 Рік тому +2

    Ustadhi Salim wape doze yao watumbuwe majipu yao wavumilie kutumbuliwa majipu yao na wavumilie uchungu wa kutumbuliwa

    • @shamsiyasalim6866
      @shamsiyasalim6866 Рік тому +1

      Ustadhi Salim watumbuwamajipu niuchungu ila itabidi wavumilie maumivu yakutumbuliwa majipu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому

      Lazima tuwafikishie kazi yetu kufikisha tu ujumbe inn shaa Allah

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 Рік тому +1

    😂😂😂 pastor apandwa na mori , alizowea kudanganya watu kanisan

  • @mohameddeeqhalane9420
    @mohameddeeqhalane9420 Рік тому +1

    Jazakumulah kheran

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 Рік тому +2

    Masha Allah

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 6 місяців тому +1

    KashangaaAkisikiaMuskit🤣🤣🤣🤣alijuwmasihala

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 Рік тому +1

    Allah awabariki masheikhe wetu kila la kheir na baraka InshaAllah amiin

  • @zohramariga6678
    @zohramariga6678 Рік тому +1

    Asalamu alakumu mashala kazinzuri

  • @riziwanirashid9133
    @riziwanirashid9133 Рік тому +1

    Asalaam Aleykum warahmatullah wabarakatuh Allah akuzidishieni kwani mnafanya kazi kubwa sana kwani Wakiristo wamelishwa sumu kali sana mpaka umueleweshe mpaka akuelewe inataka kazi ya ziada

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh wataelewa tu inn shaa Allah

  • @kadiriosmam
    @kadiriosmam Рік тому +1

    Asalam aleikum warakhmatullah

  • @twaine40
    @twaine40 Рік тому +1

    Maa Shaa Allah

  • @Adm9464
    @Adm9464 Рік тому +2

    Pastor amehepa after ranting uwongo. He did not want to lose the battle.

  • @Aladeide
    @Aladeide Рік тому +1

    Wakristo enyewe wamechanganyikiwa

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 9 місяців тому +1

    sasa bro , wanafunzi wa mcheza karate wakimwambia mwalimu wao shuhudia tumekwiva ,watakuwa wamekwiva juu ya kitu tofauti na kile walichofundishwa na mwalimu wao , na mwalimu atafundisha kitu ambacho hakiamini...?

  • @ibruzah001
    @ibruzah001 Рік тому +1

    Allahu Akbar ❤

  • @Sal.0
    @Sal.0 Рік тому +2

    Katika Isaiah 9:6, huyo 'mtoto' alio PEWA, already ASHA ZALIWA, wakati wa Isaiah!
    Present Tense, tena mara mbili.
    Isaiah 9:6
    "For to us a child IS born, to us a son IS given, and the government will be on his shoulders."
    Therefore, Isaiah 9:6, SIO utabiri WOWOTE!
    Just ONE of the many NONSENSE Verses, katika Biblia la Wazungu.
    Sawa?

  • @sheemaryam
    @sheemaryam Рік тому +1

    Jamaa karopokwa LAKINI hakutoa andiko LA yesu alikuwa ni mungu

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 Рік тому +1

    💞💞💞💞💞💞💞💞

  • @shamsiyasalim6866
    @shamsiyasalim6866 Рік тому +2

    Wewe ikiwa na jipu lilo IVA dawa ni kutubwuliwa na ukitubwuliwa tulia upate doze yake vumilia maumivu ni uchungu

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 6 місяців тому +1

    Allahu.Akbaru

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 6 місяців тому +1

    NasisiTwende.mbinguni.tuulize.kwaroho.🤣🤣🤣🤣nimecheka.Shekhe.Salm.Allah.awalinde.mashehe.wrtu.walah.

  • @sadickkagoma5297
    @sadickkagoma5297 Рік тому +2

    Allahu Akbar

  • @isaa_ogutu
    @isaa_ogutu 11 місяців тому +1

    Apostle is very incompetent.....hawa ndo watu ambao wanadanganya watu kanisani na wakijua ukweli wanapandishwa na mori😂😂😂

  • @alijuma1815
    @alijuma1815 Рік тому +1

    SALIM MBONA ALI SIMUONI LAKINI NI MZIMA

  • @luvmo04
    @luvmo04 Рік тому +3

    Hata ukiwa una elimu kiasi gani ukiwa na imani za kikiristo unakuwa kama akili zako haziko sawa unaongea vitu kama umerukwa na akili maana mejazwa uzushi wa makanisa

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 9 місяців тому +1

    sasa bro , wanafunzi wa mcheza karate wakimwambia mwalimu wao shuhudia tumekwiva ,watakuwa wamekwiva juu ya kitu tofauti na kile walichofundishwa na mwalimu wao , na mwalimu atafundisha kitu ambacho hakiamini...?