Salim Daawah Kenya
Salim Daawah Kenya
  • 1 124
  • 8 479 738

Відео

Kilicho tokea leo Hassan anyoosha na kuweka mambo inavyotakikana maswali yanoga
Переглядів 3,2 тис.2 години тому
Kilicho tokea leo Hassan anyoosha na kuweka mambo inavyotakikana maswali yanoga
Haya yajulikana maswali yanoga kiwanjani nilikuwa sijui hili nimeelewa kimeeleweka tena vinzuri
Переглядів 5 тис.4 години тому
Haya yajulikana maswali yanoga kiwanjani nilikuwa sijui hili nimeelewa kimeeleweka tena vinzuri
Masha Allah alhamdulillah neema imepatikana bado kindogo tu inn shaa Allah
Переглядів 1,1 тис.4 години тому
Masha Allah alhamdulillah neema imepatikana bado kindogo tu inn shaa Allah
Joto la maswali laimbuka majibu pia yakuja kwa wepesi kimeeleweka leo ujumbe umefika
Переглядів 6 тис.9 годин тому
Joto la maswali laimbuka majibu pia yakuja kwa wepesi kimeeleweka leo ujumbe umefika
Matokeo ya maswali moto moto kiwanjani cha daawah alhamdulillah ujumbe unafika
Переглядів 4,6 тис.12 годин тому
Matokeo ya maswali moto moto kiwanjani cha daawah alhamdulillah ujumbe unafika
Mgalatia aleta maswali yake na kujaribu kubabaisha ila yajibiwa tena kwa wepesi kivumbi cha timbuka
Переглядів 4,3 тис.14 годин тому
Mgalatia aleta maswali yake na kujaribu kubabaisha ila yajibiwa tena kwa wepesi kivumbi cha timbuka
Maswali manzuri leo ya chacha kiwanjani wagaratia waleta hoja zao kimeeleweka
Переглядів 4,7 тис.16 годин тому
Maswali manzuri leo ya chacha kiwanjani wagaratia waleta hoja zao kimeeleweka
Mbona amtaki kuenda binguni maswali ya chemka mzee aleta hoja mpya kali kali
Переглядів 6 тис.19 годин тому
Mbona amtaki kuenda binguni maswali ya chemka mzee aleta hoja mpya kali kali
Mambo ya roho yaleta utata sana jamaa Mmoja adai kuwa na roho mtakatifu kiwanja cha chemka tena
Переглядів 6 тис.21 годину тому
Mambo ya roho yaleta utata sana jamaa Mmoja adai kuwa na roho mtakatifu kiwanja cha chemka tena
Wengi wameanza kufahamu joto la maswali laimbuka kigeugeu hakuna hapa kimeeleweka leo ujumbe umefika
Переглядів 6 тис.День тому
Wengi wameanza kufahamu joto la maswali laimbuka kigeugeu hakuna hapa kimeeleweka leo ujumbe umefika
Maswali yaleta tumbo joto kwa wagaratia kiwanjani wajaribu kupindua lakini wapi moto
Переглядів 6 тис.День тому
Maswali yaleta tumbo joto kwa wagaratia kiwanjani wajaribu kupindua lakini wapi moto
Mmoja asilimu dada wa kiroho awasha moto kiwanja cha chemka maswali ya letwa kimeeleweka leo
Переглядів 6 тис.День тому
Mmoja asilimu dada wa kiroho awasha moto kiwanja cha chemka maswali ya letwa kimeeleweka leo
Kumekucha maswali moto moto kiwanja leo mbona mnamuita Ibrahim na sio Abraham kukuru kakara
Переглядів 5 тис.14 днів тому
Kumekucha maswali moto moto kiwanja leo mbona mnamuita Ibrahim na sio Abraham kukuru kakara
Kiwanja cha chemka kila siku mapya eti kiatu cha rohoni sio cha mguu mambo yawekwa kwa line vinzuri
Переглядів 5 тис.14 днів тому
Kiwanja cha chemka kila siku mapya eti kiatu cha rohoni sio cha mguu mambo yawekwa kwa line vinzuri
Dada ako na imani eti Mungu ana mtoto maswali yaletwa kama umeme leo kiwanja cha changamka
Переглядів 8 тис.14 днів тому
Dada ako na imani eti Mungu ana mtoto maswali yaletwa kama umeme leo kiwanja cha changamka
Mzee wa cheche auliza maswali dada apata elimu ya kutumia maji chooni kiwanja cha changamka
Переглядів 6 тис.14 днів тому
Mzee wa cheche auliza maswali dada apata elimu ya kutumia maji chooni kiwanja cha changamka
Dada aleta maswali na maandiko yaleta changamoto kiwanjani kimeeleweka leo
Переглядів 8 тис.21 день тому
Dada aleta maswali na maandiko yaleta changamoto kiwanjani kimeeleweka leo
Mambo ya chemka kuhushu maandiko haya maswali yaletwa kama mvua ukweli hufichiki leo ni leo
Переглядів 5 тис.21 день тому
Mambo ya chemka kuhushu maandiko haya maswali yaletwa kama mvua ukweli hufichiki leo ni leo
Mzee wa kiroho aleta utata na maswali moto moto kiwanja cha chemka uchawi uko au hauko kivumbi sana
Переглядів 7 тис.21 день тому
Mzee wa kiroho aleta utata na maswali moto moto kiwanja cha chemka uchawi uko au hauko kivumbi sana
Majabu jamaa aona kitabu chake cha imani kilifikiliwa na waandishi astuka ukweli wafichuka kumekucha
Переглядів 6 тис.21 день тому
Majabu jamaa aona kitabu chake cha imani kilifikiliwa na waandishi astuka ukweli wafichuka kumekucha
Dada aleta manzito aliyoyapitia lakini awekwa sawa maswali yaletwa kama mvua yajibiwa ukweli ukowazi
Переглядів 6 тис.21 день тому
Dada aleta manzito aliyoyapitia lakini awekwa sawa maswali yaletwa kama mvua yajibiwa ukweli ukowazi
Ni nani mwisho wa Mitume na hawa wako leo wametumwa na nani kiwanja cha changamka maswali na majibu
Переглядів 6 тис.28 днів тому
Ni nani mwisho wa Mitume na hawa wako leo wametumwa na nani kiwanja cha changamka maswali na majibu
Nabii Ismael ni mtoto wa nani? je ailibarikiwa au alilaaniwa maswali yaleta changamoto kiwanjani
Переглядів 5 тис.Місяць тому
Nabii Ismael ni mtoto wa nani? je ailibarikiwa au alilaaniwa maswali yaleta changamoto kiwanjani
Mambo yawekwa sawa mnapoenda Makkah mbona mnarusha mawe maswali yaletwa kama mvua yajibiwa
Переглядів 4,3 тис.Місяць тому
Mambo yawekwa sawa mnapoenda Makkah mbona mnarusha mawe maswali yaletwa kama mvua yajibiwa
Ukweli wazidi kuvichuka nani aliyeumbwa mwanzo dada apata elimu kumechemka kimeeleweka leo
Переглядів 8 тис.Місяць тому
Ukweli wazidi kuvichuka nani aliyeumbwa mwanzo dada apata elimu kumechemka kimeeleweka leo
Nitajua aje uisilamu ni dini ya Mwenyezi Mungu swali la ulizwa kiwanja cha chemka tena kimeeleweka
Переглядів 7 тис.Місяць тому
Nitajua aje uisilamu ni dini ya Mwenyezi Mungu swali la ulizwa kiwanja cha chemka tena kimeeleweka
Mbona mnachukia nguruwe mkristo ahoji maswali yamwagwa kama mboga kimeeleweka ujumbe umefika
Переглядів 8 тис.Місяць тому
Mbona mnachukia nguruwe mkristo ahoji maswali yamwagwa kama mboga kimeeleweka ujumbe umefika
Maswali yaletwa kama mvua Qur'an ni kitabu cha nani na kilitoka wapi Mambo ya majini hayakuachwa
Переглядів 4,7 тис.Місяць тому
Maswali yaletwa kama mvua Qur'an ni kitabu cha nani na kilitoka wapi Mambo ya majini hayakuachwa
Mambo ya chemka nani alikuwa akiwasilimisha majini wakristo wauliza Kiwanja cha tokea kivumbi
Переглядів 8 тис.Місяць тому
Mambo ya chemka nani alikuwa akiwasilimisha majini wakristo wauliza Kiwanja cha tokea kivumbi

КОМЕНТАРІ

  • @rahmaali6662
    @rahmaali6662 Годину тому

    MaashaAllah uwanja umewaka moto leo sheikh Hassan wafunze hao

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8l 2 години тому

    Mwenye akili timama atumie akili.Mungu muumba hana udhaifu wakuhitaji mwana yeye n muumba wavyote hakuzaa wala hakuzaliwa n afanani nachochote

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 4 години тому

    Sheikh wafungue macho na masikio, na wanashangaa

  • @ggv866
    @ggv866 4 години тому

    Allah awajalie kila Ma Ustadhi wetu

  • @ggv866
    @ggv866 4 години тому

    Uyo jamaa ajui chochote ..Issa h ..tunampenda ni Nabii ya Allah

  • @ggv866
    @ggv866 4 години тому

    Mashaallah

  • @ggv866
    @ggv866 4 години тому

    Ajui bado ajafanya ri search

  • @ggv866
    @ggv866 5 годин тому

    Inshaallah

  • @ggv866
    @ggv866 5 годин тому

    Inshaallah

  • @ggv866
    @ggv866 5 годин тому

    Waleykum salaam waramadhulahi wabarakatuh Ustadhi Hassan

  • @MirajiMiraji-yu4gg
    @MirajiMiraji-yu4gg 6 годин тому

    Asalamu walaiku ..tupo pamoja..Zanzibar visiwa vya marashi ya karafuu tunawafatilia allah atuongoze tufe tukiwa waislam

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123 Годину тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tunawapenda sana kwa ajili ya Allah

  • @MwangiMuhammad-q8r
    @MwangiMuhammad-q8r 8 годин тому

    Mazbut walllah, Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123 Годину тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @bahsansheikh6042
    @bahsansheikh6042 9 годин тому

    ALHAMDULILLAH

  • @sulimankarusi8345
    @sulimankarusi8345 11 годин тому

    Mashallah Sheikh

  • @adrisshagi1255
    @adrisshagi1255 12 годин тому

    ASALAMU aleykum. Asani muna fanyiya ili wasome wana somewa na muchungaji. Let them open 👁️ eye

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123 Годину тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @molee2339
    @molee2339 13 годин тому

    MashaAllah Dawah BORA Kabisa! Watu wa TZ na East African mzima, mpaka Congo, muki taka dawah BORA Kabisa, basi dubscribe haa na huduriye. Hii Team iko na one of the <<Best knowledge around,! Tabarak Allah Team, pamoja na wanao beba Vitabu Every TIME!

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123 Годину тому

      Lengo kuwatoa watu katika giza na kuwaleta katika nuru

  • @ibruzah001
    @ibruzah001 15 годин тому

    ALLAHU AKBAR ♥️

  • @estherwamaitha1006
    @estherwamaitha1006 16 годин тому

    Masha Allah Waelimishe wajue ukweli

  • @user-du2fy5sd5u
    @user-du2fy5sd5u 16 годин тому

    جزاك الله خيرا

  • @athumanmohamed-q4f
    @athumanmohamed-q4f 16 годин тому

    Masha'Allah mungu awalipe hp duniani na Akhera

  • @SheeMaryam.M
    @SheeMaryam.M 17 годин тому

    Walio mfwata yesu wakati wake, na kumuaminib, watashinda na walio mfwata Muhammad (saw) wakati huu , watashinda kama walivyo watu wa manabii wengine wakati wao. M

    • @user-ng1po1dh4z
      @user-ng1po1dh4z 13 годин тому

      Waliomtii Yesu tu (Nabii Issa) wakati wake, ni kati ya Waisraeli kabila 12 tu, Alikotumwa na Mwenyezi Mungu. Wengine msijidanganye. Isipokua watakaofuata asemayo Nabii Muhammad S. A. W. Yaliyomo ktk. Qurani. Hao ndio watakaoingia Peponi.(Paradise) *Jamani kuwa Mwislamu ni Raha*

  • @iddyjuma8036
    @iddyjuma8036 17 годин тому

    N dua tuu..Sema Aya atl-qursiyyun inanisaidia sana na dua nyingi nafanya

  • @isahbarasa
    @isahbarasa 18 годин тому

    Salamu aleikum waramtulah wabarakatu mafunzo mazuri sana walimu wangu ukikosa kupost dawa hio usiku huwa mrefu sana Allah atu rehemu siku ya mwisho ❤

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123 Годину тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tutajitahidi ku post kila wakati inn shaa Allah

  • @SheeMaryam.M
    @SheeMaryam.M 18 годин тому

    Ma Sha Allah kijana wetu wakusilimu amekazana sana na wahadhiri , mwenyezi MUNGU ampe nguvu na nyinyi nyote walimu

  • @hassansharif5716
    @hassansharif5716 18 годин тому

    Masha Allah brothers

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190 18 годин тому

    Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh, swalallahu alaihi wasallam

  • @SalunumaulidmsumiMsumi-cc2im
    @SalunumaulidmsumiMsumi-cc2im 19 годин тому

    Jazaka llah kheri Yan sipati usingizi mpaka nifuatilie mafundisho nawapenda kwa ajili ya allah❤

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 20 годин тому

    Hezbon sialisilimu huyu hapa hapa chini ya Salim ....? Nimemuulizia juzi leo kajitokeza mr hezbon😅😅😅

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123 19 годин тому

      Huyu hajasilimu waliosilimu wote wanasoma hapa kwa msikiti wa mkuru kwa Ruben

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 8 годин тому

      ​@@salimdaawah123HUYO HAPO ANATHIBITISHA ALISILIMU ISIPOKUWA HAKYSOMA . SASA NDIO ANATAKAKUSOMA .

  • @ahmedcaptain2347
    @ahmedcaptain2347 20 годин тому

    Masha Allah

  • @mahmudmugarura2175
    @mahmudmugarura2175 20 годин тому

    Walaikum salam warhmatillah wabarakat

  • @Jingajinga64
    @Jingajinga64 20 годин тому

    Mashallah sheikh na wenzake. Allahumma Barik

  • @m_aqtum
    @m_aqtum 20 годин тому

    Salamu alyekum

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123 Годину тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8l 20 годин тому

    Alhamdulillah

  • @inamxmdsheekh1978
    @inamxmdsheekh1978 20 годин тому

    Islam means total submission to the will of God

  • @abdallasuleiman8785
    @abdallasuleiman8785 22 години тому

    Yaani mtu hajui kitu na ana ubishi. Huo sasa ndio ujinga uliopitiliza. To learn something you have to humble.

  • @user-rf7wx7og6t
    @user-rf7wx7og6t День тому

    Mashalla 😍❤❤

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 День тому

    Allah amuongoze Mama wa Sheikh Salim katika UISLAMU.. (Aamyn)

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123 День тому

      Aameen ameen ameen

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 День тому

      @@salimdaawah123 Sheikh Salim .. wewe na Sheikh Ramadhan Kuria (Allah awahifadhi).. Wallaahi mnatupa ujasiri wa kuweza kuwagongea Wasio Waislamu majumbani mwao .. 😃 .. Wanaogopa sasa kuja kutugongea sisi .. .... ALLAH ATUTAQABALIE SOTE

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 День тому

      @@salimdaawah123 Tunapenda tuwaone siku moja mkiwa Pamoja na Sheikh Ramadhani

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123 День тому

      @swafiirbulbul819 Aameen ameen ameen sote

  • @MwangiMuhammad-q8r
    @MwangiMuhammad-q8r День тому

    Qur'an 5:47---Manabii walijiSALIMISHA!

  • @MwangiMuhammad-q8r
    @MwangiMuhammad-q8r День тому

    Wa Alaykum Salaam Warahmatullahi Wabatakatuhu, huyo jamaa vipi? Kusalimu amri ni ku submit, to surrender! Allah awalipe Jannatul Firdaus

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123 День тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh wataelewa tu inn shaa Allah

  • @JacfarNur
    @JacfarNur День тому

    MashaAllah ALLAH S.W.T Awalinde Ndugu Zangu

  • @mohamedhaji2242
    @mohamedhaji2242 День тому

    Asc camera man asizungushe camera saana

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123 День тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190 День тому

    Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh

  • @user-pg9bv9rr4p
    @user-pg9bv9rr4p День тому

    Only fools thread where angels fear to go.. Maskini huyu mtu wa science haji elewii.

  • @user-pg9bv9rr4p
    @user-pg9bv9rr4p День тому

    Fear of Allah is the begining of all wisdom..

  • @josemu870
    @josemu870 День тому

    Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya subra dawa iendelee Allahamdhullah barikiweni sana sana kwa mafundisho bora yenye utaratibu yani mawaidha ya Koran

  • @josemu870
    @josemu870 День тому

    1:1 - KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.  1:2 - Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;  1:3 - Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;  1:4 - Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.  1:5 - Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.  1:6 - Tuongoe njia iliyo nyooka,  1:7 - Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.

  • @musanike3079
    @musanike3079 День тому

    Inshallah - maswali na majibu iwe dakika 15 ndio tuskize wakristo wengi. Mabruk Kwa kazi safi.

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 День тому

    Mashe zetu tuna wapenda sana ila jitahidini kunyoosha kiswahili chenu na mkitaka kuongea vizuri ili mueleweke ongeeni taratibu maneno hayata pindapinda mnisamehe sana nduguzanguni nikatika kuongozanatu kwania nzuri ili kilamtu awaelewe vizuri mbarikiwe sana wabilahi taufiq assalamualaikum 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123 День тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah

  • @user-du2fy5sd5u
    @user-du2fy5sd5u День тому

    Allah awape umri na Afya muzidi kueneza Qalima ya lailaha illaAllah Muhammadan RassulluAllah

  • @AlhajiSaidi-uo8zl
    @AlhajiSaidi-uo8zl День тому

    Mashaallah