Allah atuongoze masheikh hili la waislamu kubaguana ni hatari sana but maimamu wengine wanapenda kukosoana kwenye mitandao ambapo ni makosa hii inapelekea wasio kuwa waislamu likemeeni hili masheikh wetu ukweli mtupu huu
Assallam alykum warahamatullah wabarakatuh ustadh hawa subscribers wote walienda wapi? Inasikitisha sana waalimu wa daawah ndyo wko chini....Allah akuzidishie nyoyo dhabiti maana msiba kw kweli
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh kutangaza uisilamu inataka subra hali ngumu na sio sisi tu angalia hali pia ya maimamu msikitini but tunasema alhamdulillah
Àsalam aleikum warahmaturullahi wabarakatuh huyo jamaa anongea temple iko hapo nyuma ya fire station pia mm Kuna siku nilikuwa nadhani ni msikiti kufika kwa mlango nikaambiwa hapo sifai kuingia niya wahindi hio LAKINI I thought ni msikiti 😅😅😅
Nataka ku zundusha jambo moja! Mjakazi na mfanyi kazi nyumbani ni watu wa wili tofauti,Mjakazi ni mtu alo nunuliwa, na mfanyi kazi ni mtu wakawaida ame enda kwa nyumba fulani kufanya kazi kupata rizqi yake. Kwa hivo hajara hakuwa mfanyi kazi bal alikuwa ni Mjakazi wa sara, na Mjakazi huwa ni mali yako, mfanyi kazi si mali yako
Hio habari ya Bi Hajar kuwa 'mjakazi' ni POROJO za Biblia! Kwani Ibrahim na Sar'a wali kuwa na 5 Bedroom Bunglow la Lavington, ili wam andike mu Fanya Kazi'? Ibrahim alikuwa na a Single Hut, kama za Masaai. Kwani Sa'ra ange shindwa ku osha Sufuria na Mwiko MOJA katika Hut yao? Bi Hajar ali kuwa an Egpytian Princess, kama MKE wa YUSUF, ambaye alikuwa ni Egyptian Princess! POROJO za WaZungu zime jaa katika biblia!
Allah atuongoze masheikh hili la waislamu kubaguana ni hatari sana but maimamu wengine wanapenda kukosoana kwenye mitandao ambapo ni makosa hii inapelekea wasio kuwa waislamu likemeeni hili masheikh wetu ukweli mtupu huu
Wananikera kweli kweli
Maashaallah baarakallah mungu awajaze kheri..mashekh wetu mitambo kidogo imesumbua lakn ujumbe umefika biidhinillah
Sheikh Hasan unahitaji miwani mungu akuhifadhi wewe na maustadhi wetu wengine
Yesu kristo alikuwa mwalimu wa kufundisha njia ya mungu
MashaAllah, hua nafurah sana Mtu hua yuaja na jazba alaf yuafreez
mashaa allah mungu awasaidiye , naona shekh salim sauti ime kata hapo nyuma .
ALLHAMDULLILLAH ❤❤❤❤
Ma sha Allah
Masha Allah
Takbir Allahu Akbar mashallah
Allahu Akbar..Karibu sana kaka
Allah Awalipe kla la kheri شكرا
Allahu akbar. Uislamu ni neema kubwa
MashaAllah MashaAllah Allah barik
Mashallah
ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤
Takbiir Takbiir
alhamdulilaah
❤❤❤
Assalaam Alaykum.Leo sauti inakatika katika.Inn Allah mara nyingine ALLAH alete wepesi mambo yawe sawa.
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
Assallam aleikum mashaAllah leo nimewahi kwa ajili ya Allah Allah awalinde awaepushie kila husda amiin
Hongera sana ni bora kuwahi katika mema
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh amiin amiin amiin
@@samxx411shukran ndugu sote pamoja
Assallam alykum warahamatullah wabarakatuh ustadh hawa subscribers wote walienda wapi? Inasikitisha sana waalimu wa daawah ndyo wko chini....Allah akuzidishie nyoyo dhabiti maana msiba kw kweli
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh kutangaza uisilamu inataka subra hali ngumu na sio sisi tu angalia hali pia ya maimamu msikitini but tunasema alhamdulillah
@@salimdaawah123 Allah awape subra
Sauti imepotea 35:11 mpaka 37:43
Asalamu alakumu mashala mungu amulidi kwakilajabo ❤❤
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
Amiin
Hakuna wa islamu wanayo sema hivo never ever ndung yangu
Allahu Akbar
Volume please
Volume is fantastic
Hawajui ya kwamba hata mchawi mwizi mzinzi mkora jambazi wote hujibiwa maana Allah ni Rahman tena Rahim
Àsalam aleikum warahmaturullahi wabarakatuh huyo jamaa anongea temple iko hapo nyuma ya fire station pia mm Kuna siku nilikuwa nadhani ni msikiti kufika kwa mlango nikaambiwa hapo sifai kuingia niya wahindi hio LAKINI I thought ni msikiti 😅😅😅
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh yeah nadhani hiyo ndio alikuwa akisema
Assalam alaykum, shkh Ali Yuko wap?
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh yuko tu hali ya kukimbiza maisha kindogo
Sauti hakuna shekhe wetu
Shekh Hasan inatakiwa atumie miwani
Asalam alaykum
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Tunataka daawah iende 1hr:30mins ama 2hrs
Kitu kinacho hadaa hawa wakristo ni kuwa wakiomba wanajibiwa but hawajui
Asalaamualaikum shekh huyo aliona bohora ni Dini ya wahindi sio uislamu shuqran
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Allah Akbar islam is the way
Huyo mrongo aseme msikiti gani hio ati waislam weupe nop mm mwa Africa mkenya na nimweusi Nana swalisha waarabu akiwa imamu hayuko
Hiyo wamebabaishiwa kumuabudu yesu ili ionekane ukristo ni wa yesu kumbe ni wa Paulo .
Kumbe.kaendakwabohora.hao.wahindi.wanachomana.wakifa.alijuwa.waislam
Wa bokhora ndio wataki kabila zingine. It's a Shia sect
Nataka ku zundusha jambo moja!
Mjakazi na mfanyi kazi nyumbani ni watu wa wili tofauti,Mjakazi ni mtu alo nunuliwa, na mfanyi kazi ni mtu wakawaida ame enda kwa nyumba fulani kufanya kazi kupata rizqi yake. Kwa hivo hajara hakuwa mfanyi kazi bal alikuwa ni Mjakazi wa sara, na Mjakazi huwa ni mali yako, mfanyi kazi si mali yako
Onsha Sufuria Moja na Mwiko Moja?
Tumi yeni Common Sense!
Hio habari ya Bi Hajar kuwa 'mjakazi' ni POROJO za Biblia!
Kwani Ibrahim na Sar'a wali kuwa na 5 Bedroom Bunglow la Lavington, ili wam andike mu Fanya Kazi'?
Ibrahim alikuwa na a Single Hut, kama za Masaai. Kwani Sa'ra ange shindwa ku osha Sufuria na Mwiko MOJA katika Hut yao?
Bi Hajar ali kuwa an Egpytian Princess, kama MKE wa YUSUF, ambaye alikuwa ni Egyptian Princess!
POROJO za WaZungu zime jaa katika biblia!