SIMULIZI YA KIJANA ALIYEKUWA MSAIDIZI WA PADRI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025
  • ‪@StraightPathDawah‬ Tafadhali kama una simulizi ungependa kusimulia kuhusu maisha yako kabla ya Uislamu usisite kuwasiliana nasi. Kipindi kipya kinajulikana kama KUTOKA GIZANI. Kumbuka kusubscribe kwenye channel yetu ya STRAIGHT PATH DAWAH ili uendelee kunufaika kupitia video zetu.

КОМЕНТАРІ • 142

  • @MustafaKarama-k3q
    @MustafaKarama-k3q 10 місяців тому +25

    Masha Allah nimefurahi sana kuona clip hii Sheikh Ramadhan. Naomba kitu kidogo ikiwezekana kufanya kikao tena na ndugu yetu Qasim nahisi ana mengi ya kusema ..Clip ilikua fupi sana .Shukran sana Allah akubarik Sheikh wetu Ramadhan

  • @roobledebrownboy4052
    @roobledebrownboy4052 10 місяців тому +2

    Skh may Allah give u long life❤

  • @FatimeOmari
    @FatimeOmari 10 місяців тому +7

    Jmn uislam raha!

  • @bakari52
    @bakari52 10 місяців тому +4

    Uisalmu ndugu Qasim umekupendeza

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 10 місяців тому +3

    Mashallah nuru imejitokeza kwenye kipaji na izidi

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 10 місяців тому +13

    Maa shaa Allah kaka Qasim Allah kakupenda umechukua good decision ❤

  • @sophiakassim6979
    @sophiakassim6979 10 місяців тому +7

    Maneno yakusisimua BARAKA ALLAHU LAKUM Aamiin thumma Aamiin kwa DUAA tofauti tofauti mlizoziomba

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 10 місяців тому +3

    Mashaallah tabarakaallah amenawiri uso Mashaallah

  • @Fumokale
    @Fumokale 10 місяців тому +4

    Allahu Akbaar...sina la kuwapa illa kuwaombea kwa Allah awajaalie uongofu hadi siku ya mwisho na sote islamu na Allah atujaalie IKHLASW....amiin...NAWAPENDA KWA AJLI YA ALLAH

  • @SuluhuKhamisgb
    @SuluhuKhamisgb 5 місяців тому +1

    AllahAkbar

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 10 місяців тому +3

    Im happy to hear this wonderful story, welcome to Islam brother, and enjoy to be Muslim 🙏🏽,,

  • @DullahShechonge
    @DullahShechonge 7 місяців тому

    Allah akufishe ukiwa muislam brother

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy 10 місяців тому +3

    MashaAllah AllahuAkbar Alhamdulillah I'm a Muslim ☝️🕌🙏🙏🙏

  • @1vy1231vys
    @1vy1231vys 10 місяців тому +4

    Waalekum salam warahmatullah wabarakatuh

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 10 місяців тому +3

    Ma sha Allah tabaraka Rahman.Allah amekuogoza alhamdulillah

  • @aziza9093
    @aziza9093 10 місяців тому +4

    Upepata haki nausowako unanur ❤❤

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 10 місяців тому +4

    Masha Allah Guru ni rafiki ya shutter Bidhare

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 10 місяців тому +2

    Masha Allah tabaraka Rahman. Welcome back brother to your original faith Alhamdulilah Rabbil Aalamiin Allah bless you and all Muslims Umma. Allahumma Ameen Yaarabil Aalamiin

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 10 місяців тому +2

    Masha Allah, Allahu Akbar, nilimuona kutoka kitambo akifanya comedy na akisimulia kwa chanel yake alivyo silimu. Allah azidi kumuongoza na walio silimu wote na waislamu sote na atujalie mwisho mwema Allah Ummah Amiin

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 10 місяців тому +3

    As salaam Alaykum wa rahmatullahi wa barakatuh, Maa shaa Allaah, Qasim may Allaah continue to guide you and grant you strong in the deen-ul haqq And may he grants you the highest rank in janna in the hereafter Aameen thumma Aameen

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 10 місяців тому +7

    Allah yawape hidaya kwa jitihada zenu kwajiri ya dini ya allah kusonga mbele na watazamaji wote wa chaneli hii tusisahau mwombea ndugu yetu RAMADHANI wazazi wake waje kuwa waislam

    • @Noorein-ws8wk
      @Noorein-ws8wk 10 місяців тому +2

      ALLAH awaongoze kwenye dini ya haki aamiin Yaa Rabb Al 'alamiin

  • @MussaMohammed-g6o
    @MussaMohammed-g6o 10 місяців тому +1

    Wallah Uislam,,, ni Dini ya haq,, Wallah,, mpaka ALLAH akupendelee, akunjue kifua cha mja,, shukrani kwa Qaasim,, jina la mtoto wa RASULU'LLAH,, MOHAMMAD IBIN ABDILLAAH

  • @abdiabdullahi2937
    @abdiabdullahi2937 10 місяців тому +4

    Mashaallah

  • @kassimjuma6151
    @kassimjuma6151 10 місяців тому +4

    Kassim yuko sahihi anataka na ndugu zake waje katika uislam na pia anapenda ila na muunga mkono kusema Mungu ndo anapanga kwa hii Aya
    Kwa hakika wewe humwongoi umpendaye, lakini Mwenyezi Mungu humwongoa amtakaye. Na Yeye ndiye anawajua zaidi waongokao. Quran 28:56

  • @Zainab-f9w5x
    @Zainab-f9w5x 10 місяців тому +4

    Ma sha Allah

  • @ChatirDadeDade
    @ChatirDadeDade 5 місяців тому

    ASALAM ALAIKUM WW. Mashaallah. Ki ukweli nimefurahi sana kupata hii history ya kweli. ALLAH (S.W.) hakulipeni kheri ya jannat. Shekh Qasim, MUNGU akuzidishiye kheri. Umikupendeza sana wisilamu. Chatir DADE (Mozambique).

  • @sophiakassim6979
    @sophiakassim6979 10 місяців тому +3

    Waalaikum salaam warahmatullah wabarakatuh

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 10 місяців тому +10

    mashallah na umependeza sura yako inanuru sana

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 9 місяців тому

    Allah akuongoze

  • @HalimaAbubakari-x7n
    @HalimaAbubakari-x7n 7 місяців тому

    Allah akulipe shekhe ramadhani kwa kazi nzuri❤

  • @MeniJr
    @MeniJr 9 місяців тому +2

    MaashAllah Allah akulipe kheri nyingi ust. RAMADHAN Kwa kazi kubwa unayoifanya

  • @WogeAlem
    @WogeAlem 9 місяців тому

    Masha Allah Bro 🥰

  • @suleymanali431
    @suleymanali431 10 місяців тому +1

    Mashaalah mungu awazidishey kipindi Raha sana ila ume fupisha inshaallah ,Tupate story ya wengine walibyo silimu

  • @maymunahomar5016
    @maymunahomar5016 10 місяців тому

    MaaShaaAllah Allah (SWT) azidi kukuongoza Qassim katika dini ya Kiislam uje uwe kama Sheikh wetu Othman Michael wa hapa Tanzania. Na yeye vile vile Allah (SWT) alimuonesha njia ya haki akiwa kwenye umri mdogo.

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 10 місяців тому +7

    Na huyu jamaa amefanana na pastor Ndacha sana mpaka kuongea. Soon Ndacha naye atasilimu Insha Allah

    • @suleymanali431
      @suleymanali431 10 місяців тому

      Akhi mbona una fanya matharau hivyo kusema jama huyu anafwanana na ndacha , cha kwanza anajina na ni ndugu yetu kwa Uisilamu huyu ndungu wetu muisilamu unamfananisha na jahil ndacha ndugu wetu anaitwa Qasim wala hana sura na ndacha mashaallah ame Nura mwenyezi mungu amzidishiye Hidaya na wasilimu mandungu zake amiin.

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 10 місяців тому

      @@suleymanali431 Wewe ndie hujanielewa mimi nimemaanisha sura na wala si vingine

    • @mwanashaali1109
      @mwanashaali1109 9 місяців тому

      In sh Allah,ndachaa Anaogopa tuh watu watasemane,in Sha Allah na Yeye Allah Atampa Tawfiq

    • @suleymanali431
      @suleymanali431 9 місяців тому

      @@mwanashaali1109 Anajua uisilamu ndiyo Haki na dini ya ukweli lakini Tamaa tu ya dunia na sadaka anazozipata ndiyo hawezi kuja kwa uisilamu

    • @NGULATV
      @NGULATV 9 місяців тому

      Amin

  • @kadhyanassor5046
    @kadhyanassor5046 10 місяців тому +1

    MashaAllah nimetamani kusikia kisa chake kwa urefu ....

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 9 місяців тому

    Mashallah tabaraka Rakhman ❤❤❤ shehe ramadhani umependeza utazani bwana harusi Mashallah

  • @olemenye
    @olemenye 10 місяців тому +1

    jamaaa mcheshi sanar

  • @firdaushamid8200
    @firdaushamid8200 9 місяців тому

    Masha Allah akuhifadhi na killa la Shari akufunguleye milango ya kheri zote Amin

  • @WarsameKahin
    @WarsameKahin 9 місяців тому

    Ramadhan kuria bin kaguo.kumbe unakielewa kisomali kidogo..anyway I Love you for the seek of Allah ❤

  • @HapsaHaji-bg5jk
    @HapsaHaji-bg5jk 9 місяців тому

    Maashaallah Alhamdulillah karibu ndugu yetu Allah atupeMwisho Mwema

  • @Abu-Hamza254
    @Abu-Hamza254 9 місяців тому

    Ustadh Guru jombee Maansh Allah we ❤u Eastleigh

  • @mariamhussein2737
    @mariamhussein2737 8 місяців тому

    Mashallah tabarakallah shekh kassim umeoa

  • @Abu-Hamza254
    @Abu-Hamza254 9 місяців тому +1

    Maansh Allah Sheikh Ramadhan anajua kisomali♥️

  • @ibrahimally6526
    @ibrahimally6526 9 місяців тому

    Allah amjaze Iman ndugu yetu kassimu then tunakukaribisha Zanzibar

  • @jamaaldolale5491
    @jamaaldolale5491 9 місяців тому

    MashaAllah Allah I barik

  • @bakari52
    @bakari52 10 місяців тому +1

    Maashallah

  • @MustafaIbrahim-xb8jb
    @MustafaIbrahim-xb8jb 10 місяців тому +1

    Part2 please

  • @AssdfAssd-g3y
    @AssdfAssd-g3y 10 місяців тому +2

    Mashallah

  • @AsmaaJuma-u7p
    @AsmaaJuma-u7p 9 місяців тому

    Mashaalah. M mngu akuongoze uzidi kujua dini ya kiislamu

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 10 місяців тому +2

    Masha'allah Masha'allah 😢😢😢😢

  • @kineromakame7295
    @kineromakame7295 9 місяців тому

    Mashaallah Allah azidi kumuongoza

  • @1vy1231vys
    @1vy1231vys 10 місяців тому +2

    Mashaallah. ALHAMDULILLAH

  • @FatimeOmari
    @FatimeOmari 10 місяців тому +2

    Masha Allah ❤ alhamdullillah

  • @barasasilali9600
    @barasasilali9600 10 місяців тому +2

    Asalam alaikum

  • @hassanyusuf4138
    @hassanyusuf4138 10 місяців тому

    MashaAllah bro unaka poa sura inanuru

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 10 місяців тому +3

    Waislamu takbeer

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 8 місяців тому

    Kapendewa sana na uislam masha allaah allah amjaalie qasm

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 10 місяців тому +2

    Masha Allah 💖💖💖

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 10 місяців тому +1

    Noma kisomali❤, safi

  • @yussufhassan486
    @yussufhassan486 9 місяців тому

    Mama alikua very intelligent mum because amepeleka shule wa wa islamu amedunga sindano baridi ❤

  • @suleimanali5629
    @suleimanali5629 9 місяців тому

    Mashaallah sheikh Ramadan: infact nilikuona some months ago in Isiolo jamia Mosque during Your journey of Faith ❤

  • @abdirahim-l5l
    @abdirahim-l5l 9 місяців тому

    Ustadh kassim nime furahi sana kuona wewe ni ndugu yangu muislamu... Qeyri Sheikh ramadhan wewe pia mungu akupe umri zaidi inshaallah

  • @salmaminja7714
    @salmaminja7714 10 місяців тому

    Allahu Akbar. Nimesikiliza hadi mwsho hakika karibu kidondosha machozi ya furaha Qasim alivyo dini ni khaki na kisilimu. Hakika ni jambo la kifurah kwn kujua uislamu na kusilimu ni ne'ema kubwa. Allah atujalie mwsho mwma. Usitadh kaz unayofanya ni kubwa mnooo Allah akupe pepo yake tukufu. Idhaa Aradalla..Amiiiyn

  • @IsaackkIsaackk
    @IsaackkIsaackk 9 місяців тому

    Takbbeer

  • @husnamohamedy4132
    @husnamohamedy4132 Місяць тому

    Ooooh maashaaallaah❤❤❤

  • @JabamanJeve2015
    @JabamanJeve2015 6 місяців тому

    M,a

  • @AshamMussa
    @AshamMussa 9 місяців тому

    Mashaallah mashaallah mashaallah

  • @swidiqrajab4519
    @swidiqrajab4519 10 місяців тому +1

    Mashaa Allah Ba'rakallahu Lakum

  • @salminmnyasa7816
    @salminmnyasa7816 10 місяців тому +1

    Masha Allah Part 2 please

  • @aishamoha3141
    @aishamoha3141 9 місяців тому

    Wallah Uislam raha

  • @abdullahinoor8042
    @abdullahinoor8042 9 місяців тому

    ألله يهدي من يشاء ويضل من يشاء

  • @OmaryBakariOmary-ts3mf
    @OmaryBakariOmary-ts3mf 9 місяців тому

    Allahu akbar

  • @JuliusWainaina-zg7jv
    @JuliusWainaina-zg7jv 10 місяців тому +1

    Mimi after kutambua uislam kama ndini ya haki , kuslimu nilifutwa kazi😂

  • @AbdiMoanedAli
    @AbdiMoanedAli 9 місяців тому

    Masha alah alah hkubariki

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 10 місяців тому +1

    Masha Allah.

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 9 місяців тому

    Alhamdhulillah 🤲

  • @aminajumale6805
    @aminajumale6805 10 місяців тому

    Ma Sha Allah may Allah bless you my brother

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 9 місяців тому

    MashaAllah ❤

  • @Naima-g1n
    @Naima-g1n 10 місяців тому

    MashaAllah MashaAllah brother kassim tunawaombea wote waionane haki kama ww

  • @zuwwnaramadhan6941
    @zuwwnaramadhan6941 10 місяців тому +1

    ma Sha Allah ❤❤❤❤

  • @clementndilanha6936
    @clementndilanha6936 9 місяців тому

    Biblia ya kiarabu Mungu anaitwa Allah.Wanamwomba Allah kwa Jina la Yeshua ( Yesu ).Allah wanayemwabudu ni yule wa Ibrahim.Lakini Allah anayeabudiwa na waisilamu binadamu na majini siyo Mungu wa Ibrahimu.Ni Luna Mungu Mwezi.Na msikiti mkuu uko baharini.Hivyo uisilamu ni njia ya kwenda kuzimu kupitia Mungu Luna.A,K.A Allah wa waisilamu na majini.Hata wakiswali sana Luna siyo mwenyezi Mungu.

  • @Entertainment.1558
    @Entertainment.1558 10 місяців тому

    Asalam alekum Sheikh mashallah ila saingine usiwe unamkatiza iwe unamwacha amaliza ile anataka kusema tupate utamu ukimkatiza kunapotea ladha . Uko poa tu ustadh ila next time ukiwa na mgeni ni vizuri mwache amalizie ile alikua anasema .
    InshaAllah
    Shukran Mungu awajazie kher

  • @hodaneymujib6621
    @hodaneymujib6621 10 місяців тому

    Maashaalah shukran shekh hio support Ni lazima tuambie tu itakufikia vp

  • @weliaaqilofficial2483
    @weliaaqilofficial2483 10 місяців тому

    mr qasim a.k.a guru manshaallah

  • @AbdikheirAli-x4s
    @AbdikheirAli-x4s 10 місяців тому

    I am follow u from tik tok sheeq ...

  • @chullymastertv5778
    @chullymastertv5778 7 місяців тому

    Mje na huku 🇹🇿

  • @martinchambala9399
    @martinchambala9399 10 місяців тому +2

    Mama yako ndio amekuponza aisee hovyo sana

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 10 місяців тому

      ha ha ha. Allah akuongoze na wewe inshaallah

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 10 місяців тому

      Hatutaki matusi please ameamua mungu amemuongoza achana na maisha yake

    • @Nora-v1m3p
      @Nora-v1m3p 10 місяців тому

      Kua mpole ndugu amechagua dini sahih al islam

    • @HisMajesty64
      @HisMajesty64 10 місяців тому

      Wivu jamani!!!

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 10 місяців тому

      Acha ushabiki fatilia iliyo kweli itakusaidia kuliondoa Giza lililo mbele ako. inshaAllah

  • @SalimOmary-w8j
    @SalimOmary-w8j 10 місяців тому

    Masha Allah

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340 9 місяців тому

    Ustadh Ramadhan ongozana na huyo kijana ili ukawalinganie hao watu wa familia yake

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 10 місяців тому +1

    Hiki kipindi cha simulizi za walio silimu kikiwa official itakua vzuri

  • @jumahili8121
    @jumahili8121 9 місяців тому

    Unatupa dhahabu unaokota jiwe. Rudi kwa YESU haraka la sivyo huna mbingu. Ukijua ukweli ukauacha unapotea zaidi.

  • @nestarnestar4520
    @nestarnestar4520 9 місяців тому

    Nyie watu wa ajabu kweli mbona Mimi nilikua muislam nikaritad nikawa mkristo kwasababu sipendi Majini lkn sijaja kwenye media,

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 7 місяців тому

      Mimi nakujua vizuri,ulihamia ktk ukristo baada ya kuwa shoga na yule jamaa yako

    • @nestarnestar4520
      @nestarnestar4520 7 місяців тому

      @@walidmgonja3644 we baki na wake zako wasioenda mskitn na chup

    • @MoiWakitaa
      @MoiWakitaa 5 місяців тому

      Poleee

  • @HalimaHussein-su5pw
    @HalimaHussein-su5pw 10 місяців тому +1

    Part 2 please

  • @HusseinAli-fx1ld
    @HusseinAli-fx1ld 10 місяців тому +3

    MashaAllah

  • @mwanajumakilua7174
    @mwanajumakilua7174 10 місяців тому +1

    Ma shaa Allah ❤❤❤❤❤❤

  • @muhanedhassanaliofficial955
    @muhanedhassanaliofficial955 10 місяців тому +1

    Masha allah

  • @mwanaidiissa10
    @mwanaidiissa10 10 місяців тому

    Mashallah

  • @muminaroba9122
    @muminaroba9122 10 місяців тому

    MashaAllah

  • @kobciyeTV
    @kobciyeTV 10 місяців тому

    Man sha Allah