DAWAH KATIKA KANISA LIITWALO MSIKITI || THE SMALLEST CATHOLIC CHURCH IN THE WORLD

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025
  • Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya STRAIGHT PATH DAWAH ili uendelee kunufaika kupitia video zetu. ‪@StraightPathDawah‬ ni dawah popote wakati wowote.

КОМЕНТАРІ • 285

  • @Leo-xc1nh
    @Leo-xc1nh Рік тому +2

    Katoric nihatari sana mim nirikua uko huyo mam Allah amujarie ajue haki inshallah

  • @abrahmanifarouckissa5662
    @abrahmanifarouckissa5662 Рік тому +23

    Sheh wangu ukija zanzibar tutafutane mimi nakupenda sana kwa ajili ya allah

    • @KassimKassim-wv8db
      @KassimKassim-wv8db 2 місяці тому

      Zanzibar ingelikuwa na uhuru kama huu wa waKenya, yaani wa mihadhara na midahalo ya kidini hadharani ingekuwa RAHA sana. Lakini huku kwetu utaambiwa mufanyie misikitini, sasa huyo mkristo ataingia misikitini?

  • @Hi_20206
    @Hi_20206 Рік тому +73

    Dadangu..nakuombea dua mwenyezi mungu akuongoze uwe muislamu..mimi pia nilikuwa mkatoliki lkini hizo sanamu hazikuwa zinaniingia akilini..nikatafuta njia ya haki

    • @khadijanajma2676
      @khadijanajma2676 Рік тому +5

      Jenipher namesake now a muslim alhamdulillah

    • @Hi_20206
      @Hi_20206 Рік тому +3

      @@khadijanajma2676 thank u namesake..my islam name is maryam alhamdulillah🥰🥰

    • @sheemaryam
      @sheemaryam Рік тому +1

      ​@@Hi_20206 haija daaa kumbe uko huku nmekuzoea kwa salim😅😅😅 ata ungeitwa jannah yaendana na jenipher😊

    • @Hi_20206
      @Hi_20206 Рік тому +2

      @@sheemaryam niko huku dadangu..sikujua hilo jina jannah..ni jina tamu sana wallahi..nikijaliwa mtoto msichana nitamuita jannah inshallah

    • @sheemaryam
      @sheemaryam Рік тому

      @@Hi_20206 in sha Allah jannah na firdous yamaanina kitu moja

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy Рік тому +24

    MashaAllah sheikh wetu Ramadhan tunakupenda Sana watanzania. Nakuimbea Kwa Allah akujaze kheri na akujaalie afya njema siku zote za uhai wako. Ameen

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي Рік тому +14

    Shekh Ramadhan Mwenyeez Mungu akujaalie mwisho mwema kwa kuendelea kuutangaza uislam na kuwalingania wasikuwa waislam na Waislam tunajifunza mengi hasa mimi nimepata faida kwa kujifunza mengi na naendelea kupata faida

  • @Aminedanisman76799
    @Aminedanisman76799 Рік тому +15

    Subhanallah.Allah awaongoze wote walio potea na awaoneshe njia ya haki

  • @kijakaparare2074
    @kijakaparare2074 Рік тому +5

    Allah awape wepesi wapate kujua dini yakweli na yahaki kiukweli uwezi ukaiabudu sana Nimtihani sana

  • @husseinkhamisi9972
    @husseinkhamisi9972 Рік тому +9

    Allah akupe afiya na umri mrefu akupe firdaus.

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 Рік тому +9

    Eti maria mtakatifu mama wa mungu hivi jamani duh mtiani jaman Allah awaongoze wawe din ya khaki

  • @omaryally3489
    @omaryally3489 Рік тому +9

    Shekh ramadhan Allah akupe mwisho mwema inshallah

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Рік тому +6

    Tobaaaaaa🤤🤤🤤bonge la mungu wao, alafu wako siryas. Ikitokea tukio hapo watakimbia wa muache mungu. Mungu wakweli akikupa ufahamu wa kumfahamu yeye wa pekeyake ni kumshukuru sana.

  • @muhamedibrahim8931
    @muhamedibrahim8931 Рік тому +6

    Shekh ramadhan naomba mfike garisa siku moja i.a huku tunawahitaji kutusaidia hii kazi yaa dawah .Mwenyezi Mungu atawalipa janah firdowz i.a

  • @elishapeter2720
    @elishapeter2720 Рік тому +9

    Nimecheka kama mzuri mwenyez MUNGU awaonyeshe njia

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 Рік тому +2

    Nimempenda huyu mama hana shida wallah Allah amuongoe

  • @HUSTLERS085
    @HUSTLERS085 Рік тому +6

    You made my day happy sheikh ramadan kuria bin kaguo

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 Рік тому +10

    Subhannallah Allah awaongoze hawa watu sheikh Ramadhan Allah akuhifadhi akupe umri mrefu uweze kutuelimisha

  • @TijaraAbdallah
    @TijaraAbdallah Рік тому +8

    MashaaAllah♥️♥️♥️Allah awalainishe mioyo yao waijue haijue haki.

  • @aminarama1633
    @aminarama1633 Рік тому +6

    Allah akupe maisha marefu shehk wetu ,uzidi kulingania dini ya Allah ambayo ni uislam

  • @SaidiJuma-nr6ww
    @SaidiJuma-nr6ww Рік тому +5

    Sheikh wetu mungu akulinde,,pia uwe ukipitia mpaka sehemu za kwale, kinango , mtumwa

  • @mohamedhozi8110
    @mohamedhozi8110 Рік тому +2

    Maashaallah baarakallah inshaallah shekh ramadhan palipo na uzima wapitie tena uwape maandiko na ushahidi wa vitabu inshaallah wataelewa tu hakki ilipo

  • @umazimwambezi8092
    @umazimwambezi8092 Рік тому +10

    Subhana Allah kanisani kuitwa msikiti

  • @ammarrashid8805
    @ammarrashid8805 Рік тому +7

    Allah akuongoze kwa kila hatua ila nna hamu sana ya kukutana na ww sheikh

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 Рік тому +8

    Mungu amuongoze dadangu ampe hidaya

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому +4

    Subuhanallah. Wanaabudu misanamu Allahu Akibar. Mtihani Allhamdulillah kujikuta muislam ni mapenzi ya Allah kunichagua kwahurumawake🤲

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 Рік тому +5

    Dah 😢wanaomba mawe walio ya chonga wenyewe. Allah awaongoze watoke ktk hii shirki.

  • @alyumar4657
    @alyumar4657 Рік тому +7

    A.alaikum yan ustadh ramadhan Allah akupe maisha maref yenye manufaa nimeipenda sana hiii na mungu anijaalie huyo dada akisilimu umuowe mke wa pili yuko vizur sana Allah amuongoze ktk njia iliyo nyooka.

    • @JamilaJumanne-u7q
      @JamilaJumanne-u7q 3 місяці тому

      😂hapo kwenye kumuoa sasa jmn wakustir mpo wengi ata wengine waweza kumuoa

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Рік тому +4

    Shukran jazakala kher Allah akuhifadhi ustadh wetu

  • @UMMYYFATMA
    @UMMYYFATMA Рік тому +14

    MASHA ALLAH...
    MASHA ALLAH....TABAARAKALLAH...🤲☝️🙏❤️

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 Рік тому +5

    SUBHANALLAH
    Alhamdulillah
    ALLAHU AKBAR..
    Alhamdulillah kwa neemah ya UISLAM 🤲🤲🤲.Shukran sheikh Ramadhan ALLAH akuhifadh ❤❤

  • @SalimOmary-w8j
    @SalimOmary-w8j Рік тому +5

    Masha Allah natamani kaziyako mwalim ramadhani

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 Рік тому +5

    Allah awaongoze hawa wadada waifwate haki ni innocent nimewahurumia.

  • @alimau7939
    @alimau7939 Рік тому +7

    Huyo dada ni mchangamfu kweli tunamuombea kwa Allah ampe uongofu

  • @MsafiriGau
    @MsafiriGau Рік тому +2

    Walah mashekh mnafanya Kaz kubwa Sana,Allah awape afya njema na awajalie mwisho mwema nyie na vizaz vyenu

  • @Abdifataxow
    @Abdifataxow Рік тому +4

    MashAllah kazi nzuri sana sheikh wangu

  • @tawfiqsaid4918
    @tawfiqsaid4918 Рік тому +3

    Sheikh Ramadhani unafanya kazi kubwa sana Allah akulipe kheri hapa duniani na kesho akhera.

  • @hashim.22kamal27
    @hashim.22kamal27 Рік тому +3

    Mungu.akupe.umuri.

  • @ashrafissa778
    @ashrafissa778 Рік тому +7

    Mashallah Ramadhan Allah akupe mwesho mwema 😊

  • @zohramariga6678
    @zohramariga6678 Рік тому +5

    Asalamu alekumu warahama tulahi wabarakatu mashala kazinzuri Allah awaogoze njia iliob Sawa masanamutena mm marayakwanza kuyaona

  • @moddyfirrem6475
    @moddyfirrem6475 Рік тому +10

    Ramadhan my brother Mungu akuhifadhi in sha Allah 🤲

  • @fatmamsiliwa8485
    @fatmamsiliwa8485 Рік тому +10

    Yani nahisi kulia wallah kaka Rama unafanya kaxi kubwa sana mungu akulipe kila la kheri watanzania twakupenda sanaaaaaaaaaa

  • @salimiddi7583
    @salimiddi7583 Рік тому +4

    MASHAALLAH sheikh Ramandhan

  • @thepresidenttobe5481
    @thepresidenttobe5481 Рік тому +1

    Yaani shetani ni wa hovyo sana. Mpaka Waislam wanadhani wanamwabudu Mungu wa kweli. Dah! Ndugu zangu Waislamu mimi nawapenda na Mungu anawapenda sana. Njooni kwa Yesu mumpokee awaokoe.

    • @MengiRashidy
      @MengiRashidy Рік тому

      Atuokoe na nini sasa

    • @batulialmass8914
      @batulialmass8914 Рік тому

      Mimi nambie atuokoe nini kwa sababu ni bina Adam km mimi ila ni nabii wa mwenzi mungu

    • @daidibrahimadam482
      @daidibrahimadam482 9 місяців тому

      Tuko na Yesu already kawa sababu ni ndugu yetu muislamu. Paulo ndiye mwanzilishi wa ukristo

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 Рік тому +4

    Safi

  • @fatmamansour2764
    @fatmamansour2764 Рік тому +2

    Mashaallah M mugu akuzidishi upendo na Imani kuitangaza dini ya Allah in shaa Allah akuhifadh na kila mazito

  • @alijabal5323
    @alijabal5323 Рік тому +2

    Jazaaka allahu kheira aljazaa.

  • @mustafarashid2484
    @mustafarashid2484 Рік тому +2

    Mashallah Sheikh wetu Allah akujalie kheir inshallah

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p Рік тому

    Ma sha Allah tabaraka Allah mwalim n wenzako Allah amfanyie wepesi kueneza dini ya Allah

  • @MussaMohamedMohamed
    @MussaMohamedMohamed Рік тому +1

    Shekh wangu Allah akupe akujaalie,kila la kheiry katka kazi hii ya manabii na mitume kwani najua changamoti ni nyingi,,Allah okuongezee HEKMA

  • @qhatramohamed7006
    @qhatramohamed7006 Рік тому +2

    Mashaa-Allah ustadh ramadhan Allah akuhifadhi

  • @rahmasoliman489
    @rahmasoliman489 Рік тому +15

    Mungu awaonyeshe njia iliyo kuwa ya haki

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o Рік тому

      Mimi ndio njia na kweli na uzima.Mtu haji Kwa baba ila kwangu.John 14:6

  • @SulejumaJuma
    @SulejumaJuma Рік тому

    Inshaallah Mungu akujalie uwe mwislamu dada

  • @LabiloWabikongo
    @LabiloWabikongo Рік тому +1

    mashallah shekhe mungu akubarik kwa kaz nzur ishallah

  • @mamawamoya3344
    @mamawamoya3344 Рік тому +4

    Ma sha Allah

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 Рік тому +2

    Jasinta ni kama ana damu ya utaita pia kwa sababu ya kiswahili chake cha kukaza maneno akiongea... Allah awaongoze kwenye njia ilio ya haki na awaepushe na njia ya sheitani Allah Ummah Amiin

  • @rashidwalwanda1991
    @rashidwalwanda1991 Рік тому +5

    Maashallah❤

  • @dogandmachete
    @dogandmachete Рік тому +2

    Masha Allah hapo ndo nyumbani.

  • @kweindalasongea9237
    @kweindalasongea9237 Рік тому +9

    ALLAH AWAONGOE WOTE WALIOPOTEA KWA JUHUDI UIFANYAYO AL-AKHY RAMADHANI🤲

  • @AlmasVunde
    @AlmasVunde Рік тому +1

    Maashala mwenyeezi mungu amfanyie wepesi asilim awe mwislam

  • @MteleShadia-lc6gi
    @MteleShadia-lc6gi Рік тому +3

    Allah akupe pepo la juuu,, Ramadhan

  • @oromiyaajittu7188
    @oromiyaajittu7188 Рік тому +1

    Mashallah❤ Ustaz Allah akurahisishe mambo yako

  • @issakawaya8315
    @issakawaya8315 Рік тому +2

    AllAh akuzidishie hekima na elimu

  • @EmmmaTembo
    @EmmmaTembo Рік тому +6

    Hio imeenda

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv Рік тому +4

    Maa shaa ALLAH 💚💚💚

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni Рік тому

    MashaAllah TabarakahAllah In shaa Allah kila mtu aongozwe
    Katika njia ya Haki

  • @Ihsankeizer
    @Ihsankeizer Рік тому

    8:54...I think maybe shes describing thee copric christians ... Masha Allah to this sheilh,i love watching his daawah videos especially the ones along rhe streets and suburbs.. ALLAH will reward him for his worthy cause...Watching from Toronto Canada.. Allahibarik to this daawah group.

  • @a.rahman7679
    @a.rahman7679 Рік тому +3

    Masanamu nayo subhanaAllah.😮

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 Рік тому +4

    Masha Allah 🥰

  • @fatmaali6780
    @fatmaali6780 Рік тому +2

    MashaAllah Allah barik

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 Рік тому +7

    MashaAllah

  • @hamisijm8437
    @hamisijm8437 Рік тому +5

    Anna Anajaribu hau Anakataa kusema Ukweli

  • @seifissa9705
    @seifissa9705 Рік тому

    Shekhe Ramadhani Mwenyezi mungu akujaliee kila la kheri

  • @samxx411
    @samxx411 Рік тому +5

    Nimependa sheikh ulivyofahamisha kuhusu ibrahim

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190 Рік тому +2

    Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh

  • @hanifahkhan3610
    @hanifahkhan3610 Рік тому +7

    Subhanaallah

  • @HisMajesty64
    @HisMajesty64 Рік тому +6

    Assalamu Alaykum akhil aziz Ramadhan. Allah hifadhik .

    • @SalimOmary-w8j
      @SalimOmary-w8j Рік тому +1

      Masha Allah Allah akuhifadhi insha Allah

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 Рік тому +1

    Masha Allah Ustaz Kuria

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 Рік тому

    Mama mtaratibu sana mashallah

  • @azizashiundu5778
    @azizashiundu5778 Рік тому +7

    Subhanaallah 😢

  • @zainababdulrahmankarisa6273
    @zainababdulrahmankarisa6273 Рік тому +2

    waaah ALLAH atustiri hya ni maajabu

  • @remigimtenga7608
    @remigimtenga7608 Рік тому +1

    Safi sana Sheikh Ramadhan umefanya vizuri.
    Kiboko yako ni Ndacha.

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj Рік тому +4

    Subha 'Allah

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 Рік тому +5

    Subhana Allah, Allah awape ufahamu

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 Рік тому

    Ramadan kuguo Allaah akuhifadhi akupe umri mrefu ufanye kazi ya dawa

  • @SalumAndallah
    @SalumAndallah Рік тому

    Allah Akujaalie kher ktk kupigania Dini ya haki

  • @beyondsavanna6028
    @beyondsavanna6028 Рік тому +2

    Rabana atinah fidunia hasaha walafkhirati hasana wakinah azabar nar

  • @MahamudJamala
    @MahamudJamala 9 місяців тому

    Mtihani

  • @mohamedwali1793
    @mohamedwali1793 Рік тому

    Mashalah Sheikh Ramadani Tell her she will wear like Mariya

  • @leahmwai4293
    @leahmwai4293 Рік тому +1

    Maa shaa Allah.Sheikh your Messages are a blessing to many.

  • @lusekelokajigili4564
    @lusekelokajigili4564 Рік тому

    Yesu anakofia mbili, ni Mungu asilimia 100 yohana 1:1-3,14; lakini pia ni binadamu asilimia 100 yohana 1:14, waefeso 2:5-8
    Katika Uungu wake wake yeye ni muumba wa Kila kitu akiwemo Mariam
    Katika ubinadamu wake ni swa na binadamu yeyote. Aliuchukua ubinadamu kwa binadamu mwenzetu. Mariam
    Mariam anahusika katika ubinadamu wake.
    Katika Uungu wake Yesu ni Alfa na omega mwanzo na Mwisho Kama Kuna mwanzo Yesu ndiye huyo, kama kuna Mwisho basi yeye ni mwanzo na Mwisho
    Maria si mama wa MUNGU
    Mungu hana baba Wala mama. Ndo maana ni Mungu

  • @buseinasuleiman1335
    @buseinasuleiman1335 Рік тому

    Mash shaa Allah SHK
    May reward abandon Ameen

  • @angle3600
    @angle3600 Рік тому +1

    Mimi pia nilikua mkatholik ila Alhamdulilah Nilirudi kwa uislamu

  • @lusekelokajigili4564
    @lusekelokajigili4564 Рік тому

    Yesu mwenyewe alituagiza tuombe kwa jina lake Wala si kwa jina la mtu mwingine yeyote yohana14:13-14; 15:16; 16:23-24,26
    Petro alitii agizo lake, baadaye kabisa alikuja kuomba kwa jina lake matendo 3:6; 4:10
    Paulo pia aliomba kwa jina la Yesu matendo 16:18
    Sasa Kila goti linapaswa kupigwa kwa jina la Yesu wafilipi 2:10
    Kuomba kwa jina lingine ni moto mgeni ambao Yesu hakuuwasha katika maisha ya kikristo

  • @kingsdaughter2040
    @kingsdaughter2040 Рік тому +4

    Yesu sio dini

  • @HaminaAbdull
    @HaminaAbdull Рік тому

    Shukran akhy

  • @HamsiKatunzi-wl4dd
    @HamsiKatunzi-wl4dd Рік тому

    You are doing well ramadhan

  • @love_579
    @love_579 Рік тому

    Dadaangu amekukaribisha vizuri. Mungu amjalie aione haki Inshallah .

  • @michaelkoeman3412
    @michaelkoeman3412 Рік тому

    Uislamu pia ina shida kubwa. Chunguzeni vizuri..

  • @HamzaAdam-z3c
    @HamzaAdam-z3c 2 місяці тому

    wakristo atali sanaa

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 Рік тому

    MashaAllah kaka Allah akulipe kheri amiin

  • @benedictmtasiwa8155
    @benedictmtasiwa8155 5 місяців тому

    Pamoja na elimu ndogo ya dini ya hao akina dada, nafikiri ni wahudumu wa hiyo facility, wamemshinda keenye mambo ya msingi:
    1. Wamemstahi, na kiongesha upendo pamoja na lugha zake za kufuru na kashfa
    2. Wamekubali mualiko wake na baadhi ya hoja, kasoro mambo ya msingi ya imani
    3. Mwisho, maelezo kuhusu uhatibigu wa jengo na restoration ya uharinigu na kutengeneWa bustani ni ishara tosha.