Moto leo imewaka bibilia ilitoka wapi na Quran ilitoka wapi wakristo wachemka mpaka kieleweke

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 53

  • @nubianqueen6700
    @nubianqueen6700 Рік тому +9

    "Leta evidence yaani support your claim! 😅😅 MashaAllah! Mwenyezi mungu awape umri ili muendelee kuupigania dini ya Allah!

  • @hassangaucho4084
    @hassangaucho4084 Рік тому +2

    A alaykum warahmatullah......
    MASHALLAH Mashekh zangu ALLAH awabarik sana alakulli hali, muendelee kuifanya hi kazi kuwalingania watu na ALLAH awape tawfiq nyinyi na wale wanao wasikiliza INSHAALLAH

  • @Idysalim
    @Idysalim Рік тому +5

    They will be asked, Qur'an Al Mulk 67:8 "did the warner not come to you?" Ustadh salim, kariuki and all the daawah Warner's, Good job u doing delivering the true message of Islam. May Allah Guide and protect you all,
    Ameen

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Рік тому +7

    Assallam aleikum mashekhe wetu nimefurahi sana kuwaona tena msikose inshallah nawaombea sana ndungu zangu tukoo pamoja

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому +2

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 Рік тому +3

    Masha Allah tunawafuatilia mafundisho hadi raha

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 Рік тому +3

    Shukran masheikh wetu kwa kazi mzuri ya dawaah mafunzo mazuri yameleweka kabisa

  • @umazimwambezi8092
    @umazimwambezi8092 Рік тому +3

    Kazi nzuri sana Allah awazidishie nguvu zakuwaelimisha wasiojua haki

  • @ZANURALANGU
    @ZANURALANGU Рік тому +1

    Masha allah mungu awape umri zaidi muendelee kuitangaza dini ya hakhi

  • @malogaming506
    @malogaming506 Рік тому +1

    mashaAllah mungu awaongeze elimu maalim

  • @tawakalahmed3883
    @tawakalahmed3883 Рік тому +1

    1:28:05 kizungu imekuwa ngumu 😂🤣. Anyway, masha Allah mungu awape thawabu kwa kupeleka daawa.

  • @rashidbashir1995
    @rashidbashir1995 Рік тому +3

    MashaAllah. TabarakaAllah.

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 Рік тому +1

    Mashalla Allah ❤❤❤

  • @zohramariga6678
    @zohramariga6678 Рік тому +5

    Asalamu alakum mashala mungu awalidikwaki lakabo

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh Allah atulinde sote

  • @Adm9464
    @Adm9464 Рік тому +6

    It’s very sad. Lack of education honestly. Confusion continues everywhere. Ati Musa alikuwa Mkristo wakati hajakutana na Yesu.

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 Рік тому +3

    Safi!

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 Рік тому +2

    Masha Allah 🥰

  • @Adm9464
    @Adm9464 Рік тому +4

    The truth hurts

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Рік тому +3

    😊😊😊❤❤❤

  • @suleymanali431
    @suleymanali431 Рік тому +2

    Mashaalah mungu awazidishiye kheri, wacha ni warekebishe Antioch aw antokia sio syria ni Turkey , hiyo ni mji wa kihistoriya ya warumi walionzisha kanisa wakati turkey ilipatwa na mtetemeko wa ardhi hiyo mji iliteketezwa pia na allah na makanisa za qarni zilibomoka sana.hii ndiyo maelezo zaidi(In the early hours of Monday morning, February 6, a devastating earthquake struck southern Turkey and Syria, leveling buildings and killing thousands. Among the cities most affected was Antakya, Turkey - that is, Antioch. At the time Antioch was one of the three great cities in the Roman Empire, along with Alexandria and Rome itself. It was an early headquarters for the Apostles, and it was, famously, the place where the followers of Christ were first called “Christians.

  • @yabdul1782
    @yabdul1782 Рік тому +3

    Salim, mtume ﷺ na yesu wanahusiana kutoka kwa nabi Ibrahim. Ni vizuri waeleweke pia.

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o Рік тому

      Muarabu na Muyahudi wapi na wapi?

    • @yabdul1782
      @yabdul1782 Рік тому

      ​@@NathanielNathan-m4okapate mafunzo wajukuu wa issac na ismail wapi na wapi

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o Рік тому

      @@yabdul1782Lete andiko mjukuu wa Ishmael ni Mohamed

  • @wadadoharam6793
    @wadadoharam6793 Рік тому +3

    Huyu mjama wa t-shirt ya yellow, lengo lake haswa ni ku divert watu wasijue Haki

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 Рік тому +3

    Assalam alleykum

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 Рік тому +4

    Qur'an is the last edition.

    • @abcfisheries2865
      @abcfisheries2865 Рік тому +2

      The QURAN is the Last TESTAMENT.
      Or the FINAL TESTAMENT.

    • @NathanielNathan-m4o
      @NathanielNathan-m4o Рік тому

      And this Gospel of the kingdom shall be preached to the World as a witness to all Nations and then the End will come.Matthew 24:14
      Qur'an came to oppose the Gospel but it's unstoppable

  • @stevensosipita2851
    @stevensosipita2851 Рік тому +1

    HUU SIYO WAKATI WA KUDILI BIBLIA WALA QURUAN HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO MDILI NA IMANI BILA IMANI KUINGIA PEPONI NI NDOTO

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому +1

      Imani gani pia muhindi anaabudu ngombe na ako na imani

    • @stevensosipita2851
      @stevensosipita2851 Рік тому +1

      @@salimdaawah123 KUMBE JIBU UNALO KILA MTU ANAIMANI YAKE PIA NAWE UNAYAKO HIVYO ZIDISHENI KUMUOMBA MUNGU WENU PAMOJA NA KUTENDA YANAYOMPENDEZA MUNGU KULIKO KULETA HOJA ZISIZO NA MSINGI IKIWA UMEJUWA KILA MTU ANAAMINI ANACHOKIABUDU

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому +1

      @@stevensosipita2851 hata shakahola pastor Makenzie alikuwa anaamini yake mbona wazungu walikuja Africa kuleta ukristo si wangeamini wao tu

    • @stevensosipita2851
      @stevensosipita2851 Рік тому +1

      @@salimdaawah123 kaka mtajuwana wenyewe na huyo mackenzie wenu wakenya haya usiku mwema

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому +2

      @@stevensosipita2851 ni mkristo kama wewe na imani yake na yako ni Moja

  • @abcfisheries2865
    @abcfisheries2865 Рік тому +3

    ALL revelations of ALLAHswt, mentioned by their Names in the QURAN, are SINGLE BOOKS, written from right to left, like ARABIC, and therefore, in the language, of the PEOPLE for whom the BOOK is meant for!
    For example , The first TORAT was GIVEN to MUSA, in IBRANI (Not Hebrew), and the TORAT'S teachings were MEANT ONLY for the YAHUDIS.
    For you example, the TEACHING of REMEMBERING the DAY of SABBATH , was ONLY for MUSA'S time period( 3500 to 3400 years ago), and ONLY for the rescued 12 TRIBES of YAKUB!
    Therefore, This teaching was ONLY VALID 3400 years ago!
    The SABBATH is NOT valid today!
    Especially NOT for the MuAfrika!

    • @Sal.0
      @Sal.0 Рік тому +3

      Kweli Kabisa.
      Musa naTorat na teachings zake were for for HIS people ONLY, 3200 years ago!
      Sasa, wakati NABI MPYA akija, huyu NABI MPYA na KITABU chake, ina SUPERSEED the PREVIOUS KITABU.
      Kwa hivyo, alipo KUJA DAUDI, na KITABU chake cha ZABUR, hicho Zabur ita SUPERSEED kitabu cha TORAT, with the LATEST teaching!
      Therefore, for example, siku ya SABBATH ya MUSA,, HAINA maana TENA wakati wa DAUDI, 350 Years LATER.!
      HALAFU, baadaye, 2000 years ago, Nabi ESA, aka tumwa kwa Kabila ya WaYAHUDI walio bakia, PEKEE YAO!
      NA...wakati alipo kuja NABI ESA, na kitabu chake cha ARAMAIC, cha INJEEL, ili SUPERSEED kitabu cha ZABUR, na teachings za DAUDI.
      This means VIMBO, was ONLY VALID for DAUDI.
      In NABI ESA time, VIMBO ili kuwa Superseded ,and NOT VALID anymore!
      YAANI, each time a NEW REVEALATION comes, THAT revealation SUPER SEEDS the previous BOOK, with ALL the relevant teachings required, contained in the REPLACEMENT BOOK!
      FINALLY, ..
      the FINAL Prophet of A Muham'ed, sent NOT to his people ONLY, but to whole MANKIND, came with QURAN which SUPERSEEDED all the PREVIOUS books of TORAT, ZABUR na INJEEL!
      The QURAN, is the FINAL TESTAMENT, that contains ALL the Teachings required for MANKIND of TODAY!

  • @BonifaceIrungu-fv9pf
    @BonifaceIrungu-fv9pf Рік тому +1

    Unahubri uislamu kupitia bibila, Je unahakika unachikifundisha?

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому +2

      Tunahubiri uisilamu kupitia Qur'an sio bibilia huwa twasoma bibilia pale muliza swali ambaye ni mkristo anataka ushahidi kwa bibilia yake

    • @ashrafbunu2371
      @ashrafbunu2371 Рік тому +2

      Bible teach Islam read it properly

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 Рік тому +4

      Asilimia kubwa ya Mambo mengi yaliomo kwnye Biblia yanaendan na Uislamu ispokuw baadhi tu na haya ni yale ambayo yameongezw na binaadam na yanazid kuongezw kila kukicha.

    • @sumbamkali8435
      @sumbamkali8435 Рік тому +4

      Yap ana uhakika coz anasoma mandio ya bibilia

  • @felixgitonga6783
    @felixgitonga6783 Рік тому

    Alikuwa ametenda thambi