Assalam aleykum warrahmatullahi wabarakatuh masheikh wetu. hongera kwa kazi yenu. hakuna kitu kigumu kama kudili na hawa watu ambao wamejazwa upotofu tangu utotoni.hawa wanafanya juu chini kutetea na kuwafuata wachungaji.tushukuruni waislamu sisi hatuwezi kuibiwa wala kudanganywa kijinga. tuendeleeni kuwa mfano bora kwa umma.inshaAllah kuna wengine huupenda uislamu kwa matendo yetu. vijana wa kisasa tusipoteeni kwa kuiga ukafiri na dada zetu tusitupe uislamu kwa slogan "freedom".neno freedom limeleta balaa kubwa na ndilo linafanya ndugu zetu kibinadamu wanatembea uchi kama hawayani.inshaAllah kwa uwezo wake Allah SWT uislamu utazidi kupata wafuasi zaidi kila siku zinavyoenda na dalili ziko maana si Kenya tu bali duniani kote hakuna dini inayoenea kwa kasi kama uislam.jazakumullah khair Sh Salim and Team.
Mungu ameleta maandiko kama catalogue katika maisha...haiwezekani ununue kitu kipya (brand new) bila ya kupewa catalogue, hii itakuonesha vipi utumie gari lako na nini uepushe...na maandiko ya Mungu yapo hivyo, ni utaratibu wa maisha anaotaka Mungu.
Salim mungu akuzidishie kwa kazi yako ya dawah wewe na wenzako inshaalah mungu akuzidishieni zaidi lakini nimekuona unasumbuliwa na kifua sana tumia changanya tangawizi na haba soda mara moja itakwisha inshalah
AllahuAkbar! What amassive SOLO effort by our Captain, Ustad Salim na Cametaman wake! Allahswt awa nyeshe Baraka na Kheir Zake zoteee. Ameeeen! May Allahswt bless your Team abundantly! What massive effort! Leo WaShakahola, kama Kijana RedShirt, wanao poteza wenzao, HAWAKO!
Mashaa Allah may Allah make easy for you the good work you are doing. It's difficult job but have sabr insha Allah, He will make it a way for you people
'GARANY' katika KiSwahili ni GRANNERY in English, ni a GRAIN SILO! Na Malaki 3:10 ina ongelea ZAKAT. Na ZAKAT, ya GRAINS au Ma VUNO au mimeya, ina tolewa ONCE aYear, at HARVEST TIME.
Kweli kabisa! ZAKAT ni once a year contribution of FOOD or Grains. SADAKA ni CHARITY to the POOR , MAFUKARA, na WA NYONGE! SIMPLE! Uki peyana kwa EZEKIAL, basi wewe MOTONI kwa sababu ume peyana kwa MCHAWI wa Ki Jaluo!.
The brother forgot siku ya mwisho hakuna bingu kwa sababu bibilia inasema bingu itatoeka moshi na the only option is to come down to the earth which was already destroyed.
Shekhe salimu nakukubali sana mungu atawasaidia nawapenda sana❤❤
Huyu kaka kasilimu sio ? Mashallah.
Ma ashaa ALLAH , ALLAH AKBAR, ALLAH AKBAR, ALLAH AKBAR wallillaih amdhu, ALLAH akujalie wepesi ra uraisi wa kuijua DINI yake
From Tanzania 🇹🇿 shekh allah akujaalie neema inshallah
Aamiin amiin amiin sote
ALLAHU AKBAR uko juu hustadhi salim nakundilako 💞💞💞💞💞💞
Mash Allah!! Hongereni Mashekhe wetu kwa kuelimisha ndugu zetu. Allah atawalipa in shaa Allah.
Masha Allah class ya Leo ni mzuri sana
mashaallah unapambana kweli ALLAH akuzidishie
Maashallah sasa wameanza kuelewa Allah awaongoze
Maaha allah ustadh
AllahuAkbar! What amassive SOLO effort by our Captain, Ustad Salim na Cametaman wake! Ustadh wetu Allah awajaalie wema wakati wa Kiama
Aameen ameen ameen sote
Assalam aleykum warrahmatullahi wabarakatuh masheikh wetu. hongera kwa kazi yenu. hakuna kitu kigumu kama kudili na hawa watu ambao wamejazwa upotofu tangu utotoni.hawa wanafanya juu chini kutetea na kuwafuata wachungaji.tushukuruni waislamu sisi hatuwezi kuibiwa wala kudanganywa kijinga. tuendeleeni kuwa mfano bora kwa umma.inshaAllah kuna wengine huupenda uislamu kwa matendo yetu. vijana wa kisasa tusipoteeni kwa kuiga ukafiri na dada zetu tusitupe uislamu kwa slogan "freedom".neno freedom limeleta balaa kubwa na ndilo linafanya ndugu zetu kibinadamu wanatembea uchi kama hawayani.inshaAllah kwa uwezo wake Allah SWT uislamu utazidi kupata wafuasi zaidi kila siku zinavyoenda na dalili ziko maana si Kenya tu bali duniani kote hakuna dini inayoenea kwa kasi kama uislam.jazakumullah khair Sh Salim and Team.
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inabidi tutie bidii kufikisha
Karibu sana Allah azidi kuwasimamia
Jazaaka llah kheira
Thanks for the information
Assallam aleikum mashekhe wetu nimefurahi kuwaona tena Alhamdullillah kwa kazi njema mnafanya Allah atie barka kwa kazi zenu insha Allah
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aameen ameen ameen
Nafurahi kuwa mmoja katika mada hii ya dini . Ni Mimi nmevaa kofia nyeupe
Safi sana karibu sana
MashaAllah.Allah.AkupeUlinz
Masha Allah tabarak Allah ila shelkh mahali ulipo ni hatarish Kwenye rell
Kweli kabsa ndio maana umaskini nimwingi kenya
MashaAllah tabarkallah sheikh
Mungu ameleta maandiko kama catalogue katika maisha...haiwezekani ununue kitu kipya (brand new) bila ya kupewa catalogue, hii itakuonesha vipi utumie gari lako na nini uepushe...na maandiko ya Mungu yapo hivyo, ni utaratibu wa maisha anaotaka Mungu.
Kabisa sana
Salim mungu akuzidishie kwa kazi yako ya dawah wewe na wenzako inshaalah mungu akuzidishieni zaidi lakini nimekuona unasumbuliwa na kifua sana tumia changanya tangawizi na haba soda mara moja itakwisha inshalah
Inn shaa Allah nitafanya hivyo
Naam leo naona wamejuwa kuwa hawajui na wametaka kujuwa inshallah Allah atawafanya wenye kujuwa.
Inn shaa Allah
AllahuAkbar! What amassive SOLO effort by our Captain, Ustad Salim na Cametaman wake!
Allahswt awa nyeshe Baraka na Kheir
Zake zoteee. Ameeeen!
May Allahswt bless your Team abundantly!
What massive effort!
Leo WaShakahola, kama Kijana RedShirt, wanao poteza wenzao, HAWAKO!
Mashallah
Mashaa Allah may Allah make easy for you the good work you are doing. It's difficult job but have sabr insha Allah, He will make it a way for you people
Kazi nzuri
17:18 sema bismi
bismillahi
inaonekana zaidi ya mwezi anatafuta wa kumsilimisha
Naona hao vijana wamesimama wanajishauri ila daawa inawaaingia vizuri. wanaonekana wanafatilia kwa Makini Sana.
Allah'hu Akbar Allah'hu Akbar.
Mashalla Allah ❤❤❤
Waambie ukitenda mema na haumtambui mungu ni kazi bure
May Allah Guide them this Christian's they have indeed lost
Mashaallah shekh ukweli uenezwe
MashaAllah
When they don’t have a verse they become agitated and distressed because it’s hard to accept the truth. The truth hurts
Asalam aleikum warakhmatullah.
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Kiboko ❤ Yao Salim daawa Kenya
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
Masha allah allahuakbar ❤❤❤
Qurani 3 19
Najivunia kuwa miongon mwa umma wa kiislam
Alhamdulillah Damian waabada
Mashaa Allah
'GARANY' katika KiSwahili ni GRANNERY in English, ni a GRAIN SILO!
Na Malaki 3:10 ina ongelea ZAKAT.
Na ZAKAT, ya GRAINS au Ma VUNO au mimeya, ina tolewa ONCE aYear, at HARVEST TIME.
Kweli kabisa!
ZAKAT ni once a year contribution of FOOD or Grains.
SADAKA ni CHARITY to the POOR , MAFUKARA, na WA NYONGE!
SIMPLE!
Uki peyana kwa EZEKIAL, basi wewe MOTONI kwa sababu ume peyana kwa MCHAWI wa Ki Jaluo!.
The brother forgot siku ya mwisho hakuna bingu kwa sababu bibilia inasema bingu itatoeka moshi na the only option is to come down to the earth which was already destroyed.
Baadhi ya wakristo wameanza kufunguka macho
Mashallah mafunzo mazuri
Asalamu Aleikum
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
walykum salamu warahmatullah wabarakatuh
Masha allahy
Wakristo wengi wanapenda kutumia akili zao ikisha wanajiona wapo sawa.
Na hawajui na hawajui kama hawajui hiyo ndiyo shinda
You can’t just work without getting paid.
TAKBIIR TAKBIIR
Qurani 3 85
Ustadh uwe unawapa muda wa kuongea na wao usiwakatishe tuwasikilize hoja zao
Inauma sana mnaposema nakudanganya kuwa Adamu alikuja Na Dini wakati Huo hakukua Na Dini ndugu tangaza unajokijua
Hahaaaaaaa hujui na hujui kama hujui
@@salimdaawah123 elezea watu ukweli Dini zilikuja Wana waislaeli kutoka misri alafu mnasema Adamu Mungu atawalaani
@@samuelondieki9164 any verse au ni porojo za kanisani
Sasa toa andiko kuwa wakati huo kulikuwa hakuna dini na dini ilianza wakati wa Mussa...unakoroga kwa akili yako inavyokutuma..😅😅
How Ibrahimu alikuwa Muislam, unaweza je kuthibitisha hilo?
Qur'an 3:67
Umejibiwa tiyari
Umejibiwa na hoja huna na wewe thibitisha alikuwa mkristo, hatukuwachi mtupu
Uislam aukutangulia ukristo ndo mana Muhammed aliwaambia wakiwa na maswali wawa ulize wakristo
Swali je Muhammed aliwatambua wakristo kama wanani
Sasa ayo Majibu ya kutujibu mnayo maan mpk dunia itaisha hamtatujibu maswali ytu kuhusu dini yenu
Hayo maswali mnaulizwa si mnashindwa kujibu...haya nakuuliza aya gani inasema ukristo ni dini??
Ukisirim unakuwa uyajui maandiko uisram ni dini ya kimwiri
Sasa SI wewe ni binadamu ama
Hebu soma Hosea 9: 7 kama uko na roho 😂
Kwani wakristo hawana mwili
yani wewe umerukwa na akili....hivi nyinyi mbona mnachezewa sana akili na wachungaji?hakuna mwanadamu ambaye hana mwili...
Mashallah