Story ya Kusisimua ya Mahusiano ya SKY TANZANIA & Mke Wake BABY SKY

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 226

  • @sophiajumah4808
    @sophiajumah4808 6 років тому +32

    Jamani nimewapenda bure, huyo dada anacheka vizuri sama 😘😘

  • @JumaMabera-es7xj
    @JumaMabera-es7xj Рік тому +1

    Fresh sana mungu awabariki katika safari yenu ya maisha ya ndoa nimewapenda sana

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 5 років тому +3

    Dada anacheka vizuri sana yaani mwanaume akimuona anapata faraja ya kuwa nae big up umepata mke kwa kweli

  • @oliviaanatory4415
    @oliviaanatory4415 4 роки тому +6

    Jaman Hadi raha naomba Mungu anipe ndoa Kama hiyo nimewapenda sana bureee

  • @hodanawale8024
    @hodanawale8024 4 роки тому +5

    mee tooo i like his voice and also his wife voice as well # big respect # fun no 1 from London

  • @neemaloy889
    @neemaloy889 2 роки тому +2

    Hongera sana Baby sky nakupenda buree!!! Mungu awatunze

  • @husseinbakary1969
    @husseinbakary1969 4 роки тому +3

    Huyu sky ni bonge la mtangazaji nimeanza kumfatilia tangu RFA mwanza ana sauti amazing

  • @SimuliziMix
    @SimuliziMix 6 років тому +2

    😢😢😢😢jamani nawatamani ...mnani inspire sana kwenye mapenzi #Baby&Sky na imani ipo siku tyuuuu na me nitatimiza aliyoyatamani #Baby final yamekuwa...u'm #MissBillion

  • @annewanjiku52
    @annewanjiku52 6 років тому +14

    Yani hii nayo ni nyingine miaka kumi na miwili na ulimpata mume wako kwa kuipenda sauti yake na ukafanikiwa hii nayo ilikuwa imepangwa kutoka binguni barikiweni Sana

  • @jasminefaith151
    @jasminefaith151 6 років тому +6

    Inspired by this Story very Much. 🙏💕👌👌👌🌸🌺 God Bless your Marriage Baby Sky 🌌🎁

  • @rugejoel6058
    @rugejoel6058 4 роки тому +3

    Huyu mshikaji nampenda sana aisee yuko vzr sana na mke wake anajiamini na anajielewa

  • @serianjamal8254
    @serianjamal8254 5 років тому +3

    Yaani siku zote nampenda fedrick bundala hususan sauti ya huyu jamaa but also nampenda baby sky kupita kiasi sasa nikawa nataka kujua mke wa huyu jamaa then i found out baby sky ndio mke wake ni furaha ya ajabu niliyo nayo strong couple in town

  • @asiahmariam3942
    @asiahmariam3942 6 років тому +13

    Masha'allah nimewapenda sana mungu awalinde mpendane mpaka mwisho wa uhai wenu

  • @salmaluhombero9809
    @salmaluhombero9809 4 роки тому +1

    Beautiful couple may God bless your family Mungu anawapenda sana na nimewapenda

  • @josephinelittle6623
    @josephinelittle6623 4 роки тому +2

    Ulifanya vizuri Sana baby sky, ni vizuri kuuliza Mimi lini ukipata right person.

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 4 роки тому +1

    Naminaitamani furaha yenu mashallah mwenyewe unacheka vizuri mwenyeweee hadi raha Allah awadumishee

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 6 років тому +11

    huyu dada ana uwezo wa kumuambukiza furaha mtu yeyote..anavocheka mpaka unatamani aongee tu muda😍😍😍

    • @Mambwendekhan
      @Mambwendekhan 9 місяців тому

      Ana nguvu ya ushawishi tena kubwa sna na ananyota kali sana

  • @ladymashaallahilikeuaadvis997
    @ladymashaallahilikeuaadvis997 6 років тому +13

    Masha Allah,
    Sky na mke wake hongereni

  • @gloriousabraham128
    @gloriousabraham128 6 років тому +14

    Naitamani furaha kama ya kwenu jamn mungu awaweke sna muendelee kupendana

  • @sheilahluchombo6570
    @sheilahluchombo6570 6 років тому +11

    Baby sky my all time humble lady 😍😍

  • @afidhusultan4967
    @afidhusultan4967 6 років тому +2

    nimependa sana uko vizr Dada nimekuelewa mungu akutangulie kwenye ndoa yenu

  • @pigapesa1013
    @pigapesa1013 6 років тому +14

    Wote Mr & Mrs sky Wana sauti nzuri.

  • @mako331
    @mako331 6 років тому +9

    I like honesty and transparency in this couple

  • @Beatrice-mj4me
    @Beatrice-mj4me Рік тому +2

    Mungu naomba MTU Sahihi kama sky mtangazaji

  • @rickyfyne7795
    @rickyfyne7795 4 роки тому +1

    Wow" so inspiring. Great Mr sky.

  • @fareda1847
    @fareda1847 6 років тому +2

    Nilikuwa natfta Hawa mbona km wasimuliaji wa simuliz ya saut yan huyu Dada napenda anavyoongea kumbe anaitwa baby waoo ilove so much my sister

    • @fareda1847
      @fareda1847 6 років тому

      Mm cmuliz ya kimo mmeniacha njia panda

  • @yussufamour8631
    @yussufamour8631 6 років тому +7

    safi sana m.mungu akuzidishieni upendo

  • @y6y6hg77
    @y6y6hg77 7 років тому +15

    Jamani dada mpaka naumwa hongera sana Mungu awabariki sana

  • @beautywithnay5974
    @beautywithnay5974 6 років тому +2

    Nawapenda sana walay baby sky na mumewe 😘😘😘😘😘😘😘

  • @hidayaramadhani8031
    @hidayaramadhani8031 6 років тому +26

    dada ww nmekupenda bure,tabia yako km yng,mm mwnyw nilianza maisha na mume wng Ana chumba kimoja tu,na vitu kdg,tunaendana sn coz tumeanza maisha pamoja,ktk maisha yng ckutaka kuolewa na mwanaume tajir nkiamin kua angeninyanyasa,lkn nafurah nilimpata mume sahihi kwng na saiv tupo vzr kiuchumi namshukur Mungu kw hilo

    • @nellyfrancis3229
      @nellyfrancis3229 6 років тому

      hidaya ramadhani

    • @nellyfrancis3229
      @nellyfrancis3229 6 років тому

      hidaya ramadhani

    • @halimasaid4977
      @halimasaid4977 6 років тому

      Alihamndulillah

    • @anethngowi2114
      @anethngowi2114 4 роки тому +2

      Waooo naomba na me iwe ivoo

    • @المهلهلالحراصي
      @المهلهلالحراصي 4 роки тому

      Kumkuta mwanaume ana nyumba ana hela ana gari atakunyanyasa mpaka ukome yani.mimi binafsi mwanaume alie toka nimesha simtaki kabisa kheri ugali chumvi wa amani kuliko ugali nyama vitani

  • @azorindege7608
    @azorindege7608 7 років тому +13

    best couple japo nimeijua hivi karibun

  • @clementrogart3216
    @clementrogart3216 6 місяців тому

    Ilikuwa ni interview nzr sn lakn kwa bahati mbaya sana wanaofanya nao interview hawana weled wa kazi niseme. Sio maneno mazur lakn i wish wangeojiwa na millard pengine

  • @jonathanmataka7619
    @jonathanmataka7619 4 роки тому +1

    Awesome.....................Love

  • @elieshishamy9902
    @elieshishamy9902 5 років тому +2

    Sky nakukumbuka kitambo line police musoma pale Kwa bro wako na Radio Victoria badae ukasepa mwanza. Big Up Bro

  • @akwelinajuma9819
    @akwelinajuma9819 6 років тому +2

    sky na baby nawapongeza sana mahusiano yenu mungu ayabariki niliwahi kumpenda mtu lkn lengo tulipanga halikutimia popote alipo nimempoteza kisa wivu wangu nazani mungu anipe mbadala wake tupendane km nilivyompenda Samwel

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 роки тому

    Mr&mrs nawapenda mno wallah Allah azidishe mausiano yenu........ 6/10/2021

  • @ashurathomas482
    @ashurathomas482 6 років тому +1

    Dah jamani jamani huyu kaka nilikuwa nasikiliza sauti yako dah ilikuwa ananichanganya sana dah nashukulu nimekufahamu na pia nimefurahi kuona unamwanamke anayekupenda Mungu awazidishie Amani.

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 4 роки тому +2

    Bby ana tabasamu zuri sana mungu awabariki

  • @ummydaudi4940
    @ummydaudi4940 6 років тому +6

    😍😍😍😍best couple ever

  • @fatmasalima3847
    @fatmasalima3847 4 роки тому +2

    Mash Allah ❤

  • @esternzumbi1888
    @esternzumbi1888 6 років тому +1

    Duuh nimependa wanavyoishi mungu awabariki zaidi

  • @williamsonbais9131
    @williamsonbais9131 6 років тому

    big up sana sky woker. enzi hizo radio free katika ubura wake, akina fredwaa. godifrey kusorwa.hakika ilikuwa radio bora.

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 6 років тому +8

    Allah bless ndoa yenu

  • @shaphyvuai6805
    @shaphyvuai6805 6 років тому +15

    Namkumbuka jamaa anajiita sky woka enzi zile RFA jamaa yuko vizurii sana sky

  • @Sisopotashiumz
    @Sisopotashiumz 6 місяців тому

    Dida muhuni noma saana😂😂😂😂nakupenda dida

  • @videlialabeka4899
    @videlialabeka4899 4 роки тому +3

    Sauti ya baby♥️♥️♥️♥️♥️

  • @neemajames5137
    @neemajames5137 3 місяці тому

    Dada mtunze sana Sky ni mtulivu sana.

  • @rizapeter1612
    @rizapeter1612 6 років тому +41

    naomba mungu na mm anipe wakunipenda nisahau maumivu yote

    • @anneamor6192
      @anneamor6192 6 років тому

      Utapata dear Mungu hupeana haja za moyo wako

    • @cestlaviecestlavie4606
      @cestlaviecestlavie4606 6 років тому

      yoh zidi kumuomba Allah atakupa...

    • @hasanimikeyo8893
      @hasanimikeyo8893 5 років тому

      Chukuwa number yangu ya whatsapp +12088635077

    • @danielkiroka6331
      @danielkiroka6331 4 роки тому +1

      Npo apa mamy nakuaid sana sitokumisa

    • @anicyaedward5605
      @anicyaedward5605 4 роки тому

      Amina me too I wish 😢😢baby sky is like me jamoni akipenda kapenda analizikaw !!! May God bless you guys !! I love them 😍

  • @iFly-t9b
    @iFly-t9b 4 роки тому +6

    This girl is so sweet, and she looks so innocent

  • @daudisimwinga1324
    @daudisimwinga1324 7 років тому +16

    Best couple ever seen before

  • @ladymashaallahilikeuaadvis997
    @ladymashaallahilikeuaadvis997 6 років тому +6

    Naam,
    Baby congratulation mapenzi sio pesa

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 7 місяців тому

    Sema dada punguza kucheka sanaaa maana unaonekana km kahaba kaona noti

  • @Sisopotashiumz
    @Sisopotashiumz 6 місяців тому +1

    😂😂😂nimependa saaana na kufurahii

  • @ayshabayun9014
    @ayshabayun9014 4 роки тому

    Tel them baby wanapenda wakute mabangaluu ma BMW x5 hawajui watu wametoka mbali isitoshe mume ulieanza naye maisha atakuheshimu na hawezi kukuacha kiwepesiwepesi see how sky talking on anavyomuheshim baby I..alhamdulilah

  • @chrispinandanu3296
    @chrispinandanu3296 6 років тому +3

    jamon yan sweet story inafanana fanana na kastor flan iv cha mtu flan 😘

  • @beckybericsm5289
    @beckybericsm5289 6 років тому +5

    I love u ths couple I follow thm thy work together well.

  • @fabianjulius5274
    @fabianjulius5274 6 років тому

    Happy with this,, mtu hukuwah Mjua before anakuja Kua had marriage.

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 3 роки тому

    😂😂😂 hatari sana maisha yana histori kali sana...!!! lkn powa

  • @jeffs9017
    @jeffs9017 4 роки тому +2

    2020 na Sky

  • @judithmkopoka9290
    @judithmkopoka9290 6 років тому +5

    jamani adi raha mungu saidia nimupate wangu Na mimi

  • @hamidahamadi3609
    @hamidahamadi3609 6 років тому +8

    Kiukweli ukikaa n mtu kw mda mrefu unahisi kunamuda huwezi ishi bila yy

  • @magdalenandwete3905
    @magdalenandwete3905 3 роки тому

    They are so lovely 🥰🥰

  • @ichukagaum9732
    @ichukagaum9732 7 років тому +16

    Nampenda huyo dada

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 5 років тому +2

    Babey mzuri mashallah nasauti yake npenda sana

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 5 років тому +4

    Alafu anakuja eti kidumu nyoooooo! Watu wametoka mbali ati! Unaingiliaje couple kama hii

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 4 роки тому

    Ma sha Allah Allah awasimamie in sha Allah

  • @rosemahengenicemcpilpil3327
    @rosemahengenicemcpilpil3327 6 років тому +5

    didaaaaa jaman nakupenda bureee

  • @ansuhlaly5140
    @ansuhlaly5140 6 років тому

    Nawapenda sky na baby namuomba mungu atufanikishe mm na boy wangu tuwe kama wao

  • @evancekimath7405
    @evancekimath7405 3 роки тому

    I like that.... !!

  • @rutashubanyuma4546
    @rutashubanyuma4546 6 років тому +2

    Sema ana kaubonge fulani ivi kama ka rihamma bby sky ufanye mazoezi mwili huo utakuharibia

  • @cherryprince3400
    @cherryprince3400 6 років тому +1

    wow sweet couple jamani 😙😙

  • @shuwanyotaclassc1849
    @shuwanyotaclassc1849 6 років тому

    unankumbusha mbalisana bro nmekusoma kwenye ofa ya Vonda com mupendane bhana tuna waombea sana

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 9 місяців тому

    Ila jamaa ana sauti Moja amazing Sauti ya kutangazaji.

  • @hidayaramadhani8031
    @hidayaramadhani8031 6 років тому +8

    kwel nmeamin ndoa hupangwa na mungu,mlikua hamjuan lkn mungu aliwakutanisha kw makusud kbs,Mungu awajaalie kila la kher ktk ndoa yenu

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 6 років тому +3

    Nimeipenda hiyo sana

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 6 років тому +9

    Umbea suna nimewapenda I wish ningepata mume mwema tukacheka kila siku hiyo ni baraka kubwa kutoka kwa Mungu

  • @rosecharles207
    @rosecharles207 5 років тому

    hongera dada upo vzr

  • @maryamoman5926
    @maryamoman5926 6 років тому +3

    Mashallah unakili wewe mwanamke

  • @chainassnga1840
    @chainassnga1840 4 роки тому

    Mm namkubali sky tokea yupo radio 3 africa mwanza

  • @dorisurio8001
    @dorisurio8001 4 роки тому

    Hongereni sana wanangu

  • @judithmkopoka9290
    @judithmkopoka9290 6 років тому +8

    jamani mungu nisaidie Na Mimi nimupate kama wangu

  • @luciangeorge4642
    @luciangeorge4642 6 років тому +3

    dida hodari wa kusoma chuo na analipa ada yote lkn hamalizagi semister

  • @pigapesa1013
    @pigapesa1013 6 років тому +3

    SnS is the best in Tz blog.

  • @munam7104
    @munam7104 4 роки тому

    Wow well done guy's

  • @ashuraabdallah4436
    @ashuraabdallah4436 6 років тому +1

    Mash Allah

  • @tellymapito8726
    @tellymapito8726 6 років тому +4

    Mimi ninamiaka ishilini na moja Nina mchumba nilikua naogopa kumpeleka mchumba geto coz Niko kwenye levo ya kitanda na kigoro cha siles ila mmen funza kuwa mapenz sio vitu vizur au pesa senxy

  • @hidayaramadhani8031
    @hidayaramadhani8031 6 років тому +2

    story ya kukutana kwen inataka kulingana na yng na ya mume wng,tofaut ndogo sn,daah,mmenikumbusha mbali asee

  • @khalfanmkumba5009
    @khalfanmkumba5009 6 років тому +6

    mashaAllah

  • @swaumumustaphamapondanga4707
    @swaumumustaphamapondanga4707 6 років тому

    Mashallah jamani hd raha ni full furaha mwenyezi mungu awafanyie wepesi kwa kila jambo inshallah

  • @verynicethifilmnuur1alrahb887
    @verynicethifilmnuur1alrahb887 4 роки тому

    Mashaallah ndoa yenu izid kudumu

  • @julianasuleman219
    @julianasuleman219 4 роки тому

    Mbona mnamkatisha Kumbuka?

  • @williamiranga7715
    @williamiranga7715 4 роки тому

    Noted you SNA!

  • @juneydeatakujadaimondomar5549
    @juneydeatakujadaimondomar5549 2 роки тому

    uvongee sana nyinyi wabongo mnajielewa

  • @samirahassan3154
    @samirahassan3154 7 років тому +2

    MASHAA LLAH

  • @t33pelos77
    @t33pelos77 6 років тому

    jomon me nawapenda sana mr&mrs sky

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 6 років тому

    Baby umeongea vizuri sana, mabinti wa sasaivi wanataka mwanaume menye nyumba, gari zuri

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 Рік тому

    Shemela amebarikiwa sauti aloo

  • @mdmubrak8152
    @mdmubrak8152 5 років тому

    Namuomba mungu namimi nikikuwamkubwa niwekamanyie nawapenda sana jamani munaushawishi adilaha

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 4 роки тому

    Baby sky umenichekesha sana

  • @rich.kizza10
    @rich.kizza10 9 місяців тому

    aisee bro Sky ulikuwa mnene kipindi hiki