Ya hiy Cho maye hiyo kabila wanazipendaga. Da kumbe alifaulu mwenyewe alikuwa Ana akili ya hata mie nilisikia walisema alifanyaga kazi za ndani na mwenyewe anasema ukweli
Hongera ,vipi kuhusu elimu?? Maana ume ishia la 7 kwa ushauri wangu jiendeleze na elimu .Diploma is your fast husband in the world.BP atakuacha kama alivyo waacha wengine, ila elimu yako na diploma haito kuacha maisha fikiria hilo mwanangu .
ebitoke mdogo wangu nakuomba punguza promo umeona kaka yeye hapendi ameshasema inatosha asietaka kuamini shauri yake wewe acha nyamaza saizi wanakuinjoy tu benpol ni wako na ameshazungumza kwamba hii sio kiki huo ndio ushauri wangu nashukuru unapokea ushauri
Ebitoke kiukweli ana uwezo mkubwa sana Sana wa kujieleza ukilinganisha na elimu yake ya darasa la saba. Akipata fulsa ya kujiendeleza atakuwa juu Sana. Benpol usiachie hiyo ni zawadi kubwa.
Ebitoke ni dada ambaye yuko vizur sana katika kaz yake na anauwezo mkubwa sana mungu amjalie na kaz yake
Daaaah nakukubali sana Ebitoke hasahasa kwenye ujibuji wa maswali jamna ...uko vizur mtoto mzur Mungu akufikishe mbaaaali
Irene sana
One of her best interview ever, wow she sounds professional... keep it up girl, u got this
#EBITOKE/EBIPOL
Pwaaaa boccc tupoooo
Plus ebilelaa
Arikip
I
Q4qr46q54qkqq5qqqqqq⁶qqqqqqqqqqqq0qqqqqqqqqqqqqq
@@neemajackson3115 bongoflava
Ebitoke nimekupenda bureeee!! pia unavyojibu maswali uko vzr sanaaaa
ebitoke una moyo Wa ujasili
Ya anajibu vizur ndio ya nilisikia Jina lake nikasema zur nasikia anastazia
Ya hiy Cho maye hiyo kabila wanazipendaga. Da kumbe alifaulu mwenyewe alikuwa Ana akili ya hata mie nilisikia walisema alifanyaga kazi za ndani na mwenyewe anasema ukweli
Wengine wanafanya Kwa ndugu ndio
Hapo anaonekana mweusi
George chacha nipo dom nampa bigup sana ebitoke namkubali sana
my men fast hahaaaaa ebitoke ongea kiswahil jamani kiingereza waachie wazungu
Huyo ebitoke kumbe ni mzuri niliwahi kuona post yake akiwa safi hata sikuamini kama nn yeye from nairobi kenya dodoma kwetu
Wow wow this girl is very intelligent!!anajibu vizur sn interview hongera sn mdogo angu
Très bien je suis congolais
hongera sanaaa ebtoki mungu akuongoze njia nzuri
Ebitoke unanifurahisha sana mwanangu nacheka peke yangu hongera kwako songa mbele
Rahma Mrope
Kama umesikia mtu anacheka kishilawadu ngonga like apa
Atareeeee 💓 💓💓 💓❤️ sana eby uko vizr kwel yn kwenye interview 💪💪💪💪💪💪💪
she's genuine. stay blessed ebitoke
mrina..arusha
Mambo
I love u ebitoke npenda kutaza comedy zko
Love you Eby. Good answers. Such a clever girl keep it up a good job
Mam
Nakupenda sana Ebitokeeee upo vizuri interview
Bida maşiki
Ebitoke wewe ni jasiri rafiki yangu keep it up
Carene Faustine hi
Ndalo Fredrick hello
Jamaniiiii ebitoke sina mbavu mieeeeee dah
Carene Faustine ebitoke
Nilichokukubali zaid eb, hupendi kutoa siri za ndani. Ulipoulizwa kama umeshare penz na Ben ukasema huweziongelea hayo hayahusu🤗🤗
Like
Kley Kisoma yani amenibu vizuri tena kizuri zaidi anamshikisha Mungu
+Kley Kisoma Iberia lament nzuri
Kley Kisoma had I'd hi a kiswahili
Nivizuli kufunguka kwa kitu unacho kitaka
Epitome nakupenda bure mungu akutimizie malengo yako
uko vizur Ebitoke so napenda sana vichekesho vyako mungu akubariki
ebitoke uko vizuri
eeeeeh utandawazi kutongoza wanaume
nampenda sana ebitoke kwa ucheshi wake
Nice ebitoke pambana
Ebitoke mzuli ❤❤❤❤❤
Haki ebitoke nakupenda sana coz wafurahisha
ebitoke unstisha jaman mungu akufanikishe sisee
Not educated but this gal is smart , thats for sure.mm ni fan wake ebitoke.
Pa1 sanaa eb-toke
Habari zenu jaman nakupenda sana nimm anna kasanga nipo rukwa nilitaka kujiunga naww nafanyaje
ebitok muombe sana mungu ktk hilo unalo lihitaji lakuwa na ben amini mungu hashindwi najambo km rizki yako utampata atakuowa tuu
Jaman Shem yangu ebitoke karibu dom. Jaman mweeeeh
ebitoke nmekipenda bhure unajua kujielezea sana
Ebitoke we noma dada
Hongera sana kwakipaji chako
SIUWONGO ABITOKE UJUE KUWA UYO YEYE NI KAVAA TISHETI YA JESHI KWAIYO UYO MDADA NI JESHE WA MDAMREFU MUAMINI ANAKWAMBIA MTADUMU KAYAONA MBALI HUYO❤️🌹
Jamani ebitoke kanikumbusha mbali sanaaaaa
Ali hiji iddi, kwani ye Mungu?
Keep up mrembo
Kazana Mdogo wangu, hata mimi nilikuwa beki tatu ila Mungu ameshatenda, ujiendeleze kielimu utafika mbali maana una uelewa mkubwa sana.
Naitwa Babilon Nikiwa Makunduchi ZNZ Mungu Azidi Kukuweka Na Karibu Makunduchi
Apo bomba Sana.
Nakupenda ebitoke umepitia changamoto
Hongera ,vipi kuhusu elimu?? Maana ume ishia la 7 kwa ushauri wangu jiendeleze na elimu .Diploma is your fast husband in the world.BP atakuacha kama alivyo waacha wengine, ila elimu yako na diploma haito kuacha maisha fikiria hilo mwanangu .
kweli kabisa
*Neema Kilomoni* Exactly my Dear
kweli aise umemwambia kitu
Fundi babu
+Moses Mwaipyana kamirioni
Vava Dani ebitoke unapendeza Sana nakupenda
E bitoke kwakweli mungu akupe like unacho kitaka
Unajuwa sana
Sema awa waduwanzi wanaomuulza maswali wanazan wao niwazuri kuliko Ebitoke so wameleta pigo za kumzarau .. ila Ebitoke ye ni mnyenyekevu sana... 😔😔😔😔
*Ebitoke original* wewe ni nomaa 😂😂😂👌
Dada mm name iloveyou bitoke naitwa cobilo master chanika
Dada mm name iloveyou bitoke naitwa cobilo master chanika
Uko sawa sis
Mwambie anaweza ebitoke
Uko Vizur Ebitoke
Germana Minja yaa yuko vizuri Ebi
ebitoke hongera san lizik atoae mung kweli usikate tamaa kabla hujafa
Ila jina la Benitoke nila kimiyeyusho sio zuri😂😂😂😂😂
Safi sana ebitoke
Sasa eb .. uko vizuri
Kley Kisoma mwanangu unayumba
Mungu akusaidie ktk mipango yako uliyonayo
Hongera binti
Kwa kwel Dada huyu ana akili sana anajua kujieleza vizur safi sana iwe. Ajiendeleze kielimu
Kwakweli kuna watu mungu amewapa vipaji
yaan ebi toke ni zaid ya msomi kaaah nakupenda bureee.
vizur sana bint yng unajua kujieleza
Da! nimependa the way unavyojibu maswali
XX
Mungu akubariki sana
Ebitoke, wanakung'ong'a😗😗
Yy anaona sifa
nampenda huyo dada movie zuri
Ben Pol nampenda sana.
ebitoke mdogo wangu nakuomba punguza promo umeona kaka yeye hapendi ameshasema inatosha asietaka kuamini shauri yake wewe acha nyamaza saizi wanakuinjoy tu benpol ni wako na ameshazungumza kwamba hii sio kiki huo ndio ushauri wangu nashukuru unapokea ushauri
Hongera
Sana
Ebitoke
hongera san mbi dada
Ebitoke you are very well
Nakupenda sana
Walai hii show nliikosa hiyo time ila namzia sana ebitoke
Ebitoke,yuko,vizuri.
je ilikuaje?
ebitoke songa mbele my dear
Dida uso umeutia nn jamani hah jaman Allah kakuumbeni vizur mwisho mnatisha
Ebitoke unajuwa kuchekesha sanaaa
nakupenda ebitoke
mnapenda sana tv za kenya,kama ninavyo penda za kitanzania?naiona apo ukutani
vj kym ndio tunazipenda sana tv za kenya
Daaaaah one day yes na mim
Bt nakuomba kipaji chago mwachie Mungu
Mungu akurinde
hiyo nzuri
wanipa raha sana ebitoke
sawa
namuelewa sana embitoke anachekesha
ebitoke ukoviz nakupenda bur
Ebi my sweet keep it up
jaman ebitok nakupenda
Dada bitoke uliazaje sanaaa
Haaa haaaaa jaman Ebitoke nakupenda buuree
Alexandrina Domaino konk
Thank you for watching Citizen TV as we watch Clouds TV....That's love.
You are smart Ebitoke
ebitoke uko vizuri mng akusaidie chapa kazi kwanza mtangulize mng
Ebitoke kiukweli ana uwezo mkubwa sana Sana wa kujieleza ukilinganisha na elimu yake ya darasa la saba. Akipata fulsa ya kujiendeleza atakuwa juu Sana. Benpol usiachie hiyo ni zawadi kubwa.
Margareth Solomon nimependa alivyojibu kuhusu kulibeba kundi la timamu
Margareth Solomon amen amen
*Margareth Solomon* Exactly my Dear unachosema, me mwenyewe namkubali na namsapot.
point taken ahsante
Margareth Solomon hhhhhhhhh
Hi I Like your film
ongera mam ebitoke
Ebitoke nakuheart unafuraisha stress zapugua
Longue vie à vous 😍😍😍😍😍
Ebitoke naomba kufanya kazi na wew
Ebitoke hoyeeee
jamani nyie watangazaji mmenichekesha mie 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ebitoke weninoma jaman
Kiukweli ebitoke yupo vizur ni MTU anaejiamin pia ni majibu take huwa yapo juu ya mstar
Naitwa Adria natokea mwnz Nampa ongela ebitoke
Nakunde sana
Sana dida nakupenda
nice jamani
kumbe mtz jaman
Yaaan duh penda sna ebitoke
kwakweli nampenda ebi anachekshaa sana
Je mm hunipendi