Dada Dida, mwenyezi mungu akujalie kila la kheri ktk ndoa yako, yaani natamani siku moja njpate bahati ya kukutana na wewe ili unipe mbinu za kuwa jasiri kama wewe.Mungu azidi kukupa furaha ktk maisha yako.
Mashaallah kweli dada hiyo ni bahati mungu akubariki sana ndoa njema dada etu na usione tabu ikikuzingua ata ndoa ya nne ya tano na sita sio mbaya ni rehma 👏👏😘
Yaan hata simwoni dida hahhaa ...lijumba limenichanganya..hongera didaake ..eeeh unaishi vizur dadangu wa kuchamba ..nmekupa salute ...role model kbs ..hata iwe ndoa ya nane Bora unapata furaha moyoni...big up mama lao
Dida alkua MC kwa harus yangu mashalaah hodar.mungu akusimamie ktk ndoa yko.achana na mijineno ya waja.maguful wenyewe alvotengeza tz tu na kafa pia asemwa mpka leo maskn sembuse ww ili hali uko na life nzuri.WIVU NA CHOYO NI VIDONDA SUGU KWA WAJA.FANYA YKO🥰🤗
Ndoa haija kamilika bila matatizo,, kama kutafuta raha pekeake basi haita dumu,,,,na SIo poa sababu uko vizuri ki mfuko,,, nakuombea mema dida sababu ni wengi wanao tamani lakini hawaja ipata inshaalaa MUNGU ata kusimamia inshaalla
Hapo dida umenifurahisha unajua wanawake tunaonekana wahuni kwasababu wanaume wengi ni chuma ulete wakishakuona mwanamke unakazi unavisent wakija kwenye maisha yako huduma na wewe hana sifa ya mwanaume ujue majukum yako kwa mkeo sio chuma ulete dida nimekupenda bure
First time marehemu alikuwa anarangi nzuri japo alikuwa kibonge lakini sasa kipindi hichi cream usoni zilikuwa zinamzeesha ,mwenyezi mungu amlaze mahala pepa na apumzike kwa Amani
Maa Shaa Allah Dida nyota yk nzr Allah akuepushe na hasaad akujaalie kher na barqa nakupenda Sana aunt Dida ningetaman nAmm kupata mualiko In Shaa Allah iwe kher kwako(Amiin)
Dida yr conferent Mpaka nimepagawa ... hardworking woman I love yr hustling.. aiseee nimejifunza some things.. nataka kuwa kama wewe Mungu aniteteee kwahili
Hivi hapa ndy walipokaa na Kumbi la Moto eeh kule kwenye white house aliyoipost mwenyewe kipindi cha ugomvi na Wolper ni Goba ambapo ndy aliishi hapa alishahama walivyoachana na muheshimiwa 😢

Hongera saana dadaake....... Mungu akutangulie ktk nikaa yako ikawe kheri....maneno yameumbwa tyuuu
Aliekuja uku baada ya dida kufa tujuane
😂😂namm npo😊
Nipo
Am shocked tuu kama kweli ametutoka dida mtamu dida amfuata dida wetu hapa Kenya kufa kweli dida wote mwaka mmoja poleni sahibu lala salama
🙋🏻♀🙋🏻♀🙋🏻♀🙋🏻♀
😅😅😅mm mmoja wapo
Mashaallah kweli dada hiyo ni bahati mungu akubariki sana ndoa njema dada etu na usione tabu ikikuzingua ata ndoa ya nne ya tano na sita sio mbaya ni rehma 👏👏😘
Yaan hata simwoni dida hahhaa ...lijumba limenichanganya..hongera didaake ..eeeh unaishi vizur dadangu wa kuchamba ..nmekupa salute ...role model kbs ..hata iwe ndoa ya nane Bora unapata furaha moyoni...big up mama lao
NYUMBA YA KWELI NI KABURI HATA UKIJISIFIA MAGOROFA MIA UZURI UKAJIBU KWA MOLA ULICHO CHUMA NA USAFI WAKE KUBWA KUMCHA MOLA WACHA MATAMANIO YA DUNIA
Kwakweli uongo dhambi Dida unaishi Maisha Mazuri hongera dear wewe ni Mwanamke wa shoka jumba lote Hilo 🤔 hongera Tena na Tena
Safi xana dida umenifurahisha
Iyo nyumba kapambana sana sio km imekuja gafla.
Maa Shaa Allah
Kweli mdomo mali, khaa watu tunajua kula tuu mdomo, hongera sana dida
Ndo meonas eeeeeee
Kua mdomo malii
Dida alkua MC kwa harus yangu mashalaah hodar.mungu akusimamie ktk ndoa yko.achana na mijineno ya waja.maguful wenyewe alvotengeza tz tu na kafa pia asemwa mpka leo maskn sembuse ww ili hali uko na life nzuri.WIVU NA CHOYO NI VIDONDA SUGU KWA WAJA.FANYA YKO🥰🤗
Im Dida from kenya,nakupenda sana Dida wajua kupambana na pia kuzungumza mashallah
Alhamndulillah Dida upo vzr 😍 Ndoa sio uzuri wala urembo ni nyota ⭐ Ndoa simchezo 🤝🤗
Dida
Kbs dada yangu🤝❤️
Asante dadangu hongera sana hata kama unaolewa mara kumi jiivunia sana tena sana
Allah akulaze mahali pema amine
Dida mashallah ♥ ❤olewa tumerizika sote tena kwaraha zako tuna kufagiriya tena
Dida wachomeeeee👌👌👌👌👌
mwali wetu pambee tyu penda sana dida ake😘😘😘😘😘😘😘
Ndoa haija kamilika bila matatizo,, kama kutafuta raha pekeake basi haita dumu,,,,na SIo poa sababu uko vizuri ki mfuko,,, nakuombea mema dida sababu ni wengi wanao tamani lakini hawaja ipata inshaalaa MUNGU ata kusimamia inshaalla
R.I.P duh! Life bwana is too short. Allah tujalie mwisho mwema inshAllah
Ameen
Ammiin
Mashaallah dida mjumba mzuriii
Dida mashaallah Dada ❤️
Hapo dida umenifurahisha unajua wanawake tunaonekana wahuni kwasababu wanaume wengi ni chuma ulete wakishakuona mwanamke unakazi unavisent wakija kwenye maisha yako huduma na wewe hana sifa ya mwanaume ujue majukum yako kwa mkeo sio chuma ulete dida nimekupenda bure
Yuko vizuri huyu dada ❤️👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Iyo nyumba akaaaaaa hatar na nusu hongera DIDA
Congratulations didaa mungu akutangulia uwe na ndoa njema #254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
First time marehemu alikuwa anarangi nzuri japo alikuwa kibonge lakini sasa kipindi hichi cream usoni zilikuwa zinamzeesha ,mwenyezi mungu amlaze mahala pepa na apumzike kwa Amani
Mashaallah diiiidaaa mwanamke wa shookaaaa
Hongera Double D leo tena kwaraha zako ❤❤
Sula imemshuka kuskia ndowa ya 3 roooh
@@hannanbaby9087 we hata ndoa moja huna mixiiiiii
When a woman is self actualized!! Much admiration
Hongera Sana Dida, Allah akujalie iwe ndoa ya kheri na furaha idumu siku zote za maisha yenu
Maa Shaa Allah Dida nyota yk nzr Allah akuepushe na hasaad akujaalie kher na barqa nakupenda Sana aunt Dida ningetaman nAmm kupata mualiko In Shaa Allah iwe kher kwako(Amiin)
Maa shaa Allah Dida kwa kupata nyumba mzito🕍
Didah upo vizuri dada yaani unaongea ukweli ndoa tatu kwa raha zako didah jamanii .
Dida yr confident aswaaaaa I like that
Very true didah ,my story teller 🙏❤️
ALLAH YERHAM WU JAMIAN" AMEEN🤲/😢"! SAD M BAD😢"!
Yupo vizuri pia dida nimchapa kazi
Dida hii ya 3 au 4 🙌🙌🙌🙌🙌 Mchopsi, Ezden na yule G hakuoa
Haya kila la kheri dada
Kabisaaa ni mchops ezdeni na G Ambae waliofunga ya selikari sababu G alikuwa mkristo na hii ambayo anataka kufunga saivi itakuwa ya nne 4
Hivi ndoa zinafungwa mara ngapi jamani kah ,,,
@@jenifajuma5395 4
Hongera dida unaishi kwa kweliii
Haya maisha jmn daaaah...mungu akupumzishe mahali pema inshaallah😢😢😢
Hongera sana didah..mungu aisimamie ndoa yko mtenganishwe na kifo
Mungu akusaidie mwaya dida
Did a mdogo wangu nakukubali sana my mie dadaako Salma mwinyishomari
Aliye skiya nyimbo ya anjella NOBODY tujuwane kwa like 👍
Yah
Dida Kama dida ...🔥🔥🔥
Maa shaa Allah dida nakuelewa naomba harusi yako ifanyike nkapa studio 😀😀😀
nyota unayo da dida mshukuru mungu...kuna watu hawajawai olewa wala hawajui wataolewa lini, na dhinaaa n dhambi kubwa
Dah Mwenyezi Mungu akusamehe innalilahy wainna ilahy Rajiun
Ameen
Hongera dida Mungu akulinde nakupenda napenda kipind chenu.
Maashaallah dida hongera
We mwenyewe dida siyo mcha mungu sasa iweje upate mcha mungu
Kwan ww ni mcha Mungu, mbona maovu yako umeyakalia
Dida yupo vizur mfany kazi yupo ivi je boss diamond platnumz itakuaje ?
Yaan si mchezo
😂😂😂
Wew dida wa muda izo unazoona apo mjengo ajavuna waasafi kaz kwanza juzi ujui alikuwa WAP radio gn mshamba
@@messix2508 Kabisaa💯,izo kakutwa nazo
Ndiyo maana nikiona H mama akongea naskia kumpiga makofi ju anatudanganya
SUBHANALLAH HII KAULI YA SIJAUMBIWA NITESEKE IMETOKEA WAPI BINADAMU TUACHE KUJIJENGA TAFAUTI SOTE TUTAONJA MCHANGA
Swadakta 🤝🤝🤝
Dida hongera mwanamke bombaa ❤❤🤝🤝
Mashalaah!
Mfanyikazi wa mondi je boss mwenyewe je itakuaje😆😆😆😆💯
Yaani mpk najisikia raha km ni mm
Acha kwel mondi atusiwe uyo bwana apo vizuri sio mtu wa mchezo mchezo...
Ana mda gan kwa Mondi? Inamaana alikofanya nyumba hakulipwa?
@@amdunsaid1222 unaumia ukiwa wapi kaka! njoo huku Town ujumuike na wenzio.
Kuolewa Uke wenza Kuiba Waume zawatu
Bravo👏👏❤️
Tanga raha dada dida hongera cn mwanamke washoka
Kumbe dida sio zari...akisema basi ndio basi...sio zari kigeugeu.... Mashaa Allah dida maneno yako matamu.....
Ila mchaga umependeza na suit iyo baba.🔥🔥🔥🔥
Jamaniiiiii nimerud huku baada ya msiba mwenyz mungu akupe kauli thabit inshallah 🙏
Amern
Hongera Dida
Nimekukubali sana Anti dida izi ndoa. Azitakiwi kukulupuka na usifanye kt kwa vile watu wananiona
Ndoa ni ibada allah akufanyie wepes
ILA MTANGAZAJI UPO VZR SANA😍
Dida yr conferent Mpaka nimepagawa ... hardworking woman I love yr hustling.. aiseee nimejifunza some things.. nataka kuwa kama wewe Mungu aniteteee kwahili
Allah Amsamehe na amfanyie katika hisabu
sema mamii...waaambie! ati...aaambiwa....!Nakupenda buree...mamii..Barikiwa!Mwanamke kujiamini na ni mwanamke unaepambana!
Kabisa Dada .dida hongela
Mashaallah dida
Dida anaeshima kwa weziye anaga matusi hata mimi nakupenda Dida uzidi kuwa ivoivo kilasiku sijawayi kukusikiya ukitowa matusi.unamaneno yako tu yaubeya yakanzi tu.
Wasafi mna mambo dida kazi kwako
Hongera sana dida
Hongera kwa kutarajia kuolewa na Mungu akubariki na alinde ndoa yako na idumu. Inshaallah.
Maneno kuntu 👌👌👌 mwanamke kujiamini ❤❤❤
Wakuache dida na maisha yako
Ila dida mashallah bonge la mjumba duuuh
Mfikishieni Simba habari Tunataka Album tunataka kucheza
😁😁😁😁
Kweliii
Kweli mtaa umepoa xan kwasababu ya ximba yupo kimya panya anatuxumbua nakelele zake
Kabisa
Kabisa
Hongera sana mungu akubariki sana dida
Dida wangu mimi more love ❤️🇰🇪🇰🇪🌹May God bless ur marriage🙏🏼
Siokuangaliaa.zaaaumeshakuwaa.mkubwaa
Manshallah tabarakallah 🥰🥰🥰🥰
Hahahaha dida umenifurahisha eti unaweza kua mzuri na usiolewe kweli kabisa watu mpaka uzuri unaishia kwao
Kabisa wengi hawana hata ndoa 1
@@zouzou2849 mimi apa
Juu ni upendo na nusu wa watanzania hongera sana my dada
Dida my expiration lady fight 💪💪unanjaa dida
Kajitahidi uongo dhambi
Hmmmm hubaba ishwi acha utoto ivi sura yako hauni imeanza kunyea
Hmmmm hubaba ishwi acha utoto ivi sura yako hauni imeanza kunyea
Mashallah mchaga umependeza sana
Manshallah dada nakupendaga
Napendeka aswaaaa😂😂😂tanga tena
Dida nakupenda dadangu
Sawa kabisa dadaangu nimekubali
Nyumba kama nyumba😍😍😍😍💞
Jumba jumba kwer kwer
Hongera mwaya maandalizi mema
Ila kweli lakini dida alikuwa mcheshi kwa kila mtu napia mwenyezi Mungu atamlipa kwa kupatanisha watu
Dida anavoongea tu , Anaonekana Ni M'babe sana kwnye ndoa,,,,, Sijui Kama Itadumu hiyo ndoa yake😂😁Sjui tumpe siku Ngap
Yani anaonekana mkali kweli huyu
Dida we ni mwanamke perfect ila punguza kujikrimu
Mwaka
Hahahhaah
Mini kabang ya saa 24
Dida hongera
Hongera dida maana hii nyumba siyo poa, yaani kwakifupi tu unaishi vizuri
Nice uko vzr
Hongera dida olewa mwayaa ndoo jambo la kheri
Aseee nyumba kaliii
Hivi hapa ndy walipokaa na Kumbi la Moto eeh kule kwenye white house aliyoipost mwenyewe kipindi cha ugomvi na Wolper ni Goba ambapo ndy aliishi hapa alishahama walivyoachana na muheshimiwa 😢
Masha Allh
Mansha Allah kwa mujengo
Unajisifiakuolewaa.ndowanuingi
kwaraha zako dida