Wow! congratulations to both of you Sky and Baby sky, for the great moment you have taken, that was so specia, Love is real and Mapenzi moyo na sio pesa. Nimewapenda sana! Mungu awabariki.
Hahaahhahha aiseeeee baby sky na kaka sky nimefurah sanaaa kuwaona yan upendo wenu unalets raha unavutia sio sir nimejifunza na najifunza kuhusu nyinyi yan upendo wenu unaleta raha kwenye moyo hata mtu akikukera bas akiwaangalia nyie na maelezo yenu daaah raha sanaa nitajitahid nije kuwa km nyinyi mungu awabarik sana na anedelee kuwadumisha katka safar yenu ya ndoa nawapenda sana kaka sky na bby sky
Such a great couple from the bottom to the top 🤩it’s a matter of patience and consistency...God bless you mr and mrs sky ...I appreciate what your doing bro..keep it up..straighoutachina ..i will come and visit you one time
Mngekua waislam nyinyi mngependeza sn namapenzi yenu na thawabu mngepata mashaAllah naomba mungu awaongoze nawapenda mnoo nataman ningekutana nanyie siku niloenda miliman city ningewarukiaaaaa ajabu
clara julius ww huko mbinguni unaenda kufanyann mbona hamjaahidiwa kuingia pepon bal ni uzima wamilele huenda ukawa motoni 😅😅alaf yesu hakuoa nyinyi mnamfata nani?? Mnamfata mohammad s.a.w lkn mnamkataa t 😆😆😆
Wow! congratulations to both of you Sky and Baby sky, for the great moment you have taken, that was so specia, Love is real and Mapenzi moyo na sio pesa. Nimewapenda sana! Mungu awabariki.
Jaman nawapend namm namchumba wng miak 5 sas natumain tutaoan nakuzaa watt na tutazikan in shaa Allah nawapend saut zenu jomon hongereni 😍😍😍❤
Nimefurahi mpk nimelia. Sijawi penda mahusiano ya watu wengine km nilivotokea kuwapenden ninyi. Mungu awalinde na kuwaongoza ktk maisha yenu.
Kweli kaka Anasauti nzuri, ❤❤❤❤
Sky kweli sauti yako mashaAllah .. Pia mimi hua yaniumiza
Mashallah mungu awabariki familia yenu jamni love u guys 😘😘😘
Siku zote naipenda sana hii couple kwasababu najifunza mengi sana kutoka kwenu. My favorite couple.
Couple nzuri sana hii sana
Jamani nawapenda sana hata mimi na mume wangu tunapendana sana..
+Sayra Chuna Kila lakheri dada yangu
Yaani Naila hii Story lmeingia kwa moyo wangu ,Didaktisch ntakutafuta Nikita Tz unipeleke nimuone Baby Sky na Mumewe l salute😂😂😂🙏🙏🙏🙏🌹🌺🌹🥀🌸💐
Yo Sky, This Woman Loves You more than anything. You can tell by the way she Looks at You. Mungu awalinde mdumu siku zote za maisha Yenu.
Wow such a nice story from you two. Nimependa sana vile mko na mapenzi yenu then mko na furaha baraka tele.
Jooomoooniii 😍😍😍😍😍, yaanii nimetabasamu kuanzia mwanzo mpk mwsho. Nimefurahi sana 😊😊😊😊Mwenyezi Mungu azid kuwabariki na kuwalinda.
+beatrice sylvanus asante sana
Ni kweli upendo wa kila kitu
This is best interview have ever watched 😍😍😍 lov u ....
Nakukubali mzee sky walker.. You are very smart in conversation. You sound like a really gentle. I love you my brother
Dh mungu awasaidie Jin mkata mapenz asiingie ndan mwenu kwa jina la yesu i really like you guys yaan jaman mpk nimesikia wivu dh 🙏🙏🙏
me too i really lov😍dis couple,jmn hadi raha i wish ningekuwa km ivo yani calico hadi wivu mimi😢
unabahati ndugu yangu na mke wako mrembo tena anapenzi ya kweli kwako mungu awape maisha marefu
NAWAPENDAA BUREEE....MR AND MRS SKY...😍😍🔥...
Hahaahhahha aiseeeee baby sky na kaka sky nimefurah sanaaa kuwaona yan upendo wenu unalets raha unavutia sio sir nimejifunza na najifunza kuhusu nyinyi yan upendo wenu unaleta raha kwenye moyo hata mtu akikukera bas akiwaangalia nyie na maelezo yenu daaah raha sanaa nitajitahid nije kuwa km nyinyi mungu awabarik sana na anedelee kuwadumisha katka safar yenu ya ndoa nawapenda sana kaka sky na bby sky
+Masha CLASSIC Ha ha ha, shukrani sana aisee
kweli maisha ni safari ndefu sana mungu awabariki katika ndoa yenu
waoooooh baby mzuri......MAASHAALLAH. .....kumbe unapenda kuchekacheka kama mm....
+Mariam Issa Naam, kucheka ndo mpango mzima
Such a great couple from the bottom to the top 🤩it’s a matter of patience and consistency...God bless you mr and mrs sky ...I appreciate what your doing bro..keep it up..straighoutachina ..i will come and visit you one time
Kweli dada mashaallah mwenye zimungu awajaliye kweli
I never expected to see you in interview together.. You are really great sky and baby sky
Hadi raha jmn , Mungu awatunze Sky n bby Sky
Mashaallah mungu awape kudumu milele kwenye ndoa yetu na ALLAH awabariki na familia yenu jamani nawapenda sana.
Najifunza kitu kwao 👍👍
Leo nimeamua kusikiza ur real love story #hogerasanamr.andmrs sky
You guys are so amazing and my inspiration honestly , I will try all my best to meet you when am there in tz. Best fan of you
wowh jmn hongereni 😍😍😍😍😍nawapenda bure
Na mm nisikosekane katika waliioo appreciate .....everything fantastic. Mmetisha kila kitu best.... Blessed sky's family
Shukrani sana
The Greatest Couple in Tanzania. (GCT)
Bby mzuri maashaallah
Kiukweli nmewapenda sana
baby sky anapenda story kunishinda .duh
Jamani mashaallah dada anacheka mpaka raha 😘😘😘😘
Safi sana nimepnda the way mnavyoishi n kuvumiliana
Mumetisha bro. Mapenzi mubashara
Hongeeni sana wapendwa mungu awabariki sana
baby sky mrembo mashaa allah
+Maryam Marym Asante sana
I pray to god and wish my relationship to go very very far like you you really really inspire me
Best show ever👌love you guyz
Such a nice moment,,Nina ombi kwenu,,juu ya hiyo t-shirt ya Adidas naiombeni wajameniii....
Yani i lke ur life stly guys may Good bless u sooo much
Nakukubali Bro much Respect Blessed Mr & Mrs
Mimi nawapenda sana nyie jmn nimefulai kumuona bby sky jmn we dada mungu akuweke manenoyako yananifariji sana mungu awaweke😘
Kapu yenu raha sana nimeipenda
Amazing dah mubashara hongeren sn baby mama anapenda kucheka jaman
+Rahima Juma Ha ha ha,.sana
From UAE
Mwanaume ku straggles big up sana sky na your wife baby sky
I like it nimewapenda bure mr and mrs sky
yani nimependa mpk najisikiya mwivu, gongereni sana
nice couple nawapenda sanaaaa.
The interview was dope bro Mnajiamini Sana haikubowa hata robo #mmeniispaya
Mashalah bebiy
Mpendane milele🙏♥️
Nawapenda sana 😍😍👌
jaman nawapenda Sana jaman skytanzania na shemela wetu baby sky
Nice couple kwakweli mfano wakuiga
Mungu waibariki ndoa yenu na kuwapa maisha marefu yenye upendo uo huo
Frederick bundala (sky) nakukubali sana.
yaan watu wana roho aseeh.sasa mfano mtu Ana dislike hapo kilichomkera nn..🤔🤔
Pius Projestus kunawatu wanajifunza kutumia smart phone bro wanabonyeza popote pale.
+Martha Lukosya n kwel aiseeh nime wasamehe bure
Pius Projestus kabisa baba wasamehe bure.
Pius Projestus
NIWIVU TU🤪🤪🤪🤪
🤣🤣🤣🤣🤣
Wow hongereni Mungu awabariki
nawapenda sn
Mngekua waislam nyinyi mngependeza sn namapenzi yenu na thawabu mngepata mashaAllah naomba mungu awaongoze nawapenda mnoo nataman ningekutana nanyie siku niloenda miliman city ningewarukiaaaaa ajabu
Huna haya....udini tu,uislamu wako utakupelka mbinguni?
clara julius ww huko mbinguni unaenda kufanyann mbona hamjaahidiwa kuingia pepon bal ni uzima wamilele huenda ukawa motoni 😅😅alaf yesu hakuoa nyinyi mnamfata nani?? Mnamfata mohammad s.a.w lkn mnamkataa t 😆😆😆
jaman kumbe nyinyi ni mume na mke!! hadi hara mungu awabariki sanaaaaaa
Yani Mie ndo nimejua leo na uwa nawatazama kila siku wallah wamependezana sanaaaa Mungu azidi kuwatunza
Nawapenda sana Mungu awabariki sana
jamani nawapenda sana mungu azidi kuwapatia afya njema na maisha marefu
Maa asha allah tunawapenda nyie mnaendana
+ichuka gaum asante sana
jamani hadi raha kiukweli. ...
Hii interview jmn😁😁haichoshii😍
woow nafurahi kuwa ona.. baby kumbi njouyo.. sauti zuri
Nawapenda sana from UK baby Sky 👌👌👌👌👌👍
Nmeipenda hio
nimefulai sana nimewaona imiss you dida
nawapenda sana jamani mungu azidi kuwaongoza katika maisha yenu.
Nice sana mr and mrs&sky mungu awaongoze vyema katika maisha yenu mzidi pendana🙏🙏🙏🙏
+Cauthary Eliasi amen, asante
Mashaallah allah awalinde
nice famili nimeipenda na hakika najifunza kitu kutoka kwenu nawapenda sana na nishabiki wenu namba moja kutoka huku zanzibar
+Ibrahim Suleimani Asante sana
BBY unachekaga poa I love you sana
😀😀😀😀😀 always huwa naenjoy Sana koz nawapenda Sana'a na mnajua hilo, wallah nitafuata nyayooo zenu mnaninspre Sana.
nawapenda sanaaa 💏💏💏😍😍😍😍😍
Hii story ya babysky ni kama yangu 💞🌹❤
Video hii upande wasaut haiko fresh
Mungu awape maisha marefu
I love these people
❤❤❤jamanii
waoo love sn 😘😘😘😘
Wow😍😍😍
Wow I like
nimejifunza mengiii
nyie mmefanya nimalize bando langu by the way nice nimefatilia hii interview mwnz mwixho
Aisee kumbe nilicomment mwaka Jana na leo nimerudi tena kuakikisha kumbe kweli hongereni tena sanaaa
Nawapendraaaaaa jomony bro sky na bby
+Tahrin Kessy asante
Ahsante na ww kwa kushukru bro pamoja sana
Jamani
I like it 👍💯
Mashaallaah bby nitakuibia bby
HALIMA KIPENDO njoo uniibe mm
Kiukwen nawapenda bure skay
Waaaw!!!
Guys,that was special ,now i believe in love.
+Joseph Ochieng Thanks bro
SimuliziNaSauti anytime.
❤❤❤❤❤❤love sns