Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Sema baby sky bonge moja la wife material! Akili mingi sana huyo dada
My favorite couple, mungu azidi kuwabariki na kuwalinda
Jamn wow beautifuly family nimefurahi kuona mtangazaji wangu pendwa na family yake
Sky family naona leo mmeamua kwenda kujirusha aisee. That was amazing 🔥
Watoto wanafurahi ukiwa unawatoa out siku moja moja hongereni sana 😍😍❤️
Oya sky! Nakubali kaka much love and support from Rwanda 🇷🇼 👊🏽👊🏽
Awwwwww😍😍Beautiful family. Mwenyezi Mungu aendelee kuilinda family yenu both
Sky Kumbe unamke mzuri hivi Jomonii congratulations
Sauti yako nzuri sana Babysky, nakupenda.
Nimependa mlivyo mvalisha mtoto, sio maeneo hayo watoto wanavalishwa mmh.. Big up
Apo sky anajiona kama the CARTER family 😂 one love namkubali sana jamaa
🥰🥰🥰🥰🥰,nawapenda Sana 🙌🙌🙌mbarikiwe.
Wapi hapo jamani?Tukija summer will like to visit looks Nice .
Nawapenda mno ila nilijua upo na watoto 3 now ! Brother Fanya muongeze family bhana mda unaenda et nawaombea mno
mmetisha sana sky family
Mungu awape maisha marefu yenye furaha na amani nawapenda sana
Nawapenda sana mungu awabariki
Mbarikiwe sana kwa family ya upendo
Hongereni good family mko poa sana
Beautiful family, nimefurahi kumuona Baby Sky
Nice to see you chilling with family...leo studio imepumzika. Be blessed my brother
Sky kama Sky 🥰🥰🥰🔥🔥 love 💕 from Burundi 🇧🇮🇧🇮
Nic family my bro raha Sana
Blessed family,wana chakula kizuri sana🙏🙏
Napenda sana sauti yako kaka sky cku nitakufanyia surprise ofisini kwako nitakuletea zawadi nikija Tanzania.
Tutashukuru sana Aysher
Baby sky kanenepa 😘
Baby Sky kajificha siku hizi!!! Sijui anatuogopa🤣
vizuri sana
Baby sky tulipokua hatukuoni mbele ya camera tukajua unakibendi bwana 😅😅
🤣🤣
Ata mim nilijua ivoivo😂😂😂dah angeongeza pengine angepata kakiume
Hahaha
Watu wanaishi kwa kukariri maisha
@@mwanaishiaomar5695 kakwambia wnataka mtoto wa kiume??
Kimsingi hili ni tangazo la biashara, congrats
Sky mngekuwa mnasema sehemu ilipo kwa watu ambao hawapajui bongo ili wakifika wanakwenda moja kwa moja km vile iko mikocheni au msasani
Sky sisi Kama Wana sns tuko pamoja nawewe ulipo tupo 👨👩👧
lovely family - baby sky & sky big up...... 'family -'where life begins and love never ends'
Vp brother sky hujachukua pesa zako Baraza la Sanaa kwenye intertement
Baby sky miss you dear much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Familia pendwa sana👌🇧🇮
Niriwa miss sana watu wangu nawampenda caneeee
Manshallah mwenyezi mungu awape furaha daima 🤲🏼🙏🏻
Dada baby sky jmn usinenepe tena 😊hata kama raha nyingi pls 😅try 🙌🏽
Mashallah beautiful family may Allah bless them
I love this family ❤️❤️ . Ko from Kentucky
Love Baby sky voice!
So beautiful! Mbarikiwe sana. Baby Sky kisu na Uma hivyo vizije toboa macho ya Sky 😅😅 (just joking). Nice seeing you all. ❤️
Siku tukianzisha redio or Tv, Baby Sky atafaa kuwa presenter tena hasa TV,Mtafika mbali sana,mnautofauti sana wa contents tofauti na wengine
Wow nice family
sky my brother this is beautiful to see this is the essence of what an African family should look like more grace to you and your family
Engilsh
@@rehaniabeta vipi mwana
Nampenda saaana kaka sky na mkewe mashaa allah baby sky ni mzuri saaana Masha allah mungu awaweke katoto nako kapo 😘💕💕💕💕💕💅
Nice family wanangu ,enjoy your life
I missed you baby sky and your family likua najiuliza maswali kwani umepotelea wapi?
Hapo ndipo views na comments zetu zinaishiya sisi tu view na kucomment sky kazi yake nikujipa raha kwa views zote
Beautiful family!
Wanawake sana jamani kutoka oman
Woow nice family Mungu azidi kulinda 😍 😍
Mbona DJ amewekwa juani, wameshindwa kudesign kaShed
Nikija huko InshaaAllah nitafika
Napenda haya maisha lakini kila siku sina
Mungu atakujalia omba sana
Very smart family. I like it
Kabla ya kula kusali muhimu✌
Wooooooow nawapenda bure jamani
Baby sky fanya mazoezi kidogo mpenzi upungue Mr anabod nzuri ww ndio unamwangusha
Masha’ALLAH baby sky tulikumiss na umenenepa 😍😍
Safi mwamba home boy
La familia❤
I love you guys so much. Your such a beautiful family. My name is Anna I’m from America happy Valentine’s Day❤️
sky is such a cool guy
❤😍😍😍🥰🥰🥰.HAPPY FAMILY
My fellow Catholics tunawapenda sana.
Jaman si muongeze katoto kengine Nicole yupo mpewek hapo jmn tuletee kaka
Beautiful family ❤
Beby sky umepoteleya wapi???sky kakufisha
Ndizi mzuzu hapo sky mmenitupa mbali haki kiswahili
I love ❤️ 😍 u voice baby sky 💙 ♥️ ❤️
Sky family out 💯🌹♥️
Blessed familly ❤
Lovely ❤️❤️🔥
Jaman bongo mgeni ndy wapi hapo nije kuenjoy na familia yng weekand moja
Nyuma ya Palm Village, Mikocheni kwa Warioba
Mashallah baby Sky sio kwa kukumisi huko
Safi Sana kaka big up
Mama mjengo nakuona
Mamkwe na mtoto na bamkwe mumependeza sana maisha marefu kwenu 🙏✌🌹🌺 sky babamkwe jiandae nakuja son naekesha kabisa sitaki masiharaaaaa😂😂
MashaAllah bby sky kazidi kunaweri 💐
Ongera kaka una family nzuri sana yenye upendo
❤❤❤❤ baby sky you are gorgeous and beautiful daughter ❤❤❤❤
ManshaAllah 🥰
Bby sky ana sauti mzuri mashallha
Maenewo gani hayo namba pls
Nawapenda sana Mungu wajalie maisha marefu
Appreciate bro Skywalker realman love his family.
Mungu awalindie mmekuza
Dada mkubwa, where is she??
Always lovely family ! Hongera sana Kaka Sky
My family ❤️
Aki bby sky I thought uko na mimba ndomana tulikuwa hatukuoni 😅 penda nyinyi sana
Beautiful family
Sky unafikiri unavyo enjoyna family na kurusha wabongo wana roho mbaya hakikisha unasali saana utalogwa hawa ndo wabongo
Mim Nikwama Hpo kwa Sky Anavyo Mkata Jicho Bint Yake 🤣🤣🤣🤣 Tena Yupo Serious
Mansha allah baby sky
Mnapendezana sana
Good moment
Sky una pisi kali ndugu yangu BTW u deserve her

Wapi hapo jamani?
Tukija summer will like to visit looks Nice .