Wachache sana wenye moyo wa dhati kuliweka wazi hili jambo ila Mungu akubariki naimani waelewa wamekuelewa na wabishi waendelee kubisha mwisho ifahamike online business zinahitaji elimu na utashi wa kutosha kuziendesha -Mungu akubariki kaka
Big up SnS kwa habari za uhakika na kwa kutujuza mambo ya kweli,na pia shukran kwaww SKY kwa kujielewa na kuifanya kazi kwa ueledi mkubwa,nawakubalini Sana sana.
@@successr1617 Sasa kwanini wanaishusha au ndo tunaangalia sana video za UA-cam so, wanapandisha kwa sehemu ambazo UA-cam haitambi ili kuwapa hamasa wa maeneo hayo...
KUMBUKA : Hiyo $223.50 ni kwa video 1 tu. Kwa mwezi anapost video zaidi ya 1. Ikitokea video 10 tu zikaenda viral kwa mwezi huo zikapata zaidi ya views 1m, unaweza kufanya kadirio la chini tu $200 × 10 = $2,000 (ni makadirio tu. Kumbuka hulipwi kwa kuangalia Video 1 tu. Hata video uliyopost 2018 kama bado unatazamwa pia inajumlishwa mwezi huo kutokana na views wapya walioiangalia. Bytheway CPM yetu bado ipo low sana! Inabidi kukaza buti sana. Thanks kwa maelezo mazuri brother SKY. Blessed!
@@SimuliziNaSauti Daaahh!! Dollor 1 ndogo Sanaaa.. Tungekuwa hapo Poland TUUU.. Tungekuwa Matajir na SNS yetu... Hizi articles naweza kuzipata wapi Bo Sky??... Najua kuna watu hawaipenda hii video. Wabinafsi wa Maendeleo...
Safari bado ni ndefu ila tutafika tu Sky hongera kwa hilo Nikusifu tu wewe sio mchoyo na unapenda na wengine wajue asante sana Mungu akubariki sana SnS DAIMA.
Utulivu 100% Busara 100% Umakini 100% Strategy za Utangazaji 100% Nikiwa nakuckiza unasound kama Millard iv kwa mbaliii.. KeepTheGudWorkAliveBro🔥🔥🔥 #TUTAVIEW🎞🎞
I once said, bt let me say it again.. #SnS, you are the next CNN. Sky ww ni mkali sana bro. Una passion na hii kitu. Much congrats bro! Leo ndo nimeelewa vzr hii ishu. Umeelezea vzr sanaa👏👏👏
Du pole sana mimi najuwa kabisa mtu akipata hawo milioni moja basi kashatobowa maisha kumbe ndiyo safari inaanza basi tu ila shukrani kwa kutuelimisha mungu akulipe kakayetu
Lakini hi Ni kwa video moja Sasa tuchukulie umeeka video 70 unadhani utakuwa umeingiza pesa kiasi gan ? Kwahiyo UA-cam inalipa , lakini niwashukuru Sana sns kwa kutujulisha Hilo ,maana wengi tulikiwa hatujui , ila Sasa tunajua ... tunamshkuru Sana wakuu ,
Sasa swali ni kwamba uki withdraw hiyo hela alafu watu wakawa wanazidi kuview inakuaje ? And swali how do you covert hiyo into cash yani uipate mkononi?
I like the Way @sns replies some comments of their fans, it's shows really how you appreciate our support as fans to you guys And we appreciate your work too @sns
@@SimuliziNaSauti naomba uwatch ngoma yangu uniambie vile nitapata vewerz wengi plz pia nitakua nikitizama hizo CLP ndani ya video zenu kama hii video Ina CLP mbili za face book.
Nimekuwa loyal sana kuto ku skip matangazo since niliposikia kwenye smart talk ukiongea na mxcarter jinsi matangazo yanavyoipatia pesa channel....... I love sns 💪🏽 #dont_skipe_advertisment
Bro sky nakupongeza kwa kaz nzurii unayofanya tunaomba utuletee list nzuriii ya msanii wetu diamond platnumz ili tujuwe ili wasiendelee kumlinganisha na wengne
sasa tukipiga maesabu ya kenya mda huu ambayo dollar saa hii ni 106.75....so tuki multiply by 223.50 kenyan money ni 23,858.13....tusema 24k...thanks kwa update
Daah tunashukulu Sana sky mb zetu uwa zinaishia kweny interview za akina kitenge,Beyonce Wa buza ,Amber lutty na miss Bella baada ya kuja kualewesha vizur uku
Broo big up sana 💯✊🏽umetusanua vzur sana sijawah kujua hii kitu watu wananufaika vip kumbe ndo mchakato uko ivo bless up tuko pa1 mpk cpm ipande😁 asante kwa kutupa infor na kutuelimisha pia uko tofaut sana na media nying hawatuelimish wanatupiga sound za kusubscribe tuu🤔
Ambao atutarukisha matangazo kuanzia leo kwa ajili ya mapenzi ya sns tujuane 😁😍😍😍
Dunia ilihitaji sana watu kama @sky congratulations brother 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 like this aone tunavyokubali anachokifanyaa.... lets goo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tafadhari subscribe youtube channel yetu kwa habari na matukio kemkem
ua-cam.com/video/oezA9f9MKMo/v-deo.html
Wachache sana wenye moyo wa dhati kuliweka wazi hili jambo ila Mungu akubariki naimani waelewa wamekuelewa na wabishi waendelee kubisha mwisho ifahamike online business zinahitaji elimu na utashi wa kutosha kuziendesha -Mungu akubariki kaka
Ata mm nilitaka kujua ili maana nashindwa kuanzisha akaunti yangu ajili yakushundwa kujua kipi kinacho endelea
Big up SnS kwa habari za uhakika na kwa kutujuza mambo ya kweli,na pia shukran kwaww SKY kwa kujielewa na kuifanya kazi kwa ueledi mkubwa,nawakubalini Sana sana.
MPENI LIKE ZA KUTOSHA SKY
tunakushukulu sanaa
Kwahiyo jinsi ninavyo watch round up over and over again tena ninaishi America 🇺🇸 ninaongeza pesa kwa sns🥰 🔥🔥🔥 and I won’t skip matangazo tena
Long time I wished to know that !! Thanks very much simuliz!! Always l perfect 👌!!
Oooh mashalallah mie ndo nimejua leo hongera sana bro sky nawapenda sana sns mwenyezi mungu awarinde inshallah 🙏🙏😘
Tafadhari subscribe youtube channel yetu kwa habari na matukio kemkem
ua-cam.com/video/oezA9f9MKMo/v-deo.html
Napenda unavyotangaza kaka mtangazaji❤❤❤😗😗😗hongereni😙😙😙
Love you more
Umalaya tu@
Sky Sky we ni no1 presenter 4 me all the best my bro
Nashukuru sana mzee
@@SimuliziNaSauti nitafute sky..0714990811
@@SimuliziNaSauti
Hii ya kwamba viewers wanaibiwa au kustopishwa imekaaje? Je ikistopishwa huwa haisomi viewers nchi zote
Ukweli mtupu.....
@@SimuliziNaSauti duuh aisee umefanya kitu chakipekeee aiseee big up sana mwamba
Habari yako kiongozi,
Ninahamu kubwa ya kufanya kazi na SNS kwani natamani siku moja kuwa youtuber mkubwa TANZANIA,
Natanguliza Shukran.
Ooh thks sana brother nimepata knowledge through this video shukran sana 🙏. One day am gonna have 1m views Inshaallah🙏
Inshallah subscribe kwangu na nije kwako tupeane support muniraa
Munira hjmb
Mimi niko Canada apo nafatilia sana UA-cam kk mungu akulide sana Mze baba 🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦
Tafadhalini msiruke Tangazo ili waingize ugali wao kwa kazi nzuri ya habari Team Sky wanatuletea
Asante sana
Asante Sana ndugu kwa kututoa ukungu nachoni uchambuzi umejieleza cizuri 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sky worker wewe ni fundi Sana upo vizuri Sana leo nimepata kitu
Dah tuangalie na matangazo jamani tukuze dau
ha ha, tutashukuru
@@SimuliziNaSauti KAKA NAOMBA MSAADA JINSI YA KUFUNGUA ACCOUNT , WATSSAP 0788562260
@@SimuliziNaSauti Nakubali
wanafunguaje hiyo akaunt youtubeeee
Kweli aiseee...
Ahsante kwa kutufahamisha...nimejifunza sana nisiyoyajua awali...SNS for life.
Hongera Sky 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Safi asante kutuelimisha mola akuzidishie nimekupa like zangu
CPM ya Tanzania ni 1.57
Mmmh ina depends mda mwingine inakuwa hadi 0.89
Duu
@@successr1617 Sasa kwanini wanaishusha au ndo tunaangalia sana video za UA-cam so, wanapandisha kwa sehemu ambazo UA-cam haitambi ili kuwapa hamasa wa maeneo hayo...
Mmh je tufanyje ili vedeo ipate pesa nyingi?nisaidieni wadau
KUMBUKA : Hiyo $223.50 ni kwa video 1 tu. Kwa mwezi anapost video zaidi ya 1. Ikitokea video 10 tu zikaenda viral kwa mwezi huo zikapata zaidi ya views 1m, unaweza kufanya kadirio la chini tu $200 × 10 = $2,000 (ni makadirio tu. Kumbuka hulipwi kwa kuangalia Video 1 tu. Hata video uliyopost 2018 kama bado unatazamwa pia inajumlishwa mwezi huo kutokana na views wapya walioiangalia. Bytheway CPM yetu bado ipo low sana! Inabidi kukaza buti sana. Thanks kwa maelezo mazuri brother SKY. Blessed!
Kaka unajua kutangeneza viewers na subscable
$200= sawa na shingapi ya kitanzania
Brother we ni LOYAL SANAAAAA... Watu wa ulimwengu wa UA-cam wanafichaficha Sanaaaaa... Asante Brother...
Nashukuru sana
@@SimuliziNaSauti Daaahh!! Dollor 1 ndogo Sanaaa.. Tungekuwa hapo Poland TUUU.. Tungekuwa Matajir na SNS yetu... Hizi articles naweza kuzipata wapi Bo Sky??... Najua kuna watu hawaipenda hii video. Wabinafsi wa Maendeleo...
Allah bariq channel yangu pendwa hongereni SnS nawapenda sana allah azidi kuwafanyia wepesi katika harakati za maisha
The best explanation, 🔥🔥 🇰🇪🇰🇪
Asante kwa kutujuza 👏👏😍
We ni genius
Safari bado ni ndefu ila tutafika tu Sky hongera kwa hilo
Nikusifu tu wewe sio mchoyo na unapenda na wengine wajue asante sana
Mungu akubariki sana
SnS DAIMA.
Asante sana Mwajuma
Mungu akubariki Sana wewe mwenyewe na familia yako
Asante kaka sky umenifumbua leo 🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥
Daah yaan umenielezea lakin tangazo limekuja nika skip tena....😀😀kwel mm ni m'bongo
ha ha, noma kweli
😆😆😆
Kidole kishazoea kina skip automatic
Nomaaaa Kweliii 😂😂😂
BROTHER UNGEKUWEPO MWALIMU WANAFUNZI WOTE WANGEFAULU VIZULI SANA NA ALAMA ZA JUU SANA TUMEELEWA NA TUMEINJOI VYA KUTOSHA SANA
Asante sana best presenter kwa kushea hii
Jamaa anaeleza vizuri sana mtu usipo mwelewa hy jamaa ww kichwa ngumu 💯✅✅
Nime angaika Sana kulijua hili.mana nataka niachie nyimbo zangu.asante kaka
Utulivu 100%
Busara 100%
Umakini 100%
Strategy za Utangazaji 100%
Nikiwa nakuckiza unasound kama Millard iv kwa mbaliii.. KeepTheGudWorkAliveBro🔥🔥🔥
#TUTAVIEW🎞🎞
Upo sahiii
All the way from Denmark tunaendelea kunstream !!! Hakuna kulala
I was waiting for this information since long time
Kama umeelewa alicho elezea Sky gonga like yako hapa aone kama ameeleweka kwa kila MTU.
I once said, bt let me say it again.. #SnS, you are the next CNN. Sky ww ni mkali sana bro. Una passion na hii kitu. Much congrats bro! Leo ndo nimeelewa vzr hii ishu. Umeelezea vzr sanaa👏👏👏
Sky is the number ONE radio and TV presenter in Africa
Sky asante sana kwa kushare hii kitu maana UA-camrs wengi hawapendi kushare hii habari
Best of luck Guys @SNS
Du pole sana mimi najuwa kabisa mtu akipata hawo milioni moja basi kashatobowa maisha kumbe ndiyo safari inaanza basi tu ila shukrani kwa kutuelimisha mungu akulipe kakayetu
Asante sana
Lakini hi Ni kwa video moja Sasa tuchukulie umeeka video 70 unadhani utakuwa umeingiza pesa kiasi gan ? Kwahiyo UA-cam inalipa , lakini niwashukuru Sana sns kwa kutujulisha Hilo ,maana wengi tulikiwa hatujui , ila Sasa tunajua ... tunamshkuru Sana wakuu ,
Thank you for your education👏👏👏
Safi sanaa nimeelewa sanaaa hongera snaaa unajua kuelekeza sanaa i like it
Waandishi wote wangekuwa km sky bongo maboya wangepungua...big up bro!!
Saan kichwa sn huy jamaa
nime jikuta naaacha matangazo ili feza zenu zipande much love from #Norway asante kutujuza
Shukrani sana mzee
Sasa swali ni kwamba uki withdraw hiyo hela alafu watu wakawa wanazidi kuview inakuaje ?
And swali how do you covert hiyo into cash yani uipate mkononi?
Umetisha sana bro
I like the Way @sns replies some comments of their fans, it's shows really how you appreciate our support as fans to you guys
And we appreciate your work too @sns
Napenda wote mnavyotangaza wote mungu yupo nanyi nasi tupo nyuma yenu
Asante sana mwana familiya sns umenielewesha nilikuwa naham nacho kukijuwa
Swali langu ni subscribers wangapi ukiwa nao kwenye account yako ndo UA-cam wanaanza kukulipa.Asante kwa uchambuza kaka sky.
1000
@@trendingnews935 Asante sana Ndugu🙏🙏🙏
Ndani ya muda mfupi Video hii pia itakupa views milion 1 au zaidi bro, kwasababu umetoa madini mengi sanaa🙌🙌🙌 @SnS
Ni kweli kabisa, wengi wanapenda kujifunza
Background music inaitwaje?
Woow thanks brother sky umetujulisha kuusu UA-cam tulikuwa atujui
Sapotien mungu atawabrk
Nimeipenda sana hii Sky walker
Hongera sana bro tulikua tunahtaji tawimu kama hzi
hongera sns tuko pamoja
Very interesting. I will never skip the ads ...for u!!!!!
I m a big fan.
Watching from Belgium.
Thanks you very much
Thanks for this..
Duuh kwa hiyo YOPE imepiga zaidi ya 130Millions $ ??? Duuuh Simba noma kweli ni matata
Safi sana sns mmenifungua jambo aisee shukran sana nitazidi kuwasupport sana
Shukrani sana
Siyapendag hayo matangazo kumbe ni support ee basi I will be watching them
Yes ndio yanayotusaidia
Great content kwa sasa you guys are the best
Thank you for the information kabisa...alafu nikiuliza,inakuwa mtu lazima amalize video
Brother ila hapa hujafafanua nin maana ya estimated Ad revenue ? Je ni makadirio ya mapato yatokanayo na matangazo?
Dah nmefikiria yope remix yenye 85milions views mpk sahv alaf nikapiga mahesabu kwa views 1m kwa sky alivyo pata 500k ndo ukiizidishia iyo 500k kwa 85M Views hela yake inayopatikana 🔥🔥🔥🔥ni balaaaa aise billions of money
Dah 🤣😅 hesabu ugonjwa wa taifa.
Daaaaaaah kumbe sio NYINGI AISEEEE, kumbe tutakuwa tunaview mara nyingi yani kila siku SnS
Umeona ehh! Shukrani sana
@@SimuliziNaSauti naomba uwatch ngoma yangu uniambie vile nitapata vewerz wengi plz pia nitakua nikitizama hizo CLP ndani ya video zenu kama hii video Ina CLP mbili za face book.
@@SimuliziNaSauti bro nimependa mafundisho yako namba zako au nitafute kwenye hii 0745640327
Asante nina channeli hii mimi nafundisha mambo kama haya
Ubarikiwe sana
kazi nzuri SNS
Nimekuwa loyal sana kuto ku skip matangazo since niliposikia kwenye smart talk ukiongea na mxcarter jinsi matangazo yanavyoipatia pesa channel....... I love sns 💪🏽 #dont_skipe_advertisment
We love u Latricia
asante kwa kuwaeleweshe watu mana wanajua tuna pata sana mtu
Bro sky nakupongeza kwa kaz nzurii unayofanya tunaomba utuletee list nzuriii ya msanii wetu diamond platnumz ili tujuwe ili wasiendelee kumlinganisha na wengne
sasa tukipiga maesabu ya kenya mda huu ambayo dollar saa hii ni 106.75....so tuki multiply by 223.50 kenyan money ni 23,858.13....tusema 24k...thanks kwa update
Naam kaka Eric ni 24k kshs
Nimefurai Sana kutuelewesha
Thxs for information
Hongereni sana jamani baby na sky
Nakubal Mkuu
Umesomeka💪💪
Naomba utujuze pia, jinsi gani unaweza kuconnect youtube account na Akaunti ya malipo?
Hongera SnS! 👏🏿👏🏿 I’m surprised the pa is so low though
Yes of course, we really need to work hard to see the money
SnS you need other income streams why not charge monthly subscriptions for some of your content? Mimi ningelipa
Me na wapenda sn sns mko vizuri sn
Sikujua kama nikiruka tangazo nyie amlipwi!! I will watch tangazo!!
ha ha, asante Asha
Kkkkk umenichekesha sanaa Mimi pia kwa Diamond na SnS sitolukaga kabisa
Background music inaitwaje je
Duuuu kazi ya hasara kweli😭😭😭
God bless you my bro
Thanks Boss sky
Daah tunashukulu Sana sky mb zetu uwa zinaishia kweny interview za akina kitenge,Beyonce Wa buza ,Amber lutty na miss Bella baada ya kuja kualewesha vizur uku
Thank you
Hongera sana ❤️
SnS is my favourite media kwa kweli your the best kwa upande wangu I wish one day to be there and talk with you.
Bless up bro 🙏🏽
Mashaallah
Broo big up sana 💯✊🏽umetusanua vzur sana sijawah kujua hii kitu watu wananufaika vip kumbe ndo mchakato uko ivo bless up tuko pa1 mpk cpm ipande😁 asante kwa kutupa infor na kutuelimisha pia uko tofaut sana na media nying hawatuelimish wanatupiga sound za kusubscribe tuu🤔
Hongerenii na asate kwa kutuelimisha
Asante sana
Good bro ur so really
That's awesome
shukran sky your the best