MBUNGE MPINA: AANIKA MADUDU ya MAWAZIRI HADHARANI, "Kuna Njama za Upigaji" AWATAJA BASHE na MWIGULU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 94

  • @kulwamadirisha-bs5wx
    @kulwamadirisha-bs5wx 3 місяці тому +17

    Nipeni like zangu nimekua wa kwanza kuna comment

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 3 місяці тому +3

      Wenye akili zao wanatafakari mambo ya msingi wewe unashindania like! Kama furaha yako ni kuwa wa kwanza Rudi darasani!

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 3 місяці тому +15

    Hiki kichwa ni zaidi ya Magufuli nawaambia jamaa anauwezo wa kubaini na anauwezo wa kufuatili, na anuwezo wa kuchukua hatua za kimfumo bila athali.

    • @hamzarumela1784
      @hamzarumela1784 3 місяці тому

      Hana lolote huyo kaka, alikuwa waziri na hakuna alichokifanya zaidi ya kupima samaki kwa rula, haya yote ni kwa sababu alikosa uwaziri ndugu yangu amini usiamini

    • @petromgaya1746
      @petromgaya1746 3 місяці тому

      ​@@hamzarumela1784 we unaona uongo ukweli

    • @TitoNgomuo
      @TitoNgomuo 3 місяці тому +1

      Hiiii ndio Tanzania,,wanajinufaisha binafs nawanalindwa na wakubwa

    • @TitoNgomuo
      @TitoNgomuo 3 місяці тому +1

      Mungu akulinde na mabaya yote

    • @TitoNgomuo
      @TitoNgomuo 3 місяці тому +1

      Mungu akulinde na mabaya yote

  • @charleskingimwakasagule5752
    @charleskingimwakasagule5752 2 місяці тому

    Nimeanza kukupenda ndogo wangu nakutegemea sana shule uliopata utaitendea haki tz

  • @TitoNgomuo
    @TitoNgomuo 3 місяці тому +2

    Kweliiiiiiii

  • @geraldgedi4657
    @geraldgedi4657 3 місяці тому +4

    Mwandidhi wa habari uliyeva shati la drafti rangi nyeupe na nyeusi umenifurahisha sana jinsi unavyomshangaa L. Mpina anavyoua kimyakimya. Ngosha siku zote huwa hawana chengachenga.

  • @johnsonsabanya5860
    @johnsonsabanya5860 3 місяці тому +3

    Mpina apewe uraisi ndo tunamtaka maana Hawa wengine ni wapigaji tu tumewachoka labda waibe Kura lkn hatutowapa Kura.

  • @Simon_joe
    @Simon_joe 3 місяці тому +1

    Ila huyu mwamba anajua maana kuanzia kwenye Trab na Trat wizara ya fedha ni wazi kuwa anajua anchokifanya na anatoa detail kabisa na ni fact😂

  • @FILBERTMPOSA
    @FILBERTMPOSA 3 місяці тому +1

    Kweli ukweli unapigwa mawe nyumbani hapa ni hatali sana.

  • @PhilipoAmosi-v2x
    @PhilipoAmosi-v2x Місяць тому

    Mdawakoo unautumia kwaajiri ya wanachii afuu mbungee wakupe uwaziri!! Keshoo uwe rais!!! Mpina oyeeeer!!!

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 3 місяці тому +4

    Mungu Akulinde Mpina

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 3 місяці тому

    Hapa kuna harufu ya ufisadi. Mh Mpina yuko sahihi kabisa. Utaratibu hakufuatwa na makampuni hayakuwa na sifa ya kuagiza sukari. Mh Bashe na Mwigulu tunahitaji majibu.

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 Місяць тому

    Huyu ni mpina kweri leta mambo tunakuombea wakikufukunza nenda upinzani uwe mbunge

  • @AbdMohamedi
    @AbdMohamedi Місяць тому

    Hata kwenye mbaaz anatuga sana wakulima anasema tukauze galani tena Kwa nguvu

  • @clemenceparokola
    @clemenceparokola 3 місяці тому +2

    Baba wewe ni Musa wa kwenye biblia,pambania wananchi Mungu atakusimamia ubarikiwe sanasana

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 3 місяці тому +1

    UKIMSIKILIZA MPINA ANAONGEA WITH VIVID EXAMPLES, SIDHANI KUWA ANADANGANYA! MHE. RAIS CHUNGUZA HILI AU TULIA TEUA TUME ICHUNGUZE HAYA MAMBO SIO YA KITOTO KINA MADUDU HUMO

  • @MariamBakari-ox9qo
    @MariamBakari-ox9qo 3 місяці тому +1

    Ila hii inchi viongozi wanapiga sana pesa vibaya mnooo😢😢😢😢😢 hii inasikitsha sana kuona watu wanakuamin the end of time kumbe ni jambaz mkubwa sana 😢😢😢😢😢 mm kuna mawazir huwa nawaangalia uson najua hawa ni wapgaji wa hali ya juu,,,NB:hapo ndo tunataka teuzi na panguzi zifanyike mlimpa mtihan wa kulifuatilia jambo mhe: mpina kawaonesha kuwa anaweza na mambo yote kayamwaga . Mmeona ni namna gani watu wanakula pesa ovyo ovyo.

  • @shephatiapima2550
    @shephatiapima2550 3 місяці тому +3

    Mwamba alipiga sana alipokuwa waziri. Mwanasiasa ni mwanasiasa tu, especially wa nchi hizi zinazoendelea. Muamini MUNGU, wanadamu waelewe tu.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 3 місяці тому +1

    Wapigaji ni wengi nchi ipo ovyoo ovyoo Tu hao wawekezaji kwao wamenyooka kwetu wanakuwa wapigaji rishwa sababu ni viongozi.

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 3 місяці тому +4

    Hii nchi bhana...

  • @azizihfarijala5307
    @azizihfarijala5307 3 місяці тому

    wewe mpina rudi nyuma magufuri alipoingia madarakani hao unaowatetea walimdanganya magufuri kuwa wao wanauwezo wa kununua lakini walishindwa na sukari ilipanda bei kwa ufupiviwanda vyetu havina ubavu wa kuhifadhi sukari kwa ajili ya walaji kila inapofika mwezi november viwanda vyetu havizalishi kutokana na masika tangu awamu ya kwanza ndiyo walianzisha sudeco ili kupunguza adha hiyo

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 3 місяці тому

    Mh. na wewe si ulikua Waziri? Sasa unasema hiyo kampuni haina uwezo wa kuleta sukari na wakati huohuo unasema sukari tani 220 kati ya 410 zimeshaingia. Sasa vipi sukari hiyo imefika Kama kampuni haina uwezo? Ninamashaka na uadilifu na nia yako dhidi ya mh. Bashe.

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 3 місяці тому +1

    Heeeeeeee Mpina sema usiogope

  • @safielkabonda295
    @safielkabonda295 3 місяці тому

    Mh. Mpina ukimalizana na Mh. Bashe njoo kwa Mh. Nape kuhusu ile compuni ya internet aliyoizuia kuleta huduma TZ. Tulipo fikia saivi internet sio for leisure tena bali ni basic need na hawa mitandao ya simu naona lao moja kutukandamiza wananchi

  • @melkiorykweka438
    @melkiorykweka438 3 місяці тому +1

    Hawa wakamatwe tupewe wananchi tuwaadhibu

  • @yohanaezekiel5422
    @yohanaezekiel5422 3 місяці тому +1

    Mmmmmmmh! Huyu MPINA NI MBUNGE WA CHADEMA AU CCM? TUHUMA NZITO SANA, KAMA NU KWELI, WAZIRI ( BASHE) AJIUZULU HARRAKA IWEZEKABAVYO

    • @kisinza6077
      @kisinza6077 3 місяці тому

      Nilishawaambia Bashe ni fisadi anayewazodi eleimu watu, anajua kujitetea na kujijengea Kuta za maficho.

    • @ntegrity277
      @ntegrity277 3 місяці тому +1

      Bashe ni kapigaji tu kanaongea English kudanganya wabunge waliowengi wa darasa la sana😂😂😂

    • @infodigtechforcommunityemp4103
      @infodigtechforcommunityemp4103 3 місяці тому

      MPINA YUKO SAWA

  • @joctanmtambi895
    @joctanmtambi895 3 місяці тому

    Bashe ashaingia kwenye mfumo wa majizi Ila tusishangae hata shetani alikuwa malaika

  • @JumaMbaga-sd5yi
    @JumaMbaga-sd5yi 3 місяці тому

    Aanzishe chama Cha nini wewe unapewa nondo za uhakika unaseme mtu akaanzishe chama,hiyo ndio kazi yake pale bungeni

  • @johnsonsabanya5860
    @johnsonsabanya5860 3 місяці тому

    Kanda ya ziwa ndo kuna viongozi wanaojali watanzania Njoo mwl nyerere, magufuli, Mpina na Makonda uyu Jerry slaa sijui wa wapi Ila yupo vzuri.

    • @imaniyohana
      @imaniyohana 3 місяці тому

      Ww una akili Kali sana

  • @nestor384
    @nestor384 3 місяці тому

    Mpaka sasa waziri alipaswa mpaka sasa awe ashavuliwa uwaziri na kukamatwa na Mamlaka ya uchunguzi

  • @geraldgedi4657
    @geraldgedi4657 3 місяці тому

    Watakuelewa ngosha walifikiri wewe ulisoma chini ya mti wa mnyaa eti?

  • @shedytimotheo
    @shedytimotheo 3 місяці тому

    Mpina nakuunga mkono wewe Ni mofayabungeni

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 3 місяці тому

    Yani dunia sasa inatengeneza mpaka sukari ya katani na mukonge

  • @JohnMpiluka-vi5ch
    @JohnMpiluka-vi5ch 3 місяці тому +2

    Watu hawa Dunian wachache sana
    Watanzania tujidai kua viongozi kama mpina

  • @saidimaloya4549
    @saidimaloya4549 3 місяці тому

    Huyu jamaa alikuwa anapenda chai anywe pekeake?

  • @PaulCharles-lo2pj
    @PaulCharles-lo2pj 3 місяці тому

    Wambie ukweki wamezid kutumia vivuli

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 3 місяці тому

    Kwa upelelezi huu Mpina ni zaidi ya FBI na CIA!

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 3 місяці тому

    Furaha yetu ni sukari tunayo kwa bei nafuu

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 3 місяці тому

    Viongozi niwakutupwa shimoni

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 3 місяці тому

    Hawa watu hawana huruma na Watanzania. Raia.

  • @jawahiriaelmy
    @jawahiriaelmy 3 місяці тому +1

    Wewe unahangaika anzisha chama

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 3 місяці тому

    Bashe aje akatae hayo! Au akanushe

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 3 місяці тому

    KAMPUNI HIYO NI YA BASHE

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 3 місяці тому

    Yan sjui wanajeshi hawaoni

  • @israelmwakalukwa1026
    @israelmwakalukwa1026 3 місяці тому

    Mheshimiwa Rais anadanganywa sana

  • @RamadhaniSuru
    @RamadhaniSuru 3 місяці тому

    Mpina ulipewa uaziri lakini cjaona kazi yako zaidi ya ukamata wavuvi.bilahuruma

  • @AnnoyedFlowerPot-mr2ps
    @AnnoyedFlowerPot-mr2ps 3 місяці тому

    Umetumwa na wanaoruhujumu ACHA waziri atafute jawabu la unafuu WA bei

    • @philipombwambo1980
      @philipombwambo1980 3 місяці тому

      Huna akili ndg acha kutumia kalio kufikiria

    • @petromgaya1746
      @petromgaya1746 3 місяці тому

      We huna akili kweli kwahy hapo hujaelewa kabisa 🚮

  • @AmosMarwa-b9q
    @AmosMarwa-b9q 3 місяці тому +1

    Noma sana

  • @salumbakari
    @salumbakari 3 місяці тому

    Rbsalum

  • @elianaarsen9942
    @elianaarsen9942 3 місяці тому +1

    Kwani huyu mtu alitaka tuendelee kuteseka kwa ukosefu wa sukari?

  • @tazrywiser5126
    @tazrywiser5126 3 місяці тому

    Kwani huyu mtu anataka kitu gani jamani,?ebu muheshimiwa rais mteue tena apate uwaziri tumechoka na kelele za kuandama watu, anatetea hao watu ambao hapo nyuma tu wamefanya inchi kuhangaika na sukari? Hii nchi mtu anapewa pesa kwa kivuli cha kujifanya anatetea wananchi kwenye hilo wala sijamuelewa hata kidogo

    • @johnmalembo6464
      @johnmalembo6464 3 місяці тому +1

      Nchi inahitaji watu tofauti tofauti na kama Mpina ni muhimu sana

    • @majaliwabwitonde6900
      @majaliwabwitonde6900 3 місяці тому +1

      Nchi hii wajinga mko wengi na mko poa tu hamuoni aibu

    • @tazrywiser5126
      @tazrywiser5126 3 місяці тому

      @@majaliwabwitonde6900 aibu unatakiwa uone wewe ambaye umesema hivyo

    • @tazrywiser5126
      @tazrywiser5126 3 місяці тому

      @@johnmalembo6464 mpina anataka uwaziri hana lolote anatumia njia ile ile ambayo alipita bashe kuwa waziru

    • @nestor384
      @nestor384 3 місяці тому

      Nchi hii ina laana kubwa sana kuwa na watu kama wewe!

  • @harounzuberi8179
    @harounzuberi8179 3 місяці тому

    Uncle alikuamini sana lakini ngwe yake ya pili kakukupa nafasi nadhani alikuona uroho wako wa madaraka😮

    • @nestor384
      @nestor384 3 місяці тому

      Hakuna unachokijua wewe ungenyamaza Mhe Mpina kipindi awamu ya pili ya serikali ya awamu ya tano inaanza Alikuwa matibabuni hivyo isingekuwa vyema kwa Rais kumteua mbunge aliyeko nje ya nchi kwa matibabu..

    • @zegelibilishanga6047
      @zegelibilishanga6047 3 місяці тому

      Mapacha 3 mwigulu,makamba nape kampuni yenu muratumala
      Mama Abudulu hongera

  • @hashmyss-hotmail.com123
    @hashmyss-hotmail.com123 3 місяці тому

    Tanzania Oyeeeee