HUKUMU YA MPINA YAWASILISHWA BUNGENI | TUHUMA ZA KUMDHARAU SPIKA WA BUNGE | KUPINGA MANENO YA BASHE.

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 9

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 5 днів тому +2

    Asante Mungu kwa kwa kunyoosha mkono wako na kumsaidia Bashe.udumu miaka mingi bashe.

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 6 днів тому +1

    Siku tukimuelewa Mh Bashe Mungu atatubariki zaid huyo Bashe ni IQ ya pekee ,,Viva Bashe Viva ,, Maisha marefu kwa Mh Rais Maish marefu kwa inch yangu Tz❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @subo2667
    @subo2667 2 дні тому

    Swala la kampuni ya Itel kuagiza sukari mmelikaushia

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 5 днів тому

    Akili mingi Bashe

  • @salamasefu5494
    @salamasefu5494 5 днів тому

    Ukiwa mkweli hupendwi.bhashe mungu yuko na wewe

  • @bernardndemba2253
    @bernardndemba2253 5 днів тому

    mwenyekiti mwenyewe anababaika .ujinga mtupu

  • @danielnyangasi8808
    @danielnyangasi8808 5 днів тому

    Kamati inajiganyaga kanyanga Mpina umewashindaa ila mbeleko Fc acha ifanye kazi