MPINA AIBUA 'VARANGATI' BUNGENI, AMTAJA WAZIRI MKUU, SPIKA Amtaka Alete USHAHIDI
Вставка
- Опубліковано 2 тра 2023
- MPINA AIBUA 'VARANGATI' BUNGENI, AMTAJA WAZIRI MKUU, SPIKA Amtaka Alete USHAHIDI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Mpina ni mbunge wangu
Wa jimbo la kisesa,
Hongera sana
Saizi ushakuwa jembe
Usiogope tuko nyuma yako❤❤
Yaani speaker Tulia unajua sana na hongera sana upo vizuri sana ,yaani wewe dada upo vizuri sana nakupenda bure ,unajibu hoja vizuri sana
Dr Tulia is one of best speaker in this country big up madam ur right mauwa yako chukua una umakini ulio pitiliza mpina yupo right tulia yupo right ila hao wengine wame rukia gar kwa mbele na kukosa umakini hasa huyu jenista kwanza ana poteza mda😂😂😂😂😂
Hongera Mpina hapa wabunge wengine hata kufuatilia cho chote. Wanataka kuwa wachawa tu kwa kweli hali ya hili bunge lake ni dharau tu wanatutendea maovu mengi.
Spika wetu nakupenda Sana asa unapotoa maelekezo nimempenda upivyomjibu jenista muagama huyu kazi yake ni kuwazuia wabunge kusema!!! Hongera mh spika wetu!!!
Hongera sana dr tulia.
Nafasi alokupa mungu inakustahili kabs, pia mpina mungu akuongezee confidence ulonayo kutetea wananchi
Hongera Mhe Mpina,
Hakika una uwezo mkubwa sana, umewapiga kwa hoja mpaka wametulia!
Na hongera kwa Mhe Spika wa Bunge, unachambua hoja vizuri sana!
Mpina kuna watu pia wanauwawa ngorongoro pia hao uwazungumzie hongera kwa mada yako
Kiukweli huyu spika akigombea urais naenda kupiga kura anatenda sana haki
Hongera mbunge mplna tungewapa watano kama nyingi tuko mbali sana
Hongera sana Mbunge Mpina.Tunahitaji kuwa wakweli na wawazi sio makofi tu.Haileti maana yoyote.Hatutajenga Taifa hili kwa style hiyo
Bunge hili jmn kidg nitukane walah mungu nipe uvumiliv .
Limekuw bunge lakutetea viongoz na cy lakutetea wananchi . Mpina mungu akulinde sana upo sahihi
Professional speaker i love you my dear good day you stand with Tanzanias citizen
Wabunge wanafanya utoto😢😢😢
Jenista soma hata mitandaoni uone uachoeleza na Cha mpina, we unge tulia tyuuu mama angu, na Mungu akupe umri haraka haraka Ili.....
Ndo nimegundua kuwa ili bunge limejaa wa kupiga makofi bila kuelewa Nini kinaongeleka
Hongera sana Mpina lkn Pia Speaker mtu makini sana salute kwako
Mpn Doo mmbunge peke yake
Yaani kama huyu
Anaejiita Jenister ni hovyoo kabisa
Mpina excellent
Hongera Mh.sipika kwa uchambuzi wa kina
Huyo mama jenista kazi yake kubwa ni hii kweli...ameumia sana kuhusu kauli hiyo
Mpina upo vizuri hla nchi yetu hii utakufa mapema ukiwa na msimamo kama huo ndugu yangu ww chakufanya jaribu kula na kipovu kwasababu hao hao wanao piga makofi ndiyo wasaliti .
Haya makofi, yana maana gani?
Mpina ubunge unautendea kazi mungu akubariki ,,,bila kksahau spika wa bungu you are so bright at all
Hapa nimemkubali sana Mh. Spika, kwanza ni msikilizaji mzuri sana, ilibidi nirudi nyuma kusikiliza hoja ya Mh.Mpina vizuri..She is so much brilliant. Yaani hoja ni moja tu kama kama maelekezo yalitolewa na Waziri Mkuu yamefatwa ama laa
Speaker,of course she's bright leader
Wewe Ndumaro siku zote unapenda kuongerea kujipendekeza na wote ni wapiga makofi tu. Sasa hapa kuna bunge au ni vitu vya ajabu sana. Hata sisi wanainchi hatuoni kama tuna wabunge wakiwa hatuna wawakilishi wo wote. Mpina ndiye peke yake anakumbuka wanainchi waliowapeleka bungeni lakini wengine hamna habari na sisi wanainchi
Ni mmoja ya mbuge ambaye wananchi wake wanajivunia kuwa na mbunge imara na mtulivu hongera saana damu ya kisukuma kwa utumishi mzur
Muhagama anapoteza muda wa mh Mpina. Spika umeelewaka vizuri sana.
Mungu aipe Tanzania viongozi wakuwatetea watanzania. Kwa woga tulio nawo viongozi wengi hawafanyi Kazi zawo kwa faida ya watanzania, bali kutetea nafasi zawo na kujishibisha wenyewe. Wabunge walizko bungeni kwa kutetea haki za watanzania kimya. Hawana hata AIBU kupiga męża kumpinga Mpina mutetezi wa watanzania. Hawa jeśli tuwaite vyula viziwi.
Mh. Yuko sahihi ujawahi shindwa mungu akubariki
Mim ninaiman kunawabunge awajielewi na awajui majukum yao
Spika uko vizuri umemjibu vizuri jenesta muhagama. Jenesta muhagama anatetea kiti na si point. Mawaziri wameisha jijengea tabia ya kuteteana bila kujali matakwa ya inchi
spika kwel kaiva kisawa sawa kwakwel nakubali sana
Uko vizuri sana Mhe.spika
Jenista Umepuyanga kipumbavu mno
Waziri wa Mali Asili na Utalii alitakiwa kumpa Mbunge taarifa ya hoja...siyo kazi yake kumtetea Waziri Mkuu...waziri Mkuu analindwa na Kanuni.
Hongera sana Mh.Spika uko vizuri sana.
Asante mh spika apo ni sawa
Sasa kama waziri mkuu anatoa maagizo arafu hayatekerezeki na yeye nimmoja wao Kwenye tatizo ndomana ndomana hayatekelezeki🎉
Mpina ndiye mbunge pekee aliyebaki mwenye ideology ya Magifuli ya kuwatetea wananchi.
Kabisa. Samahani nikisema karibu wabunge wote ni mazuzu. Hawako bungeni kutetea wananchi zaidi ya matumbo yawo
Hongera spika nakufutilia kwa karibu sana hebu wamuache mpinaachngie jamani
Mpina usirudi nyuma, ni wengi mno tunaokuunga mkono
Big up sana kwako spikia kwa ufafanuzi huo nimekuelewa sana
Leo ndio imedhihirisha Wabunge wetu wengi hovyo ila Spika yupo vizuri sana
Asante mh Spika kwa kukitendea haki kiti Ongera
Hongera ndugu mbunge Mpina
Safi sanaaa spikaa
Umeongea vzr.Lazima kuwatetea wabunge wanaotoa hoja nzr zina na hata km zinamgusa kiongozi ndio demokrasia hiyo tuvumilie
🎉yaani spika umepewe maua yako katika hila ,Jenesta Mungu anakuona
Mpina wetu,Hongera sana!!!
Safi sana spika makini .
Kweli kabisa nakuelewa vizuri kwa sababu wabunge wengine wako kama wachawa tu. Kama ninyi mmetuchoka wanainchi ondokeni bungeni tuweke wengine kabisa. Sasa katika hayo tatizo la Mpina amekosea wapi?
Umo ndani kuna wabunge vichaaaa na chawa wa viongozi sasa tunalitumia bunge ujumbe tukutane mtaani 2025 mpina waache wakae wakijua mbabe bado yupo anachoongea mpina yupo sahihiiiiii
Mh. spika Wabunge Waelewe Mpina Anazungumza Ukweli , Chaguzi Zetu Kama Waziri , Anajibizana na Mbunge Hoja Aslimia Kubwa Huku Mitaani kila Mtu Anafanya Kazi.
Jenester hana hoja, maelezo ya spika kuhusu mchango wa Mpina yapo sawa.
Very Sad Kwa Upande Wa Wabunge Busara Nikumuqcha Mbunge Achangie Hoja Yake hata kama haikufurahishi Wewe na Finally Serikali ndo inaambiwa na inatakiwa kujibu Wabunge nao wanamfanyia fujo Mbunge mwenzao, Hongera Mpina Tuko pamoja
Tanzani ya Samia imekuwa mateso kwa watu wa chini. Viongozi wetu ikiwa pamoja na wabunge hawawajali kabisa watu wa chini.
Hongera spika hongera mpina
Ubarikiwe sana spika
Jenista kikwazo sana. Kuna mawaziri shida na mizigo.
Bunge fuata upepo, so sad kwa kweli 😮,hebu tuwe wakweli wananchi waliopo huku field ndo tunajua ukweli wa mambo,hv tuna mawaziri na wabunge wasiyojua kupambanua mambo kwa kiasi hiki!?
Asante sana sipika kuto kuwa na upande
Akina getere awa ni moja ya kazi mbaya iliofanywa na jpm kuleta wabunge ambao wapo tu,wafugaji wa nchi hii wanatumia Sana!!! Mpina yupo sahihi!!!
Hongera kipenz Cha watu
Watu wengine wapo kama watu sijui kwa nini hao watu wapo
Asante mbunge kutusemea wafugaji
Mnalindana kisa vyeo mpeni lukusa mpina mpina hongera mungu akulinde
Huyu mama ni mnafiki sana na habadiliki ninafikiri unafiki huo alizaliwa nao
HONGERA SANA MH.TULIA KWA SASA UNAITENDEA HAKI TAALUMA YAKO HONGERA SANA!!! URAIS WAKO WA DUNIA UNAKUSTAHILI SANA.
Kabisa kaka
Ilindio tatizo lawabinge uchwara yanimbunge mwenzao anachangia vituvinavyo wakwaza wananchi wanampinga kwavituvyaukweli hawandio wabunge tunao wategemeakweli sibola hatatusiwe lawabinge kamahawa
Safi mpina
Kama hayo ni kweli mhe Mpina hakika uko sahihi na Mungu atakulipa.
Mawaziri hawezi kujibu maswali. Wabunge wanapiga makofi kwa kila jambo yaan hawaeleweki lipj wanalipigania lipi wanahitaji. Hatuna bunge. It is just a meeting of a few people making money for nothing . It is shameful.
Spika uko vizuri
Tulia ni kiongozi bora sana
Sana!
Mm nawashangaa wabunge wa Tanzania wanashabikia ujinga
Spika anaakili sana
Dhuluma haijengi haifai kudhulumu muogopeni mungu
Ktk hili nakwenda na Mpina na Spika. Wengine ni uchawa tu unawasumbua.
Spika wa bunge wazaz wako washukuriwe maana ela ya shule waliitoa kwa jasho lao sio za kuchota kama wengneo swaaa
Kabisaaa
Yaan natamani kuwa namtoto wahivi mimi
HakiKa mpina uko vizuli kwelikweli Upo makini na unaonesha ni kiongozi mahili usiye ogopa sula ya Mtu na unajikita Kwenye haki kwelikweli
Mpina Mpina Mpina . Mungu yupo na wewe
Ahsante sana muheshiwa spika
spika anafaa sana
Mnapiga makofi watu wanaumia na mali zao nadhani kuna uwezo wa kiutendaji na uwezo wa kufikiri kwa pamoja tembeleeni maeneo na wananchi husika ndio muongee
Spika tulia maua yako 🎉 unajua mpina si mwamini sana lakini spika umetenda haki safi sana hongera
😂😂😂😂😂 nicheke mie, eti bunge tukufuu!! Wote wezi watupu.
Mpina upo sahihi pamoja namachawa kuwa wemgi
Mpina hoyeee
Sipika unaakili sana nimekukubaki mama
Waheshimiwa Wabunge Wetu , Anachorenga Mbunge , Hoja Ya Mpina Ni Ukweli Watendaji Walioko Huku Wamejikita Kwenye Utaratibu Wao , Hata Aridhi kunavitu Haviko Sawa Mpina Anacholengo Waziri Mkuu Amri Yake Watendeji Wanapuuza , Wanachofanya Wabunge Ni mambo Ya Hovyo Kwa Viongozi Tunaamini Unakinzana Kwa Fujo kumzuia Mtu Kuwakilisha Wanannchi
tuna spika mwenye akili sana
Tunahitaji wabunge wanaotetea kusemea wananchi magumu wanayoyapitia sio wabunge wapiga makofi.
Huyu ndiye Mbunge wa kweli kweli, wengi ni vilaza, Hawajami shida za wananchi kabisa. Mpina watanzania wakenya haki kwa wote wanakupenda. Endelea kutetea Tanzania na watu wake.
Kuna watoto ndani ya ukumbi wa bunge Mazezeta yanafunga meza badala ya kutetea hoja
Kuna wakati ukifanya.maamuzi.kama kiongozi usiangalie kule kuna mtoto wa shangazi ilimradi anasimamia utumbo wa kuangamiza wengi zibua don't accept double standard mtavuna laana badala ya baraka
bunge limejaa wapiga makofii,ni aibu...as if ni kikundi flan cha watu waliojimilikisha nchi
Alicho kifanya mwigwilu 7:38 Mhhh
Kikubwa kinacho takiwa ni utekelezaji wa Maagizo ya viongozi wa juu Maagizo Yana tolewa Mhe waziri wetu Mkuu. Haya tekelezwi.
Mpina yuko sawa kabisa,kilichopo ni Waziri mkuu kufuatilia ni nani asiye tii tamko lake?
Chawaaaaa wengiiii mmmmmmmmnoooooooo
Asante sana Madam Speaker
Yaani Mpina kwa kiwango cha ukomavu na hekima aliyonayo inawezekana hajawahi kupigapiga dawati yeye hutafakari jinsi ya kujenga hoja za haki na kweli na siyokujivika aibu ya kuingia bungeni kupigapiga dawati na kisha kuondoka bila hata kuchangia hoja zilizoshiba.
Spika 🤝🙌🏽
SAFI MPINAAAA
Tuna viongozi mshahara, critical thinking hakuna
Ukweli wabunge hawana heshima kumdhalilisha mubunge anapo toa hotuba spika binafsi naomba ukemee tabia hii
Mpina..unapingania..haki..ya..wanyonge .lakini..wengi..wenu..mnatunyoga..kona..mpina.kila.siku..wafugaji..wataifishwa..mfugo..yao..na..kubaki..masikini.😭😅😭😭🙏
Jenister tupe maelezo kama tulia alivyoeleza napata wasiwasi na kiwango cha elimu yake ninavyoona huyu anapalilia unga wake
Kamati ya ulinzi, napendekeza huyu Mh Mpina apewe ulinzi mkubwa sana, cc wananchi tunamhitaji aweze kufichua uozo ndani ya serikali. Ni kiumbe muhimu sana kwa faida ya nchi hii.Bunge limenoga mfano la wakati ule akina Lissu na timu yake wakiwepo, M'mungu katuletea huyu kiumbe kwa makusudi maalumu. Sijui nimeeleweka?