Mashaallah kachara mungu akuongezee ujuzi na kheri wafunze vijana hao wanaotafuta vyarahisi vijana chapeni kazi mupate riksi zenu musiuwe wezenu umuri shukra kachara bin mambo funika lakini usiyafunike yafunue tuyaone kama hayo big job
The best performance and imagination on the film production for the need of the audience. Big up brother. I am Handhal watching your channel from Konde.
😀😀 script nzuri sana na imepigwa katika ubora mkubwa mim nimeona kosa moja tu pale shambani mda wa kuweka dawa haikua na haja ya kuonesha dawa zote 4 ili kufupisha urefu wa video usio wa lazima .ila hii stori nimecheka kweli
hapa baada ya kukabidhiwa mwizi kwanza kachara angekwenda zake ndani akakaa mpaka wakaja watu wakamuombe radhi kwake baada ya kuteseka.lkn hapa mmebugi kidogo
Kongole kwa Introsoft media kwa hii kazi iliyokamilika kiufundi, nilikua naangaza nani katengeneza hii filamu nimeoana mwisho jina. Kazi kwenu wizara ya habari, sanaa utamaduni na michezo kama mtakallia mikono ama kupongeza kazi kama hizi za kuelimisha jamii, inavyotakiwa kwa mwaka kufanyika event ya wasanii wa fialmu katika kumbi apatikane mwigizaji bora, script bora nk na vijizawadi alau wahisi basi thamani yao katika jamii. Wafanyabishara hizi ni fursa pia ku dhamini kazi kama hizi, ni faida katika kuitangaza biashara yako. Hii filamu kuanzia script, location, background soundtrack, video quality sijaona kosa, ila huyu mwizi ilikua gunia la mahindi limgande mgongoni hadi kwa Kachara😊 Hongereni sana na tusapoti hizi kazi basi alau kwa ku share, like na subscribe tuone views hapo zikiwa ni nyingi mno.
Kwanza tukusalimu mzee wetu Kachara, ni fahari kubwa kuulizwa nawe, salaamalaykum. Lengo letu sisi ni kuona vipaji tulivyonavyo vinathaminiwa na tunajua iwapo vipaji tulivyonavyo vitathamiminiwa na kuwa promoted basi faida itapatikana kwa wasanii na nchi kwa ujumla. Kazi imefanyika kwa ubunifu na ufundi mkubwa, kwa wenzetu hizi ni kazi za thamani na wafanyabiashara huwa ni fursa pia kwao kujitangaza kupitia sanaa hizi za maigizo. Events za kila mwaka kutambua mchango wao hufanyika, na katika award events hizo pia huwa ni nafasi ya ku network , ama kupata mahusiano zaidi na mashirika, wafanya biashara na wadau waliomo katika sanaa. Tunaomba dua kazi zenu zithaminiwe nasi upande wetu tutajitajidi pale tutapoweza kuzitangaza na kusapoti kwa njia moja ama nyengine, hata kwa mawazo.
Vzr sana nilikuwa nimekumbuka sana lugha tamu kiswahili mozambique hapa
Pemba iko juu kw vipaji kachara lete mafunz kw ajili ya allah
Hongera sana kaka Salim Abdalla kutoka Tanga tunasema Kachara haibiwi.
Mashaallah kachara mungu akuongezee ujuzi na kheri wafunze vijana hao wanaotafuta vyarahisi vijana chapeni kazi mupate riksi zenu musiuwe wezenu umuri shukra kachara bin mambo funika lakini usiyafunike yafunue tuyaone kama hayo big job
Mzr sana na inamafunzo sana mungu akubariki sana mzee kachara😁😁😁😁😁😘
Nakukubali Amii endeleza vipaji👍👍👍👍
Napenda Sana Kazi za Hawa watu
😃😃Kachara sio kwa masizi hayo na vifuu hivyooo 😃😃😃😃
Haibipo tena kwa kilichonkuta.
Hhhhhha big up ila iwe ni funzo kwa kufuat mazuri tuu na mabaya kuyaacha
kAchara nakukubali mie yuleee DR mabio,kutok mexico apa sasa
Asante mbona kimya
@@kacharabinmambofunika5956 masomoni
Hahahahaha iyo ndokiboko ya washenz nimeipenda sana
Ukiona kambeba polo 😂😂😂
Asante kachara kazi nzuri
Asanten vyote nimeipenda filam
Hiyo ya kupigiwa vifuu nnaipenda kake.
Yaakhee kacharaa hana elfu hamsini asingeiba mahindi machangaa mhaamehee 😄😄😄😄😄
Mwizi avuna km shamba lake😁😁
O
Nguvungwa . duh kachara na kiswahili cha zamani
The best performance and imagination on the film production for the need of the audience. Big up brother. I am Handhal watching your channel from Konde.
ua-cam.com/video/EprbhEGwTPE/v-deo.html
Nataka unizike leo kesho nikija nikifa uje uondee uvundo
Sema
#najivunia kuwa mzanzibar weweeeeee
Daah wizi mbaya aibu 😂👍
'M PROUD FOR MY PEMBANIAN
Good job Salim abdallah seif
Usaniii kazi jamani sio mchezo
Kachara bora mwizi wenge mgandisha polo la kichwa
Methali amazing
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Masheli mazuri 😀
😂😂😂 hunaushahidi
Best ever my brother. Hongera sana.
Kureshi
Bismillahi mashaallah, good job
👍safi
Ukiona kambeba polo nyimbo mzur san
❤❤❤
Beauty of swahili so sweet
Heee huyu si mwizi ni hasidi anavuna kama shamba lake
mwinzi kumbe hajaiba kwa fujoo ananjaaa tuu😏
Wabongo hawajui kuigiza kma hivi I love you Pemba
Nice location
Ukiona kanbeba polooo9
unaweza kacha
Kazi mzuri sana Masha Allah tena ni yenyekufundisha na kuelimisha vilivyo .
Kake wayaweza mwizi saizi yako huyo.
🤦♀️🤣🤣🤣😂😂😳😳😳🙆♀️
Hahahaha hahahaha mmenichekesha nyinyi
😀😀 script nzuri sana na imepigwa katika ubora mkubwa mim nimeona kosa moja tu pale shambani mda wa kuweka dawa haikua na haja ya kuonesha dawa zote 4 ili kufupisha urefu wa video usio wa lazima .ila hii stori nimecheka kweli
Kibogaaaa
Seif usemayo ni kweli..angeonyesha vijiti vinne, akazika kimoja na cha mwisho. Shots zake nzuri , bridges nzuri transition na continuity njema.
Kachara huyu mzee anaweza kwasababu kwanza hatetemeki lapili haangaliyi kamera
kyefulee wee
Teyari tena ushanichomokea pale pale😂😂😂
😂😂😂😂😂mwizi kapatikana
Hahaaa nom sna
Mwana kuli find mwana kuli get
Huku sikuiba avuna huyu km yake
Huyu aliyeiba mahindi alikukataza wewe kuiba futari..Leo kaja kuiba yeye😂
Mm nataka hayo masheli nichemshe
Njoo nyumbani yapo
kaka kachara mashallaha
Kachara waroqa shamba
Wataka nitia hasara
Kacahara
😂😂😂😂😂😂😂🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
😂😂😂😂kachara wewe unaniuwa mbavu mie siku za kuishi nyingi ukweli kachara wewe kiboko
Pole
Cheka unenepe uongeze umuri
Noma sana
Ataka nitia ufu kara hahaha
Kachara kwa masinzi tena😂😂😂😂
vp kuhsu ally mchnja
hna mbya
Jaman huyu kaonesha 3 au 4, maana huenda mm nnamatatixo ya uwono kwa mm nimeona 4lkn wao wanasema 3
Wizkid
Mackini weee
Haaaaa haaa aa ! Eti tia mkono hapo .
Kunakuwa khali kama vifungo vya seruni . Aaaaah kongole wazee .
Hhhhaaaa seruni ina masinzi
Daaah mwizi mnyooonge dh
Ucje ukawa tumbili ukatiwa kamba ya nyonga badala ya kwenda mbele warudishwa nyuma.
Kake ama kweli huibiwi!
hapa baada ya kukabidhiwa mwizi kwanza kachara angekwenda zake ndani akakaa mpaka wakaja watu wakamuombe radhi kwake baada ya kuteseka.lkn hapa mmebugi kidogo
Kachara ile filamu bendi moja mbona haina part 2
Mbona mwizi anacheka
Ata wwe ulikuwa mzizi wafutar
Hii part ya mwizi ilikua awe kitatange
😂👍
Genius
Boire
Huyu mwizi katisha .kwa polo?
Kongole kwa Introsoft media kwa hii kazi iliyokamilika kiufundi, nilikua naangaza nani katengeneza hii filamu nimeoana mwisho jina.
Kazi kwenu wizara ya habari, sanaa utamaduni na michezo kama mtakallia mikono ama kupongeza kazi kama hizi za kuelimisha jamii, inavyotakiwa kwa mwaka kufanyika event ya wasanii wa fialmu katika kumbi apatikane mwigizaji bora, script bora nk na vijizawadi alau wahisi basi thamani yao katika jamii.
Wafanyabishara hizi ni fursa pia ku dhamini kazi kama hizi, ni faida katika kuitangaza biashara yako.
Hii filamu kuanzia script, location, background soundtrack, video quality sijaona kosa, ila huyu mwizi ilikua gunia la mahindi limgande mgongoni hadi kwa Kachara😊
Hongereni sana na tusapoti hizi kazi basi alau kwa ku share, like na subscribe tuone views hapo zikiwa ni nyingi mno.
Inamaanisha nn hapo
Oh sasa nimefaham nashkuru Sana kwa muongozo
Shukran sana yakheee.. Tusaidieni kusambaza kazi zetu ili zifike kwa wahusika.
Kwanza tukusalimu mzee wetu Kachara, ni fahari kubwa kuulizwa nawe, salaamalaykum.
Lengo letu sisi ni kuona vipaji tulivyonavyo vinathaminiwa na tunajua iwapo vipaji tulivyonavyo vitathamiminiwa na kuwa promoted basi faida itapatikana kwa wasanii na nchi kwa ujumla.
Kazi imefanyika kwa ubunifu na ufundi mkubwa, kwa wenzetu hizi ni kazi za thamani na wafanyabiashara huwa ni fursa pia kwao kujitangaza kupitia sanaa hizi za maigizo.
Events za kila mwaka kutambua mchango wao hufanyika, na katika award events hizo pia huwa ni nafasi ya ku network , ama kupata mahusiano zaidi na mashirika, wafanya biashara na wadau waliomo katika sanaa.
Tunaomba dua kazi zenu zithaminiwe nasi upande wetu tutajitajidi pale tutapoweza kuzitangaza na kusapoti kwa njia moja ama nyengine, hata kwa mawazo.
Kwer
Welewe baaa huyo
tuleteeni muendelezo
Ucjali upo muendelezo na mtafurahi zaidi huko mbele
Kaa mkao wa kula
Misemo atarii
Kama lke shamba
Chezea watu wee
🤣👍🏻
Kamani tupeni mwendelezo wake
Ppp👍
Hongera kachara
🤣🤣🤣
Daah wizi mbaya aibu 😂👍