Haaaaaaaaaaa dongo umeniokote ulipo sema umepikiwa vitobwesha vilivyo changanywa na chiki chi na miye nilipika hivo vitobwesha ukila kimoja hurudiyii mara mbili mungu awabariki nyote muzidi kufika mbali
Baada ya mwezi mmoja Naomba keshaolewa...Kwa iyo hajalea eddah😂😂😂 mau hapa umetupiga za uso....eddah ya kuachika ni thalaathat quruui.( Mizunguko mi3 ya period)
Huyu dada nampenda sana anaigiza vizuri sana❤❤
hata mimi nampenda yuko makini sana na kila mahali ukimueka yuko sawa
Watu zangu mnatuelimisha sana kila hatua dua 🙏🙏
Kazi iendelee tu guys endeleeni kutuwakilisha vyema
Wa kwannza naomba like
Namuona hasanat wa uungwana kapendeza sana mashallah
Dongo umenifanya nicheke kwa sauti mbele ya mabosi wangu. 😂😂😂😂😂😂😂😂. Kushamuacha Naomba lkn bado akuita mume wangu 😂😂😂😂😂. Hatari kweli
Nawapenda sana mungu awabariki muweze kufika mbali ameen❤❤
The first one nipeni like zangu❤
Haaaaaaaaaaa dongo umeniokote ulipo sema umepikiwa vitobwesha vilivyo changanywa na chiki chi na miye nilipika hivo vitobwesha ukila kimoja hurudiyii mara mbili mungu awabariki nyote muzidi kufika mbali
Duh sabiha umenicheka 😅😅😅😅 uliposema ulipika vitobwesha ukila kimoja hurudiii na sukar yote inayowekwa mule hurudii😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂
Hee funzwa ni wavelewe na jamuweza miyeee.hahahaa
Kazi kali sana team mau hakika ipo siku nasisi titafika mbali sana inshalla
Kamanda dogo ww noma una maneno kama kasuku hushindwi
Naomba chozi lako halikawii kutoka wewe acter mzuri sana congratulation
Asante nashkur
@@NAOMBAOGhujambo naomba namba Yako habibty
@@NAOMBAOGwajua naomba mpaka unaboa😂😂
Heeee dongo weeee.unamsimanga mkeo?😂hahahaa dongo nakupenda kwa ajili ya Allah
Naomba anajua bana , hapa ame act mpole kule ame act mbea part zote ame cheza vzr
Kweli mkataa pema pabaya panamgoja dongo umekwiva leo😂😂😂😂
Nmewah leo 😄😄
Napenda ziwe na dk nyingi km ivi
Wapemba hatuna mbambambaa
Kabisa yaan
Daaah inasikitisha sanaaaa ni nzuur sanaaa
may ALLAH grant you a good way to reach your goals INSHAALLAH kaz nzur
naomba mola akuzdshie unajua kuigiza nakupa hongera sana
Mnatisha sana dongo ❤❤❤
Dongo tatizo yule kuku hwentengeza ati.
Semaaa nonana husemi mapochi bwana mna balaaa
Mwanaume akipata mwengne wanyuma Hana lake tena
Mambo mazur maa shaa Allah
Na leo nimewah
Wa kwanza mm leo
Asnten sana hongereni sana ❤👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Hii kazi bila dongo hammna kitu Yani huyu dongo namkubali sana mungu atawajalia mutafika mbali
Kunywa Pepsi baridi nalipia😆. Kazi bila Dongo nisawa na zero.
Huyu Dongo ata ktk uhalisia ana vituko kuliko ktk michezo
atakalia vyo😂😂😂😂😂😂dongo huach
Santhaaaa akupe gass bila ivo usipike utakua mweusi malipo nihapohapo akhera isabu
Dongo mara nyingi hataki kushaurika😅😅
😂😂😂😂dongo leo kaumbuka
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Eti naona yu hapa😂😂😂😂
Mwana wa kharamu eeee😂😂😂😂
Mwanamme akipata mwanamke mwengine ajion kamili ardhi hahahaha uwii
Nawapenda kwa vtuko vyenu😂😂😂❤
Muongozaji wa mchezo kipande hichi kiangalie vizur Edda ya mwezi mmoja kivipi
Dongo ww ni kile brahd muuwajii kabisaaa unajuwa mpk una booowaaa nakupa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 yako
Dongo nisha rowa namung’unyuka hahahahaha
Dongo utajuwa hujui kusharoa
Endleeni munaelimisha jamii vzr san
Kumbe dongo unamdharau mkeo una michipukoo?😅
Dada mm nampenda uyu vby san 😂
Vitobwesha Kama njugu mawe zilizochanganyishwa na chikichi 😂😂😂 Dongo hujawahi niangushaaa.......
Na iyo michanga mingi😂😂😂
Hongereni.mnajuwa.kaka zangu
Binafs nimzpend kaz zen especially fundi dongo na mau as well as na hyo mdad naomb duuuuh nishida San anajuwa
Maashallh Maashallh nimeipebdaa❤
Mau nakupenda sana! ❤❤❤
Baada ya mwezi mmoja Naomba keshaolewa...Kwa iyo hajalea eddah😂😂😂 mau hapa umetupiga za uso....eddah ya kuachika ni thalaathat quruui.( Mizunguko mi3 ya period)
Talaka tatu hazina heda muhinu piriod moja tu
@@makameibrahim5086hapana lazima akae quruuu 3
@@issakassimsaid9097 👍
Dongo lisharoa 😂😂😂
Hahahaha may bwana ah una vituko Kweli Kweli eti au hajui pika
😀😀😀😀😀Mwana kulitafuta mwana kulipata sipikii kuni wala mkaa maji yasipite tu 😂😂
😂😂😂😂😂naomba❤❤
Kazi Bomba sana pigeni kazi hakika nasisi ipo siku tutafika mbali sana
Kilio cha wengi ni mda mdogo wa clip ila leo umerefuka kidogo.
Mau anavyotazama ni vichekesho tupu😂😂😂😂😂
Tatizo Naomba Kibendera ulimkera Dongo, mke wa ngomani 😅😅
Lamungunyuka vo dongo😂😂😂😂
Duh so poa, ujumbe mwanana sana. Kweli mkataa pema... papaya panamwita.
Mwana kulitafta mwana kulipata
Nimewahi leo
Naomba Bint kibendera🤗😁
Naam youngjamaica
Ntu kwake achaguliwa langu wakupita?hahahaa dongo unani chekesha sn
Pemba oyeeeeeeeeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Oyee
Mashallah kaz mzur sana big up
Dongo katiwa adabu na jeuri zake
Hatupoi
Mkataaa Pema pabaya humwita
Kitanda utasema pampitwa na tembo
Mmetisha sna
Km nyuba ni ya babayo
Shukran shukran much love 🎉🎉🎉🎉🎉
Hhhh ety dongo much love
Masha Allah kazi nzuri
Safi sna ndugu znguni
hatibu gonja haijui gesi 😅😅
Naomba!!!! Mpeni Maua yake
Asante
🎉🎉🎉
Hongeren❤
Gari ya ngombe ya massoud omar
Mwenye kuli tafuta 😅
Naona vyangu mbwto mbwito tu.hhhhhhhhh
Na mm sijachelewa
Tena ukiniita mume wang
Weee nakuokota hap hapa kijijini😅
Fundi wazidi chafukwa lete vituu(mpaka dongo kanzu lake kalifua leo)
😂😂ndongo love you
Ety dongo love hhhh asante nimependa
Jaman mbona makame hatumuoni
Kapotea kwenye mazingira ya kutetanisha
Saf sana
Mchanguwa nazi upata koroma
Mwaharam hhhhhhh dongo umemungunyuka
❤❤❤
❤❤❤😊😊😊😊😊😊
tunapata mafunzo na furaha pia
Dong kaumbuka
Big up
Munanifurahisha vizuri
Mmeuwa
🙏🙏👏❤❤❤🎉🎉