wasanii wa pemba ambao wapo vizuri sana kidundo ni mmoja kati yao, MR salmin tutafutie dongo na kitatange usiache pia kumtafuta gwiji wa magwiji kiswabi wa swabiina
Kiumbe huyo kiumbe wa kweli. Nimemfahamu Sana kupitia fitina zake za kidudu mtu. Hongera Sana ndug Salimin kwankutuletea watu hawa karibu. Kidundo kaza buti.
wasanii wa pemba ambao wapo vizuri sana kidundo ni mmoja kati yao, MR salmin tutafutie dongo na kitatange usiache pia kumtafuta gwiji wa magwiji kiswabi wa swabiina
Kiumbe huyo kiumbe wa kweli. Nimemfahamu Sana kupitia fitina zake za kidudu mtu.
Hongera Sana ndug Salimin kwankutuletea watu hawa karibu.
Kidundo kaza buti.
Kiukweli minampenda kidundo haa hajaachatuu visavyake alianziya akiwaskuli kidundo nakukubali
Kidundo kazi mzuri nimependa lugha yetu na matamshi yake
Tunakukubali sn kidundo kazi zko mashallah
Tumemfahamu kidundo lakini ile komedi alopakwa masinzi noma baa mpake naeee shukran sana
Namkubali sana Kidundo na kazi zake
Hongera sana
Njee nzige chuuka hahaha nimeipenda
Nakukubali kabisa ndugu yangu.Njiru -ke
Kidundo namkubali kamo wote yuko siriass hasa ktk lughaa
Kidundo namkubali kweliii
Kidundo iyo siku na tarehe na mwaka ilikuwa Jumamosi sio Jumatatu🙏
Mtangazaji tunamtaka na kiswabi umuhoji na yeye
Nice
Leo niwanne comment naomba like zangu
Siovisiwani tu mpaka oman tunakutambua kidundo
Wasanii wa pemba kachara b mambo funika ,kidundo na furahi kwa films zenu
Amahuyu hekosea kachara kwamba kidundo nikukuuu bila kujitambua nimtihan
Asanteni KM
Hii si langoni
Tumeipata ami kachara
Leo niwanne comment naomba like zangu