UCHUMI ULIOTEKWA (DAY ONE) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 35

  • @christinechambuni9060
    @christinechambuni9060 Рік тому

    Nimebarikiwa sana amen and amen kutoka Kenya

  • @MtemiJota-m6r
    @MtemiJota-m6r Рік тому +1

    Asante mtumishi ubarikiwe natamani siku moja namimi uniombee ingawa Niko mbali lakini naamini siku moja na mwomba Mungu anipe kibali na neema ya kupata nafasi na kibali cha kukutana na wewe nakunifungua nimefatilia Sana masomo mengi nikaona kunashida kwenye maisha yangu

  • @FurahaMbughi-su3hb
    @FurahaMbughi-su3hb Рік тому

    Amina Amina amina ninafunguka kwa masomo haya

  • @LudovikLudovika
    @LudovikLudovika 11 місяців тому

    Naona kufunguliwa kwangu leo kwa Jina la Yesu

  • @elibarickjulius4954
    @elibarickjulius4954 Рік тому +5

    Mtumishi Sunbella Kyando tunakuomba uje KASULU KIGOMA kuhudumu pia, Mwaka huu huu.😢

  • @NeemaMgaya-ez9un
    @NeemaMgaya-ez9un Рік тому

    Amina mtumish

  • @LudovikLudovika
    @LudovikLudovika 11 місяців тому

    Bwana Yesu Asfiwe,Mtumishi me nafanya biashara ilaniwakupoteza2,lakini kuna siku nilikuwa nimelala usiku wa manane ghafla nikasikia sauti inanambia inuka maana Roho Mtk,kakupaka Mafuta nilipo shtuka nijikuta nafanya Ishsra za kujupaka mafuta,sikuelewa maanayake Mtumishi

  • @paulinemuthoki7851
    @paulinemuthoki7851 Рік тому +1

    Tunaitaji reality uku Nairobi Kenya,,,,mchungaji

  • @magrethmvwango2682
    @magrethmvwango2682 Рік тому +1

    Baba nifunguliwe Leo Kwa jina la yesu mapepo Majini hayana mamlaka kwenye maisha yangu Ameni 🙏 🙏🙏🙏

  • @LudovikLudovika
    @LudovikLudovika 11 місяців тому

    Ameen

  • @narggdhdv765
    @narggdhdv765 Рік тому

    Asa bwaa yesu nimeuona mkono wako ukinifungua.niko saudia rabia namuona mungu akitenda.mbariliwe sana kwa huduma yenu

  • @joycesanga6951
    @joycesanga6951 Рік тому +1

    Amen

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 Рік тому +1

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @musesjohn
    @musesjohn Рік тому

    Mungu akuzidishe mtumish kalama utukufu kwa utukufu

  • @mamasmartcollection7063
    @mamasmartcollection7063 Рік тому

    Hakika umenigusa yaani ni mimi kabisaaa, Mungu akubariki sana mtumishi

  • @gabriellafaith6128
    @gabriellafaith6128 Рік тому

    Amina Baba 🙏 Ubarikiwe kwa somo nzuri

  • @atuganilembonge
    @atuganilembonge Рік тому

    Barikiwa sana mtumishi

  • @neemamarko176
    @neemamarko176 Рік тому +1

    Barikiwa my Pastor 🙏

  • @neemakyando9591
    @neemakyando9591 Рік тому

    Ubarikiwe baba

  • @CorneliusKipyego-x6o
    @CorneliusKipyego-x6o Рік тому

    Mahubili yako huniguza sana natamani niaje huko one-day

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es Рік тому

    Amen.

  • @EliyaJoseph-hp2ne
    @EliyaJoseph-hp2ne Рік тому

    Uje na huku mtumishi mkoa wa mara hasa eneo la bunda naomba ROHO MTAKATIFU aseme na wewe kwa habari ya huku mkoa wa mara

  • @isharakapapi
    @isharakapapi Рік тому

    Amen🙌

  • @patricklaiton8939
    @patricklaiton8939 Рік тому

    barikiwa

  • @gladyssembojas5308
    @gladyssembojas5308 Рік тому

    Naomba namba ya simu ya mtumishi

  • @ruthouma9449
    @ruthouma9449 Рік тому +4

    Natamani nije station yako ya TV hapa kenya mafunzo yako yanafungua sana

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    HALLELUJAH

  • @neemamatiko3745
    @neemamatiko3745 Рік тому +1

    Uko mwanza mtumishi nipe apoint ment nije from kahama

  • @kuziririzaisabatosiitegeko7088

    Kwa nini Mungu aliruhusu hawo wafalme wasiyokuwa ktk mpango wake wanawekwa kuwa wafalme?

  • @reachglobal9939
    @reachglobal9939 Рік тому

    Tafuteni kwanza ufalme wa MUNGU hayo mengine mtapewa Kwa ziada

  • @reachglobal9939
    @reachglobal9939 Рік тому

    Kama mtu kaompokea YESU kajazwa ROHOMTAKATIFU alafu hajafunguliwa basi hapo Kuna tatizo

  • @vicentkilonzo924
    @vicentkilonzo924 Рік тому

    Amen

  • @dingimtoto352
    @dingimtoto352 Рік тому +1

    Amen👏