NAFASI YA VAZI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our UA-cam: www.youtube.co....
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz
and Subscribe Pastor Sunbella Kyando UA-cam
/ @pastorsunbellakyando
Pastor...
Nakuelewa sana.
Kazi yako ni njema sana.
Mungu akubariki Sana nafunguliwa Sana natamani siku nikanyage hapo naamini nitakua huru zaidi Mungu akuinue
Asante sana nime barikiwa na somo hili,ubarikiwe sana
I connect my life with this prayer in Jesus name. Kila vazi lililokinyume na Mapenzi ya Mungu nayavua kwa nguvu ya Roho mtakatifu
Asante Mtumishi leo nimeelewa baba na mama yangu walinikataza sana kuvaliana nguo. Asante Mungu Baba kwa neema hii ya kujifunza. Mbarikiwe watu wa Mungu Baba aliye hai.
Ameen, Baba wakiroho mungu azidi kukubariki na Familia yako.Asante kwa chakula Cha kiroho 🙏🏿🙏🏿
Mateso ya familia on Sunday.
Miguu iliyohamishwa, Dodoma.
Nafasi ya vazi....
Following all of them, from Kenya.
This is great revelation, especially this series of nafasi ya vazi.
Nangoja sana maombi ya kumalizia hii series ya vazi.
Amina saa mtumishi
Watumishi wa Mungu waliosalia na wewe Mch Ni miongoni mwao, tunashukuru Mungu kwa neema hii kubwa. Mungu akulinde na kukutumia daima .
Amen
Kwetu kenya..
Mafazi ya madeni imefunuliwa kwangu leo..asanti mtumishi wa baba wa mbinguni kwa mafunzo ya ufunuo..
Hallelujah.
Hallelujah.
Hallelujah..
Damu ya jesu imenifungua leo.
AMEN
Asantee mtumishi mm ndiomana rohoo yang inakataa mambo yakuazima mtu nguo bora nimpe moja kwa moja
Nabarikiwa na MAFUNDISHO makubwa ya Ufunuo wa Roho mtakatifu
Yesu naomba kibari kama cha Ester kupitia ibada hii kazi yako inside bure juu yangu.naomba unibariki
Nashukuru kwa mafunuo haya Ila mtumishi samaahani saaana huyu unaye mpatia kwendesha maombi rugha anayo isema na haliyo ao viwango vyoko haifai samani aache hivyo aombeshe tu aachane na rugha zake
Amen mtumishi barikiwa sana
Mungu akubariki kwa ujumbe mzuri mtumishi wa Bwana
Amen amen amen Mtumishi Sunbella na watenda kazi wote Mungu azidi kuwabariki
Baba ubarikiwe .naomba uniombee mm huwa naumwa kila mwezi nakunywa dawa..ikitoka malaria,,inakuja typhoid,, Mara UTI,,baba haipoi kabisaaa Ni kuumwa tuu baba niombeee ... Nmechoka kunywa dawa...
following from nairobi
Nimekuelewa saaanaa👏👏🙏
Amen Amen
Amen Asante Sana Bishop Sanbella 🙏🙏 barikiwa Sana Bishop
Ahsante kwa somo nzr pastor
Asante baba nashukuru umenisaidia sana MUNGU akubariki niyatendea kazi
Deus te abençoe pastor, gostou muito das suas pregações, Nipo Mozambique.
We love you pastor
Amen Pastor be blessed masomo yako yanabariki sn.
Amen asante kwa ufunuo huu mtumishi wa Mungu nimefahamu sasa
Amen 🙏
Hatari hii mazabau ni Moto
Nabarikiwa sana na mafundisho Mungu anayokufunulia
Eee mungu naomba unisaidie
Amen baba! Mungu akubariki sana.
Amen baba mungu akubariki
Natamani Serikali ingeusikia ujimbe huu.
Mungu niepushe na vazi la Haram ya mauti naomba baba niwe huru kanisa Damu ya Yesu Kristo kanitakase
nakufatilia sna kutuka American 🇺🇸 natamani kwawiki 4 niyakute hayo mafuvu ahija malizika
Watu huwa wanachukulia poa hivi vitu,lkn ndo hali halisi!
Hakika nimebarikiwa
Amen pastor !! Naomba kujua ARUSHA sehem gani huwa unafanyia ibada?
Powerful word 🙏🙏
zyele Timoth polela
Ahsante mtumishi, Ila nipo simiyu, nahitaji msaada wa kuongea na wewe
Tunaomba mafundisho ya Tuesday Arusha pls 😭
Ibada ya Arusha yenye somo MIGUU ILIYOHAMISHWA linapatikana kupitia ukurasa wa UA-cam wa Pastor Sunbella Kyando wenye jina PASTOR SUNBELLA KYANDO
Ogopa sana kupewa zawadi mtu aliye uchi ukapokea ni hatari sana
AMEN amen amen
Amen 🙏
Amen
Amen