Mch Moses Magembe - KUTOKUIPENDA DUNIA NA KUJITENGA NAYO | IBADA YA JUMAPILI JIONI
Вставка
- Опубліковано 24 лют 2024
- Ibada ya Jumapili jioni katika kanisa la Gospel Campaign Centre TAG Majumbasita - Ilala Dar es salaam, chini Mch Moses Magembe.
SOMO: KUTOKUIPENDA DUNIA NA KUJITENGA NAYO
Andiko: 1 WARAKA WA YOHANA 2:15-18
Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE
Tarehe: 25.02.2024
Yaani Tanzania ingekuwa Na Wachungaji Kumi tu kama wewe kabisa lingepona Mungu akubariki babu
FunnyDarypink umeongea ukweli kabisa. Yaani huyu Mchungaji wangu jamani nampenda sana mana yeye bado anaibiri Mungu wa kweli
Mungu azidi kukubariki na kukutiya nguvu Baba maana sisi tuliyo inje ya inchi tunakufuata Sana na kubarikiwa Sana maana upo na tusaidiya sana
Baba yani unafunua kweli najua wewe si wa Dini bali wa Yesu.
Mafundisho muhimu sana katika nyakati tulizonazo, Mungu azidi kukutumia na kukutia nguvu mchungaji. Tunabarikiwa sana sana
Baba tunataman kukualika uje utufundishe habar za uamsho lakin tunashindwa tunakupataje Ukwel wewe ni mchungaj uliyetumwa na Mungu
MUNGU akutunze sana baba yangu na barikiwa sana na wewe
Mungu mwenye ngufu akubariki na akuongeze myaka yakuishi ili usaidia watuwamungu
Amina saana MUNGU apewe sifa kwa ku kutumia baba 👌
Mutumishi nakufatilia nikiwa Kenya Yesu akulinde na akutunze kwa kazi unayo fanya.
ubarikiwe Baba ninapenda sana mahubiri yako
Hallelujah ....for the glory of God
Mungu akupe maisha marefu baba NAKUPENDA
Injili ya Yesu hii.
Baba analiandaa kanisa litakalo nyakuliwa. Thank you Lord for giving us this servant in this confusing season.
Baba Mch Magembe wewe nikipawa cha kanisa la Mungu lote na si TAG Pekee nakupenda Mzee napeta fact unazo zifunua.
Ameeen
Bwana Yesu akutie nguvu Daima na akubariki sana wewee na uzao wako umalize mwendo salama
Nakupenda sana Mch Moses Magembe kwa Mafundisho ya Injili ya Marekebisho
Amina
Ubarikiwe sana mchungaji ujumbe umefika
Bwana Yesu asifiwe baba. Mungu akubarik kwa kufundisha ukweli,,,,.
❤❤❤❤ Aminaaaa
Mungu wambinguni akubariki baba mchungaji Niko Congo RDC
Amen Baba. tunashukuru kwa somo hili. Kristo asifiwe.
Mungu akubariki baba mchungaji Niko Congo RDC
Amina baba yangu, Mungu wetu akulinde sanaaaaa
Naomba kukuona
AMINA,AMINA MILELE AMINA
Amen baba barikiwa sana
Mungu akutunze Baba
Amen
Ooo Mungu na akubariki sana ujumbe mzuri
Ninakupenda kwamsimamo wako wa imani na mafundisho yako harisi
Injili ya kweli.
MIMI, NAKUOMBA, UNIOMBEE ROBO YA IMANNI YAKO WALAU. AMEN.
Amina
Aminaa
Ameen baba
Baba wa mbinguni akutunze Dunia isikie injili hii siku zaleo
MUNGU azidi kukutunza baba tuko vijana tunajifunza saanaaa na kufurahia uwepo wako
❤
Wahubiri wengine wwnangoja nini wasihubiri injili ya kweli sema watumishi wengi hawajui nini maana ya injili
Mzee umebaki pekeyako unayehubili kweli,
Naomba namba ya mchungaji aliye nayo
Baba hayo mambo unayo yafunua sio ya kila mutu bali ni yawale walio wa Yesu sababu ni mambo mazito.
Ameren
Amen
MUNGU azidi kukutunza baba tuko vijana tunajifunza saanaaa na kufurahia uwepo wako