UCHUMI ULIOTEKWA (DAY TWO) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- KANISA LA REALITY OF CHRIST MINISTRY (ROC) LIPO SINZA MORI DAR ES SALAAM LINAONGOZWA NA WATUMISHI WA MUNGU PASTOR SUNBELLA KYANDO
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our UA-cam: www.youtube.co....
#sunbellakyando #pastorsunbellakyando #pastorjohnsembatwa #realityofchrist
Amina baba ,nakuelewa Sana,IPO siku nitafika kanisani kwako,kila nikisikia Neno kupitia kinywa chako , maarifa yanaongezeka ,Mungu akupe maisha marefu
Hili somo linazidi kuniponya kila nikilisikiliza , siku moja jumapili nilitumia muda wangu kumfundisha mume wangu na alinielewa vizuri sana
Amen amen Bwana mbariki mtumishi wako zidi kumpea mafunuo ya Siri ya neno lako eeeh BWANA YESU,,Ahsante kwa UFUNUO huu eeeeh YESU
Amen Amen Asante kwajili ya ujumbe huu.Natamaninigekuwa karibu.naminiwekewe mkono.lakn Roho mtakatifu aniguse nilipo
Nmekufuatilia tangu cku ya Kwanza hakika nimefunguliwa...
Njoo na huku kwetu mara mtumishi naomba ROHO MTAKATIFU aseme na wewe mtumishi wake juu ya huku mkoa wa mara uje pastor njoo njoo njoo mtumishi
Amen mtumishi wa mungu...
Nabarikiwa sana🙏
Amina
Amen man of God
😊
Nabarikiwa sanab