Ngoma iko sawa sana tunda naamini unarudisha kheshima yako ya kimziki maana ulikaa kimy kidg ila kaka ngoma iko fantastic so much really aminia kaka hufelingi kaka
Ñakukubali Sana Tunda man uwaga ukosei mzee baba toka kitambo Sana yani, ila unaniboaga kutuponda sisi utopolo aya bwana😂😂😂, ila ñakukubali Sana toka chiz benzi neyra mpaka kwa spack kwenda mpaka kwa Asina ucku silali bila kukuona, Allah akujalie ktk kz zako inashallah
Wimbo ndo huu unamamneno mengi ya kusikilizikika TRUE LOVE HALAAAAAAAAA🔥🔥🔥🔥🔥🔥 sio wimbo unamameno mawili tuu yanarudiwarudiwa tuu ule wimbo wa kikongo kama umeusikia
Mwanangu you have a beautiful voice aki nyimbo yako namind sana I love it I found it on TikTok so I had to find the artist and namshukuru mungu nimepata UA-cam yako
Wow....wapi likes za tunda man from kenya nikiwa nai
ua-cam.com/video/LG9vqgPZN40/v-deo.htmlsi=9idda5ffUrxR-Szo
Vipenzi vyangu kama Kuna mtu kaja kuangalia hii Ngoma 2024 please ngonga like hapa
👍😂😂😂😂
☝️
☝️
Saw😅
🎉🎉🎉
@tundaman msanii wangu wa muda wote kila Ngoma ukitoa ni hit songs respect kwako kaka
Tundaman alibam
Jemn naomba like ata moja napenda sna hii nyimbo❤❤❤
😊😊
Umeua mwana Tunda full maupendo from Qatar🇰🇪🇰🇪
Kama Kuna mtu anaangalia ihii ngoma gonga mwaka 2003 gonga like zangu from tanzania
Huyuu jamaa huwag ni mnyamàa
But walokuja baada ya king kusapotii tudondoshe likes apaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mwendo wakufufua wazaman tu hamo naona leo ka mfufua AT
Turudishieni nyimbo za mani nizury kuliko zasasa nimatusi matupu
Ex wangu hana lolote ex wangu ni nyama ya wote. Kwa ex wangu nilivaba
Duh mziki mzuri unajieleza wanaokubali tunaokubali tulike ~kukimbilia trending sio ishu ishu uimbe safii 💪🏾💪🏾💪🏾
Uko vizul ten mutam
iyo nyimbo naipenda sana
Kaka Safi ngoma imetulia Sana.
Oo
ua-cam.com/video/LG9vqgPZN40/v-deo.htmlsi=9idda5ffUrxR-Szo
King of bongo trending on tiktok.Ninakupenda ndo maana nangangania, Kali Sana medicine to the soul.
Nakupenda tunda ndo maana pia nangangania kucomment bro... Kali and klin .
Kabisa tuda ,,,true love all the way from Kenyaaaaa,,nipe likes za love hapa
Kizuri kinajiuza aise big up saaaana msela wangu Tundaman
Anaekumbuka kamchezo kale "kula mbakixhie baba" gonga like za kutosha
Nakupenda sn tunda
Mm nakupenda ndio mana nanga'ng'nia true love beiby nasio bandia 😘❤️
Tundaman ni🔥🔥🔥🔥 acha like buku apa ka unamkubal tunda
Tunao view ngoma kali huku tunasoma comment tugonge like hapa
Nimeikubali
Kipenziunameza
Tunda man brother unaweza Sana
Hii ngoma true love brother big respect YANi tunda man we mnyamaa Sanaa halafu unatisha brother kama njaa nakukubali kimziki
@@storenight374 🔥🔥🔥
Ngoma iko sawa sana tunda naamini unarudisha kheshima yako ya kimziki maana ulikaa kimy kidg ila kaka ngoma iko fantastic so much really aminia kaka hufelingi kaka
Tunda u r my number one musician big up jembe hujawahi niangusha 🔥🔥🔥
Toeni mziki mzuri namna hii mambo ya kukaa mpaka mumtaje diamondi ni uwendawazimu...
All in all nyimbo kali hongera tundaman
Hii song emeweza kiukweli 🔥🔥🇰🇪🇰🇪 tumeikubali..Tru love nasio bandia
Yan hanalolote x wangu ninyama yawote mtalam tund noma San like kwake jamni😄😄😄😄😄😄
Yaan hìi nyimbo naipenda sanaa
Yani umeniweza kwa hii nhimbo
Yaan sana nakupenda San tunda mani
👍👍👍👍kimya kingi kinamshindo nimekukubali sanaa mtanga mwezangu hv ndio inavyotakiwa kimya lakini ukiibuka unatunyanyua
I just love this song beyond explanation 💕💕.....kenyan love Tunda man 🇧🇭🇰🇪
wow!! true love nasiyo bandia, façon j'aime cette melodie
Fanya lkuje mzee twaisubili sana
Ñakukubali Sana Tunda man uwaga ukosei mzee baba toka kitambo Sana yani, ila unaniboaga kutuponda sisi utopolo aya bwana😂😂😂, ila ñakukubali Sana toka chiz benzi neyra mpaka kwa spack kwenda mpaka kwa Asina ucku silali bila kukuona, Allah akujalie ktk kz zako inashallah
Ngoma qaliii sanaaa na mm nomba nipate like hta 1,k 2 jmn 😔
Unataka likes upeleke wapi😂😂swali tu
Nashangaa kwani wimbo ni wake
Tunda mani
Nyimb zako nzuri sana kaka
@@vekimuguji5560ppppĺ1p1pq0⁰0⁰q0
Upole Kama wangamia ukila unanusuru roho yangu dah! Aisee nyimbo la mwaka
Dah ex hana lolote ex wangu ni mbwaaa! Tunda niletee manzi mkali dj🙈🙈🙈🙈
Ex wangu hana lolote,ex wangu ni nyama ya wote..noma sana hii..big up Tunda Man. From +254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤣🤣
Sweet sweet low....mo kwa mbalii
Wapi likes za Adam Juma the best video Director East Africa
Noma xan hii, mziki umerud kwa captain yaan ni 🔥🔥🔥
Wa lengend kama aho wachache sana inchin tanzania full respet from 🇧🇮 ngonga like
Unanikosha kaka mziki wako siuchoki Tangu kitambo unajuwa🇹🇿👏
Dah Tundaman nimekubali kwa hii kitu ni bonge moja LA kamba!!!!!
Video imeweza
Video queen mkaleeeee
Afu
Muonekano mpya wa Tunda ni moto fire 💣💥💯
Ngoma noma true love by tunda fully surpoted from 254 tunda man....motooooo
The king is back wapi likes za tunda kutokea Kenya jamani
Mpaka leo hii ni ngoma yangu pedwa naikubali sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Noma xana brother
Wimbo bora sana namba 1 in bongo fleva in tz mwaga makopa
Oooo my mantor Tunda man missed ur magical voice brother
Safi
Safiiiii
Yaani hakuna siku nitashinda bila kusikiliza hii naipenda sana wallah 🙏🙏💥💥💥🥰🥰🥰🥰🤝🤝🇰🇪🇰🇪
The legend himself. Listening outer 254
Wimbo ndo huu unamamneno mengi ya kusikilizikika TRUE LOVE HALAAAAAAAAA🔥🔥🔥🔥🔥🔥 sio wimbo unamameno mawili tuu yanarudiwarudiwa tuu ule wimbo wa kikongo kama umeusikia
True love.. Kali sana🔥🔥
Delicious song.. Sema fosi kak usichuje tena yaan what we need ni hit after hit ndo game ya saiv #Tunda Man nazan kak umeelew ushaur wangu
Oh sweet melody making me craying
Walai naipenda sana .Tunda man love from Kenya
Tunda Man kwenye choras umeua sana... 😁 mimi naona hii ndiomiondoko mizuri, unasikiliza ukitingisha tingisha kichwa taratibu...
Tunda man kijana anae jiamini..twakupenda Kenya..broo..
True love. 2nda man. Reggee rethem. Gonga like Kama unaziskia reggee kick
Dude lamaana gonga like..ikiwa umeikubal ngoma
Keep going captain loves from South Africa
Bonge la hitilafu,,,any Kenyan supporting this,,ongezea hapa like yako tusonge mbele.
True love swet swet love bonge la ngoma tujuwane wa penda mziki mzuri like zenu tuna subiri ngama lamwisho 2021 na king Kiba itakuwa 🔥🔥🔥🔥🔥
Hatariii sanaaaaaa jamaaa kaua
Songs kali sn tundamni unajua sn kuimba bambani sn kijan wetuuuuu i love you form zanzbr
Lichupa la mwaka 🎬
nilikua nangoja hiyi wimbo na hamu. kali kabisa. big up TUNDAMAN
Ihi kitu nimeisubili sana wazee True love 🔥🔥🔥🔥🔥
Hapo sawa kaka.....nyimbo zako zote kali....kama mnamkubali wapi likes jameni?
I've waited for so long for this ...go Tunda true love from Texas
Mandy
Tip top ngoma Kali sana nakubali mm
Ngoma naielewa sana
Nice song
Tunda nyimbo iko vizuri Sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪
trust me this song lifts me up.........thank you for sharing with us an amazing experience and your'e really talented
From Iraq. Waoooo tunda hujawahi kuboa na saut manshaallah ❤🇹🇿
Unique voice that I choose to love! Always I love your all songs since tip top connections! Luv u Tunda man!
Congratulated tunda,bonge LA video limetulia I liki it
Mavazi na lights 🔥🔥🔥🙌
Toka enzi za Neila....Tunda Man unatisha!!!
Saa nne ishafika🙋🏾
Sauti ulipewa tundaman👏👏👏👏
A real voice of a talented musician
Hongera xna Tunda man kwa kutoa vedeo yenye quality
Mwenye mziki wake
Mwanangu you have a beautiful voice aki nyimbo yako namind sana I love it I found it on TikTok so I had to find the artist and namshukuru mungu nimepata UA-cam yako
Vibint vinapenda mababu 🔥🔥🔥
All the way from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nakupenda ndo maana nang'ang'ania
Ngomakali imepenya manzee🔥🔥🔥
M nakupendaaaa ndyo mana 🥰🥰🥰 nice brother
Ngoma imetulia🔥
Ngoma kali tunda unajua mwana
tunda you still on top, sauti yako sku zote huwa nimeikubali, salute bro
Hui ngoma ni 🔥🔥🔥
Ni mtu pekee wa zamani mwenye alietoa ngoma kali sana
Nmesubir sana
Ajuae ajua tu brow me nakuelewa Sana piga kaz kwan wabongo tunafer wap jaman
Good music trending wimbo mzuriiii 😁🤪😜anaeukubali gonga like ᕦ༼ຈل͜
Tunda we ni mukali saaaana meilleur chanson mon Grand 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Bonge la nyimbo...big up captain Tundaman..!!!👍
I real appreciate u as a one among the few regend who remain in the game.
Bro ngomaa kali I wish kufanya ngomaa mojaa nakukubali sana
legend 🔥, welcome back
Ahsante baba fundi hupingwi tundamani mnyama❤❤❤
Nice one tunda man had missed this cool songs from you
Nyimbo nzuriii sanaaa adi video tamu big sanaaaa Tunda man
Hit of the year🔥🔥🔥