Manyanya anaakil nying, Na hii film ,itafumbua macho wengi, Hasa wanawake, Kwasababu wanawake akil yao inawaza kalibu mno, tofauti na wanaume, mfano mati anaulizwa ulikua unaongea na nani,? Mati anajibu kiulaisi ata bila yakufikilia nikiasi gani mwanaume atalipokea hilo, Jaman kama alivyo sema manyanya, mwanaume na mwanamke ni viumbe viwili tofauti, hasa katika mawazo, fikra mamzi ,kudadavua mambo, na mwanaume anaweza kukuacha kwa kosa. Hilo tu moja ambalo maty kamjibu manyanya, nilikua naongea na x wangu,. Kwamwanaume mwenye akili sawa sawa bila maty kuomba msamaha, nakukili kosa inaweza kumjengea picha mwanaume akuone we ni malaya na bado hujatulia, NAWAPENDA SANA WANA DUNIA WOTE,❤❤❤❤🎉
ivi arie tunga hiii story amezariwa na binadamu kweri aaaaah apana arie tunga hiiii story sio binadamu kabisa maana inafunza arafu sasa akuna arie shirikishwa kwenye hiii mov akaharibu wote mmejuwa kucheza sirisi zenu mmetisha sn bg up sana
Mudi anakwaza sana, hii character aliyopewa sio poa 😂😂😂😂 Kwa familia ya Mdeme nayo mambo yamepamba moto, ndo maana hii ni series namba moja kufuatiliwa Tanzania maana mafunzo yake yanagusa moja kwa moja maisha yetu
Waaaa Vai ak pole sana Kwa wakat huu mgumu 😢 unanifunza kua kunyenyekea n kitu Cha mhim sana katka ndoaa ee mungu unisaidie nipate mwanaume mwemaa🙏🙏 na pia unipee moyo wa uvumilivu Amina❤❤❤
😅😂😅😂😅😂😅hivi hiyo time ya kumnyenyekea mwanaume mnatoawapi 😅😂😅😂😅😅😅 mimakinicheat maramoja tu bas moyon hayumo tena yani huwaanajileta leta ila hajui ndani nawazanin 😅😂😅😂😅😂😅😅😂😅😂😅
Ivi manyanya umesomea chuo cha mapenz duuuh unamaneno yanachoma lkn yanafunza nmependa kwa Mati na nmejifunza kitu nmembrock X wangu sasa ivi baada yakusikia maneno ya manyanya ❤
Iyi move ipewe mauwa yake kiukweli🎉🎉🎉inamafunzo kila kona alafu ikifika sehemu ya Mudi huanza kuceka hata sijaona kiukweli Si'de anateseka yani Mudi hana imani nae hata kidogo kiukweli wanaume kama Mudi mujikerebeshe na wanawake kama Vai wajikerebeshe
Mati, mati, mati napenda sana unavyojua kukubali makosa yake na kuwa sharp kuomba msamaha, ukishajua umekosea, wanawake wa kileo huwa ni wagumu sana kukubali kosa tena unakuta anajitahidi kulitetea kosa lake ili lionekane ni halali, good job aiseee
Manyanaya hii movie isiishe hii iwe km isidingo,ntawaombea kla cku Allah awape ufumbuz wa matukio yanayotkea ktk jmii ili izid kuendlea thnks to you all members of dis series
Yy ndiyo kaaribu mwenyeqe Ndoa yake alafu bado anajifanya mjeury angebadlika akawa mke bora alafu aone mume angebadilika ama vip wanawake tujifunze Nidhamu kwa waume zetu hatakama una peaa kiasi gani ama mzur unashepu kias gani muheshimu mumeo na mjali mpe heshima yake Kama mwanaume wako ama mumeo
Yaani Vai kitumbua umekitia mchanga mwenyewe sai hakiliki😂😢mwiba wa kujidunga auna pole.....Manyanya wee mwanaume na nusu angekua mwingine vai angekandwa makonde kisha yeye ndo akatoka ila heshima uliyompa huyoo kishuzi chako Vai iko juu🎉🎉
Ombi langu kwa watazamaji wote wa dunia, jamani mu tuombeye jamani sisi wa Kongo, tuna teseka jamani na vita, tu saidiyeni kwa maombi jamani please😭😭😭😭🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩😭😭😭😭😭😭😭Msaada wa maombi tuna huhitaji ndungu zetu watanzania🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩🥺🥺
Kiukweli kama Mungu amewaokoa wana wa israel misri kwa firauni vile vile anaenda kuyageuza maisha yako kuwa mazuri kama utakavyo weka like hapa kama umekubali kama Mungu ndio dreva wamaisha yetu
Au mm ndo yule mjinga niliekataaga shule chekecheaaaa daaah Dunia hatareee sana nna mtu kama Manyanya ila huyu wangu dah Mnyakyusa anamuogopa sanaaa Vaileth wake huko nyumbani eti anamuheshimu😂😂😂😂😂
Ila ndani ya mda mtajua mchepuko atakavyomnyoosha manyanya kurudi kwa vairet kutashindikana wanaume msiharibu ndoa zenu kwa upumbavu wa mwanamke asiejieliwa mbinguni hawaingii wawili wawili ni kila mtu na njia yake sasa subiri pigo manyanya
Manyanya tunakuomba udiri nawatu wanao tudanganya maana unakuta movie imeandikwa DUNIA ukiweka unakuta movie yengine sasa hii kitu inauma mpk kumoyo😂😂😂😂😂😂😂🙌 Fanya ivyo Boss
Vailet 😂😂😂😂😂 mwanaume akichoka kumrejesha nyuma ni jasho sasa kazi unayo wadada niwashauri msiwe wepesi wa kivunja ndoa zenu ndio chanjo cja umalaya wadada tujaribu Kuwa na hekma na sio ujinga.
Jamani nyie mati ni mwanamke kamili na sio mwanamke na nusu anaposomewa na manyanya hutulia nakumsikiliza ili ajuwe makosa yake naakishajuwa makosa yake kuomba msamaha kwake sio kazi kama unampenda mati gonga like ❤
😮😮😮manyanya big brother umeongeya point kabisa sio poa mwanamke kuongeya nama ex zake..asante kwakututeya wanaume nakuwaonesha ninamna gani tunavyo umiya pale ambapo mwanamke akiwa akiongeya nama ex wake
Tayar kazi imetoka Nashukur sana kwa wote wanao tusapoti mungu awabariki sana sana🎉🎉🎉
Mnachelewa
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Poleni Kwa changamoto
Sema mumechelewa sana kutoa
Manyanya jamani mnatuchelewisha sana daah 😢
dada ake vai na mme wake adi wanafanana kweli mkikaa mnafanana sura na tabia😂😂nisipo waona nachizika😂😂😂nawapenda
Kabisa
Jmn yule dada anajua atar....
Hata mie nawapenda sana, yule dada katika uigizaji yupo vizuri, kaitendea haki nafasi aliyopewa na hasa anapokuwa anatupiana maneno na mumewe
Hii ndo dunia bwana nikisema nikupe hiki kichwa huez beba utakufa kwa mawazo😢😢...dunia yetu sote Allah atupe mwisho mwema❤
Amiiiin inshallah
Amina🙏
Amina
Amin
Jaman na Mimi leo naomba like hata 10 tyu
Zikusaidie nini
I'm first from Burundi film ya yenye mafundisho sana Dunia naomba like
Manyanya unajua sana baba unatisha sana
Wangapi wamependa msimamo wa manyanya Baada ya Kuambiwa aende Kigoma Mwisho wa Reli😂😂😂😂, ila Vai Kivuruga ubongo sana
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂nimecheka hatari yaan vai anapenda kuchukulia vitu rahisi sasa yamemfika shingoni 😢😢😢😢😢😢😢
@@Farthunnimecheka kweli Vai kamfukuza mwenyewe half Tena anasema et anaondoka kweli.
Alifikir atambembeleza.
@ hpo sasa
Kimemlamba😂😂😂
Manyanya anaakil nying,
Na hii film ,itafumbua macho wengi,
Hasa wanawake,
Kwasababu wanawake akil yao inawaza kalibu mno, tofauti na wanaume, mfano mati anaulizwa ulikua unaongea na nani,? Mati anajibu kiulaisi ata bila yakufikilia nikiasi gani mwanaume atalipokea hilo,
Jaman kama alivyo sema manyanya, mwanaume na mwanamke ni viumbe viwili tofauti, hasa katika mawazo, fikra mamzi ,kudadavua mambo, na mwanaume anaweza kukuacha kwa kosa. Hilo tu moja ambalo maty kamjibu manyanya, nilikua naongea na x wangu,.
Kwamwanaume mwenye akili sawa sawa bila maty kuomba msamaha, nakukili kosa inaweza kumjengea picha mwanaume akuone we ni malaya na bado hujatulia,
NAWAPENDA SANA WANA DUNIA WOTE,❤❤❤❤🎉
Sio kufumbuq wanawake had wanaume.
Fact
Nawapenda sana sema mna chelewesha
60%wanawake wanaume. 40%
Mnyanya munazinguwa mnachelewesha sana
ivi arie tunga hiii story amezariwa na binadamu kweri aaaaah apana arie tunga hiiii story sio binadamu kabisa maana inafunza arafu sasa akuna arie shirikishwa kwenye hiii mov akaharibu wote mmejuwa kucheza sirisi zenu mmetisha sn bg up sana
Cjui kwnn hujapata like 1000 hii n comment sahihi kabisa
Perfect
Daaah Hii ni Kali kwel kwel
Mungu awabariki sana kaz nzuri inafundishwa san
Kabisa kaka yaan wwe umeona mbali
Ndoa ya mdeme nayo inanifurahisha sana jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂
Yani nawapenda zaidi
Wanaendana kwasabu wanajuana sanaa😂😂😂😂@@NairaMgombele
Sana😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂Ina vtuko
Jamani uyo mdeme ni kama wangu kabisa
Mjiandae kulea mtoto, tayari maty nishampa mimba sasa.. kazi kwenu kulea mtoto.. Asanteni kwa support yenu guys.... NIPENI LIKE GUYS
Mzee baba umetisha sana sana hadi unakera elimu kwa wote Manyanya fundi
😂😂😂😂😂nko apa ntalea
Aiiiiiiii matty wenu ana mimbaa oh 😮😮😮😮😮 waooh
Unajua kuigiza sana manyanya jamani huyu vaileth pasua kichwa sana 😢
😂😂😂 Mnachelewesha 😢😢😢
Wangap munaangalia dunia mukiw kitandan tujan❤❤❤❤
Niko hapa
Mudi anakwaza sana, hii character aliyopewa sio poa 😂😂😂😂
Kwa familia ya Mdeme nayo mambo yamepamba moto, ndo maana hii ni series namba moja kufuatiliwa Tanzania maana mafunzo yake yanagusa moja kwa moja maisha yetu
😂😂😂😂😂 yani mdeme na mke wake wanavituko sana 😂😂😂😂😂 wapewe mauwa yao🎉🎉🎉
manyanya tupe blog sahihi ya kupata movie yako ambayo haicha chakachuliwa maswala hujatoa movie tunatolewa fake hatutaki
Huyu mdeme sjui anajikuta nani 🤣🤣😂🤣😂🤣😂😂😂😂😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉
Binti anaitwa G 😂😂😂@@Gloriazawad
@@mwajumarichard1455 mhm 😂😂 shindwe 🤭
Waaaa Vai ak pole sana Kwa wakat huu mgumu 😢 unanifunza kua kunyenyekea n kitu Cha mhim sana katka ndoaa ee mungu unisaidie nipate mwanaume mwemaa🙏🙏 na pia unipee moyo wa uvumilivu Amina❤❤❤
Aliyataka mwenyew hata hakun kumuhurumia huyo hakuweza kunyenyekea na kutia matikea ndo hayo ss😂😂😂
Hebu ni inbox 🎉
😅😂😅😂😅😂😅hivi hiyo time ya kumnyenyekea mwanaume mnatoawapi 😅😂😅😂😅😅😅 mimakinicheat maramoja tu bas moyon hayumo tena yani huwaanajileta leta ila hajui ndani nawazanin 😅😂😅😂😅😂😅😅😂😅😂😅
@@Gloriazawad ni hivyo dear but kuna time inafaa ukuwa mjinga tu kwa mwanaume akijua ww ni mjinga lkn ni moto wa kuotea mbali 🤣🤣🤣
@@moreenrehema1347 😂🤣😂🤣😂🤣 aaamim kwangu maji nimaramoja tu 😔🤣🤣
aisee kazi nikali sana nashukulu sana kaka manyanya apa umeupiga mwingi a🎉🎉🎉🎉
Watusio kuaga na like😂
Sema nimekublai kazi mama unajua sana yan ww ni mimi mtupu nikiwapa mashahir wanasema mm muongeaji 😢
Jamani Ata kwaleo nipeni like 20 mana toka nimeaza tumefika apa niumoja muzuri love our ASUMA FILMS
Toa mawazo mazur ushauriwe au ushauri utapat like usitake like bila malengo
@aishayeahhasan7379 Asante Sana nitajitahidi niandike point
Ivi manyanya umesomea chuo cha mapenz duuuh unamaneno yanachoma lkn yanafunza nmependa kwa Mati na nmejifunza kitu nmembrock X wangu sasa ivi baada yakusikia maneno ya manyanya ❤
😂😂😂😂
Kheee we dadaaa😂😂
😂😂😂
@@AbdulJuma817 😄
@@rebekamoris172 nini jmn 😄
Uyu mudy angekua mume wangu angekula mbati si za nchi hii😂😂😂yani ngemchapa mpaka kesho akiona pombe ywakimbia
Ila Manyanya bwana hahahaha 😂😂😂😂, Mungu wang, Vai pole sana mwanaume niwakwnda nae taratibu
Vai anatingisha kibariti 😂😂😂
Yaani eti muone anaondoka kweli😂😂😂😂.angalia anavyomtafuta ilihali alikuja hakutaka kufungua mlango
Iyi move ipewe mauwa yake kiukweli🎉🎉🎉inamafunzo kila kona alafu ikifika sehemu ya Mudi huanza kuceka hata sijaona kiukweli Si'de anateseka yani Mudi hana imani nae hata kidogo kiukweli wanaume kama Mudi mujikerebeshe na wanawake kama Vai wajikerebeshe
Ee mwenyezi mungu mwingi wa rehema tunajilie pumzi ya sisi tunaofuatilia na tunaowafuatilia hadi mwisho wa sini yetu ya dunia
Ombi hili mbon laniogopesh😂😂,ko ikiisha pumzi ikate😂😂,tunaomba vibaya😂😂
Ikiisha ufe peke ako😅😅😅 si Tunataka kuona vingine vizuri zaidiiiiiiiiiii tuzudi kujifunza
Mati, mati, mati napenda sana unavyojua kukubali makosa yake na kuwa sharp kuomba msamaha, ukishajua umekosea, wanawake wa kileo huwa ni wagumu sana kukubali kosa tena unakuta anajitahidi kulitetea kosa lake ili lionekane ni halali, good job aiseee
Manyanaya hii movie isiishe hii iwe km isidingo,ntawaombea kla cku Allah awape ufumbuz wa matukio yanayotkea ktk jmii ili izid kuendlea thnks to you all members of dis series
😂😂
Ila isidingo ilitisha😂
@Kidoaaisha hahahahahaha kabisaa ilitisha
😂😂 daaaah hii iwe ata Zaid ya isidingo 😊
😂😂
Wakwanza kutoka Kenya big up Manyanya wew n Mwamba🔥💪
Hii move jaman imenifuza mengi ndoa yangu Kwa Sasa ipo good kwasababu ya hii move 🙏🙏
Sijaolewa but najifunz mengin mashallah
Tawire😂😂😅😅
Mmmhuuu
Maraiyo kwenye hii sehemu manyanya ana tupemula ebu tazama ka shakoshi ke manyanya ali ondoka nako nyumbani kwake boss kama manyanya 😂😂😂😂
NIMEWAH ila dah!! DAK 1 mshajaa njoen taratibu msitukanyage😅😅😅😅
😂
Mimi ndo wa kwanza naombeni like
Sema Manyany una tuponza Wana ume wenzako gonga like kwa DUNIA 🎉🎉
Vai nini tulia mama umeyataka mwenyewe aisee,,,mwanaume haambiwi rudi ulikotoka wala nenda kwa huyo malaya wako,,,,pole sana
Khaaaa dunia ni nzuri jamani haijawahi kutokea hapa bongo
@OlnatusHaule tamu sana mpaka inakera
Kazi Nzuri sana.. pongezi zangu ziende kwa jopo zima la Asma Filamu.👏🏿👏🏿
Manyanya akipigwa vizur atasema nani campania uwezo mzuri wa kutunga sheria hivyo😂😂😂😂🎉🎉🎉❤
😂😂😂😂
Familia yw Mndeme na Irene😅😅😅😅😂😂😂 nomaaaa sana
Ongèleni sana my brother manyanya mungu azidii kuwatangulia katika kazi zenu🎉🎉🎉 yako
Najua hizi like zenu siwez fanyia chochote ila naomben tu hivyo hivyo hata like 10 tu maan leo nimekuwa wa kwanza 😔😔
Jaman vai punguza pressure hao viumbe hawafosiwi jaman 😭😭😭pole nimepitia pia pole sana
Dah,hiyo stage ni mbaya,kashanikuta pia
Yy ndiyo kaaribu mwenyeqe Ndoa yake alafu bado anajifanya mjeury angebadlika akawa mke bora alafu aone mume angebadilika ama vip wanawake tujifunze Nidhamu kwa waume zetu hatakama una peaa kiasi gani ama mzur unashepu kias gani muheshimu mumeo na mjali mpe heshima yake Kama mwanaume wako ama mumeo
Awe mpole mana ameyataka
Lkn Vai kaharibu mwenyewe ndoa yake
Ka@@NeemaMwambudzikabisa
Wa kwanza mimi from congo 🎉manyanya🎉
CONGO SIMNAVITA UNAOMBAJE LIKE BADALA YA DUA
Uwiii umeniwahi hahahha
Poleni kwa mikasa
Amina tatizo lake Kamdomo.....😂😂😂😂 Au nae ni Gusa achia
Ndani ya dk tatu watazamaji kibao kumbe tupo wengi tunao maliza bando kwa subiri dunia au sio😢😢😢
Umeona eee
😂😂😂 alikua anatania kumbe mwenzie kaondoka kweli
weng mnooo
Lakin wanachelewa sana kutoa jaman
Kabisa
Haya nipate japo likes 3 kwa mara ya kwanza nimeiwahi mapema sanaaaaaaaaa
Napenda sana kazi yenu wanangu wa nguvu 💯💥✊🏼 afu hii ngoma iko climax msicheleweshe sana wengine tumezoea mahubiri wa kinara manyanya 😂💯🙏
Team mudy muzunguu😂❤❤❤
Kaz nzuli sna manyanya mwenyezi mungu azidi kukuza kipaji chako pamoj na wenzako wote tunawapnda Sana ♥️🌹🇹🇿
Mmetuchelewesha nkajua mnaeka dkk nying mnakuj weka dkk 22 tu 😮
Kuigiza sio mchezo ndugu.
Kitu mzuri unadumu sio kama ya kuharakishwa
Ila mna jua kutuhenyesha yaan muda wote nipo UA-cam nasubiri dunia hadi MB zinaisha ila nawapenda ❤❤❤
Sema we matangazo kibao mpk movies zingine zingine zimeandikwa dunia
😂😂😂😂😂km mim
Hamu ya kuangalia inaisha mnachelewa sana
😂😂😂😂 tupo wengi
😂🤣😂🤣😁@@FurgensMushi
Ila mdeme na mkewe kazi hipo kwakwel 😂😂😂😂🙌
Yeyote atakaye soma comment hii Mungu ampatie hitaji lake la siku zote🎉🎉🎉🎉
Ww siupo jera cheus kwa umbea
Daaaa ila manyanya ni mm kbsa ujue hawa wanawake wakigundua Yuko peke yke uwa anapandwa kibuli
😊😊😂😂😂
Manyanya jamani dah, mudi muzungu lazima itakuwa kuna fyuzi hazipo kichwani, haiwezekani kabisa...😢
Apelekwe gereji kwanza 😂😂
Yaani Vai kitumbua umekitia mchanga mwenyewe sai hakiliki😂😢mwiba wa kujidunga auna pole.....Manyanya wee mwanaume na nusu angekua mwingine vai angekandwa makonde kisha yeye ndo akatoka ila heshima uliyompa huyoo kishuzi chako Vai iko juu🎉🎉
Alafu Mdeme naye analeta mdada wa kazi, mzuri kuliko mama mwenye nyumba 😂😂😂😂😅😅kaumbuka
Midfield namb nane 😅😅😅
@TracySimony-d5j hahahaha, amefeli sana
Mbna hyo mwenye nyumba mzur saaan kuliko hyo mdada
Kama kuna mrembo anajitambua kama Matty naomba adondoshe likes apa
Ila pamoja na kujitambua kwakwe anahalibu familia ya watuuu
@ kama umeifuatilia vizuri Dunia kuanzia Mwanzo utaelewa aliyeharibu Ndoa n Vai mwenyew kwahy acha Matty amuelemishe jinsi ya kuishi na mwanaume
Acha wivu@@JoycePeter-u9i
@@ramayonline2281 kwel
@@JoycePeter-u9iMatty Hana makosa
Wangapi Tulikuwa na Hamu ya Kutazama hii Episode ya 45, Kama Umebarikiwa na Mungu Kuiona Siku ya Leo Gonga like hapa,,, Allah Akbar 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Baba Leo umechelewa😂
Tupo🎉🎉🎉
@babynaash yani daah majukumu mengi🤣🤣🤣
Kaka kazi nzuri
@@KibweOnlineTv poleeee kipenzi
Wakwaza Mimi kutoka Moçambique ❤🎉
Kabisa manyanya unasemaukweri Asante kwamafundisho
Ombi langu kwa watazamaji wote wa dunia, jamani mu tuombeye jamani sisi wa Kongo, tuna teseka jamani na vita, tu saidiyeni kwa maombi jamani please😭😭😭😭🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩😭😭😭😭😭😭😭Msaada wa maombi tuna huhitaji ndungu zetu watanzania🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩🥺🥺
Inshallah mtapata kher Mung awafanyie wepesi
Mungu awape neema zake
Mungu na asikiye maombi yenu😢
Mungu awape amani katika nchi yenu wapendwa
🙏🙏🙏🙏
Kweli heshima ni kitu ya maana yaani manyanya kachagua heshima na mapenzi❤❤❤ pokea maua 🎉🎉🎉🎉🎉 yako
Hlw killer on this one ndo namba 01 leo
Manyanya mm nakukubali sn maamuzi yako na unapo msomea mtu Kuna madini mengi snaunayatoa yaan mm nakukubl San mwanyany Respect uncle manyanya
Noma sana ila manyanya mbona umeanza kuchelewesha mzigo bhnana mpaka mzima wa kufatilia unakata❤
Kbs Yan mm stimu unakata inachelewa sana
Kaka manyanya naomba unipe hata sin 1 kwenye dunia 😂😂
Weee Sindy nae mume uyo mume gani wakukupea pressure kila siku aaaah mi wanikera bwana 😢😢😢Mtunzi ebu badilisha apo kwa sindy mudy abakii pekeake 😢😢😢😢😢
Eee Mudy ashaboa😢
Acha wenge
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wallah
mimi simpedi mudy tena😮😮
wakwanza mimi mungu awafikishe mbaliii sanaaaa nawapenda
Kiukweli kama Mungu amewaokoa wana wa israel misri kwa firauni vile vile anaenda kuyageuza maisha yako kuwa mazuri kama utakavyo weka like hapa kama umekubali kama Mungu ndio dreva wamaisha yetu
Dah watu wa humu wote mafundi maua kweny na mudy sasa macho yake kama amelewa kwer😅😅😅
Ila maty na manyanya nawapenda mnajua sana ❤❤❤
Mr manyanya naomba hat like moja Jamn nakupendag sanaa👏👏
Alhamdulillah siku nyingine tena
Kumbe bby akiwa anafoka nimkumbatie kwa nguvu anashusha sauti😂😂😂
Hii ndoa ya Irene na mndeme ni moto 😂😂😂😂 hakuna uaminifu
Wala hakuna wivu 😅😅
Iv kumbe asila hasala nimegaili kumfukuza Mme wangu Asante kwadunia imenifunza😭😭😭
😂😂😂😂😂
Mfukuzeee weee
😂😂😂😂mfukuze namngoja uku😅
😂😂😂😂😂😂
Manyanya nakupenda mno jmn. Kanumba ajae
Filamu nzuri sana yenye mafunzo.
Alafu kila mutu anaceza vizuri kwa fasi yake
Courage
Wasalimie kigoma😂😂😂,umenichekesha,wadada ogopa mwanaume mpole kama manyanya
Jaman Kila mda nilikua nachungulia tu ajatokq hatimae imetoka wow🥰
Yani kama mimi hadi nikawa naangalia movie nyengine
😂😂tumepatana tukiisubiri
@@galganoMushy halafu imewai kuisha
Ila kuishi na mwanaume kama Mudi ni mtihani sana unaweza kumkufuru Mungu😢😢,Sindy natamani umuache huyo kaka ujipatie maendeleo yako bila hivo hutoboi.
Move inafunza sana hii mungu awabaliki wahusika woteee wazid kutufundisha
Au mm ndo yule mjinga niliekataaga shule chekecheaaaa daaah Dunia hatareee sana nna mtu kama Manyanya ila huyu wangu dah Mnyakyusa anamuogopa sanaaa Vaileth wake huko nyumbani eti anamuheshimu😂😂😂😂😂
Ila ndani ya mda mtajua mchepuko atakavyomnyoosha manyanya kurudi kwa vairet kutashindikana wanaume msiharibu ndoa zenu kwa upumbavu wa mwanamke asiejieliwa mbinguni hawaingii wawili wawili ni kila mtu na njia yake sasa subiri pigo manyanya
Amina lakini mnakawisha sana filamu mnatukata tamaha sana ❤
Manyanya tunakuomba udiri nawatu wanao tudanganya maana unakuta movie imeandikwa DUNIA ukiweka unakuta movie yengine sasa hii kitu inauma mpk kumoyo😂😂😂😂😂😂😂🙌 Fanya ivyo Boss
Kabisa an me mwenyew wananiboa kwel nakuja naangalia angalia kama imetoka ndo nakutana na hyo dunia ya mchongo daaah naishiwa nguv😮
fuatilia Asma films 🎉🎉🎉🎉
Vai ùmesingua mama 😂😂 tena unasema muone sasa anaondoka weee muvi kali 🎉🎉
Nawakilisha wakenya wote, na hii ni maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Manyanya Ama kweli uko mwanasheria n'a unahitendeya Haki from 🇨🇩
Mimi leo kamanaona nimewahi aiseeee 😂naomba tuu like zenu 🤗🥰🥰 😂😂😂😂😂
I love you ❣️❣️❣️ manyanya and mattyrida mungu amtete maty kwa unyenyekevu alionao ni silaha tosha kwa mwamba manyanya
Kutoka Congo hapa ❤❤❤🎉🎉🎉nawapenda sana jamani nipe like zangu namimi
Ntuvepamo mpaka pamwisho madengo lambone🎉 from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
😂😂😂😂... skuhizi wanapost muda wowote tuuu,, tulzoea jion wanapost,,,,,, sahz muda wowote ule shwaaa😂😂....
Sema yanayonifelisha ndo chanzo kurud hom nachelewa
Good nice one story and nice job brother manyanya 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wakwanza 🤩 nipeni like hii dunia inaturusha rooho kwel😂😂 sio kwakuchelewesha uko
@@TeklaNdekeja 👍
Vailet 😂😂😂😂😂 mwanaume akichoka kumrejesha nyuma ni jasho sasa kazi unayo wadada niwashauri msiwe wepesi wa kivunja ndoa zenu ndio chanjo cja umalaya wadada tujaribu Kuwa na hekma na sio ujinga.
Kam unakunywa bia pata moja kw bili yangu 😊nalipia
@@galganoMushy oh this is romantic thanks Darling ❤
Umeongea kweli ila Kuna muda wanakera
Ótimo trabalho irmãos,,, eu estou aqui em Moçambique;; mais força...
Anae mkubar mdimsungu ampee maua yake🎉😂😂😂
Ila vai😂😂😂😂kweli mashindano yak ni ndondo cap ligii kuuu za manyanya
Jamani nyie mati ni mwanamke kamili na sio mwanamke na nusu anaposomewa na manyanya hutulia nakumsikiliza ili ajuwe makosa yake naakishajuwa makosa yake kuomba msamaha kwake sio kazi kama unampenda mati gonga like ❤
❤❤🎉
duuuh jaman awa watu wananifanya ni stay tuned kwakweliii bravoooo....
😮😮😮manyanya big brother umeongeya point kabisa sio poa mwanamke kuongeya nama ex zake..asante kwakututeya wanaume nakuwaonesha ninamna gani tunavyo umiya pale ambapo mwanamke akiwa akiongeya nama ex wake
Mmenikanyaga sana mniletee uji sasa hamuwezi kuingia taratibu halafu Muni tuchague bucha la kumnjinjia anatusumbua😊
Nmefurah sanaaa couple ya manyanya na matiii inazidii kushinee😂😂😂polee vaileth
Wee nini Mimi nimeona kitoto kizuri nataka nijilie alafu unakifukuza wee vipii😂😂😂
Wa kwanza mimi kutokà kas kazin Moshi Kilimanjaro naomba like zangu ❤❤❤❤❤❤