Tundaman Featuring Spark & Madee - Nipe Repoti (Official video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @stephenmramba5561
    @stephenmramba5561 10 місяців тому +60

    Hii ndo Kali kuliko zote 2024

  • @hamisijulius7426
    @hamisijulius7426 Рік тому +107

    Kama bado unaenjoy na hii nyimbo, like tujuane

  • @skteller5039
    @skteller5039 11 місяців тому +86

    2024 and we are still here
    These are the best old memories 😍

  • @dellohjoy
    @dellohjoy 6 місяців тому +35

    Me listening to this in 2024 from Kenya,.. wimbo mzuri with Chege like voice ambayo inavutia aisee,,..likes tukisonga

  • @Jeylin-yx2ez
    @Jeylin-yx2ez 6 місяців тому +39

    4.7.2024 ❤napenda sana kusikiliza hii nyimbo 😢😢😢 kama unaipenda weka like hapa dear

  • @mirukajohn2886
    @mirukajohn2886 2 роки тому +54

    Mimi hawa ndo walifanya nikafukuzwa shule juu ya kubeba radio, likes from kenya

  • @swaleheismail46
    @swaleheismail46 4 роки тому +614

    Kamaa unaamini hawa ndo ma legendary Wa mziki Wa bongo na syo wale Wa nyege nyegezi gonga like yakooo hapaaa💪💪👊👊

  • @Bree_moraa
    @Bree_moraa 7 місяців тому +180

    Tunaotazama nyimbo 2024 gonga like

  • @ivonsilverster8261
    @ivonsilverster8261 8 місяців тому +34

    Daaa wadauu unafiki tuweke pembeni jamani huuu wimbo umeua sanaa wadau hasa kweny real life yaaan, kuhusu jela,,,,,, kama ume watch may 2024 like hapaa

    • @martinmsendo9591
      @martinmsendo9591 3 місяці тому

      Kweli, nakuunga mkono.

    • @martinmsendo9591
      @martinmsendo9591 Місяць тому

      Nyimbo nzuri sana. Naisikiliza mara nyingi ina ujumbe mzuri kwa jamii yetu.

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 2 роки тому +24

    Huu wimbo ni mzuri sana kwanza ukiwa na msongomano wa mawazo.. I love the song..

  • @ericbably7992
    @ericbably7992 3 роки тому +28

    Tunda man napenda mziki zako man sana this song made me cry 2 x before mpaka sahi much love from kenya 🇰🇪

  • @SleepyArcade-yq5wi
    @SleepyArcade-yq5wi 9 місяців тому +8

    Unyama ni mwingi Kila nikiwaza nasikiliza Ngoma pendwa

  • @talents7934
    @talents7934 9 місяців тому +44

    Kama unaamini kuwa kuna tofauti kati ya wanamuziki na wasanii gonga like apa😂

  • @emmanueljamess-v2x
    @emmanueljamess-v2x 8 місяців тому +119

    Ikiwa umeiangalia 2024 gonga like hapa

  • @churasuperstar2985
    @churasuperstar2985 2 роки тому +288

    Tunao Tizama hii 2023 tujuwane kwenye like Basi 🥰🥰🥰❤️‍🔥

  • @mwamedihamisi9600
    @mwamedihamisi9600 3 роки тому +33

    Mungu awape nguvu wote walo jela kwa kubambikiziwa kesi ipo day mungu atafunguwa mlango ,amen

    • @WalterSimiyu-v4z
      @WalterSimiyu-v4z 9 місяців тому +1

      Kweli kabisa mungu awaonekanii walio jela qwa kesi c Yao wenye walipewa kesi mungu Yuko n nyinyi

    • @SelinaJossey
      @SelinaJossey 8 місяців тому +1

      I always remember my brother with this songs love you so much brother and my boyfriend 😭😭ipo siku haki yenu itaoatikana

  • @mrima7706
    @mrima7706 Рік тому +10

    Hi nyimbo ilikuwa fire na bado firee sana miaka hiyo tulikuwa tunaliimba lote tukiwa pale high school na Mr philipo ,,dah kitambo sana ,✊✊

  • @LablondeRachel
    @LablondeRachel 9 місяців тому +53

    2024 Bado tuko? Gonga like

  • @ivonsilverster8261
    @ivonsilverster8261 6 місяців тому +1

    Daaaah tundaman spark madee😮😮😮,,,,, hiii nyimbo sijawahi choka kuiangalia jamn,,,,,,,, mlitumia sana ubunifu wa hali ya juuu japo ni ya zamani sana daaah,,,,,, mpewe maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @IssaNamele
    @IssaNamele 9 місяців тому +10

    Tunda hii nyimbo iliniliza

  • @poka2062
    @poka2062 2 роки тому +136

    when i have stress my first song to sing is this one,,it makes me remember what i have been through,,if you are in my shoe show some love

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 2 роки тому +77

    Old is gold.. Respect to spak and tundaman

  • @gujrammohammed154
    @gujrammohammed154 2 місяці тому +9

    2024 nani anawatch anipe likes

  • @labansila
    @labansila 11 місяців тому +2

    Time really flies, we no longer hear this types of music anymore. Much love from Kenya Tunda man.🇰🇪 Tunatambua mchango sana kwa kutupa nyimbo nzuri.

  • @JaneMmbone-fd9jb
    @JaneMmbone-fd9jb Рік тому +2

    Huu wimbo hunikumbusha wangu wawili nliowapoteza,,,walikua waupenda sana,,coz maisha tuliyoyapitia,,nihaya ya tunda,

  • @gilbertmoses6099
    @gilbertmoses6099 10 місяців тому +3

    ❤❤❤❤ hii nimeikubali😊😊😊

  • @AokohEsther
    @AokohEsther 6 місяців тому +23

    Always crying 😢 😭 😪 while listening to this song so emotional 😢 akii wale wa 2024 gather here

  • @mazeybestdriver8952
    @mazeybestdriver8952 11 місяців тому +30

    2024 mnipe likes kbx

  • @MkundaMkunda
    @MkundaMkunda 7 місяців тому +2

    Daaah hii Ngoma inanikumbusha kipindi nipo kwetu Tanga kitambo kidogo

  • @MagatiJulius
    @MagatiJulius Рік тому +15

    Ki ukweli hawa ndio wameitambulisha bongo flavour na sio hawa wanaotoboa pua na masikio

  • @evansokoth9925
    @evansokoth9925 4 роки тому +34

    The best ever collabo there was,there is and will be.Naipenada sana

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 3 місяці тому +2

    Daaah nyimbo za zamani zitaishi milele 🔥🔥🔥🇶🇦

  • @pelarynasieku6877
    @pelarynasieku6877 Рік тому +24

    I vividly remember this I could only remember the tune! Wow!! 14yrs later 2009-2023❤

  • @Mr_kocha_og
    @Mr_kocha_og 11 місяців тому +9

    Hii nyimbo inanikumbusha mbali sana

  • @ruthamoit657
    @ruthamoit657 4 роки тому +11

    Soo emotional ,cjui mbona naiskia Kama ni true story ..big up guys

  • @mariamlishaz6732
    @mariamlishaz6732 3 роки тому +5

    Hizi ndo nyimbo za mafunza achana na zakina Mondy still ndo naskiza izo all the way from Kenya

  • @Baden-c9k
    @Baden-c9k 4 місяці тому +4

    Kama Bado unasikiliza hii Goma 2024 gonga like back 🎉

    • @omarkemboi
      @omarkemboi 3 місяці тому

      Ngoma imepangwa Sasa hii bongo asili a ha hizi zimejitokeza na mambwembwe fake kabisa

  • @jarumani_juniour
    @jarumani_juniour Рік тому +2

    Wakati uandishi ulikuwa uandishi👐👐🇰🇪🇰🇪sending love

  • @gadafinyaerisp3753
    @gadafinyaerisp3753 2 роки тому +3

    bongo za kitambo Bado ziko na flavor kushinda za wakati huu🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mamubeka-jt9jp
    @mamubeka-jt9jp Рік тому +4

    Kuna nyimbo zingine ukisikiliza unajifunza hiinyimbo naipenda Sana

  • @josuebirhaheka7727
    @josuebirhaheka7727 4 місяці тому

    Tundaman umesha enda wapo, mziki wako ulikuwa na funza huku kwetu DR Congo.
    Nani yuko apa mwaka 2024

  • @JoshuaJulias
    @JoshuaJulias 3 місяці тому +6

    Kama we una angalia hii Ngoma 2024 we gonnga like ap

  • @bonfalzomtexh8547
    @bonfalzomtexh8547 7 місяців тому +1

    Message well received...this is what is happening with our government today and current life we are facing.....well received message..

  • @freddymuhemed5180
    @freddymuhemed5180 2 роки тому +10

    Tanzania proud of bongo flava from 🇨🇩, #Tandaman thank u for this song november 2022. I watch it again.

  • @eldaindosio2044
    @eldaindosio2044 9 місяців тому +11

    2024 mko wapi

  • @sadrudinremtullah2380
    @sadrudinremtullah2380 2 роки тому +18

    One among the favourite big up Tunda and Spak

  • @newtonmeleki2683
    @newtonmeleki2683 Місяць тому

    I understand nothing about this song, but I have listened to it over 50 times. I love it.....Zambia

  • @lovenessmkwawa7485
    @lovenessmkwawa7485 Рік тому +1

    Duhhhhhh nakukubali sna tundaman unajua love u so much

  • @tengwapeter295
    @tengwapeter295 2 роки тому +1

    Baba hii ngoma hata ukiludia mala 💯 haichuj siyo kama za waseng flan I ilimlad waimb asnt

  • @medrick.254
    @medrick.254 5 місяців тому +4

    Kama unaamini hapa diamond platinum ameimba kwahisia usiwe mchoyo wa like

    • @Fathum763
      @Fathum763 3 місяці тому +1

      Tunda na spark s diamond

  • @lioness8207
    @lioness8207 2 роки тому +2

    Nakumbuka tukifukuzwa shule tulikuwa tunaenda kwa kina rafiki yngu and listen some bongo hii ikiwa moja wapo.ilikuwa ikiimba lazima tulie 😭😭😭😭😭😭 its just bringing some memories.

  • @jeradmatingo5656
    @jeradmatingo5656 11 місяців тому +1

    Wimbo wenye hisia Kali Sana. Na kweli Kuna wengi wanapatia na hawakuwa na makosa

  • @yazidihilary3233
    @yazidihilary3233 4 роки тому +6

    Hapo ndo zimetoka simu sina ya spider,, jamaa anaweka wimbo mkianza kufatilizia mara mshikaji anazima😀😀dah maisha bwana🏃🏃

  • @NakazibweMadinah-o8l
    @NakazibweMadinah-o8l Місяць тому +2

    Kwel kuna ujumbe wamahana

  • @nyser_11
    @nyser_11 9 місяців тому +4

    Mpk leo 2024 bado natizama ... Like kwa malegend

  • @dicksonmarko7926
    @dicksonmarko7926 4 роки тому +5

    Kupitia huu wimbo Tundaman Umenikumbusha mbali mno aiseehh

  • @phitolyfancy6561
    @phitolyfancy6561 Рік тому +1

    Tunda man i need my tears back when i was young nilikuwa nadhani ni Real hadi nakuombea

  • @douglasnyamongo812
    @douglasnyamongo812 3 роки тому +5

    💥💥 spark mwenyewe na tunda man, I salutes u

  • @isaaclamar1210
    @isaaclamar1210 3 роки тому +74

    My favorite song since 2009 till now 2022❤️😥

  • @kevinmandengo9765
    @kevinmandengo9765 Рік тому +1

    Uzuri wa iyi nyimbo nikama umepita jela Big up bro

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 3 місяці тому

    Maajabu hii nyimbo nilianza kuiskia kwenye media za Kenya...Bahari fm radio mwaka 2010

  • @dinahdianah9653
    @dinahdianah9653 Рік тому +2

    tiktok vile imenileta huku mbio, nice song

  • @jamalmbwido
    @jamalmbwido Рік тому +74

    RESPECT TO THE OLD SCHOOL SONGS 💯😎

  • @evansokoth9925
    @evansokoth9925 4 роки тому +6

    Fanyeni collabo tena na spack tafadhali, mlikuwa juu sana

    • @tembomnyamaOG
      @tembomnyamaOG 4 роки тому +1

      Collable ipo mkali......Mpya kabisaaaa......haijamaliza hata Mwezi we search tu Tundamani ft Spak wameshirikiana na Mshkaji flani hivi.

    • @evansokoth9925
      @evansokoth9925 4 роки тому

      Nilishaisikia lakini nataka ingine

    • @peterangatia7091
      @peterangatia7091 3 роки тому +1

      @@tembomnyamaOGinaitwa

  • @SelaDindili
    @SelaDindili 10 місяців тому +2

    Hawa ndo wenyewe

  • @ProtasLikoko-n1o
    @ProtasLikoko-n1o Місяць тому

    Daaaaaa,nakumbuka mbali sana

  • @fasterwalker1464
    @fasterwalker1464 2 місяці тому

    Huu wimbo nikiukumbukaga nachekaga sana yaan jamaa anamatatzo mbk shetan anaogopa

  • @AnguloJames
    @AnguloJames 5 місяців тому +6

    Kama huko hapa 2024 gonga likes ❤

  • @MARKODHIAMBO-ur2zc
    @MARKODHIAMBO-ur2zc 3 місяці тому

    Niko hapa baada ya kutoka TikTok kumjulia Prof. J anaendelea vipi... Kwa kweli Mungu yupo...

  • @ColimanAtanas
    @ColimanAtanas 5 місяців тому +1

    Wako wap Hawa wasanii💯💯💯👏👏

  • @Mr_kocha_og
    @Mr_kocha_og 11 місяців тому +4

    Hii nyimbo inanikumbusha mbali sana..

  • @swaleheismail46
    @swaleheismail46 Рік тому +2

    Long time still touchable my soul,this song is so dope,but kizazi cha nyimbo za nyege nyegezi syo rahis kuielewa hii

  • @nancynyanchama3958
    @nancynyanchama3958 6 місяців тому +7

    Leo 21 june 2024,narudi kuwatch tena once you like my comment

  • @paulkayombo3359
    @paulkayombo3359 11 місяців тому +11

    2024 gonga like hapa 🔥💪🙌

  • @MuddyRojà
    @MuddyRojà 8 місяців тому +2

    Uuuuh nd uhalisia wa maisha jaman

  • @chemutaijosephine6862
    @chemutaijosephine6862 3 роки тому +15

    Listening all the way from Kenya 💞 lots of love

  • @IshimweLionel-v3s
    @IshimweLionel-v3s 4 місяці тому

    Toka🇧🇮 wimbo Badoo uko sawa so emotionaly😢😢

  • @KellyDon-o3z
    @KellyDon-o3z Рік тому +2

    Nyimbo nilikua napenda sn nilivyokua mdogo

  • @AliOsman-o2d
    @AliOsman-o2d Рік тому +2

    Aminia tundaa 🔥🔥👊👊

  • @Mngezanewton-xj1wh
    @Mngezanewton-xj1wh Місяць тому +1

    Daaah kitambo san

  • @Athumanihamidu39
    @Athumanihamidu39 Рік тому +1

    Tunakaribia kumaliza mwaka na ngoma nzuri tamu

  • @DeusErnest
    @DeusErnest 3 місяці тому

    Mziki ni hisia na kila mtu ana mziki wake anao upenda

  • @bintsulaymansuleiman668
    @bintsulaymansuleiman668 Рік тому +1

    Hz ndio zlkua ngoma alafu zama hzo nlkua naona kla kitu n kwl nlkua nalia sana namuhurumia sana

  • @Boazi_TV
    @Boazi_TV 7 місяців тому +1

    Daah hii ngoma inankumbusha mbal san daah man maisha ndo hayhay aise jaman usije mwamin san m2 atakulza man lafk yako ndo adui yako ila nngoma nmeikubal had sopow

  • @khalidyahaya9183
    @khalidyahaya9183 4 роки тому +3

    daah nimefurah sana kuwaona tena mkiwa kolabo

  • @nicasiusnicholaus8705
    @nicasiusnicholaus8705 2 роки тому +35

    This will remain a classic forever

  • @ariostz2367
    @ariostz2367 4 роки тому +2

    Hili kaliii sanaaa Ndiooo linatoka niko darasa nne

  • @BraysoniTomu
    @BraysoniTomu 10 місяців тому +1

    Hupingwi father nakukubali sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤟🤟🤟

  • @angelabanzi8253
    @angelabanzi8253 7 місяців тому +1

    Wapiiii hawa malegend 2024

  • @vianneyrivuzimana2814
    @vianneyrivuzimana2814 3 роки тому +2

    Hiyi nyimbo ilinilahishana rakini nakwambia pole sana.
    Hiyi hit ninzuri sana

  • @obedlartey3909
    @obedlartey3909 Рік тому +1

    I’m from Ghana but my friend put me on to this song back in 2009 when i was in college and Tundaman became one of my favorite artist

  • @Bravo254
    @Bravo254 2 роки тому +1

    Hii ni mbaya.... Aki those days 2023 bado my best song

  • @ephra_marty
    @ephra_marty 3 роки тому +30

    BONGO FLAVA at its best! RESPECT to the OGs🙌

  • @AboubakarySadicky
    @AboubakarySadicky 2 місяці тому

    Nyimbo za zamani Kali sana 😮

  • @kabintmpase1544
    @kabintmpase1544 7 місяців тому

    Nyimbo zilikuwa zamani kweli sikuizi matus matus tu aki unaweza lia

  • @johnmagak4068
    @johnmagak4068 2 роки тому

    Nyimbo nzuri kweli,kweli haiwezi isha umarufu

  • @bayakodi-vy6zf
    @bayakodi-vy6zf Рік тому +1

    Old bongo ndo nyimbo,,za siku izi hakuna kitu ni Bure kabsa

  • @fleuretodunga9091
    @fleuretodunga9091 2 роки тому +37

    The first time I heard this song was in 2021 March I cried because these are the real things that do happen in this Beautiful country called Kenya. So painful

  • @mjukuuhizza8284
    @mjukuuhizza8284 Рік тому

    Tunda man huyu wazamani ndio mwenyewe sio huyu chizi wa makolo ❤2023

  • @amanikombo3760
    @amanikombo3760 2 роки тому +4

    Bongo music them Golden dayz. Educative and entertaining.👍 2023