Tunda Man Mama Kijacho Official Music Video HD

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 531

  • @sumayyahally
    @sumayyahally 9 місяців тому +82

    Wale wanaoangalia mwaka 2024 mtanikuta hapa like zenu❤❤❤

  • @resasipiriani-wu7nt
    @resasipiriani-wu7nt Рік тому +41

    Nani ananga hii nyimbo 2023 gonga like twende sawa

  • @MunahKessy
    @MunahKessy Рік тому +23

    Hii ngoma acha tu nakupenda Sana tujuane 2024

  • @BONGO_FILIM_Trending
    @BONGO_FILIM_Trending 7 місяців тому +66

    Anayeangalia hii nyimbo mwaka 2025 gonga like apa

    • @Cecilia-xx8nw
      @Cecilia-xx8nw 7 місяців тому +2

      😂😂😂😂😂

    • @Bunerajunior
      @Bunerajunior 6 місяців тому

      DAAH 😂😂😂

    • @MakenziMakenzi-bi6vv
      @MakenziMakenzi-bi6vv 6 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂 oya huko uliko tyr 2025

    • @BONGO_FILIM_Trending
      @BONGO_FILIM_Trending 6 місяців тому

      @@MakenziMakenzi-bi6vv mda 2 maana ndy simu yangu Inavosema na saiv ndy 2po mwez wa 5

    • @MakenziMakenzi-bi6vv
      @MakenziMakenzi-bi6vv 6 місяців тому

      @@BONGO_FILIM_Trending eeeeh 🤣🤣🤣 bc cm yako og

  • @moodyjumaa1732
    @moodyjumaa1732 5 років тому +55

    Wallah Tunda umeimba kwa uhalisia haswaa,kiukweli.wimbo huu ni mzuri sana pongezi kwako

  • @GraseMkavajila-xv5nr
    @GraseMkavajila-xv5nr 7 місяців тому +16

    Nimekuja kuitazama hii nyimbo baada tu ya kupata mimba 😅😅😅2024🎉

    • @NaimaBhanji
      @NaimaBhanji 6 місяців тому

      Yaan kila siku kazima niangali baba kija mbavu ana😂😂

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles Місяць тому

      Na mm nmekuja kuitazama baada ya kupata mimba 2024 😂😂😂😂😂

  • @khalidbalala7753
    @khalidbalala7753 4 роки тому +37

    Nani anatizama 2021 pamoja twende sawa....

  • @SukhairaZaiytun
    @SukhairaZaiytun 7 днів тому

    2025ya uhakika like hapa 🎉🎉🎉🎉

  • @immazakayo3008
    @immazakayo3008 3 роки тому +126

    Aliyetizama 2021 like APA ninamama kija wangu ananipeleka puta mwendo wa ngirii😄

  • @andulileissah7526
    @andulileissah7526 4 місяці тому

    From Jamaica whats a teaser
    Welcome Jamaica king

  • @bolanoman1226
    @bolanoman1226 6 років тому +13

    Bigap sana tunda napenda mziki huu unasauti nzuri tokea hasubuhi nasikiliza sichoki kusikliza

  • @mahamuduabubakar5909
    @mahamuduabubakar5909 2 роки тому +1

    Mziki mziri huishi mr fruit 🤑🤝✌️👍🏿👍🏿👍🏿👏🏾👏🏾👏🏾

  • @alikabeya138
    @alikabeya138 2 роки тому +2

    Safi sana nilikuwaga sijausikiliza kwa makini Big up

  • @Bernardmedia6
    @Bernardmedia6 11 місяців тому +11

    2024 gonga like nyingi tu😂❤❤❤

  • @HajarfeisalOkech
    @HajarfeisalOkech 9 місяців тому

    Yani nampenda sana tunda man Keep it up my brother ❤❤❤❤❤

  • @dicksonndayisaba9300
    @dicksonndayisaba9300 Місяць тому

    Mama kijacho anapenda mapengo! Kumbe supu ya ngamia Cha mtoto

  • @jeremayajeremaya5011
    @jeremayajeremaya5011 5 років тому +8

    mwenyee shatiii laa bluuu mpkaa jashoooo duuuu

  • @ashagowa9037
    @ashagowa9037 5 років тому +21

    Nilipokuwa na mimba Nlikuwa kisirani hatari 2017. Baba mtoto kauimba sana huu wimbo 😂😂😂

  • @erastoerastop7023
    @erastoerastop7023 4 роки тому +1

    Song kali sana ili 2nda 100 chukua kichupa kinaladha ya tende from oman au asali ya Tz km umeeleewa ichi kichupa mwaga like apa👍

  • @moshikikoto5031
    @moshikikoto5031 4 роки тому +50

    2021 ANAETAZAMA HUU WIMBO LIKE HP

    • @aishaamwalimu2887
      @aishaamwalimu2887 3 роки тому

      Mm nimetizama Leo tr /25/5/2021 nimecheka kweli, Tunda mungu amembariki sauti🔥.

    • @issachiwango6460
      @issachiwango6460 2 роки тому

      Tundamani Big up nyimbo napenda mbaya imetilia aswa

  • @salummkandemba780
    @salummkandemba780 3 роки тому +6

    '..Baby unataka ghorofa umechoka nyumba za chini eehh
    Eti ninunue Verosa uende nayo kliniki eeehh...'
    Shubaamiti zake huyu Mama Kijacho, kumtesa Mwamba ndo Nini.??
    Waliopitia changamoto zilizoimbwa humu gongeni likes za kumwaga hapa..

  • @brysonkaita4680
    @brysonkaita4680 2 роки тому +3

    Tundaman man l appreciate you and l have all your songs am from kenya

  • @kingwattanlibz9391
    @kingwattanlibz9391 3 роки тому +16

    2021 still on fire....nyimbo zenye ujumbe wa uhalisia zinapatikana na Tundaman pekee

  • @kennycathles
    @kennycathles Рік тому

    Kanzi Nzuri Bro!!!.... BIG UP Tunda!!!!😊

  • @abduliasarafath5235
    @abduliasarafath5235 3 роки тому +2

    Unafanya vizuri sana jamaa yangu huwa napenda nyimbo zako zinaleta tabasam

  • @erastojackson4252
    @erastojackson4252 4 роки тому +24

    Kumbuka Sana mama kijacho wangu 2017 in Dodoma may her soul rest in peace

  • @fatihiyamtekele1694
    @fatihiyamtekele1694 6 років тому +15

    gud song naipenda kuingalia kila mara siishiwi hamu kazi nzuri xana

  • @lucasjohnmabanda5858
    @lucasjohnmabanda5858 2 роки тому +7

    I think African music is the best in the planet, Kiswahili anoints the music. Congratulations to you Tundaman, 14/04/2022

  • @salomemasunzu4871
    @salomemasunzu4871 Рік тому +1

    Nipo hapa 2023 najionaa Tu haki nilivyobadilika na hii mimba jamani 😌😌😌😌😌🙌🙌🙌🙌 mtoto wa mama mkwe namhurumiaa

  • @nassaritv808
    @nassaritv808 2 роки тому +11

    2023 ngonga likes 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @shamsahajri8145
    @shamsahajri8145 3 місяці тому

    Kanyimbo kazuri hasa etinmimi ndio naskia hii nyimbo yaani naskilizamkila wakati free
    Love tunda ❤

  • @kichenjekichenje2072
    @kichenjekichenje2072 3 роки тому +1

    Ngoma nzuri sn hii.Tunda uko juu miaka 100,kwangu Mimi ni wimbo bora kwa miaka yote.

  • @dorahpaulin8012
    @dorahpaulin8012 2 роки тому +3

    Mwamba unajua sana lakini ulipokuwa shabiki wa simba ndipo ulipoharibu!💚💚
    Hamia chama la yanga utajiona mwenye bahati sana

  • @magrethpoulpoul8585
    @magrethpoulpoul8585 5 років тому +2

    Nkukubar tundamn❤sauti2 bala inafaa sana kuimba qaswida

  • @jumakasim8784
    @jumakasim8784 3 роки тому +5

    Nimekuja kusikiliza tena maana mama kijacho wangu ananivuruga hatar daah!🤰🤰🤰

  • @abdallahmkoyo1113
    @abdallahmkoyo1113 2 роки тому

    Ngoma Kali sana hii nimeisikiliza mara 10000sijaichoka daa 2011 Hadi Leo 2022 ipo Moto hongera tundra man capten Simba mwezangu huyo

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 6 місяців тому

    Hivi ngoma sijui kwanini haikuhit sana, kiukweli ni bonge moja la wimbo.

  • @cosmassospeter4868
    @cosmassospeter4868 4 роки тому +3

    Daaah Kaka umeimba Kaka napata tabu leo

  • @djfinez3193
    @djfinez3193 4 роки тому +11

    2020 Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nawakilisha

  • @innocentmwampeta5635
    @innocentmwampeta5635 4 роки тому +7

    Mpaka 2020 nakasikilizaga tu Kama nawe mmoja wao gonga like twende sawa

  • @rajabuahmadi8302
    @rajabuahmadi8302 3 роки тому

    Mbn umepotea kwenye game mzee!!🙉🙉🙉

  • @dros2128
    @dros2128 6 років тому +27

    For who have doubt about..'' Africans musicians are the best in this planet'' Sit and listen!!!

  • @steventunda8441
    @steventunda8441 3 роки тому +19

    2022......still nyimbo inaishii🔝🎇

  • @eliyachacha2
    @eliyachacha2 2 роки тому

    Kipindi wimbo unatoka sikuwa na smartphone saiv ninayo hongera braza 🤣🤣

  • @lincolnsadumah724
    @lincolnsadumah724 6 років тому +2

    Sauti nyororo kweli ... You stunning Mr

  • @agnesgodfrey2528
    @agnesgodfrey2528 6 років тому +6

    hiiiii ni kijacho band haaa nimeipenda sana

  • @elizabethmwanake8121
    @elizabethmwanake8121 6 років тому +4

    Ivi kama naona mtu unafanana na joti vle more love from +254

  • @bennycyprian8746
    @bennycyprian8746 6 років тому +6

    Kuishi tiz.. raha sana nyie tu.. hamjui 'nce song;

  • @mchopafundisofa3041
    @mchopafundisofa3041 4 роки тому +2

    Weweeee da.....! Inanikumbusha mbali mnoooo 2018 /2020

  • @bamitohamisi1647
    @bamitohamisi1647 7 місяців тому +3

    2024 still listening to this big tune

  • @marthahaule9112
    @marthahaule9112 3 роки тому +3

    Kuna vinana wawili jmn ngoma wameitendea haki

  • @leocadiajohnbinkuchiloveyo8940
    @leocadiajohnbinkuchiloveyo8940 2 роки тому +1

    Tunda uko vizur sana zaindi ya sana, uko juu mtani wangu

  • @omansur6306
    @omansur6306 6 років тому

    .nakukubali kaka good yako mana hii nyimbo mmejuwa kucheza asa uyo mwenye shati ya buru

  • @shaibahkmwangoto8089
    @shaibahkmwangoto8089 5 років тому +11

    Nani aliyeona kiwowo chaaliye vaa shati lablue.

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 4 місяці тому

    Tunda man nakuelewa Sana Mzee Baba

  • @majaliwagessler4443
    @majaliwagessler4443 6 років тому +19

    Jamani mimba ifanye utowe jino la mwenzako eti watamani kuona mapengo🤣🤣🤣🤣

    • @saromemaneno355
      @saromemaneno355 3 роки тому

      Usiombeee ikutokeeee kaka nikisilani sana mimba nyingineeee

  • @saromemaneno355
    @saromemaneno355 3 роки тому

    Wallah shemeji angu saizi anapata shida mdgo wangu anavyopelekeshaaa wallah mimba shikamoooo sina hamuuuu

  • @sudikassim2950
    @sudikassim2950 3 роки тому

    Huu mkwaju bado upo na classic yake broo. Unajua mpaka basi bro

  • @JordanMpande
    @JordanMpande 5 місяців тому

    Huyu jamaa wa kulia komediani sana❤

  • @RamiaMwalume-pk8ec
    @RamiaMwalume-pk8ec Рік тому +1

    Yani hii ngoma tunda ulitulia sana

  • @philipmayalu1844
    @philipmayalu1844 2 роки тому +5

    Huwa na mkumbuka MKE wangu hapa na usumbufu wake. 2022 gonga like goma kuishi.

  • @nurumwangoka9804
    @nurumwangoka9804 5 років тому +20

    Kumbe kawimbo kananoga ndio nasikiliza 2019🔥🔥🔥🔥

  • @estherwangare3101
    @estherwangare3101 7 місяців тому

    Not me watching this knowing very well it's me and my funny cravings 😂😂😂

  • @richardsmithvlogs7959
    @richardsmithvlogs7959 5 років тому +62

    Anyone listen to this beautiful song in 2019?

  • @magrethhaule1940
    @magrethhaule1940 6 років тому +3

    Kazi nzur. Tena mambo ya zilipendwa

  • @yusuphlulex3174
    @yusuphlulex3174 Рік тому +1

    🎉🎉kali snaaa

  • @mbwanasembwana8340
    @mbwanasembwana8340 9 місяців тому +1

    Hii 2024 kama ww n baba kijacho kama mm gonga like tujuane😅😅

  • @ahmedyhassan4059
    @ahmedyhassan4059 2 роки тому

    Hii nyimbo bhn ananifurahisha uyu mpiga nyanga' kakwaduka

  • @OmaryZuberi-o3b
    @OmaryZuberi-o3b 10 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂mwenye shat la bluu ananiachaga hoi miuno yake kautendea haki huu wimbo😂😂😂😂😂😂

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu5255 6 років тому +3

    Hii nyimbo aipiti siku bila kuangalia napenda hawa wakakawanavyocheza mweee!

  • @allyliponda8657
    @allyliponda8657 6 років тому +5

    Hahahahahaha. Mama vijacho mnatupa Shida sana wanaume. Hahahahaha

  • @adamsaid7037
    @adamsaid7037 Рік тому +2

    2023 tujikumbushe hili goma la kwemda

  • @aloycejoseph-wn9wp
    @aloycejoseph-wn9wp Рік тому

    2024 naenjoy uku namtesa bb kija

  • @jaspersimiyu3457
    @jaspersimiyu3457 8 місяців тому

    Kali sana mkuu

  • @user-cm8yz3sb6t
    @user-cm8yz3sb6t 6 років тому +5

    kaka ngoma haichuji naikubali Sana piga kazi

  • @jameskimakuti3916
    @jameskimakuti3916 6 років тому +10

    i lov the song/video everything with it. hizo views million peleekeeni kina nani...domo i mean.ii wacha niipende n kuitazama pekee angu.

  • @rafiadadi6418
    @rafiadadi6418 Рік тому +1

    Nani Nikonae 2023 tunaangalia hii video gonga like hapa😂

  • @binsleyumonlinetv
    @binsleyumonlinetv 2 роки тому

    Aliyeitizama hii nyimbo 2023 tujuane hapa☝️☝️☝️

  • @saidwaziri7556
    @saidwaziri7556 3 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣Dah hivi visa sawasawa na vya mama kija wangu!!Ananiambia natapendeza nikiwa na mapengo😃😃

    • @nabiljumbe
      @nabiljumbe 3 роки тому

      😂😂😂

    • @saromemaneno355
      @saromemaneno355 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wanawake tunakazi na mimba zetu tunakondeshaa watoto wanawake wenzetuuu

  • @aishaabdallah1127
    @aishaabdallah1127 10 днів тому

    Jmn 2025 tuliounza na mam kijacho tujuan maan sio pw unauanz mwak na kibend 😂

  • @mariahbigambo7916
    @mariahbigambo7916 6 років тому +10

    Tunda unabahati umeowa hiyo sauti mi hoi

  • @penningtontv3612
    @penningtontv3612 2 роки тому

    Ngoma saf mzee

  • @armandoleonardo6966
    @armandoleonardo6966 3 роки тому +14

    Gosto muito dessa musica com esse humorista 😀😀 tudo doce 🍬🍬 Tunda Man

  • @user-cm8yz3sb6t
    @user-cm8yz3sb6t 6 років тому +7

    kila nikisiliza hiii ngoma sipati picha IPO kiasili safiii

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 3 роки тому +4

    2021 still listening to this song Tunda Ngoma kari Sana one love from Australia 🙌

  • @oscarmtalis7747
    @oscarmtalis7747 Рік тому +1

    27/1/2024 still here

  • @husseina.hassan8656
    @husseina.hassan8656 2 роки тому +1

    Hivi ndivyo tunavyoingia 2023! Mpo?

  • @raziajolie7774
    @raziajolie7774 6 років тому +11

    Napendaga saaana sauti yauyo jamaa im from Burundi i live in Égypte salaam nyingi kwa Wema S

  • @Jakotybokono
    @Jakotybokono Рік тому

    Nabi Tito made me come back here

  • @garuxpradyt1533
    @garuxpradyt1533 4 роки тому +14

    Anyone still listening this song in 2020 😍.

  • @IBRAHIMBAKARI-z5l
    @IBRAHIMBAKARI-z5l 5 місяців тому

    Ngoma ipo vzr

  • @umikuruthumamasi7760
    @umikuruthumamasi7760 4 роки тому +2

    Wimbo mtam sana nime utafuta sana mpka kichwa kiliwaka moto

  • @hidayamisanya1710
    @hidayamisanya1710 3 роки тому

    Hii Ngoma huwa inanikubusha mbali Sana Ngoma Kali sana

  • @leonardmleno2626
    @leonardmleno2626 Рік тому

    Nakukubali sana mwamba😅😅😅

  • @khalidjafary1120
    @khalidjafary1120 2 роки тому

    Nakukubali mpemba

  • @joseomog9176
    @joseomog9176 4 роки тому +2

    Jamnii usiombe hikuute ii kitu jamnii eeeh mungu wangu tabu nayo pata jamnii

  • @LatifaCharles
    @LatifaCharles 17 днів тому

    2025 namtoa meno mtoto wa ma mkwe uku 😢😢

  • @hamadimgaza9351
    @hamadimgaza9351 2 місяці тому

    Tunda umeishia dirishani kweli

  • @yusuphmjanja145
    @yusuphmjanja145 6 років тому +6

    Schoki kucheki hi ngoma aisee

  • @hamadichepa-ti7lp
    @hamadichepa-ti7lp Рік тому

    Tunda umeimba wimbo wenye uhalisia wa Kitanzania safi sana