Tundaman - Demu sio (Official video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 257

  • @MaryPumpuni
    @MaryPumpuni 20 годин тому +1

    2025 tena hakika MUNGU ni mwema🙏🙏

  • @Irenesilayo799
    @Irenesilayo799 Рік тому +34

    Naiangalia hii ngoma leo tarehe 11/02/2023

  • @mrkella3
    @mrkella3 11 місяців тому +15

    Nimeingia tena leo tarehe 13/1 2024 leo ndo nimejua kumbe mondi pia humu alikuwepo😊

  • @jacksoniyonamnyandwa
    @jacksoniyonamnyandwa 4 місяці тому +10

    jamani hii ngoma ni kali sana.tujuane tunaocheki leo hii mwezi 8 24

  • @joejux1380
    @joejux1380 3 роки тому +40

    Naiangalia hii ngoma leo tarehe
    25/05/2021 HII NGOMA ILITAMBA MNO

  • @juliusuronu8812
    @juliusuronu8812 7 місяців тому +29

    Any one watching this in 2024?

  • @fredypastoryutd4864
    @fredypastoryutd4864 Рік тому +17

    Hii nyimbo inaishi na itaendelea kuishi miaka mingi saana. Maisha uliyoyazungumzia humu ni maisha yaliyopo mtaani kabisa. Bonge la song💪😂

  • @msafiblog
    @msafiblog Рік тому +10

    2023 wote wa humo tayari matajiri NEVER GIVE UP GUYS

  • @jamesminja9963
    @jamesminja9963 Рік тому +4

    Haya ndio maisha tunayokutana nayo kila siku mtaan big up san

  • @ivanosiah5223
    @ivanosiah5223 3 роки тому +24

    Nmemuona mond Kama na ww umemuona like jaman

  • @kopite_fever
    @kopite_fever Рік тому +1

    2023 hii nyimbo nayo 🎉🎉imekua sadfa nlipata dem yangu anacheat na the song was playing nimeirudia sijaamini😅kweli mapenzi upofu

  • @sa3dasa3da87
    @sa3dasa3da87 3 роки тому +4

    Wasanii wazamani wanaimba bwana hawa wasasa dah wanamajina tuy

  • @SahimSalim-l5f
    @SahimSalim-l5f 17 днів тому

    Hili goma TUNDAMAN na Bob Maneck mliuwa sana

  • @Anitha-e3b
    @Anitha-e3b 2 місяці тому

    Wema sepetu wa ururu bonge moja la songs

  • @abushirsulleiman4270
    @abushirsulleiman4270 3 роки тому +9

    Aliemuon diamond nan

  • @kimwerionlinetv5574
    @kimwerionlinetv5574 3 роки тому +9

    Tundaman peace sana yani ukicheki video zake nyingi kawakusanya wasanii mahali pamoja safi sana broo kwa upendo wako huo

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 Рік тому +4

    Maisha yanaenda kasi sana, Diamond na mr white kama mavideo vixen

  • @robbytz4243
    @robbytz4243 3 роки тому +2

    Ngoma kali xnaa ilivuma xnaa enz zile mpaka xax hv mm nakubali xnaa

  • @zepherthedon9613
    @zepherthedon9613 3 місяці тому

    Nadhani hiki ndo kizazi cha mastaa kilichosumbuaa na kilichokaa kwenye peak kwa Muda mrefu zaidi… sina uhakikaa kama itatokea Tena Mastaa wengi wakasumbua kwa wakati mmoja kama hawa 🙌🙌🙌 1/10/2024 still watching this HiT 🔥🔥

  • @SemeniSelemani-v7c
    @SemeniSelemani-v7c Рік тому +3

    Naiangalia hii ngoma Leo 25.12.2023

  • @MwitaBoy-e8s
    @MwitaBoy-e8s 2 місяці тому

    Tujuane huu wimbo ambao mademu zetu wanazingua kama alivyoimba tundaman

  • @Prettyloner_Z
    @Prettyloner_Z 2 місяці тому

    Rumor has it that this song was written by mond, when he was having issues with Sepetu but he didn't want to sing it and gave it to Tundaman so he can sing it but the woman alieimbwa humu ni yeye(sepetu).... As I said Rumor has it.... 2024 still a banger

  • @FatmaOtomali
    @FatmaOtomali 5 місяців тому

    Kuna muda hii dunia unakua tu cool, maisha hayagandi daah,.

  • @GidolaxGido
    @GidolaxGido Місяць тому

    🔥🔥🔥 vya kale dhaabu

  • @TatuNzeyimana-n9l
    @TatuNzeyimana-n9l Рік тому

    Nami naikumbuk Leo jmn 22/10/2023 km mnaitizama lik jmn mkumbushie leo ❤❤❤😂😂Tundaman lik zang jm

  • @saidkulindwa2790
    @saidkulindwa2790 7 місяців тому +5

    tusiwe na haraka ya maisha hawa wote wamekuwa mabonge hatar

  • @AshirunaIsmail
    @AshirunaIsmail 3 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ nakuelewa sana

  • @mufamozmufash166
    @mufamozmufash166 4 роки тому +19

    Longtime all stars were young,shishi,anty ezekiel,wouper, diamond,tundaman,jotiiiiiii,lulu ....Du jamaa mutoka mbali.

    • @reginabakari988
      @reginabakari988 3 роки тому +1

      Lulu nae wa kitambo anaonekana Kama mdogo lakini mkubwa

  • @yusufgagamuhammad2674
    @yusufgagamuhammad2674 Рік тому +2

    Sauti ilootulia kabisa isio taka ukarabati

  • @wamtila
    @wamtila 11 місяців тому +2

    Tunda taali nailudia Ngoma hii kwamala yapili Ili nisahau

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 місяці тому

    Za kale kali kwelikweli.🇹🇿✌️

  • @albertmattaba1705
    @albertmattaba1705 3 роки тому +4

    Nyimbo ilikuw 🔥🔥🔥🔥

  • @anfrashadvertiser4801
    @anfrashadvertiser4801 10 місяців тому

    Mimi nakumbuka STYLE HII ilitambaa sana hadi DIAMOND ALIIBA uyoooooo! Sioooooo!

  • @rahmazahor4333
    @rahmazahor4333 3 роки тому +3

    Umemuona Diamond 2:25 ....Watu tunatoka mbali.....

  • @stevemwimbwa1795
    @stevemwimbwa1795 10 місяців тому +1

    Nkumbukàa mbali xn hii ngoma

  • @ZawadiNambari
    @ZawadiNambari 6 місяців тому +4

    12'06'2024 😅😅 wadada walikuwa warembo sana

  • @Yassin__gelegeza
    @Yassin__gelegeza 3 місяці тому

    Tarehe 19/09/2024 Nimekuja kuona kama diamond yupo baada yakuon interview yako timesfm

  • @JamalyzoBunayamilanziJamalyzoB

    Lizo boy7 naiangalia ngoma hii leo tareh 11/10/2023

  • @ZoombiePlatinumz
    @ZoombiePlatinumz 7 місяців тому +25

    Tulioirudia hii ngoma mwaka huu tujuane kwa like

  • @Anitha-e3b
    @Anitha-e3b 5 місяців тому

    Aisee hiii bonge la ngoma huchoki kuiskilza

  • @Imadalie
    @Imadalie 6 місяців тому

    Alioukwaaa mond au sijaelewa nyimbo hii

  • @yohanaphediaphediantayagar5944
    @yohanaphediaphediantayagar5944 3 роки тому +5

    Nani kaona mondi akipiga jimu weka like apa

  • @regnaldjudicala9981
    @regnaldjudicala9981 2 місяці тому

    Kitu bora hudumu daima

  • @mzeiyawavituz9725
    @mzeiyawavituz9725 3 місяці тому

    Sijawahi kujua hii nyimbo diamond yupo

  • @dearotto8402
    @dearotto8402 3 роки тому +1

    2:14 hawa wadada hawa daah walitikisa sana jiji🙌🙌

  • @saidtembele3070
    @saidtembele3070 Рік тому +2

    Reminds me 2012-2013's something like that...
    I was in form two, three
    Today 01.july.2023

  • @jilesjames7830
    @jilesjames7830 Рік тому +2

    Time zinaenda kasi saana🙏🙏🙏

  • @dearotto8402
    @dearotto8402 3 роки тому

    2:59 mjomba chibu mmmh kumbe ndo mlikotoka na aunt duuh🙌🙌

  • @rosenovath2805
    @rosenovath2805 3 роки тому +2

    Nakupenda sana tunda man

  • @hassanguzo8026
    @hassanguzo8026 7 місяців тому +1

    Woyoo 12.5.2024 ninoma sana huu sasa ndoulikuwa mziki❤❤❤

  • @floranyasasi2342
    @floranyasasi2342 2 місяці тому

    October 2024 and big love kwa Diamond ❤❤

  • @radmanpetro7915
    @radmanpetro7915 3 роки тому +1

    Nakumbuka mbali sana

  • @bijankiso2922
    @bijankiso2922 Рік тому +2

    Bijan Cocktail Niko hapa tar 05/09/2023

  • @allenizerofficial2690
    @allenizerofficial2690 3 роки тому +8

    brodah ulkuwaga wa moto xanaa🔥🔥try to back on game

  • @carloskato1088
    @carloskato1088 3 роки тому +12

    Still loving the song 23-09-2021 one in a million

  • @shafiihamis2344
    @shafiihamis2344 3 роки тому +15

    Og nyimbo nzuri Sana 2021

  • @Rukiya-i7q
    @Rukiya-i7q 10 місяців тому

    Napenda iyi nyimbo sana ❤❤❤😮😮😊

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 3 роки тому +2

    Ila tunda uliufanyia kazi mziki baba

  • @balegadaffi4472
    @balegadaffi4472 3 роки тому +30

    2021 still love dic music

  • @Anitha-e3b
    @Anitha-e3b 4 місяці тому

    Bonge Bonge la ngomaaa baraaa

  • @AaAa-tf7sl
    @AaAa-tf7sl 3 місяці тому

    Kumbe jot alitoka mbal😂😂😂🎉🎉🎉

  • @Africa-n1u
    @Africa-n1u 3 роки тому +2

    Tunda na chebe wanafanana sauti 😊

  • @bigboni3660
    @bigboni3660 3 роки тому +1

    Nyimbo zetu

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 2 роки тому

    Hii kitu bado tamu sana jamanj

  • @SupremeCryptos
    @SupremeCryptos 2 місяці тому

    kama bado unamkubali 2nda gonga like hapa

  • @elifazmpozayo2930
    @elifazmpozayo2930 Рік тому

    Ngoma inanikumbusha mwaka 2012 kipind nipo form2 Saza sec school

  • @VeroniqueMikato-gc1ek
    @VeroniqueMikato-gc1ek Рік тому

    19/06/2023 mara nyingine ,inaishi milele hii ngoma kk

  • @aboubakarkay9944
    @aboubakarkay9944 9 місяців тому

    Powa mzee

  • @RoshiAnzuruni
    @RoshiAnzuruni 9 місяців тому +1

    2024 pamoja kwajili ya diamond

  • @SalumKapilima
    @SalumKapilima 4 місяці тому

    Kitombo sana

  • @maelezomaelezo9057
    @maelezomaelezo9057 4 роки тому +4

    Ma star walikuwepo kwenye ngoma hii noma

  • @rosemaryjoseph2346
    @rosemaryjoseph2346 2 роки тому +1

    Enzi zileeee😋😋😋

  • @kassimngumamsomali8924
    @kassimngumamsomali8924 2 роки тому +3

    namuona simba alkua bado anakula nyasi

  • @JosephatWesonga-ef7gq
    @JosephatWesonga-ef7gq Рік тому

    Nishai big up

  • @zaidymohammed2036
    @zaidymohammed2036 3 роки тому +5

    Hii ngoma naikubali hataree 2021

  • @vinniechymall9801
    @vinniechymall9801 3 роки тому

    Jamani nimeona Mtoto wa wolper au ni Dadake wamelandana Sana Aisee

  • @bestfactsever9039
    @bestfactsever9039 Рік тому +2

    Best song ever👍❤️‍🔥

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 9 місяців тому +4

    Anyone 2024? 😊😊😊

  • @LucyNjeri-e3p
    @LucyNjeri-e3p 4 місяці тому

    Nani ameona mondi....

  • @bossumrahthedon250
    @bossumrahthedon250 4 місяці тому

    Kipindi hicho kusah yupo class4 Dah sema Mungu mkubwa😂😂

  • @dusabelatipha2405
    @dusabelatipha2405 Рік тому

    Ngoma itakuepo paka mwisho

  • @FattyDapetty-tj9vr
    @FattyDapetty-tj9vr 7 місяців тому

    Aya nmeingia Tena mwez wa 5 2024

  • @Simba_the_drummer
    @Simba_the_drummer 3 роки тому +7

    That Front flip at the end got me dead😂😂😂😂 but still favorite song 2021 💯

  • @shezzykezzy975
    @shezzykezzy975 Рік тому +2

    Old is gold 🔥

  • @ottomantunechil7346
    @ottomantunechil7346 4 роки тому +5

    This waz ma favorite!!

  • @agustinoboaz2214
    @agustinoboaz2214 3 роки тому +1

    Nomaaa xna miaka ilee

  • @Swahili_Wisdom
    @Swahili_Wisdom 3 роки тому +1

    Dah Muda unakwenda Kasi sana...Guys Fanya Jambo La Maana Miaka 10 ijayo sio Mingi

  • @peterkaluba4357
    @peterkaluba4357 Рік тому

    Naiangalia leo tarehe 14/4/2023

  • @samaboy2592
    @samaboy2592 4 роки тому +3

    Noma

  • @janeymhando
    @janeymhando 2 роки тому +3

    Ila this song bhanaa..!Bonge Moja la SCRIPT🔥 still give me vibes....😍na kunifundisha piaa.,vyte vinapita,,All the video vixen there now are mothers and wife.!✌️(let's save for the future also ladies)

    • @janeymhando
      @janeymhando 10 місяців тому +2

      im here again today😅

  • @PolycarpMchomvu
    @PolycarpMchomvu 8 місяців тому +1

    Naangalia 13 mwenzi 4 2024

  • @abdullahiabdirahman2301
    @abdullahiabdirahman2301 4 роки тому +8

    Mpaka comedian joti ako available

  • @winfridmsindo984
    @winfridmsindo984 3 роки тому +5

    Leo 27:06:2021 ngoma ilitembea sana

  • @OmarMzee-f8p
    @OmarMzee-f8p Рік тому +1

    Me nmeiangalia tena leo 26/8/2023 😅

  • @OscarAsukenie
    @OscarAsukenie 3 роки тому +2

    Wangapi Tumemuona Platnumz Simba?

  • @sa3dasa3da87
    @sa3dasa3da87 3 роки тому

    Hivi shishi hautamani huu mwili wake wa zamani

  • @rosemaryjoseph2346
    @rosemaryjoseph2346 2 роки тому

    Iko poa sana hii nyimbo

  • @barakamwampashe2155
    @barakamwampashe2155 3 роки тому

    Nawapata vizuri

  • @adrofujonasi1898
    @adrofujonasi1898 2 роки тому

    Kumbe joti alianzia mbali

  • @AshaSalumu-w5v
    @AshaSalumu-w5v 14 днів тому

    Wenoma.acha.goma.goma.imendasana