D Voice feat Mbosso - Tunapendana (Official Visualizer)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Click👇🏾 Download The Song
    dvoice.lnk.to/...
    Tunapendana (We love each other) is a beautiful celebration of love and connection. The song captures the deep emotions of longing, joy, and devotion in a relationship, where both partners cherish and support each other through life’s ups and downs. With soulful vocals and heartfelt lyrics, it’s a reminder of the magic of true love and the happiness it brings.
    / @itsdvoice
    For Bookings:
    dvoice@wcbwasafi.com
    Follow D Voice On:
    Instagram: / dvoice_ginnii
    Facebook: / dvoice_ginnii
    Twitter: / dvoice_ginnii
    TikTok: / dvoice_ginni
    #DVoice #Music #Wasafi
    Copyright ©2024 WCB Wasafi. All rights reserved.

КОМЕНТАРІ • 1,9 тис.

  • @Happy-z8u
    @Happy-z8u 2 місяці тому +290

    Mm apa sitaki like nataka ziende kwa mbosso

  • @princedenooh-p7m
    @princedenooh-p7m 2 місяці тому +89

    ni mkenya yupi yu ndani....kama unamtambua mbosso weka tick🥰🥰

    • @hamadimwadime
      @hamadimwadime 2 місяці тому

      Kenya pia kuna msali mkani sana na ni Gxy

    • @NawezaBoy
      @NawezaBoy 12 днів тому

      saw kaka upo saw

    • @NawezaBoy
      @NawezaBoy 12 днів тому

      kaka tunaweza tukasaidiana kimuzik

    • @NawezaBoy
      @NawezaBoy 12 днів тому

      by n nipo mwanz

  • @daverboy_official3833
    @daverboy_official3833 2 місяці тому +1138

    Wakwanza kutoka Kenya ,,likes za mbosso niekeeni

  • @collinskipkorir4501
    @collinskipkorir4501 2 місяці тому +43

    Sisi kama wakenya Nairobi imekubali Mbosso ni mnyama🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
    Gonga like ya Mbosso Khan Mshedede..one love

  • @Kifuucomedy
    @Kifuucomedy 2 місяці тому +384

    D voice singeli zilikuwa siyo hazi yako sasa hivi tunainjoi sana song zako kama unamkubali D voice usipite bila ku like ❤

    • @jamesmboneko2952
      @jamesmboneko2952 2 місяці тому +4

      Sahivi angekuwa na kipensi cha jeans 😂

    • @ElvisKevin-l3h
      @ElvisKevin-l3h 2 місяці тому +5

      Fantastic opportunity

    • @Godchila03
      @Godchila03 2 місяці тому +3

      Anamistar smplle sana flavor haichange

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 2 місяці тому +1

      Kabisa❤🎉

    • @gifterianmsupa
      @gifterianmsupa 2 місяці тому +5

      ❤ jamani nainjohi pia sauti tamu yakumtoa nyoka pangoni .

  • @JKRules9
    @JKRules9 2 місяці тому +13

    Verse ya Mbosso hatariiiii

  • @LuckyMoses-w6t
    @LuckyMoses-w6t 2 місяці тому +160

    Mbosso ni hatari sio nini 😊 ni kama ulitoroka na daftari yamoto band🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @samuel_muigai-020
    @samuel_muigai-020 2 місяці тому +41

    Mbosso Khan kweli mtunzi hodari zaidi. Hongera kwa wimbo ambao wavutia sana. Team Kenya upo juu zaidi.

  • @henricktullo-yw6kg
    @henricktullo-yw6kg 2 місяці тому +312

    Mbosso Afungwe Kwa Kosa la mauaji aliyoyafanyanya Kwa mtoto wa elfu mbili
    Mbosso ni definition ya muziki🇹🇿🇹🇿🇹🇿✔️📢🎧🎧🎧🎧🎧

  • @NasbyDragon-t5p
    @NasbyDragon-t5p 2 місяці тому +145

    Kama unamkubali mbosso khan usipite bila kunipa like kwaajili yambosso❤❤❤

  • @VanBonheur-t6y
    @VanBonheur-t6y 2 місяці тому +9

    Mbosso naku kubali sana encore fort 🇨🇩

  • @abdulmutwi
    @abdulmutwi 2 місяці тому +314

    Tutorudia verse ya mbosso gonna like hapa ❤😮

    • @damiandamien4387
      @damiandamien4387 2 місяці тому +3

      Ametisha sana

    • @abdulmutwi
      @abdulmutwi 2 місяці тому +3

      @damiandamien4387 That is the way to go

    • @limymasele21
      @limymasele21 2 місяці тому +1

      Mshenzi sana Mbosso

    • @moviesreview101
      @moviesreview101 2 місяці тому +2

      Kwa sababu za kibiashara hii Ngoma inakosa remix Kali damn @harmonize angefanya maajabu sana.

    • @RashidMchoro
      @RashidMchoro 2 місяці тому +1

      ❤❤❤ mbosso

  • @philomenamushi5606
    @philomenamushi5606 2 місяці тому +13

    MBOSSO KANIVUTA KUJA KUCHEK HII NYIMBO NA VIDEO ALOOH❤❤❤ VERSE KALI SANA

  • @TonieMwangi-b6b
    @TonieMwangi-b6b 2 місяці тому +21

    Mbosso Khan ata hujali we had given up on love,bora nikipenda tena nikiachwa utunge wimbo wimbo wakuniliwaza... bomboclaaat🇰🇪🔥

  • @DubeChinkoje-t3q
    @DubeChinkoje-t3q 14 днів тому +3

    Unyama mtu wangu hadi wabongo wamekubali kazi mwendo wa raha2 hatupoi

  • @topaztz7601
    @topaztz7601 2 місяці тому +13

    Mbosso, utafutiwe Dunia yako ukaishi kaka, umeshindikana kwa kweli ❤❤

  • @BakariHassani-j3y
    @BakariHassani-j3y 2 місяці тому +3

    Team mbosso apa mboso we hatari umemfunika adi dogo

  • @patiencesamba9467
    @patiencesamba9467 2 місяці тому +10

    D voice mzuri banaa 🤪alafu sasa huyo mbosso hiyo mistari ya mapenzi umetisha🤗

  • @ThomasMuhanga
    @ThomasMuhanga 2 місяці тому +9

    Sema mbosso anajua sanaa kibayaa zaidi kwenye collaboration zake shall out kwakee

  • @Mmms1w1Yyy1h1y1
    @Mmms1w1Yyy1h1y1 2 місяці тому +11

    Mbosso utamuwa uyu mtoto divoice unamuonesha kama wewe ni king

  • @KeemDissa
    @KeemDissa 2 місяці тому +95

    wale wametoka TikTok kuskiza part ya Mbosso piga ✅

  • @luckyluchano1
    @luckyluchano1 2 місяці тому +27

    Mbosso ni fundi wa mafundi kwa kutunga habahatishi. Yarabi akujalie maisha marefu🎉❤

  • @BOYSPPOPOOBLESSING
    @BOYSPPOPOOBLESSING 2 місяці тому +7

    @mbosso Khan
    Umemkanyaga UYU fala Sana 🎉mbosso wewe ni teacher Kwa d voice

  • @nestor_nyb
    @nestor_nyb 2 місяці тому +38

    dvoice kwenye huu wimbo umependeza sana kuzidi nyimbo zote🎉🎉

  • @ReaganOchieng-us5g
    @ReaganOchieng-us5g 2 місяці тому +40

    kama unapenda huu wimbo just like hapa,,tafadhali lets show some love to these guys..so lit💥💥

  • @Bigger.99
    @Bigger.99 2 місяці тому +6

    Mbosso mahabati amefanya mauaji🎉🎉🎉🎉

  • @keith-ondoro1
    @keith-ondoro1 2 місяці тому +49

    Team mbosso kenya gonga likes tukisonga

  • @habibabdallah6718
    @habibabdallah6718 2 місяці тому +7

    Wow 👌 yani mboso umeamuwa kufunga mwaka kwa vishindo

  • @mathewdeus9978
    @mathewdeus9978 2 місяці тому +2

    Mboooooo... Khan Mdudu❤ kaubeba wimbo katisha sana.

  • @chibbodangote
    @chibbodangote 2 місяці тому +10

    NGOMA N KALI LAKINI MBOSSO KAUA JAMANI 🎉🎉🎉

    • @ramadhanmkombelwa3065
      @ramadhanmkombelwa3065 2 місяці тому +1

      Huyu Mbosso Ukiskia Nyimbo zake Utaona Mapenzi Matamu Ni vile Tu Ujapata ,Aliye Kupenda Kwa Dhati ❤❤❤

  • @mjsteven3297
    @mjsteven3297 24 дні тому +2

    Mpaka mwenye wimbo kafunikwa.
    Kweli d voice kuimba hajui, ila amebebwa tu

  • @SadikAlly-v8q
    @SadikAlly-v8q 2 місяці тому +8

    Mbosso kama mbosso umeuwa sana kaka

  • @FelixMutua-m3w
    @FelixMutua-m3w 2 місяці тому +8

    Wangapi wameskia msemo wa mnyama Tembo💪 hatari sana

  • @BahatiFaida-l2d
    @BahatiFaida-l2d 2 місяці тому +9

    mbosso bana acha ubaki kuwa fundi tu Yani una juwa sana

  • @daudimwanza
    @daudimwanza 2 місяці тому +33

    Wale wako hapa baada ya Konde kuinua mkono verse ya Mbosso..waweke likes zao hapa🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Bravoo_layzer
    @Bravoo_layzer 2 місяці тому +396

    Tunaosema mbosso kaichakaza Ngoma like hapa❤

  • @vallarymanyonge
    @vallarymanyonge 2 місяці тому +11

    The song is mwaaa...but Vida ingekua na dance Moto ya kiluhya.❤❤❤ representing the luhya land...bakhana baluhya vindu maridadi...dem wa Facebook akiwemo na Vera sidika

  • @nations-m8d
    @nations-m8d 2 місяці тому +7

    mbosso kafunika D voice

  • @cyrilrotich
    @cyrilrotich 2 місяці тому +9

    Watching this after heartbreak 💔 mapenzi ni mbaya guys much love mbosso from Kenya 🇰🇪❤️

  • @Ptr-xg4tu
    @Ptr-xg4tu 2 місяці тому +119

    Japo nimechelewa, naomba japo like 10 tu kwaajili ya Mbosso Khan 🙌🏻

  • @AllyHassan-g8y
    @AllyHassan-g8y 2 місяці тому +16

    Mboso kiukweli anajua sana d voice kakutana na fundi

  • @teddbizz
    @teddbizz 2 місяці тому +14

    Mbosso kafunika Uyu jamaaa❤❤😂

  • @Qbaby814
    @Qbaby814 2 місяці тому +3

    Kweli Harmonize anahaki kushoosha mikono juu kwa hii verse ya Mbosso Khan

  • @johnnchora3215
    @johnnchora3215 2 місяці тому +14

    Mboso ni mchawi sana amemkabia kwajuu d voic

  • @gilberteugen9865
    @gilberteugen9865 2 місяці тому +2

    Mistari ya Mbosso Khan ya kufungia mwaka kabisa

  • @andrewkamau8502
    @andrewkamau8502 2 місяці тому +8

    Mbosso kaua hii ngoma. 🔥

  • @PeshMwangi-s7o
    @PeshMwangi-s7o 24 дні тому +5

    wangapi wamerudi after hii video kurudi... wapi likes za dvoice

  • @wilsonsilva3718
    @wilsonsilva3718 2 місяці тому +6

    wa kwanza naomba like zangu jamani safadali...nymbo mkali

  • @RoyAshuma
    @RoyAshuma 2 місяці тому +6

    Wapi Maua yake Lizer.....katenda haki kwenye mixing...Lizer producer hatari....bomboclat🔥🔥🔥

  • @ZIGG1-
    @ZIGG1- 2 місяці тому +14

    Mbosso Khan Funs From Rwanda 🇷🇼 likeeee

  • @rashidmasoud9015
    @rashidmasoud9015 2 місяці тому +5

    Nasubir sana kolabo mbosso na alikiba ❤❤ D voice umejitahidi Sio mbaya

  • @evertonblinq1218
    @evertonblinq1218 2 місяці тому +23

    Mbosso made this song to be a hit 🔥🔥

  • @LucyElias-zf3tl
    @LucyElias-zf3tl 2 місяці тому +7

    Hakuna wimbo naupenda kama huu japo Sina wakunipenda kama wimbo ivoivo I love wote mlioimba

  • @HajiMaster-fz1hq
    @HajiMaster-fz1hq 2 місяці тому +193

    Wa Kwanza Mimi kama Unamkubali D Voice Usipite Bila Kugonga Like Hapa

  • @TenWamba
    @TenWamba 2 місяці тому +6

    Ila Ii nyimbo awajajua kucheza UWO ngo kweli?? Kama kweli weka like chini apo

  • @AntonioJoãonamiva
    @AntonioJoãonamiva 2 місяці тому +8

    Dah mbosso wee ni atary 👌

  • @edwardmbonika5102
    @edwardmbonika5102 2 місяці тому +8

    Mbosso mwanasimba mwenzetu umetishaa

  • @Rojababy-f9v
    @Rojababy-f9v 2 місяці тому +14

    Nimekomet nikiwa wa Kwanza kutoka Uganda 🇺🇬 msinyinyime like ❤

  • @PitaKadilana
    @PitaKadilana 2 місяці тому +1

    Daaaaaaahhhh jmn mbosso anajua sana kuimba anapga pale pale anajua za vichwa kama zidane zizu

  • @Bradleycarlostawai
    @Bradleycarlostawai 2 місяці тому +9

    Wa kwanza kutoka kenya, nipeeni likes zangu ❤

  • @DirectorByNgomebrown
    @DirectorByNgomebrown 2 місяці тому +13

    ❤❤❤ wanao mkubari mbosso acha like hapa ❤❤❤

  • @maragoliqueen8951
    @maragoliqueen8951 2 місяці тому +59

    First lady from Kenya nipeeni likes zangu

  • @asap.babjih.
    @asap.babjih. 2 місяці тому +8

    Talent 💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @faustydeman6236
    @faustydeman6236 2 місяці тому +6

    Mbona kama Mbosso kaua hii verse❤❤

  • @SalumSalum-o3n
    @SalumSalum-o3n 2 місяці тому +2

    Mbosso nakupeda sana

  • @frankmanjati19
    @frankmanjati19 2 місяці тому +57

    Sijawai pata like za mbosso khan jmni

  • @victorjuma3024
    @victorjuma3024 2 місяці тому +6

    From kenya likes za mbosso jameni❤❤❤❤🎉

  • @naplousemukunzi10
    @naplousemukunzi10 2 місяці тому +14

    Walahi MUNGU hakupi vyote
    Mbosso ni hodali wa nyimbo za mapenzi muno
    Ila muonekano sasa du!!😅😅

  • @ABDULAZIZALJABRI-z4z
    @ABDULAZIZALJABRI-z4z 2 місяці тому +4

    Jamani mbosso basi unawaumiza sana wapunguzie dozi

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 2 місяці тому +40

    Kma unalikubali hili dude tujuane wapi like za mboso kani mshedede team 🇹🇿🇴🇲🇸🇦🇧🇮🇰🇪🇦🇪

  • @martinchanzera
    @martinchanzera 2 місяці тому +2

    Mbosso never disappoints 😃 mzee khan endelea hivyo

  • @Freddymedia-p7d
    @Freddymedia-p7d 2 місяці тому +31

    Nigerians 🇳🇬, tanzanian🇹🇿, Burundians🇧🇮,congolese🇨🇩, Ugandans🇺🇬, Americans🇺🇸, Zambians🇿🇲, south Africans🇿🇦, Zimbabweans🇿🇼, Rwandans🇷🇼, Namibians🇸🇸, Kenyans🇰🇪,my wicked landlord and I approve this song as our unite anthem

    • @Eric-u3k
      @Eric-u3k 2 місяці тому

      yukbbmb 0:00

  • @iambrownbway4118
    @iambrownbway4118 2 місяці тому +5

    Kama bomboclaaaaaah ni mwamba gonna like hapa

  • @KidalosMafumbula
    @KidalosMafumbula 2 місяці тому +4

    Simba wa baadae dvoice

  • @james_light
    @james_light 2 місяці тому +6

    Watanzania skizeni nyimbo zangu 💥💥💥💫

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 2 місяці тому +5

    Unyamwezi sanaaa mahaba Niue love song 🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️ashiki matununu Bombo Kati unamjua ww huyo nimjomba chumali😂😂😂😂😂😂Mzee wa ndum

  • @leonardmeshack2661
    @leonardmeshack2661 14 днів тому +2

    Nyimbo kubwa!! Video ya kawaida sana

  • @MozambiqueGospel
    @MozambiqueGospel 2 місяці тому +18

    Nimesikiya sauti ya harmonaze Bomboclass kama na wewe umesikiya weka like tujuwane

  • @tediusodhiambo6031
    @tediusodhiambo6031 2 місяці тому +2

    Mbosa ❤❤❤kaa ukijua nakupenda vle unapanga kazi zako na ni kutoka kitambo c sai bro keep it up🎉🎉natoka Kenya 🇰🇪

  • @KELVINNYASIMI
    @KELVINNYASIMI 2 місяці тому +17

    mbosso khan ati ....... nilo kupenda we ashki majununu ............. you killed it broo mistari baada ya mistari

  • @LambertOmalanga
    @LambertOmalanga 2 місяці тому +2

    Mbosso ka fanya kazi kabisa umemwandikia d voice kabisa

  • @KelixCreative
    @KelixCreative 2 місяці тому +10

    This is for Mbosso. Stay strong brother 💪

  • @SimonIbuyeston
    @SimonIbuyeston 4 дні тому +3

    D voice tiya nguvu mingi uwazidi

  • @mijibaby9152
    @mijibaby9152 2 місяці тому +10

    Dogo anajuwa sanaaaa👌🏽👌🏽👌🏽

  • @bonnieharris6307
    @bonnieharris6307 2 місяці тому +2

    Mbosso hapa aliua msee lyrics sumuu💪

  • @FreddyJackson-d3m
    @FreddyJackson-d3m 2 місяці тому +9

    Kama unamkubali macvoice na mbosso gonga like

  • @thabitdaudi9815
    @thabitdaudi9815 2 місяці тому +7

    Hii nyimbo ungemuachia tu mbosso d voice kaharibu tu

  • @gigicr7400
    @gigicr7400 2 місяці тому +13

    D voice & mbosso know how to sing speciale romantic songs ❤❤❤❤❤number

  • @tuairjumatuair7809
    @tuairjumatuair7809 2 місяці тому +1

    Ngoma Kali mbosso king 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @Mrp_manguluwe
    @Mrp_manguluwe 2 місяці тому +6

    Dah ❤❤ hii ngoma imeukamata mtima haki yanani naisi huu wimbo wameimba kwaajili ya dem wangu😅😂😂😂

  • @NaifaAbdala
    @NaifaAbdala 2 місяці тому +4

    Hakuna nyimbo nnlowai ipenda zahawa watu ispokua hii ❤

  • @FabianusMorice
    @FabianusMorice 2 місяці тому +4

    Mbosso wewe unajua mpk Sasa unafanya sifa kwenye music wewe kwel muhindi wa kusini

  • @AsmoreTune07
    @AsmoreTune07 2 місяці тому +22

    Andika ombi lako Kisha tuombe Kwa pamoja mwakani tuombe mabadiliko kwenye familia zetu na watu wanaotuzunguka,# Ameni

  • @milasbaibe307
    @milasbaibe307 2 місяці тому +14

    Mboso khan unajua mpaka basi mistari imenyooka na ya kweli ❤❤❤

  • @michaelkaunda9557
    @michaelkaunda9557 2 місяці тому +6

    Mbosso is a lyricst much love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @NgendaJunior
    @NgendaJunior 2 місяці тому +10

    Mbosso humu ndani kauaaa aiseeee...

  • @sarahdola4737
    @sarahdola4737 2 місяці тому +5

    D voice is the next mbosso...spectacular mentorship and collaboration

  • @chocolatestabilizer9505
    @chocolatestabilizer9505 2 місяці тому +5

    Naskia saying ya zuchu kwa mbali😅😅😅. Big up for both Mbosso na mwanawe.Dvoice.

  • @GradisMwanika
    @GradisMwanika 2 місяці тому +1

    Ila mbossa bhn sasa ulianza kujitambulisha kwan hatukujui😚😚😚😚

  • @conjux273
    @conjux273 2 місяці тому +5

    Nana mwingine anarudia apo pa bomboclat ❤