Yaan mimi kila ndoto ninyoota lazima itokee sema hua sielewi ni nzuri au mbaya nikiamka ni kuvunja yaaan😅😅😅😅😅😅😅maombi ya kukemea kumbe nyingine sio mbaya
Shalom mtumishi! Mimi Jana niliota nilikuwa nimefanya mtihani matokeo yakatoka nimechaguliwa na nimeletea form ya kujiunga na chuo cha kanisa sasa sielewi nini maana ya hii ndoto
Mtumishi... i am a pastor here in Kenya kirinyaga county.. but i have a lot of difficulties in the ministry, for 30 year's serving under my Bishop.. know they are pushing me out.. without any thing.. nikotu kwa mpango wa mungu kweri??? Niko down Sana, please help
Unatakiwa uelezee vizuri maana ipo fupi haina maelezo ya kutosha. Pia ni vizuri tizama sehemu ya kwanza. Lakini kwa haraka umenyanganywa kiuharisia sasa sijui ni ndoa, uchumi?
Mtumishi mimi huota ndoto za ajabu sana yaani kwa mda wa dakika tano naeza ota nimeenda mahali nimekaa huko mpaka nimelala hkuko na kesho yake nikaamka ...ila kumbuka hio ni ndoto ya dakika tano pekee😂😂 yaani nimenda kwa mtu nimelala mpaka naona ni kesho yake na ni mda wa 5min pekee
Haijalishi imepita mda gani najiungamanisha katika jina la yesu
Asante mchungaji kwa somo zuri linalofungua macho ya rohoni
nimeona maono mingi hadi nikakuona sunbella ukija kuninusuru kwenye hali niliokuwa nayo mara mbili ningependa sana kujua mengi kuhusu hiyo
Naam.!...nko apa mtumishi!!...nakupata na kukuelewa vizuri sana.
AMEEN
Hamjambo mm huota na kujipata sina amani
Hiyo ni kweli. Mala nyingine Mungu anazungumza na sisi shida tunadhindwa kutafsili ndoto
Ni somo zuri pastor Nina swali katika hili nawezaje kuitawala ndoto
Asante sana pastor Mimi nimhanga sana wakuota kula,nashukuru Mungu umenifunulia ufahamu wa hii ndio Barikiwa sana na familia yako
Be blessed Pastor ni kweli hizi ndoto huwa naziona Sana lakini Sina ufahamu wa ndoto naomba Mungu anifungue
🙌🙏🙏🙏
Aksnte nimeelewa na kufunguka
Amen ubarikiwe 🙏👍
Amen bado nazidi kujifunza zaidi.....
Amen
Ameni
Yaan mimi kila ndoto ninyoota lazima itokee sema hua sielewi ni nzuri au mbaya nikiamka ni kuvunja yaaan😅😅😅😅😅😅😅maombi ya kukemea kumbe nyingine sio mbaya
Ndio ufatilie Soma Sasa na uelewe ili uwemakini
😂😂😂😂😂unaweza kuvunja na baraka zako fuatilia somo vizuru 😅
AMEEEEEEN
Am really blessed with these teachings...Thanks pastor
Asante Kwa ushuhuda mzuri
🙏🙏🙏
Asante kwa mafundisho
Ahsante sana
barikiwa Mtu Wa Mungu
Naota nakula nama mara nyingi nikiamka najisikia kutapika siku nzima
Shalom mtumishi! Mimi Jana niliota nilikuwa nimefanya mtihani matokeo yakatoka nimechaguliwa na nimeletea form ya kujiunga na chuo cha kanisa sasa sielewi nini maana ya hii ndoto
Mtumishi... i am a pastor here in Kenya kirinyaga county.. but i have a lot of difficulties in the ministry, for 30 year's serving under my Bishop.. know they are pushing me out.. without any thing.. nikotu kwa mpango wa mungu kweri??? Niko down Sana, please help
Wewe ni mtumishi na utaenda kusoma chuo cha biblia Roho mtakatifu akusaidie
Kila pando lisilopandwa na MUNGU litang'oka siku si nyingi
Shalom pastor Mimi nimgeni hapa ila naomba unisaidie hii ndoto hivi machuzi niliota nimenyaganywa kiti na mwanamke sijuihebu nisaidie
Unatakiwa uelezee vizuri maana ipo fupi haina maelezo ya kutosha. Pia ni vizuri tizama sehemu ya kwanza.
Lakini kwa haraka umenyanganywa kiuharisia sasa sijui ni ndoa, uchumi?
Umeondolewa ,au utaondolewa kwenye nafasi yako, sijui ni eneo gani ila wewe ndio unajua .
Am blessed🙏🧎♀️
Mtumishi mimi huota ndoto za ajabu sana yaani kwa mda wa dakika tano naeza ota nimeenda mahali nimekaa huko mpaka nimelala hkuko na kesho yake nikaamka ...ila kumbuka hio ni ndoto ya dakika tano pekee😂😂 yaani nimenda kwa mtu nimelala mpaka naona ni kesho yake na ni mda wa 5min pekee
Hauko siriasi unacheka Nini .
@@salimjulio7421 nipo serious nacheka tu maana najishangaa but a'm very serious si uongo
Take action my friend.
@@salimjulio7421 Wich action Sasa!! Na sijui nafanyaje
Muone mtumishi wa Mungu.