KUPAMBANUA ROHO(NDOTO) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • KANISA LA REALITY OF CHRIST MINISTRY (ROC) LIPO SINZA MORI DAR ES SALAAM LINAONGOZWA NA WATUMISHI WA MUNGU PASTOR SUNBELLA KYANDO
    UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
    Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
    Like our Facebook: / therealityof. .
    Follow our Instagram: / realityofch. .
    Subscribe our UA-cam: www.youtube.co....
    #sunbellakyando #pastorsunbellakyando #pastorjohnsembatwa #realityofchrist

КОМЕНТАРІ • 72

  • @KoletaMab
    @KoletaMab 3 місяці тому

    Ubalikiwe sana mtumishi wamungu

  • @RozinaMollen
    @RozinaMollen 4 місяці тому +2

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu nabarikiwa sana

  • @edithsangai4779
    @edithsangai4779 Рік тому +8

    Powerful message💪 Wakenya tunakupenda sana!

  • @ruthmutiso4772
    @ruthmutiso4772 Рік тому +5

    Asante kwa kutufafanulia hili jambo moja kwa moja...nimekuelewa visafi kabisa..Mungu akubariki

  • @niyonkurufreddy1984
    @niyonkurufreddy1984 Рік тому +6

    Pastor Amen tena congratulation umepunguka sana

  • @mercywambua3505
    @mercywambua3505 Рік тому +2

    Looking forward for the subsequent teachings . Listening in from Kenya

  • @naomiemasoka
    @naomiemasoka Рік тому +2

    Barikiwa mno mtumishi wa Mungu zaidi upewe maono ya kutufunulia

  • @paulmwangi294
    @paulmwangi294 Рік тому +1

    Be blessed servant of Jehovah.

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 Рік тому

    Naomba Mutumishi wa mungu uniombee Maan hiyo kusahau ndo kwangu imekuwa zaidi sana at hua nakosa amani🙏🙏🙏

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 Рік тому +3

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @geofreykangaho1149
    @geofreykangaho1149 Рік тому

    Glory be to God🙏🤲

  • @beatricefuraha6471
    @beatricefuraha6471 Рік тому

    Amen, barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @beatricefuraha6471
    @beatricefuraha6471 Рік тому

    Ni mebariwa sana🙏🙏

  • @pamelamabeyo3476
    @pamelamabeyo3476 11 місяців тому

    This is powerful

  • @favoureddaugher4596
    @favoureddaugher4596 Рік тому

    Amen 🙌🙌 barikiwa mchungaji

  • @mercywambua3505
    @mercywambua3505 Рік тому

    Thank you man of God for the great insight

  • @AnnaMbeya
    @AnnaMbeya Рік тому

    Amen

  • @alphoncekahindi5383
    @alphoncekahindi5383 Рік тому +2

    Amen be blessed man of God for this revelation

  • @yunispatrick8613
    @yunispatrick8613 Рік тому +2

    Glory be to God 🙏🙏

  • @NemaaBayu
    @NemaaBayu Рік тому

    Ameen

  • @narggdhdv765
    @narggdhdv765 Рік тому

    Amen mchungaji mungu akubariki.akulinde na kila adui maana tunapata kujuwa siri za mungu na siri za adui.

  • @jedidawambui6817
    @jedidawambui6817 Рік тому

    Amen 🙏🙏

  • @christinesavai884
    @christinesavai884 Рік тому +1

    Amen and Amen

  • @madamleticia94
    @madamleticia94 Рік тому

    Ameeen 🎉🎉🎉

  • @denisemafebo7871
    @denisemafebo7871 Рік тому

    Amen Amen

  • @ivomillinga6714
    @ivomillinga6714 Рік тому

    Mungu akubariki sana

  • @gbi380
    @gbi380 Рік тому

    Shalom mtumishi wa Bwana, nitajuaje kuwa ndoto n ya wakati ujao?

  • @neemakamgisha2951
    @neemakamgisha2951 Рік тому

    Ameni

  • @neemakamgisha2951
    @neemakamgisha2951 Рік тому +15

    Leo nimekusikiliza maana nilikuaga nimeacha kukusikiliza kwa sababu mnafundisha vizuri mnaweka no za sm lkn mtu akituma sms haijibiwi akipiga sm haipokelewi kwakweli inaumiza

  • @joycekaphevemba7215
    @joycekaphevemba7215 Рік тому +1

    Mchunganji mimi huwa naumwa na miguu kwa vizigino na nimekua naombea minguu yangu kila wakati , sasa nikaota kuna mtu anefungua miguu yangu hapa kwa miguu na kunitoa vitu kama kamasi lakini alinifungua hapa chini ya vidole za miguu ila siumwi hapa sehemu ya chini ya vidole za mguu nila kwa vizigino , sasa mimi najiuliza inamaanisha ninii?

  • @samsonabel2031
    @samsonabel2031 Рік тому +1

    Pale kwenye namba, kulikua na namba 14 ambayo imegawanyika kwa mbili(kundi A na kundi B) yenye namba 7, ambayo yale makundi pia yamemaanisha namba mbili. Na naona kwenye tafsiri, ilimsaidia Yusufu kujua nimiezi au miaka au siku, kwa maana mwaka unagawika kwa 6 na sio saba, so saba ilimuongoza kujua miaka, na wanyama wale hawakua ndama so walioneka kua ni wenye zaidi ya mwaka mmoja .
    Ulipofundisha kwenye issue ya Wanyama, umesema tuone na mahusiano yetu na wanyama.. na tabia zao.
    Kama falao angeona kuku, kuna uwezekano tafsiri ingebadilika kabisa

  • @nsenguwerarachel2805
    @nsenguwerarachel2805 Рік тому

    Hata mimi Naitaji number ya huyu mchungaji hii inanitokea sana naota ilanakosa fumbuzi ya hizo ndoto

  • @Jenvier-jz2lg
    @Jenvier-jz2lg Рік тому

    Shalom, nitumie namba ya huyu mchungaji ni Léonard tka Drc Congo

  • @JemaMbwilo
    @JemaMbwilo 6 місяців тому

    Hivi kwa nini wapiga vinanda huwa hawatulii kwenye kipindi cha Neno hawana kabisa utulivu kabisa wa kusikia yaani wanakuwa bize sana kupiga vyombo jamani kuweni watulivu sana muda wa kusikia Neno la Mungu

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga Рік тому +1

    ✍️🙏

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    😢

  • @RebekaMpaki-k4o
    @RebekaMpaki-k4o Рік тому

    Mbona hutulii unatembeatembea

  • @josephmukhwanawilliam9487
    @josephmukhwanawilliam9487 2 місяці тому

    Lazima uwe na Eli wako????? Kweli?

  • @lucykiende-hj4ny
    @lucykiende-hj4ny Рік тому

    Me sikumbukangi ndoto

  • @RecholPhilemon
    @RecholPhilemon 6 місяців тому

    Unapoota ndoto upo shule maana yake unarudishwa nyuma

  • @happynessisack7918
    @happynessisack7918 Рік тому

    Mtumishi mm nimeota natapika mavi nini maana yake

  • @rosemwanzi883
    @rosemwanzi883 Рік тому

    0

  • @Jastus100
    @Jastus100 Рік тому

    Naota Nipo shule mara kwa mara Sijui hiyo ndoto ina maana gani ? Na nilimaliza kitambo

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 Рік тому

      Maana yake ni roho ya kuchelewa/kukwamishwa,kila utakachofanya hakifanikiwi(Spirit of delay)

    • @gfydfdf8869
      @gfydfdf8869 Рік тому

      Barikiwa mtumishi wa Mungu asante kwa somo hili lakuhusu ndoto, Roho mtakatafu,asidi kukupaka mafuta .

    • @dicksonkarani7217
      @dicksonkarani7217 Рік тому

      Kurudishwa nyuma kimaisha au kiroho

    • @anithasanga6015
      @anithasanga6015 Рік тому

      Ndugu yangu hiyo ndoto ni mbaya

    • @tabby6064
      @tabby6064 Рік тому

      Justus,,ndoto hii watu huitafsiri kua ni delay but mm Mungu alinifunza kuhs hii ndoto kwa upana.ukijiona shule saa nyngne Mungu anajaribu kuattract attention yko ujifunze mambo fulani anayotaka uyafahamu,saa zingine kazi unayofanya pia kwenye ndoto inaweza kuja km uko shule,saa zingine Hii ndoto humaanisha umekaa mahali pamoja siku nyingi kwahio niwakat uamke usonge mbele,pia humaanisha km una maono ya kurudi shule basi uchukue hatua yakuenda shule ili Mungu akuinue.

  • @AnnaKamili-bp1yw
    @AnnaKamili-bp1yw Рік тому

    Ĺp

  • @RaheliEmmanuel-b3u
    @RaheliEmmanuel-b3u 8 місяців тому

    Some one to share number for sunbella to me i have sensitive issues

  • @KoletaMab
    @KoletaMab 3 місяці тому

    Ubalikiwe sana mtumishi wamungu

  • @charlesmarijani6806
    @charlesmarijani6806 Рік тому

    Amen

  • @JKGJICHOMAKINIONLINE
    @JKGJICHOMAKINIONLINE Рік тому

    Ubarikiwe mtumishi

  • @missAdeline-xr8bf
    @missAdeline-xr8bf Рік тому

    Amen 🙏🙌

  • @KoletaMab
    @KoletaMab 3 місяці тому

    Ubalikiwe sana mtumishi wamungu

  • @KoletaMab
    @KoletaMab 3 місяці тому

    Ubalikiwe sana mtumishi wamungu

  • @rehemakiteu
    @rehemakiteu Рік тому

    Amen

  • @angeljoseph4666
    @angeljoseph4666 Рік тому

    Amen