MITEGO YA ADUI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO (NYAVU) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our UA-cam: www.youtube.co....
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz
and Subscribe Pastor Sunbella Kyando UA-cam
/ @pastorsunbellakyando
Nakupenda Sana mtumishi umenitoa mbali sana
You're the best pastor ever. One of the Pastor unahubiri uhalisia watu wanasema kufanya kazi kwa bidii ndiyo mafanikio? Hao wako kimwili zaidi , hawajui how spiritual world inavyo oparate kuna watu tumeona wanafanya kazi usiku kucha na wan a struggle vibaya mno. Llife is spiritual people.
Kabisa hapo umenena juu adui huanza kuvamia rohoni ndio ajitokeze mwilini
Nawew uko vizur Sana spiritual, Good
God bless me all isee is reality and ihave in this situation 😭🙏
Nimefatilia maombezi nimetapika na kuangaika chumbani ,namshukuru Mungu nimefunguliwa
GOD RICHLY BLESS YOU SERVANT OF GOD
Ukimsikiliza vizuri Sanbella afu ukakaa chini ukatafakari machozi lazima yakutoke 😭
Tuned
Amen🙏
Bwana yesu atukuzwe somo zuri sana naamini nimefunguliwa,amina
Mafundisho mazuri mno,Mungu akubariki na akupe maisha marefu.Watching from Nairobi, Kenya.
Napeleka moto 🔥🔥🔥🔥🔥ulao kwa madhabahu ya bibi na babu ukaunguze katika jina la yesu
Mungu akubariki Sana Mtumishi wa Bwana.Najitahidi kukufualia unacho fundisha ni kweli kabisa.Wengi tumenaswa.Mungu wa mbinguni atusaidie,atunasue katika hiyo mitego.
❤❤❤🙏🙏🙏🙏Asante sana mtumishi wa Mungu kwa neno hili la kiroho kuna kitu nimejifunza hapa 🙏
Amina, pamoja sana baba napokea nikiwa Mombasa, Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nmefunguliwa katika jina la yesu Mungu akupe umri mrefu mtumishi wa mungu
Hakika Mungu anakutumia mtumishi sunbella kututoa ktk nyavu zilizotuzonga,
Amen😢
Amen👏🏾Thank You Pastor Sir for the revelations God Bless You👏🏾
Q
Tafadhali mtumishi wa mungu unanena vyema mwanangu ako kenya shuleni form2 kila wakati anaumwa mgongo mpaka hakai naomba umuombee
Asilimia 90 ya maisha yetu yanaendeshwa kispiritual zaidi kilaa kituuu
Menter wangu sunbella,balikiwa sana mtumishi nakuelewa Sana baba
Dah, ubarikiwe San mtumish,
Am free from the set traps in Jesus name. Amen
Nimefunguliwa kupitia somo hili.Naamini uchumi wangu utaanza kusogea sasa.
Asante sana mtumishi
Amen,nmebarkiwA na mafundisho hayo,pia mm nko na hayo matatizo so plz naomba uniombe,,uhusiano wangu ulivunjika na sjui n kwa nn
Am Francis from kenya
Ameen baba, Yesu unapowatoa wengine kwenye nyavu namimi usinipite🙏
Amina following from doha Qatar 🇶🇦
Nafurahia sana mafundisho yako. Asante.
Mimi umoja wa awo ambao wamenaswa. Nintafika huko na mimi mnisaidie kutoka kwenye nyavu.
Amen.somo zurii Sana.lmenifungua Asante Sana pastor Sanbella 🙏🙏🙏 barikiwa
Kila ninapo kutazama napata ufunuo mpya mungu wa amani akubariki na aendelee kukutumia
Am enlightened sir
Asante sana BAba kwa marifa haya MUNGU nia kubarikie
Aah...Hii ni kanisa kuna events za networking..Kenya sidhani kuna such ..BIG UP
Amina sana Mchungaji wangu tuko pamoja
Amen mtumishi
Ubarikiwe baba
Asante
Unamafudisho mazuri Sana Bwana Yesu azindi kukuangezea
Nairobi Kenya
Assnte mtumishi
Amen amen amen amen amen amen amen t
Nabarikiwa sana ,Ameen
Ubarikiwe
AMENI NA LEO HII NATIKA KWENYE MITEGO WA SILRI KUPITIA SOMO HILI LA MTUMISHI
Mungu akubarki sana mtumsh
Najiunganisha nawewe mtumishi wa mungu
Mimi ni mfuatiliaji sana wa masomo yako
Wonderful teaching . Power of the word. What a humble man of God. Be blessed mchungaji - Mkenya ~USA
Amina
Ameeeeeeeeeeeeen
Amen 🙏 Hallelujah
Mtumushi munhu akubariki
Amen, ubarikiwe kwa ujumbe mzuri
Amen 🙏 🙏
Ahsante San baba kwa mafundisho mazuri ..... Nabarikiwa San na mafundisho yako.....
Ameen
Niomba nimepiga mihayo sana machozi mengi naamini nimefunguliwa
Kupitia maombi yako niweze kufunguliwa
Mungu akubariki Sana mtumishi kwa somo nzuri
Oo0
Om0m
Oompm
Oo
Ompmom
Glory to God! Glory to God!
😇😇
I love this fr❤
Yesu anisaidie kabisa
Sholom sholom wapendwa nimebali kiwa Sana naibada hii mungu awabaliki
Thank you Jesus 🙏
How can I get you personal mtumishi wa mungu?am from Kenyan🇰🇪
MUNGU Asante hakuna mitego yoyote iliyonishikilia ktk Jina YESU yote imeteguka AMINA
Mtumishi unavyonena na wanao na sisi tunaotazama kwenye cm tunyoshee mkono tupokee Napokea kwa Jina la Yesu aliye hai
Nafuta madai yote mungu nisaidie
Ninashida ya kuonana na mchungaji naomba mniunganishenae
MUNGU aliyehai na azidi kukuinua ili kufunulia mbinu na siri za ulimwengu wa roho.
Naomba kuuliza miguu ikiwaka Moto Ina maana gani ?
Hii no kwenye display tukijaribu kuipiga haipokelewi msg hazijibiwi tunaomba msaada kama una no nyingine
Mafundisho mema
Too sad pastor 😢
Om0
Sauti haisikiki
Kunaumuhimu mkubwa nadaktari wahospital,wawe maprofat
Too much ad jameni hadi kusikia ni ngumu
God bless me all isee is reality and ihave in this situation 😭🙏
Amen 🙏🙏🙏
Amen
Amen