MCH. HANANJA AFICHUA SIRI ZA MH. MAKONDA NA SABABU ZA KUTAFUTWA NA KUULIZIWA WAPI ALIPO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 6

  • @AidaRaphael
    @AidaRaphael 2 місяці тому

    Nakuelewa sana, watu watakupenda na wengine watakuchukia, hilo nimepata jibu.

  • @BabaBabalili
    @BabaBabalili 2 місяці тому

    Nakukukubar mawazo yako❤

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 2 місяці тому +2

    Makonda nimtu wawatu anahuruma anatimiza wajibuwake kwawananchiwake wasiompendawachache niwanasiasa wenzake waliojaawivu nachuki hawauzikinawala hawanauwezo wakutenda kamayeye ndiyo maanakateka nguvu yauma wakitakawakubalike Wafanyekazi nzurikuliko yeye kumukashifu bilasababu wanachochea hasira zawananchi kanakwamba wao wanamaono auakilinaujuzi kuliko wananchi walio wengi. naujuzi kulikowachache.

  • @ramseyngwejela499
    @ramseyngwejela499 2 місяці тому

    Agizo la Yesu lilikuwa hili; Enendeni ulimwengu mwote mkaihubiri Injili . . .Lakini leo si agizo hilo bali ni kutetea watu tunaodhani sisi ni wema, wazuri, wenye haki, nk. Yesu hakututuma kwa hao, bali wenye dhambi watubu. Mbona tunaihalifu injili? Kama mwendo ndio huo wa kila siku ni kuongelea matukio mtahubiri lini Injili? Aisee! Ama kweli!!! Hivi siku ya mwisho ya hukumu za haki za Mungu, mtamwambia mlihubiri injili?

  • @NICEGIVEN
    @NICEGIVEN 2 місяці тому

    huyo mchungaji mwe